SAMIA AWEKWA KWENYE LAINI! ACT WAMTAKA AWAJIBIKIE UTEKAJI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • Fuatilia Mwanzo TV Plus
    SUBSCRIBE TH-cam Channel yetu
    Follow us on X, Facebook and Instagram

ความคิดเห็น • 41

  • @WilondjaAyeba
    @WilondjaAyeba 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Daaaah uku act ivi kumbe nako kuna watu wanatoa hoja njema hivi, nimewakubali sana

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Uko sawa dada ni pesa zetu yy sio Mungu hata siku moja😮

  • @hashimuuhehwa4252
    @hashimuuhehwa4252 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Hapo umenena dada wa ACT

  • @fabby1181
    @fabby1181 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    Kama aneshindwa kuvikemea vyombo vyake vya usalama, basi ameshiriki dhambi hii.

  • @plujoncylugano4611
    @plujoncylugano4611 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Hakika unastahili kuwa mbunge wa Tanganyika, mbunge wa wananchi hoja ina nguvu ,wajibu kama wana majibu.....

  • @SalmaJumanne-sn7tt
    @SalmaJumanne-sn7tt 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Kumeanza kuchangamka, hapa ACT, kule CHADEMA .

  • @AndreaNzunda-f7o
    @AndreaNzunda-f7o 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hongera sana mama kwa kutusemea, huyo mama ni katili zaid ya Nduli Idd Amin, samia anasema ameua upinzani kidigitali! Labda kumuua Ali kibao ndo kidigitali anayozungumzia

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Mama umeivà sana tanganyika

  • @chidampiri1012
    @chidampiri1012 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Uko sahihi

  • @aloycemisigalo3983
    @aloycemisigalo3983 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu dada anaongea vizur sana aisee, yaani hapepesi macho wala kuogopa.

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk 34 นาทีที่ผ่านมา

    Kweli kabisa
    Ila nyieATC ni wanafiki
    Mngekuwa wakweli mngewaunga mkono CHADEMA kupaza SAUTI Kwa maandamano

  • @fxmeddy9567
    @fxmeddy9567 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huyo mama nchi imemshinda.

  • @IsmailLoi
    @IsmailLoi 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Damu ya waliouwawa itakua juu ya wote waliohusika na familia ZAO hamkwepi hakika ole wake atakamwaga damu ya and yake

  • @reginas1832
    @reginas1832 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Dada pokea maua yako. Mungu akulinde

  • @ceciliamagalabajimmy4391
    @ceciliamagalabajimmy4391 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Safi sanaaaa

  • @noelmakere1381
    @noelmakere1381 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Asee huyu dada ajengewe sanamu likae pale ikulu

  • @godwineliya4686
    @godwineliya4686 13 นาทีที่ผ่านมา

    Kumeamza kuchangamka Kumbe ACT Nako Kuna Watu timamu. Funga But kanyaga twende

  • @abdallahkihanza482
    @abdallahkihanza482 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Shida uchawa, maana nchi hii, mawazri, hawana kazi maana kila kitu anafanya rais, mawazriri wapo pale kusifia Tu, kwa hiyo wanalipwa mishahara na posho za kusafiri kwa ajili ya kwenda kumsifia mikoani

  • @AmosRugaimukamu
    @AmosRugaimukamu 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ACT, kumbe mko vizuri kias hiki ??, basi unganeni na CHADEMA, mkakomboe NCHI

  • @salyali7807
    @salyali7807 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sawa sawa raisi hafahamu kama vifo vyote vipo juu ya mabega yake na atajibu siku ya hisabu

  • @MuseiMeleki
    @MuseiMeleki 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Duuuuuuuuuu hii nimeipenda uyu dada km ngumi basi kapiga ya utosini 😅😅

  • @AngelMbwambo-ro8xs
    @AngelMbwambo-ro8xs 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hapo sawa msiwe wanafiki semeni kweli itawaweka huru

  • @HopeHope-s2z
    @HopeHope-s2z 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mama uko vizuri

  • @shaibhamdun5225
    @shaibhamdun5225 14 นาทีที่ผ่านมา

    Wacha kuleta eller. Kraften kazi Dada

  • @HildaKessy-yw7kh
    @HildaKessy-yw7kh 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Umekosea Alisema ni kweli yy ni muuaji ila akaweka mbwembwe

  • @colombanipaulo8953
    @colombanipaulo8953 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hivi viongozi wa serikali huwa wanasoma comments za wananchi? Mm natamani kuwe na kitengo cha serikali kianachofuatilia comments za wananchi kwenye mitandao halafu waje na kauli kuhusu mawazo ya watu PERIOD

  • @DaudiMakaza
    @DaudiMakaza 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sema mamaaa

  • @mkondomkondo4721
    @mkondomkondo4721 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nyie ACT machawa,mbona mlimsapoti mama abdul kuvuruga maandamano chadema?tafsiri nyepesi huyu mnaemponda ndo watu wasiojulikana no.1,yuko wapi aliechoma picha yake mbeya?

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk 33 นาทีที่ผ่านมา

    Huyu mwanaume anayesema kosa sio la vyombo vya usalama hana maana anaogopa kutekwa

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwa hilo la kupotea watu ni mwiba tena ni laana watz tumejaa hofu ukimwona police kalibu nawe unakosa amani kabisa unajiona myonge hauko salama

  • @GodfreySospeter-f7r
    @GodfreySospeter-f7r 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kweli mama, machawa wanalewa vi mate mate wanavyopewa, wanabaki kusifia tu, mama ,mama, kafanya ivi!! Kisa wako ccm wao nikusifia tu! Akili hawana! Simameni kama Watanzania, sio kama wana ccm! Vichwa maji nyie.

  • @Ndu-wa.uroony2
    @Ndu-wa.uroony2 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    DADA,MUNGU AKULINDE DHIDI YA HUYO MBAYA NA MAKUNDI YAKE YA KIHALIFU

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kiukweli tulie mpigia kura alifariki bali tulaumu katiba iliyompa urais

  • @edwardshartiel1088
    @edwardshartiel1088 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwann Sasa wakat wa kupanga maandamano mlikaa kimyaa?? Ikiwa maandamano yalikuwa hayalengi maslah ya chama Bali kushinikiza wananchi waliotekwa na kuuwawa??

  • @MuseiMeleki
    @MuseiMeleki 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa nawaona ACT km mmeanz kuamka vile maana mlikuwa mama mmelala hadi watu wakawa wanatilia shaka km kweli na nyie ni upinzan

  • @MuseiMeleki
    @MuseiMeleki 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    kumbe sifa nyiiiiiiiiiiiiiingi zinagarama zake

  • @DaudiMakaza
    @DaudiMakaza 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Watanzania achen kusifia ili mpate kula michawa kibao

  • @bobostreka7606
    @bobostreka7606 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Panya samia chura samia

  • @huyu1993
    @huyu1993 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jee upewe wewe utaweza au mdomo mrefu?

  • @DaudiMakaza
    @DaudiMakaza 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ww mm ntakupgia cmu