aya nimafunzo tunafundisha tusijisahau wanawake atufanani na ukisema wanawake ata mama yako mzazi pia je anazo izo mambo tujifunze tusikosoane na ndomana wanaigiza ili wafikixhe ujumbe kwawenye tabia izi nice movies
Mwalimu kasema unatoa Kisha maliza unakirudiaha. Angalia Sehemu ya kwanza. Hii ni mchezo wa kuingiza mbwa mbuzi wewe 😅 Anita Usimlishe mtoto wa mtu hiyo
duuuuu jamni wanaume tuwe makini sana jamni maan yani bola mimi ambaye sili nyama maan izo nyama ndani ya nyama😂😂😂😂
🙏🏼
Kazi nzuri hongereni🔥🔥
Asante 🙏🏼
Unajua ni nani anayeimba wimbo huo katika filamu??
Mnajua Sana hongereni nzuri
Asante 🙏🏼
Ama kweli we mwanamke Ni nbaya Sana duuu
Asante 🙏🏼
Mubarikiwe wote ❤️❤️❤️ ongereni sana wapenz kwazi yen zuri sana
Asante sana 🙏🏼
Unatafuta kutoa haruf na funza juu kwa nyama ya uchafu jamani wanawake hebu tulizeni bongo
Nina mchumba wa kitanzania mnanifikirisha mno nyie majirani wangu 😅😅😅
😂😂🙏🏼
Jamani mapenzi yanatesa iyodawa nikweli au tuambiane
Asante 🙏🏼
Limbwata jmn heee isai
Duh kumbe wanaume ndiyo tunavyo fanyiwa kwakweli mm ndio maana sipendi tumuombe Mungu atulinde kwa hil
Amen 🙏🏼
Haaaa nyamà ndan ya nyama
Piano 🔥
🙏🏼
Nasikia muziki Yesu kazaliwa tushangilie
historia nzuri sana 🥰
🙏🏼
Hii nayo ni dhambi kma dhambi nyingine
Sasa mbona huyu mwanamuke ako na kazi kwani vipi achidwe kulipa nyumba?
aya nimafunzo tunafundisha tusijisahau wanawake atufanani na ukisema wanawake ata mama yako mzazi pia je anazo izo mambo tujifunze tusikosoane na ndomana wanaigiza ili wafikixhe ujumbe kwawenye tabia izi nice movies
Asante 🙏🏼
Yani iyo dawa achanimfanyie uyu fala apa😅😅😅😅tuone kama atanipendaaaa😅😅😅😅
Mi nimemshuhudia mtu kafanyiwa ilo ilo la kutia nyama chini siku 7 mpk kiinua mgongo alikila wanawake Sie atar
Kazi nzur ❤️❤️
Asante 🙏🏼
Hata mi cjaelewa ye boc kazin tena auze maji mbona mtunzi aliwaza vizur ila kipande hicho kachemka
Ukitazama tena vizuri Episode zote utapewa vizuri imekuja mpaka akaanza kuzma maji
wanawake ni nyoka wenye sumu kali alafu hawaangalii mbele itakuwaje iko poa sana
Asante 🙏🏼
Iko Moto Sana Hii Kitu
Asante 🙏🏼
Wanawake kweli ndio maana kabla ya kula huwa naanza na Bismillah
Asante 🙏🏼
Niko jamani naisubiri yatatu3
Kazi nzur ila niuliza hicho kinyama sikutatu chini ukitaka kujiosha inakuwaje maana nataka nimtengeneze mtoto wa mtu hapa 😅😅
Acha ushirikina kumlisha mtoto wa watu uchafu mwisho wake ni mbaya
🙏🏼
Mwalimu kasema unatoa Kisha maliza unakirudiaha. Angalia Sehemu ya kwanza.
Hii ni mchezo wa kuingiza mbwa mbuzi wewe 😅 Anita
Usimlishe mtoto wa mtu hiyo
Wanawake wanasema wanatupenda kisha wanatulisha uchafu jamani!!!
M0ndl
Mara unaweka nyama sehemu za Siri,halafu inageuka kuwa nyama ndani ya nyama🤮🤮🤮🤮
lov u team😍
🙏🏼
Siwezi kumlisha mumewangu uchafu kama uwo duuuuuu
Watu wanatafuta pesa eti wengine wanatafuta mapenziiii
Mm namuona uyo dada hana akili mm akinipa huo uchafu nikigundua kazi anayo
Kwanini
Sasa apo faida iko wap....
I enjoyed watching this movie thanks
But can i get that song pls i love it ?!
Asante 🙏🏼
@@taswiramedia Unajua ni nani anayeimba wimbo huo katika filamu ?
angalia kilichomkuta mzee mpenda ujana
Mama mwenye nyumba anaongea na mtu yupo karibu sauti inasikika
Hi
@@bonifacekombe8232 hlw
🔥🔥🔥
🙏🏼
Good work
Swadakta kupe kupendwa raa
Ila limbwataa mambo ni moto
Asante 🙏🏼
Wa 2
🙏🏼
Hapo ndipo tunapoferi wanawake akili za kuambiwa changanya na zako
🙏🏼
Sasa umfukuzwa kazi au umefukuzwa kwenye nuymba mbn umekua haunakazi wkt haujafukuzwa kazi
Mia mia
🙏🏼
Ok
Naombo kuuliz awo watu wamefundishwa na madebe au mbn apo mbele anaonekan yey
Sasa siitachacha hiyo nyama poleni
Jmn hii movie simuoneshi waif ng'oo
Duh
😂😂
Hongereni🤏🤏🤏
Asante 🙏🏼
Libwata limenoga
Asante 🙏🏼
Pamoja wapenzi 🇰🇪
Asante 🙏🏼
Mumenifanya ntakua nala tu mboga za majani hizo nyama za kuekwa kwa oven siku tatu wacha ikae
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Hahaha