Today I was very distressed,felt lost and came here just find peace,came across this song am am very blessed.We are all passing through tough times,trials, sicknesses and whatever life throws at us....Most importantly,WE NEED THIS LORD AND WE'RE WAITING ON HIM!!!
Tangu utoto Hadi sasa Bado Mungu anafatilia hatua zako, hujamaliza bado dada angu yapo mengi na watu wengi unatakiwa kuwafikia Mungu akupe Neema ya kufanya Mambo makubwa Kama alivyokukusudia tangu asili🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
No captions are available for this particular song. I’ll tried with the other songs. I honestly love her songs and never tired or bored listening to ‘em. Bless her heart!
Kutoka Congo DRC/Goma,Hii nyimbo inasema kweli kabisa na inanibariki sana.umebarikie
Today I was very distressed,felt lost and came here just find peace,came across this song am am very blessed.We are all passing through tough times,trials, sicknesses and whatever life throws at us....Most importantly,WE NEED THIS LORD AND WE'RE WAITING ON HIM!!!
uko sahihi kabsa mpendwa ktk Kristu.
Amani kwako.
#marthamwaipaja kila la heri kwako mpendwa
Amen dadangu huo ni ukweli sisi sote tunamgojea Mungu.
Mungu ndiye Kila kitu tusidi kumtegemea
Wote tunamngoja Mungu yeye ndio Jibu tu
Mungu aendelee kukutunza dad ang na kukupa nguv katika Kaz Yako my xixter,💓💓💓💓💓💓
Amina hakika Kila mtu ana pito lake
Mungu anipe nguvu kupitia huu wimbo🙏
Napokea kibali kama chako mumy...kutumikia mungu nahitaji sana
Amen.. ni kwali nyimbo zako zinanifariji moyo.
Wanitia moyo sana dadangu, Mungu azidi kukuinua
Wueeh hiyo sauti,,,may God bless you.
Tangu utoto Hadi sasa Bado Mungu anafatilia hatua zako, hujamaliza bado dada angu yapo mengi na watu wengi unatakiwa kuwafikia Mungu akupe Neema ya kufanya Mambo makubwa Kama alivyokukusudia tangu asili🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Your songs make me shed tears 😭😭😭 they reflect my true story
I love the rhythm of her songs tho I don’t understand the wordings. I listen to her songs everyday going to work. Bless her!
You can turn on the caption button for translation
No captions are available for this particular song. I’ll tried with the other songs. I honestly love her songs and never tired or bored listening to ‘em. Bless her heart!
Hakika nyimbo zako dada zinanitia moyo Iko siku hata Mimi tatoka nilipo mungu akuinuwe
Mungu aendelee kuku tuanz ktika huduma ulionayo Dada.
Kuku tunza amen
Nabalikiwa sana na nyimbo zako! Na mungu akubaliki sana. 1:56
Indeed twamgoja Yesu
Ghaii hii ndio nyimbo naangalia kwa tv utube barikiwa martha
Huwa unatufunza mengi Sana kupitia nyimbo zako@martha, mungu azidi kukubariki.. 🙏
Mungu akuzidishie dadangu. Mm pia na mgojea Mungu kutoka Kenya
I have been looking for this song,I thank God for getting it,Asante mama tunakupendaa Kenya
Yapz, this is an old song....newly uploaded but fresh as always . Team KE
Kabisa mama Yuko Mungu no imbi zako zinanifunza mengi
Neema uliyo nayo niya upako sana .may God continue to lift you up, nice song with Avery powerful massage.
Zidi kumutegemea mungu nafasi ya mafanikio nahisi ipo. Your excellency is in the lord. Wiki hii nyimbo zako zimeniinua sana kirohoni.
Kwakweli Martha unibariki kwa huduma yako t mungu akuongonze kila wakati
You mean alot to me sister Martha may God continue blessing you for your wonderful songs
Barikiwa sana mama unanitia moyo sana
Na mimi namngoja Mungu.
Namgoja Mungu amem. Amen. Amen
Huu wimbo nimeutafuta sana.
Nakupenda tu sana dadangu huu wimbo unanitianga nguvu kwa maisha yangu be blessed kwa kutoa video aki ni tamu sana from 🇰🇪
I can't get enough of your songs.
Nakupeda sana. Kila wakti nabarikiwa na nyimbo zako.zidi kubarikiwa kwa kazi ya Mungu.
Nyimbo zake ni Faraja
Martha u are a blessing to me live long
Wajina unanibariki sana jamani Mungu akubariki sana mtumishi
Nakupenda sana dada angu Marha.Barikiwa tena
Ongera mtumishi umenena vyema
Nakupenda sana mama Martha sijuwi nifane nini nikuwone kbs❤️❤️❤️🙏🙏
Nyimbo zako Martha hunijenga kiimani sana
Natafuta maneno ya kusema Yananikosa barikiwa sana Dadangu
Ni ukweli kila mmoja ana pito lake,,, sote tunamtaka Mungu🙏
Amen mama mungu akubaliki azidi kukuinia juuu sanaaaaaaaa
Hakika wote tunamuitaji Mungu..
Wimbo mzuri sana ,ujumbe mzuri ila vedio haiko clear vile samahan sana
Asante mamiii ♥️ mungu akubariki Martha 🙏🏿
Nice song ,do something on the video, much love from 🇰🇪
You are a blessing to us, your songs always in my earphones to work every morning especially maumivu ya jaribu
WOW I too love the song
Nice one my name sake... God bless you
Amen 🙏 be blessed for being a blessing to me through your ministry.
Mungu alibariki Dada kwa mashauri
Kila mtu anamngojea MUNGU.
Old song but New aploded🇹🇿🇮🇱
barikiwa Sana AMEN 🙏
Hii wimbo imenifanya nimwage machozi
Amen nice song dear much love ❤️ be blessed aboundantly 🙏🙏🙏
Be blessed martha
You are a blessing this song is encouraging 🔥🔥
My favorite song Martha Mungu akubariki
Amen Martha be blesed
Amen
Be blessed so mt
My God bless you mamaa
Amina
Congrats 👏👏👏
I honor you mama
🔥🔥🔥 blessing
Amen 🙏 sister
❤❤❤❤
Nice song
😭😭😭😭😭
Jenifa
Amen
Amen.
AMEN AND AMEN 🙏
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen