Imani gani na wameharibu uchumi waende wote mimi sikupiga kura ya ruto pekee walikuwa wote na pia ruto atuambie kwanini wanataka kutoa gashangwa kwa nyumba yao basi watoke wote wakenya tufunge milango yetu wametuchokesha
Ata mseme riggy ni mbaya usafe ruto hiyo ni bure ...wote waende nyumbani.2 good years hakuwa maendeleo wamefany 6:48 a kenya kazi nikuiba pesa za uma wajitajiri wao wenyewe.masikini utaishi kuwa masikini na tajiri ataishi kuwa tajiri...uda wote nyumbani masalama.tufanye new election
Wakenya hapo tuko sawa kabisa, iwapo Gachagua anatolewa basi Ruto akusanye virago vyake. Ruto ameshika taifa mateka na ubinafsi yake. Kenya deserve better leadership.
Unataka kuniambia huyo mama katoka Jomvu kuja kusema RGY G anagawanya nchi basi ni aende? Ndie yule bwana kasema kua kuna watu wamelipwa kuja kusema walio fundishwa kuyasema ndio kama ya huyu mama na aliejitambulisha kama SG wa bunge la wananchi (sijui nani alie wapa jukumu hilo) bure kabisa ... yote tisa Kenda ni ukiangalia Taswira ya nchi inavyokwenda muharibifu mkubwa ni WSR basi yeye awe wa kwanza kuenda na wabunge wote kwani hawana faida kwa wale waliowachagua wawa wakilishe bungeni... WOTE WAENDE NA WALA WASIJARIBU KUGOMBEA TENA NYADHIA YEYOTE VILE
Hilo libaba la kwanza kumamake!!mkundu wako!!mmeona ukiwa na nani??unawaongelea kina nani??lione na pua kama kiti cha baiskeli...ikiwa naibu rais ataenda basi na rais akwende pia..
Huyo mama amelipwa hajui anachosema. Hio ni somo walipewa na Joho waje waseme. Joho hapendangi amani pwani. Ni adui mkubwa wa watu wa Mt. Kenya. Kwani wewe JOHO hawa watu wa mlima walikufanyia nini ??? SHAME ON U EN STYLE UP ! Saa hii unatembea matako juu, juu wewe ni waziri. Endelea tu, tuko chonjo safari hii tutakusalimia sisi GenZ's.
wataka kusema mtu mmoja ndiye amesistize maendeleo ya nchi nzima? kama walikuwa wanatia bidii kufanyia wakenya kazi, hamna kiongozi yeyote angezipa sikio fununu na visirani za wenye wivu
Both must goooo Kenya 🇰🇪 ni home
Both must go please
Mombasa hawajielewi kweli kila mmoja ana zungunza na hisia zake alizo kuja nazo
Rigadhi ni ya Wakikuyu , mombasa ni ya wapwani
Hukuna mkaazi wa Mombasa aliyeongea hata mmoja .
Saa tushike lipi😂😂😂 aende au abaki
Kenya Sio Mt Kenya peke gachagua should remember that
Asante maina
Mupe kazi
❤❤❤The only way to solve this problem is to impeach both!!
Mbona sioni wapwani hapo😂😂
Mombasa imekua kariobangi
Kwahivyo Gachagua hana makosa ni Ruto ndio amemkataa bure bila makosa??? Kwani Wakenya mnaishi wapi?
Imani gani na wameharibu uchumi waende wote mimi sikupiga kura ya ruto pekee walikuwa wote na pia ruto atuambie kwanini wanataka kutoa gashangwa kwa nyumba yao basi watoke wote wakenya tufunge milango yetu wametuchokesha
Ata mseme riggy ni mbaya usafe ruto hiyo ni bure ...wote waende nyumbani.2 good years hakuwa maendeleo wamefany 6:48 a kenya kazi nikuiba pesa za uma wajitajiri wao wenyewe.masikini utaishi kuwa masikini na tajiri ataishi kuwa tajiri...uda wote nyumbani masalama.tufanye new election
Kweli kabisaaaah.
Wakenya mtalilia kwa choo.Ruto mwenyewe amefanya nini??
No rigathi no ruto waede wote
Haitakuwa vile mnataka tugege's no more 😢
Kama ni rigathi kwenda waende wote
Both must go
Wakenya hapo tuko sawa kabisa, iwapo Gachagua anatolewa basi Ruto akusanye virago vyake. Ruto ameshika taifa mateka na ubinafsi yake. Kenya deserve better leadership.
Sisi unataka kuona mahendeleo wote waende
Unataka kuniambia huyo mama katoka Jomvu kuja kusema RGY G anagawanya nchi basi ni aende? Ndie yule bwana kasema kua kuna watu wamelipwa kuja kusema walio fundishwa kuyasema ndio kama ya huyu mama na aliejitambulisha kama SG wa bunge la wananchi (sijui nani alie wapa jukumu hilo) bure kabisa ... yote tisa Kenda ni ukiangalia Taswira ya nchi inavyokwenda muharibifu mkubwa ni WSR basi yeye awe wa kwanza kuenda na wabunge wote kwani hawana faida kwa wale waliowachagua wawa wakilishe bungeni... WOTE WAENDE NA WALA WASIJARIBU KUGOMBEA TENA NYADHIA YEYOTE VILE
Msa mna ushoga eti mwamtaka raisi...mbwa ninyi... simple Gachagwa aende na Ruto,lakini ninyi mwajiuma Uma midomo.
Shida ni tunataka wote waende lkn parliament ni kina nani 😢😢
Huyo hajasoma please
they should explain how they became presidents
tuliwavotia na kura zetu
Ruto must go
Kama gachagua anaenda pia ruto aende pia
Ati Ruto abaki afanye kazi .....ni woooote waende bana..
No gasagua no ruto waede wote
No Gachagua no Ruto!!!!!!!
Apo ni Mombasa kweli😂?
Kiambu tunapatania wapi😢😢😢😢
Ruaka town alafu tuende hapo kwa chief.😂😂
Wapwani mko wapi mbona wanaongea wageryenge tu na pwani ni yetu
Wote waende home
Wewe acha ufala.....wewe si wa Mombasa
Wote waendee hatuoni maana
Waende wate
Neno lamungu lina wahulisa wale wanaho hitaji kashakuwe hatimuliwe hovisini hetinimuviziji haho siyo wavisaji kama hawo siyo wavisaji pele yaneno lamungu kwetu linanena hamuna mukamilifu kw hivo nlmusamahaa kwetu tusamehane kwakusamehana kasi kwetu hiheteleye kwa kutokuwa nahuvisaji kwa kila mutu tubate hukamilifu
Wajaluo wako kwa serikali
Wote waende tunataka serikali mpya
Mama pole sana....wote waende home
Hao watu wanasema eti gachagua ni mbaya hapa Mombasa ni wale wamelipwa, majority of Mombasa citizens tumeamua gachagua ako sawa
Hilo libaba la kwanza kumamake!!mkundu wako!!mmeona ukiwa na nani??unawaongelea kina nani??lione na pua kama kiti cha baiskeli...ikiwa naibu rais ataenda basi na rais akwende pia..
Watuwa mombasa hawajielewi
Hapo umeona watu wa mombasa 😂😂??
Waende wote
Mtalaki wawaoji walio lipwa mbona ukutuoji ss wazalendo waulize sababu zao awatakuambia kitu coz awajui wanalipwa
No Gachagwa no Ruto waende wote na Ruto very stupid
You want a person to manipulate , ndio muweze ku loot zaidi!!!!!
Huyo mama amelipwa hajui anachosema. Hio ni somo walipewa na Joho waje waseme. Joho hapendangi amani pwani. Ni adui mkubwa wa watu wa Mt. Kenya. Kwani wewe JOHO hawa watu wa mlima walikufanyia nini ??? SHAME ON U EN STYLE UP ! Saa hii unatembea matako juu, juu wewe ni waziri. Endelea tu, tuko chonjo safari hii tutakusalimia sisi GenZ's.
Watu wa mlima kila mtu aliwachoka vile tuu hamjui , huwa mnajipata sukari sana . Tunaishi na nyinyi vile hatuna budi .
Na ruto je
Ww jamaa ni fala sana,nyinyi sio watu wa mombasa
MKIKUYU NI YULE YULE TU!, ALIMSUMBUA RUTO AKIWA DP, NA SASA ANAMSUMBUA AKIWA PRESIDENT, KISA NA MAANA WANAJITAKIA WENYEWE, HAWATAKI WAKENYA WENGINE.
shida y mombasa hawaja soma
Ukisoma wewe inatosha
Huyo mama anaongea ufala
Hiyo jamaa wa Mombasa ni fala juu amelipwa
😂😂😂😂
wataka kusema mtu mmoja ndiye amesistize maendeleo ya nchi nzima? kama walikuwa wanatia bidii kufanyia wakenya kazi, hamna kiongozi yeyote angezipa sikio fununu na visirani za wenye wivu
This is nonsense instead you work for kenyans