DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Septemba 23, 2024 | Mchana

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 55

  • @nizigiyimanaibrahim2329
    @nizigiyimanaibrahim2329 หลายเดือนก่อน +8

    Viongozi Safi huonekana wanapokua wakitetea haki za wananchi

  • @AbubakaryOmary-m6l
    @AbubakaryOmary-m6l หลายเดือนก่อน +10

    CCM Must go..🔥🔥

    • @EmanuelMkongwi
      @EmanuelMkongwi หลายเดือนก่อน +1

      YEEEEH MUSTI GOOOOOOOOO! CCM

  • @ZephaniaNdaki-vq1ti
    @ZephaniaNdaki-vq1ti หลายเดือนก่อน +5

    Huenda mnaoshutumu wazo la kuandamana, ni machawa wa ccm; na kwamba hamna mguso wa madhira ya waliopotea. Na mnaposema kuwa maandamano hayafai, bado hamjaonyesha mbadala wake kingefanyika nini. Pia hamjui kama kisheria maandamano ni halali! Tubishane, leo ili kesho kitokee kitachoruhusiwa na Mungu.

  • @Dutichgogo
    @Dutichgogo หลายเดือนก่อน +2

    Jamani ccm wauwaji

  • @HassanKibwana-h3w
    @HassanKibwana-h3w หลายเดือนก่อน +2

    Watanzania bado sana tutabuluzwa adi bado

  • @davidsilwamba2465
    @davidsilwamba2465 หลายเดือนก่อน +3

    Tanzania polisi hutumika kama robot

  • @obadiahmadeje7016
    @obadiahmadeje7016 หลายเดือนก่อน +8

    Police ni kazi nzuri sana katika nchi,kwa kuwa hufanya uhalifu kutokuwepo,pamoja na usalama wa nchi kwa ujumla,
    Lakini wanapoamua kulinda maslahi ya watawala wabinafsi,hugeuka kuwa malaika wa shetani,!

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa

  • @Zuwjat
    @Zuwjat หลายเดือนก่อน +2

    Kila anaesema tanzania salama kumamamae mbwa watu watwekwa wakiuliwa

  • @Manyetaeryud
    @Manyetaeryud หลายเดือนก่อน +3

    BBC mnatuabalisha abalinzuri sana zauwakika. Mimi manyeta wa Tanzania tunduma

  • @hasbunakhamis487
    @hasbunakhamis487 หลายเดือนก่อน

    Ccm washenz sana

  • @majebelemathis9991
    @majebelemathis9991 หลายเดือนก่อน +1

    Watanzania hasa raia wakawaida tulisha fanywa na selkari ya CCM kama maiti tu hatuna haki ya kusikilizwa tupo tu tunasuburia kufa

  • @MaishaAlly
    @MaishaAlly หลายเดือนก่อน +1

    Hum

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji หลายเดือนก่อน +1

    NI WAHUNI SIO WAPINZANI WAMEJIFICHA KWENYE SIASA 😢😢😢😢😢

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 หลายเดือนก่อน

      Fact

    • @dionismutayoba3542
      @dionismutayoba3542 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe ni sufuri hujitambui

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 หลายเดือนก่อน

      @@dionismutayoba3542 wewe ndio hujitambui umelelewa hujafundishwa kustanji iwe haja kubwa.wala ndogo.unatembea na uchafu

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 หลายเดือนก่อน +1

    Walio kamatwa ni viongozi na wanachama zaid ya 40 wa chadema

  • @shadrackjuliuskaboya5239
    @shadrackjuliuskaboya5239 หลายเดือนก่อน +2

    *nilijua tuu hawa watu wanajua wanacho kifanya kumkimbiza mwehu kaiba nguo yako mtoni ulikuwa unaoga nayeye kwa furaha akaona nguo kaokota na wewe ukaanza kumkimbiza tena yeye kavaa wewe upo uchi nani wa maana hapo hata sijhi nasema nini hapo*

  • @JumaParmayo
    @JumaParmayo หลายเดือนก่อน

    Lakini akuna makubaliano bila izipo kuwa fujo jamani

  • @nizigiyimanaibrahim2329
    @nizigiyimanaibrahim2329 หลายเดือนก่อน +1

    Wapo watanzania yaani ukipatwa n'a tatizowao huona kuwa umeyataka mwenyewe hata kama unawatetea

    • @zawadimbwambo1091
      @zawadimbwambo1091 หลายเดือนก่อน

      Ukitetea haki za masikini una taabu sana maana hawatakusaidia maa hawajui thamani yao wenyewe hawataweza kukiona unachowapigani.

  • @edwinkajuna7207
    @edwinkajuna7207 หลายเดือนก่อน

    Tamko la Police ni haramu Kisheria

  • @ditrickmligo
    @ditrickmligo หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania ipo salama acheni kukuza mambo, nchi ipo swali sana hakuna lolote jipya, mimi nipo Dar es salaam, msituletee vurugu kwenye nchi yetu, acheni polisi wafanye kazi zao, ninyi mkamlinde Trump huko malekani

    • @HamimMbango
      @HamimMbango หลายเดือนก่อน

      Apana hatupo salama haki zawatu zinakandamizwa dhamayetu watanzania inapotezwa kwa masirai yawatu wachache nyia mnaona tupo salama ngoja mutekwe ndipo mutayapata majibu watanzania hatupo salama kabisa

    • @andrewmushi8274
      @andrewmushi8274 หลายเดือนก่อน

      Hayupo salama hata kidogo

    • @billgussy6099
      @billgussy6099 หลายเดือนก่อน +1

      Iko salama kwenye familia yako wewe mtekaji

  • @edgarjoseph5573
    @edgarjoseph5573 หลายเดือนก่อน

    CCM Demokrasia hawaiwezi, ushauri wangu kama mwananchi wa Tanzania hivi vyama vingi vingefutwa tu maana naona ni Upuuzi tu hakuna demokrasia hapa

  • @SelemaniHamiss
    @SelemaniHamiss หลายเดือนก่อน

    Amani.gani.wewe.achaujiga

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 หลายเดือนก่อน

    Viongozi wa upinzani wanakamatwa kwa kuandamana kupinga utekaji na mauaji tuseme polisi walitaka hawa viongozi waandamane kuunga mkono mauaji?

  • @EdwardOkemba
    @EdwardOkemba หลายเดือนก่อน

    Sisi maafande tutaendelea kuilinda,kuitetea, na kutii sheria na katiba ya nchi hii bila kuangalia maslahi ya watu wachache wanaotaka kuivuruga amani!!

  • @KamugishaSupe
    @KamugishaSupe หลายเดือนก่อน

    Tanzania maandamano hayatusaidii lolote zaidi ya kuwanufaisha VIONGOZI WA vyama vya siasa wamekufa watu wengi sana wakiwemo watoto wadogo ila vyama havijatoa tamko lolote lakini Leo hii kwakuwa amekufa kiongozi wa chama Chao ndipo wanatuhamasisha tuandamane ebu onyesheni usawa kwa wote ndipo tuone Huruma yenu

    • @ZakayoSamson-b5e
      @ZakayoSamson-b5e หลายเดือนก่อน

      Acha kua na ufinyu wa kufikili

    • @HamisMghuna-fj3vz
      @HamisMghuna-fj3vz หลายเดือนก่อน

      Hajaenda shule Tatizo shule wa Tanganyika,yan idea ya maisha hana au huenda n mojawao wasojulikana, wayahudi walimuona petro wakasema huyu ni Moja wao kwsbb petro alikua bado ana tembea kw nizamu hata kutembea n kama wanafunzi wa YESSU ISSA BN MARIAMU maana wanafunzi wa YESSU ilikua hawajigambi kama cc walikua wema na huyu kasema mandamano hayana maana,kw hivyo n mojawao wasojulikana,tabia alonayo,

    • @GodfreyMwamaso
      @GodfreyMwamaso หลายเดือนก่อน

      Tumia akili yako vizuri Tanzania siyo kisiwa inazitegemea zaidi nchi wahisani ili kuendesha serikali yake kwa haya yanayotokea tunaenda kunyimwa misaada

    • @HamisMghuna-fj3vz
      @HamisMghuna-fj3vz หลายเดือนก่อน

      @@GodfreyMwamaso c misada tu tutawekewa vikwazo hata meli,ndege, Kilimanjaro,+ngorongoro,,hutaona watalii wala meli,Dare salaam, Magufuli,alisbbsha meli kukimbia Dar ikaw, Mombasa,na Beira,haw wasojulikana Hilo hawalijui wanachojua n madaraka,huku mtaani tunadaiwa songesha na nipigetafu,sukar matbab juu, petroleum,+Tozo, Tanganyika Tatizo shule, Hatujielewi,,shule baba,

  • @EdwardOkemba
    @EdwardOkemba หลายเดือนก่อน

    Mbowe nae aache ubinafsi ajiuzulu uwenyekiti wa chadema mwingine naye ajaribu kuongoza chama hicho na waache kushindana na dola watakiona cha moto

    • @emmanuelmasele9585
      @emmanuelmasele9585 หลายเดือนก่อน

      Nyerere alikaa miaka mingapi km kiongozi mkuu WA chama tawala?

  • @davidsilwamba2465
    @davidsilwamba2465 หลายเดือนก่อน

    We have the useless polices in Tanzania with zero thinking capacity.

  • @AbdilahiMriri
    @AbdilahiMriri หลายเดือนก่อน +1

    Hawa jamaa wa upinzani TANZANIA hawafai kabisa wanataka kwenda vibaya.
    Wanbieni watuache na amani yetu tukufu.

    • @nizigiyimanaibrahim2329
      @nizigiyimanaibrahim2329 หลายเดือนก่อน

      Huna akiri kabisa yaani huoni aibu kutamka eti unaamani : jitambue n'a ufahamu ukiona mwezio ananyorewa nawe anza kutia maji zamu yako inakaribia

  • @saxannjo6173
    @saxannjo6173 หลายเดือนก่อน +4

    From DSM
    AMANI YETU NI TUNU ILIYODUMU KWA ZAIDI YA MIAKA 50,,, ASITOKEE MPUMBAVU YOYOTE WA KUJA KUIVURUGA KWA ULAFI WAO BINAFSI WA MADARAKA...
    HONGERENI SANA POLISI.
    HAYA NDIO TUNAYOYATAKA.

    • @MonicaTimotheo
      @MonicaTimotheo หลายเดือนก่อน +3

      KWA LAANA YA MAUAJI YA WATANZANIA WENZETU KWA KUMWAGA DAMU ZAO, HAO WATEKAJI NA WAUAJI SI WAVURUGA AMANI YA TANZANIA????

    • @MonicaTimotheo
      @MonicaTimotheo หลายเดือนก่อน +2

      UNAFIKI WA 4 R UMEONEKANA

    • @obadiahmadeje7016
      @obadiahmadeje7016 หลายเดือนก่อน

      Unaweza ukadhanibuko SAHIHI,
      Kumbe umepoteza njia inayohitajika

    • @billgussy6099
      @billgussy6099 หลายเดือนก่อน +1

      Polisi ndio wauwaji na bila shaka wewe ni polisi au kibaraka wao

  • @lucasathanas9554
    @lucasathanas9554 หลายเดือนก่อน

    @kamugishasupe 😂