MAHARI Sehem ya Nne
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 ม.ค. 2023
- Hii ni Filamu inayomzungumzia MADEBE aliekua anafanya kazi ya serikali huku mkewe akishawishika na mionekano matokeo yake anaingia pabaya na kubeba mimba akiwa ndani ya Ndoa Fuatilia mkasa huu
kwa kutaka kufanyiwa matangazo Tupigie/SMS
+255769000762 - บันเทิง
Wanao mkubali mabwanga like hapa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
madebe unajua unaweza mashallah Allah akupe wepesi na kundi lako mnanielimisha na kuniburudisha ahsante
Madebe films zako kwa Tanzania ww ni number moja zina fundisha maadili ya kijamii ya ki Africa na hasahasa unavyo act reality ya Kiafrica huna ubishobisho all the best my Brother
❤❤..MIE NISIWE MNAFQI JAMAA ANAJUA ILA ASANTE KWAKUA ANATUFUNDISHA KISWAHILI🙏🙏..NAFURAHI MOVE HIVI NIKIWA TÜRKIYE 🇹🇿🇹🇷🇹🇷🇹🇷
Ep 5 ipo au mov ya Mahal au hamn
Unamuomba Mungu akupe Mke mwema afu Mke mwema unakuja mupata tayari umesha oa 😂 😂 😂 Madebe noma sana naomba Like zenu ili tufamiyane kutoka Burundi
Sasa utajuaje kuwa ni mwema wakati tayar umeoa
Hongera brother,Kaz nzur Sana. Ila Kama huto jari, nakuomba upost iyo nyimbo kwenye hii film. Kwan nimeipenda Sana.
Timu madebe kazi nzuli mnafanya Kila baada ya movie 💎
Kupatwa kwa mchungaji sasa😂😂😂
Asante sana. Best actor forever. Hakuna kama wewe.
Like from DR Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩✊🔥
Jaman hii ndo sehem ya mwisho au naomba nijibiwe ,, mbona nzuri alafu vipa de vi nne tu👊🤗💯💯💯💯
Itakuwa madebe huwa anafupisha tuu
Maichallah kz nzuri my brother ongeleni team mahari love you ❤ ♥❤
Mwamba mungu akusaidie usichoke ww ndio kanumba wa Sasa
Hongera sana bwana madebe uko sawa mungu akuzidishie kazi nzury saaana
Mabwanga anajua kuigiza kama atajitahid kijiwekea brand nae atafika mbali sana
Mnajua mpaka mnajuatena kazi nzuri madebe na team yako 😍😘
MADEBE KAZI NZURI ira kazizako zikogo poa sana hongera kwa Tim yako
Wachelewaji kama mm naomba tujuane hapa kwa like 🔥
Mnaweza mnaweza halafu mnaweza tenaaaaa asanteeeee
Nimeipenda hiyo nyimbo
Kuliko kuuwa bora ukubaliane na halii,, ulee tu mtoto. All in all nimeipenda story
Big up brother 👊
tunangojea part tano
Big up madebe na timu yako tuletee sehemu ya tano please watching from Kenya
Mashaallh vizuri Sana type ingine Kali zaidi ya hio
Big up bro, madebe.
Big brain and creativity
Madebe unajua 🔥🔥🔥
Good job Lidai napenda sana mafumbo yenye maana halisi mapana ya kutosha
Team M.Lidai kutoka masai porini Internet ya tabu but I'm trying my best to watching all as you can
Nimependa 🙏🙏🙏🙏🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Mmmja kali sana tena safi sana aky
Jaman mie na wapenda sana afu movie zako ata uchelewi kutuwekea TH-cam naomba unitumi hii nyimbo mahari au taipata wap
Madebe dai mahari Yako mpaka uipate mi nipo pamoja na wewe
Kazi nzuri Madebe...love from Kenya!
MADEBE LIDAI ❤❤
Madebe uko great san na napend unavyongea mafumbo ambayo ni ngumu kufumbua😂😂❤❤❤🎉
🌍duniani kuna majanga mengi ya maisha.....usiamue kitu ukiwa na azila
Madebe big up🙌
Hii nyimbo kaimba nani jmn nimeipenda
Hata Mimi naitafuta,ukiipata nikumbuke na Mimi Tafadhali!
Nice one 🔥...
Well represented 🇰🇪
Thx bro kwa kutup elim kupitiy movie naku fatilia nikiw Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Brother nakubali sana nilikuwanasubilia kwaham sehemu ya 4
ww ni noma madebe wanawake Hilo no funzo wanaume tunaumia Sana mana tunagharamika kwa ajili yeni
Nice nzuri na Inafunza hakika👍
Kazi ni Nzuri kwakweliii😘👪 Family studies
Kawimbo nyieee jamniiii 😍😍😍😍❤❤❤
Mzigo mezan walewakutoa like mkuje kunipa zangu wakwanza leo kuiyangalia
Mashallah
MASHA ALLAH.
Asante san kaka madebe Allah azid kukujaalia maalifa zaid
Kaz nzuri kaka upewe ulinzi
Still waiting for this part GOOD job madebe 🇰🇪
We love you madebe from kenya
Nakusoma vyema from Qatar
Sound track title please?
I love it
Habari zenu lkn nimeipenda hio nyimbo imeibwa na nani
Gud job
fesal machuya kaua san ktk izo nyimbo ktk filam...anajua san
Hakika unaweza🙏
Unajuwa Sana bro
Lovely one
Fantastic 🔥🔥🔥🔥
Tengeza nyingine uongeze chumvi kidoogo iwe nzuri kuliko hii
good work from Ghana
Big up lidai from Manchester UK 🇬🇧
Huyu mabwanga 🤣🤣🤣🤣🤣
🎉nakubali tunaxubir nyengine my brother ❤
❤❤❤
Kwel nimeipenda kumbe umalaya ni biashara pekee ambayo mali unarud nayo nyumban ambayo tyr ushaiuza 🤣😂😂😉
Inapendeza sana kaka ,enderea kutupa vitu
Nakukubali madebe🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Unajua Tena unajua tena
Km ulikua kwenye danguro tujuane leo kwenye mahari😂😍👌
Kiukweli mnajua kuzikonga nyoyo za watu ni burudani mpaka baaassiiii❤️👍
Ongera madebe Kwa uwandishi wako na ma_directors wako...
Kaka upo vizur sana
Shukran sana
Tunataka na muendelezo wa MKWAJU😘😋😋
Umeonaee na venye ilikua nzur 😋
La suite svp. Nasubiri sana tokeya Congo DRC 🇨🇩
unajuwa kazi kabisa
Mashallaah
Uko vzri kaka 😊
Safi kaka madebe
Duniya inamambo ikiwa huko makini itakuwacha njia ni hongereni washiriki munao tuelimisha mwenyezi mungu awabariki awazidishiye kipaji chenu
Good job
Kama umegundua kutoka sehemu ya Kwanza madebe Ni Moshi tu mdomoni kama treni la mkaa 😂😂😂piga like hata
Ubalikiwe sana sanaaaa
Nakuwakilisha madebe ridai mshabiki wako kutoka nchin iraq 🇮🇶 tuko pamoja mzee.baba
Upo sehem gani iraq
@@najmaabduli9593
Na ww upo iraq
Tujuane jaman
Maana matatizo n mengi
@@najmaabduli9593 DUHOK my
Mpo kwenye vita huko
@@totmohammedtotmohammed2982 haaa uko tunakujaga mara moja mie nipo Erbil
jina la wimbo basii😍😍😍
Big up
Madebe anajua cna
Good job madebe lidai Ila naomb jina l mwimbaj hiy nyimb
🥰🥰🥰😍😍 kazi nzuri hakika ...much love from kenya 🇰🇪
Madebe jini😁😁😁😁:💥💥💥👍👍❤
Imetupa mafunzo ya kutosha kwenye hii tamthilia big @madebe lidai💪💪💪💪💪💪💯💯💯💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kazi nzur
Fire 🔥
Huyo fundi mungu abaliki kaz ya mikono yake
Unajua sana mkuu
Hii n hatar na nusu🔥🔥🔥 madebe na Tim yake wanaua sanaaaaaa🙌
Iv madebe ni muislamu au nimcrict
Tanzania 🇹🇿 one nimekukubali kaka
Kuna sehemu ya 5 au imeisha brother #madebe