KAZI NZURI DADA BELLA NAKUOMBEA MUNGU AKUPE UNYENYEKEVU ENDELEA KULINDA WOKOVU NA USHUHUDA ILI MWISHO WA SIKU KAZI YAKO ISIWE BURE KWA MUNGU WANADAMU WATAKUFURAHIA LAKINI HAWANA MBINGU YA KUKUPELEKA
Wakat nausikiliza hii nyimbo moyo ulikuwa umeinama siwez kuomba,lkn gafla nikapata nguvu mpya kabisa 🙌🙌🙌🙌hakika Mungu ni yeye hakuna mwengine....anaua yeye na kuhuisha....Mungu wetu anatisha... Hallelujah 🙌🙌🙌😭😭
My sister bella huu wimbo ni Ujumbe kutoka mmbinguni ila kweli IPO SIKU DUNIA ITAJUA KUWA MUNGU WETU NI MKUU🙌🙌 ni maombi yangu Kwa MUNGU aendelee kukutunza sana Kwa ajili ya faida ya mmbingu 🙌🙌
As am watching right now, my dady is seriously to the hospital, my eyes filled with heavy tears! But what I know He is God! Anatisha kama nini na atafanya jambo la kutisha kwenye afya ya baba yangu! Nguvu iliyomfufua Yesu ikarudishe afya ya baba yangu kwa jina la Yesu😭😭😭😭!
Listening from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪... I love this song... God bless you Bella and the team... May God continue to use you even in more greater levels exceedingly abundantly above and beyond all you can think or imagine... Much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I've been listening to this particular song on repeat for like 5 times and all I can say I'm blessed. May you impact lives with your singing. Be blessed. And anyone reading this may God remember you 🤲
This song I've been listening to it multiple times wow every time this song plays even the atmosphere changes..I love how God is using and elevating Bella for his glory..From Kenya 🇰🇪 Bella you are loved may God continue to open doors for you you are blessing indeed❤
Huu wimbo ni mkubwa Sana hongereni Sana viwango ni vya juu Sana mmebarikiwa watumishi mnatuvusha kwa kusikiliza hizi nyimbo mafuta yasikome kwenu ,Sifa na Utukufu zirudi kwake Mungu mkuu
Wow I feel anointing here in gym doing my body building , I started speaking in tongue... Likandalalabosikaaaaaa..... Yes Mungu unatisha hakuna mfano wako baba. Thanks for true Worship... May God bless you Legends... I see Tanzania Gospel in another level wow... Tupate wapi wapi waabudu Mungu halisi kama hawa daa..Nimebarikiwa sana❤❤ Watching from South Korea 🇰🇷
I keep coming back here….. Yesu ametukuzwa, miziki imelia, sauti zimetulia, Watu wamerudi kwenye chanzo…. MAMA THIS IS INTERNATIONAL 🫶🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻Glory be to the most high God…..
Bella Kombo MUNGU akutunze! Nimeskiliza huu wimbo mara nyingi sana still bado natamani kuendelea kusikiliza,,, ooooh the name of our Lord Jesus be glorified more and more ameen!🙏🏼🙏🏼
Bella Combo mimi sikujui lakini hakika kuna kitu cha kimungu ndani yako, na huyo kaka kuna mahali kaimba mpaka nikasikia mwili unasisimuka. Aisee popote ulipo naomba neema ya MUNGU izidi juu yako....
Yes sure, salute to him wherever he is. Generally, The Melody and Instruments are Nice, Sound arrangement is onpoint for Backvocals the way they took it in low and high note, the comb of Bella and Takeu perfectly matched to create a worship atmosphere. Ila hapo mwanzo tu, i think Bella's tone and melody flow had challenges with utamkaji wa maneno ya kiswahili at 0:40-1:08 and at 2:06
Wingu zito la Utukufu wa Bwana Limetanda...! Giza limeondoka....! Nuru imetujia...! UNATISHA BWANA...! 🙌🔥💯 HUU SI WIMBO TUU BALI NI MAFUTA YA KUREJESHA NAFSI ZILIZOPOTOKA NA KUTOKUMBUKA UKUU WA MUNGU...! Ubarikiwe sana kutumika kwa Viwango Vikuu namna hii. I like Uniqueness unayokwenda nayo, Hata Musicians na Back vocalists are not famous ones, And they do the best with lot of Anointing..! You Become a Bridge to many..! 💯🙏 @davidmangare
We need such blessing songs,it reminds me those days when people would sing from the bottom of their hearts not for fame.Dear God we need you more. Be blessed sister
Takie Ndou waoh 👏 waoh 👏 👏 what a man of God you are. Greetings from Nigeria 🇳🇬 keep up the good work. Able to sing another language, God bless you Sir. You have anointing
Isaiah 66:15 For behold, the Lord will come in fire, and His chariots will be like the stormy wind, to render His anger with fierceness, and His rebuke with flames of fire...my God😭
KAZI NZURI DADA BELLA NAKUOMBEA MUNGU AKUPE UNYENYEKEVU ENDELEA KULINDA WOKOVU NA USHUHUDA ILI MWISHO WA SIKU KAZI YAKO ISIWE BURE KWA MUNGU WANADAMU WATAKUFURAHIA LAKINI HAWANA MBINGU YA KUKUPELEKA
Bella hongera sana mama huu wimbo ni baraka sana more grace mamy. 😭😭🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Amem WOG 🙌🏽🔥
😴🙏
Wakat nausikiliza hii nyimbo moyo ulikuwa umeinama siwez kuomba,lkn gafla nikapata nguvu mpya kabisa 🙌🙌🙌🙌hakika Mungu ni yeye hakuna mwengine....anaua yeye na kuhuisha....Mungu wetu anatisha... Hallelujah 🙌🙌🙌😭😭
Neema izidi be blessed
Watching from Kenya such a blessing. Baraka and more grace
Acha uongo
You are A Mighty Terrible God
My sister bella huu wimbo ni Ujumbe kutoka mmbinguni ila kweli IPO SIKU DUNIA ITAJUA KUWA MUNGU WETU NI MKUU🙌🙌 ni maombi yangu Kwa MUNGU aendelee kukutunza sana Kwa ajili ya faida ya mmbingu 🙌🙌
Tanzania kuna sehemu Gospel music inaenda mbali ! What a song ,waooh be blessed bella
True, Mungu anaiinua Tanzania kwa upya kwa Utukufu wake
Sahihi
Tunamrudishia heshima na utukufu Mungu kwa ukarimu anaoendelea kututendea.Neema hii isitupungukie.Amen
More grace mtumishi wa MUNGU Bella Kombo hii ni baraka sana hiii 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾😭
Barikiwa sana mtumishi👏🏾👏🏾🙏🏾.. thank you for supporting her. You also doing a great job🥰🙌🏾
Wah I'm so scared at 1am listening this....I feel like niliacha njia za mungu..God forgive me....Nakurudia mungu😥😥😥.. please forgive me
Rudi anakungoja
@@shilohjemmy2110😅o
KKK k
.
.
As am watching right now, my dady is seriously to the hospital, my eyes filled with heavy tears! But what I know He is God! Anatisha kama nini na atafanya jambo la kutisha kwenye afya ya baba yangu! Nguvu iliyomfufua Yesu ikarudishe afya ya baba yangu kwa jina la Yesu😭😭😭😭!
Amepona 🔥
Ameeen
Am happy Takie Ndou very soon he will start to speak in swahili,much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪this one is a bombshell
Kama umemwelewa bassist....naomba tujuwane!!! Anyways these guys are amazing!
Mungu wetu anatisha maadiko yanasema yakwamba anaogopwa kwa vile anavyosamehe
Huwezi sikiliza nyimbo hii bila nguvu za kuomba kukushukia, Glory To God for this, Hallelujah
🙏🏽🔥🙌🏽
Very true
Listening from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪... I love this song... God bless you Bella and the team... May God continue to use you even in more greater levels exceedingly abundantly above and beyond all you can think or imagine... Much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wimbo mzuri wenye ujumbe kwa watu wote wa wampendao Mungu Amina 🙏🙏🙏🙏🙏
Tunakupenda sana Bella unafanya poa kwenye mziki 👍😍 amazing songs
Amen..... Ni kweli kabisa Mungu Yehova anatisha. Hongera sana dada kwa wimbo mzuri
Bella Is slowly becoming my favorite worship minister I mean what a song this is 🥵🥵🔥🔥. I am not yet over Nifinyange and then this Oh my God!!
Nifinyange that song jamani ni wimbo wa maisha yangu till my last breath
@@HellenGoodluck it's a very powerful song it depicts who a true christian should be.
So annoited. Is she South African? It's my first time hearing about her
@@magkat7922she is Tanzanian
Nifinyange just takes me to another place in the spirit. Brokenness is takes us closer to the father
Very Powerful God bless You Bella
My Brother I’m humbled 🙏🏽🔥
I've been listening to this particular song on repeat for like 5 times and all I can say I'm blessed. May you impact lives with your singing. Be blessed.
And anyone reading this may God remember you 🤲
Glory to Jesuse 🔥😭🙌🏽
Amen Amen, bless you more🙏
@@lilyomary7795 amen🤲
AMEN
This song I've been listening to it multiple times wow every time this song plays even the atmosphere changes..I love how God is using and elevating Bella for his glory..From Kenya 🇰🇪 Bella you are loved may God continue to open doors for you you are blessing indeed❤
🥰🙏🏽
Bella! 🎉❤ can’t get enough of this song! 😢
Bella my Sister, Mungu aliyekuinua atakuinua zaidi
The Holy Spirit through Takie Ndou took this song to another level....anointed vocals and spirit...am blessed.
I agree 💯
th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html
Anatisha 🔥🔥🔥 indeed from His voice 🙌🙌
Mungu unatosha wimbo mzuli sana 👏👏👏
Huu wimbo ni mkubwa Sana hongereni Sana viwango ni vya juu Sana mmebarikiwa watumishi mnatuvusha kwa kusikiliza hizi nyimbo mafuta yasikome kwenu ,Sifa na Utukufu zirudi kwake Mungu mkuu
Utukufu kwa Yesu 🙌🏽🔥
You are MIGHT AND TERRIBLE GOD 🙌🙌🙌🙌🙌.Bella you are Blessed 🙌🙌🙌
My Angel ❤🔥🙌🏽
Kweli Mungu unatisha ... Yale Mungu amefanya kwangu leo nashindwa ku elewa.. thank you minister Bella for this song
😭😭😭😭😭😭😭 MUNGU akubariki zaidi nimehudumiwa sana na huu wimbo mtumishi wa Mungu
Yes our God is consuming fire to consume all the Powers of darkness over our nation kenya
Iyoo! Takie ndou 🔥🔥🔥
Safi sana Bella...Umefanya vizuri sana ...Uthubutu ulioufanya ni wa hali ya juu
Yesu utukuzwe 🔥🙌🏽
Great ministrations with gifted instrumentalists..on repeat.. listening from Kenya, 🇰🇪 Embu County.
More Grace my Sister This song is so powerful much love
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💞
Takie took this to another level....what a minister!
Dada bela hongera sana wimbo mzuri sana una uwepo video clean location nzuri yani kila kitu kipi vzr brother takie pia amefanta vzr mnooo
Wow I feel anointing here in gym doing my body building , I started speaking in tongue... Likandalalabosikaaaaaa..... Yes Mungu unatisha hakuna mfano wako baba.
Thanks for true Worship... May God bless you Legends... I see Tanzania Gospel in another level wow...
Tupate wapi wapi waabudu Mungu halisi kama hawa daa..Nimebarikiwa sana❤❤
Watching from South Korea 🇰🇷
❤❤wow
I keep coming back here….. Yesu ametukuzwa, miziki imelia, sauti zimetulia, Watu wamerudi kwenye chanzo…. MAMA THIS IS INTERNATIONAL 🫶🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻Glory be to the most high God…..
Neema izidi ❤🙌🏽
What a terrible God ohh praise the Lord you feed my spirit, dada Bella this is a request one day do collaboration with Ayanda Ntazi a request madam
Ni wewe mungu hakuna mwingine, more ainoiting upon you my sister bella you're going far dear God blessed you
Mungu unatisha..tena ni moto ulao.
Bella Kombo MUNGU akutunze! Nimeskiliza huu wimbo mara nyingi sana still bado natamani kuendelea kusikiliza,,, ooooh the name of our Lord Jesus be glorified more and more ameen!🙏🏼🙏🏼
Takie Ndou, that man sings with alot of anointing, thanks bella for the powerful sing🙌🏾❤️🔥
Mungu akubariki ccter,,kwakweli huu wimbo Kama mtu hasomi neno la Mungu hawezi kupata Melody na maneno mazito Kama haya,,,
Bella Combo mimi sikujui lakini hakika kuna kitu cha kimungu ndani yako, na huyo kaka kuna mahali kaimba mpaka nikasikia mwili unasisimuka. Aisee popote ulipo naomba neema ya MUNGU izidi juu yako....
Huu wimbo unafaa kupiga na kivuka mipaka ya mataifa. Una Mungu mwenyewe katika maneno yake,
Yeye ni moto ulao,Yesu kimbilio.what a powerful song@ bella be blessed maaa🙏🙏
Mungu ni wwe hapana mwingine unaua wewe tena wahuisha nani wakuogopa baba asante kwa wimbo nasikia nguvu mpya za kuomba ❤❤ from Burundi ..
Nikweli mungu wetu nimkuu sana, anauwa na kuuwisha wewe ni mungu tu utabaki kuwa mungu kwetu.eeeeeeh Yesu utusaidiye kuishi chini ya mbawa zako🤚
Waoooh waoooo what a wonderful song,bella wewe ni fahari yetu watanzania Mungu akutunze Mungu akukumbuke tena akutokee,akuinue zaidi na zaidi
Tanzania Mungu azidi kuwaweka juu hakika tunabarikiwa na uduma yenyu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
I love the song. No other God besides the most high God.
What a powerful and Holy Spirit Driven Ministration, the move of God touched my heart. Am Blessed
Amina ni wewe pekee Mungu utishae mwenye uwezo wa kuua na kufufua wewe ni moto ulao🔥🔥🔥🙌🙌😭😭😭
We Bless The Lord For You. Your Ministry Blesses Us Here in +254 🇰🇪
Hakika huu wimbo umebeba matendo makuu ya Mungu, God bless you
I am here for the mixing engineer, well done Mr Tamie Bimha🙏🏽♥️
Yes sure, salute to him wherever he is. Generally, The Melody and Instruments are Nice, Sound arrangement is onpoint for Backvocals the way they took it in low and high note, the comb of Bella and Takeu perfectly matched to create a worship atmosphere. Ila hapo mwanzo tu, i think Bella's tone and melody flow had challenges with utamkaji wa maneno ya kiswahili at 0:40-1:08 and at 2:06
Ooh waaaaaooo are so amazing barikiwa dada angu Bella kombo and our brothers takie ndou blessing🔥🔥🔥🔥
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌😢😢😢una tusha kbs amen 🙏 ubarikiwe sana kwainjili nzuri
Wingu zito la Utukufu wa Bwana Limetanda...! Giza limeondoka....! Nuru imetujia...! UNATISHA BWANA...! 🙌🔥💯 HUU SI WIMBO TUU BALI NI MAFUTA YA KUREJESHA NAFSI ZILIZOPOTOKA NA KUTOKUMBUKA UKUU WA MUNGU...! Ubarikiwe sana kutumika kwa Viwango Vikuu namna hii. I like Uniqueness unayokwenda nayo, Hata Musicians na Back vocalists are not famous ones, And they do the best with lot of Anointing..! You Become a Bridge to many..! 💯🙏 @davidmangare
Nampenda sana yule kaka mnene wa neema gospel kwaya ananibarik san broo
Takie Ndou brought his A game ❤🔥❤🔥❤🔥. Bless you Bella . Kweli Bwana Mungu anatisha.
Listening from South Africa aaahhhh I tune well to the sound of this song. Takie you are anointed Brother you bring Heaven down.
I tell u this brother is on another level of ministration!!!omg!!!he has caused the presence of God to flow heavily!!!
MUNGU wetu anatisha Sana na hafananishi na kituu🙏🙏 great since beginning only is more than🔥🔥..... good song,and good music Arrangements.
Uuh whenever I play the song I feel the presence of God 🙌🙌🙌 unatisha kama nini eeh Mungu🔥🔥🙏🙏
This song jamaaani, ❤❤❤ I love you Jesus🙏🙏🙏🙏, Hakika Unatishaa
What a song!!🙌 Hakika Unatisha Bwana😭 🙌 Be blessed My sister Bella Kombo and our S.A 🇿🇦brother Takie Ndou, for such a wonderful master piece
🙌🏽🔥❤️
Haibo!
Keep winning Jesus!
Minister Takie Ndou may God bless you abundantly 🙏
We need such blessing songs,it reminds me those days when people would sing from the bottom of their hearts not for fame.Dear God we need you more. Be blessed sister
🔥🔥🙌🏽
This is beautiful.Indeed He is incomparable.May this song minister to many all for the glory of God
wow such a beautiful rendition.how I wished Sipho Ngwenya couldve featured
I can't go without listening to this more than four times....you are a blessing Sister Bella
Takie Ndou,u nailed this master piece highly ,infact via you the heavens came down!!!!
@Takie ndio 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🙌🙌🙌🙌🙌bleßsings y'all the song 🔥🔥🔥🔥glory he is a mighty Terrible God ❤na anarudi
On repeat, blessing me every night!
I'm here singing mungu niwewe hapana mwingine..unauwa unafufusha pia Nani kama yeye 🙌🙌🙌🙏🏼Glory to Our Almighty God
Mungu ni Wewe tu.
Bella Barikiwa Dadaangu.uwiiii😭
Bwana unatisha🎼🎼🎼Takie brought the SOP vibe.This is a beautiful and powerful song
Utukufu kwa Mungu na yeye azidi kuwabariki wtumishi wake
Kweli Baba Wewe Unatisha natena Wewe ni Moto 🙌amen
🎵Unatishaaa kama niniiii🙌🏻🙌🏻
Woow God bless you ☺️❤
🔥Takie ndou.
Glory to God for this great sound from our neighbor country
Aliyechukua hii video ni fundi sana Tena sana hakuna Giza Hapa yani inaonekana vzr mnooo
Unatisha Kama nini!!!!!! Jesus I surrender all to you might God bless you all team!😢😢😢😢
Oooooshakarababaaa🙌u mutamu muno Jesu💯🙏😘
💯💯💯💯🙌🙌🙌 Mungu awainuwe zaidi. Be blessed. Bass player 🎸,🎹 & 🥁 woww 👌
❤❤🎉🎉maua yenu singers kweli Mungu unatisha kama nin
Mungu awatunzekaz Yako n njemaaa sanaaa san🎉🎉
Ndou ur so powerful
Takie Ndou waoh 👏 waoh 👏 👏 what a man of God you are. Greetings from Nigeria 🇳🇬 keep up the good work. Able to sing another language, God bless you Sir. You have anointing
Great man of God, oooooooooh true and pure instrument of God!!!
Bella God bless ❤❤
Hallelujah Hallelujah JESUS 🙌 Nani kama wewe Mungu Wetu
More grace my dear ccy.
Powerful..... Bella kombo and Takie God bless you
Takie Ndau thank you for coming to Tanzania.
Isaiah 66:15
For behold, the Lord will come in fire, and His chariots will be like the stormy wind, to render His anger with fierceness, and His rebuke with flames of fire...my God😭
Indeed hapana mungu mwingine ni Jehova pekee
Bless you Bella and Takie ,This is full of Spirit ,and soul healing ,Let this grow bigger and bigger and healing be revealed am blessed
Thank Bella for inviting Takie Ndou. Thank you Takie you makes us 🇿🇦. Language is not a barrier to you when it comes to worshiping God.
Mungu Ibariki.