Rebecca Magaba - Basi Sawa Official Video 4K 2023
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
- #MsalabaMEDIA #DirectorAbson #RebeccaMagaba #Ebenezer #RoseMhando #SarahMagesa #AnnointAmani #motivation #gospel #music #god #whatsappstatus #wasafi
For Booking
+255 713 147 183 / +255 797 957 191
Forbooking
msalabamedia@gmail.com
©2023 Administered By Msalaba MEDIA
Unaimba vizuri Tena kwa hisia Kali hongera
❤ubarikiwe dada ujumbe huu unagusa wengi waliotendewa mabaya ila Mungu yupo
Mama yangu na Mtumishi Wa MUNGU ubarikiwe sana Kwa wimbo huu umenigusa sana kila Mara nausikiliza ukweli wakumbuke hata jema moja tu
Ubarikiwe mtu wa Mungu
Mungu azidi kukuinua mwanangu. Huduma yako ni njema.Simama na Mungu wako anayekupa uwezo wa kutoa ujumbe mzuri kwa watu ili jamii iwe na amani. Ya duniani yatapita mwanangu waache waseme ukweli upo kwa Mungu.Hata kimya ni jibu sahihi kwao songa mbele na kazi ya Mungu. Barikiwa sana mwanangu .
Ameen mamaangu
Umenikumbusha mbali sana wakati baba amekataa wanangu
Dah aiseeee wimbo uko vzr sana Yan nimaisha halis haya weng wanahii tabia
Ubarikiwe dada yangu ujumbe huu umegusa maisha ya wengi ambao wamefanya mengi kwa watu wao ila badla ya mema wamelipa mabaya
mungu akubariki ujumbe mzuri
Pole Rebecca Mungu akufunge mshipi wa nguvu Achana na muasi Huyo usilalamike Sana huenda ni mpango wa Mungu Anza upya songa mbele dada Mungu akupe watoto Mme Bora hakika nitafurahi Sana
Wimbo una ujumbe mkubwa sana
Amina amina
Kumbuka jema hata moja
Wimbo mzuri ujumbe umefika dada endelea mbele
Ubarikiwe mtu wa Mungu
Huwa nabarikiwa na nyimbo zako dada mungu aendelee kukuinua
Rebecca watu huwa hawakumbuki wema hukumbuka mabaya tu na wanatunga mengi sana
Kuachana sio sababu ya kumchafua mwenza wako mmeo hafanyi vizuri hata kama huzai angenyamaza tu sasa mara anaandika umesema hana korodani mara unajiuza mara msagaji mara huna kizazi basi ngoja tusibiri aliye muoa kwani mmeo ana hata mtoto wa nje na nyinyi muwe mnauliza kabla hamjaingia kwenye ndoa ona sasa mtu anakula muda wako kisha anahakikisha anauwa huduma na hata wewe pia halafu anaenda kuoa anakuacha na majeraha pole lkn mtumaini Mungu tu usikate tamaa huwa nabarikiw na jumbe zako fb
Mungu aendelee kukuinua zaidi ujumbe kweli
Waoo good massage my sister. Mungu akubariki na kukuinua maneno ya watu yasikukatishe tamaa kuna jambo kubwa Mungu kaliweka mbele yako❤❤
Ubarikiwe sana mama yangu wimbo umenigusa sana
😭😭🙌🙌
Sawa sister wangu mungu akubriki
Usiogope Mungu atafanya njia paspo na njia mtumishi mmeo kuoa oa
Pole sana Rebecca usiogope Mungu atakupa mme bora utasahau yote Amini tu tulia na Mungu tu
Balikiwa saa aaa na Mama 🙏🏽🙏🏽
Jipe moyo mkuu 😢nyimbo kubwa sana hii dada unapitia nini jamani yesu akutetee maneno kuntu haya kwa wanawake wengi wenye msiba wa kutelekezwa kukataliwa na kunenewa mabaya eee pole sana nitakuombea mtumishi duu usimwache yesu atakutetea hata ubaki peke yako simama na mungu atafanya tena
Asante sana mama
Blessings woman of God, keep your office of praise and worship well
Hongera sana dada!
Pole dear friend kiukweli lengo ni kukuuwa ki huduma mmeo amekosea kwakweli kama hufanyi hayo mungu amlipe
Niko hapa baada ya kukuskiza ukifanya maombi pale radio Citizen 🇰🇪 Kenya
Hongera dada wimbo mzuri sana nimeupenda sana
Ubarikiwe mtumishi kwa kazi nzuri.
Mungu akubariki Sana wimbo mzuri Sana
The music all are searching
Hakika wimbo mzuri unaujumbe mzuri Sana tuwe tunakumbuka jema hata moja kabla hatujahukumu kitu
Mungu aendelee kukuongeza
❤usiogpe dear songa mbele
Barikiwa mtumishi kwa wimbo mzuri
Hongera sana mtumishi MUNGU 🎉🎉❤
Amen 🙏🙏 mtumishi wa Mungu
Hongera mama kazi iendelee
Ubarikiwe mtumishi stori hii imemtokea mama yangu na wadogo zangu lakini baba yangu kafariki bila hata kuturudia
Ngoma kali kweli kweli
Pole sana Rebecca
Barikiwa mamangu
MAMA ASANTE SANA KWA WIMBO MZURI MUNGU AKUBARIKI 🙏
Songa mbele
Pole sister
Basi Sawa
Usiogope mmeo anarusha picha za watoto wa mwanamke aliyemuoa wala huyo mwanamke hajabeba mimba Wala kujifungua ni mjinga tu huyo mmeo mi jirani yake kabisa hapa arusha kwa mrombo Mungu atakupa mme utazaa tu Mungu sio mtu mtumushi jitie nguvu tu
Hongera sana ni kweli sana
Utaolewa na utazaa usitishwe na mme kuoa na kuposti watoto wa mke Hana mtoto Anaposti uongo songa mbele
Songa mbele mtumishi wao wanajiona bora mkeo hana hata upako anangangana kuimba huku Arusha kama chizi tu
wadau wako wimbo huu tumeupokea sana
Usiogope Rebecca madamu ushaujua ukweli simama tu ombi langu MUNGU akupe mme uzae watoto wakufariji mambo yanaondikwa na mmeo akipitia kwa Stella na naomini yasikuvunje moyo simama tu kwani Nia Yao ni kukuondolea watu
Mchungaji wake alimtafutia zabron shemas wake mwenye watoto wa4mwingne mdogo mmeo😂anaepost mmeo analelewa
Analazisha kuimba wakati kaoa mke wa tatu waha tunamjua hana korodani kweli si alioa mtoto wa shangazi yangu pole sijui hata aliyemuoa kama atazaa lbd atoke nje ya hiyo ndoa ya tatu Songa mbele mtumishi
😂mha wetu anatuaibisha sana wana mhunga hivi anaoa mke mwenye watoto halafu anawaposti eti mke wangu ana mimba mara amezaa duu shida nini kwani wewe tumika achana na huyo kioa oa mhunga alicha mke kisa hazai akakuoa wewe mbona na wewe hujazaa😅huyo wa tatu ndo amzalie hata wa nje sisi tunajua hana corodani kijiji kizima alimchukia fremoni kumtangaza lkn anasahau tulikuwa tunaoga wote ziwani 😂
Usiogope rebecca mmeo malaya tu ndio maana kaoa haraka haraka na kuanza kukuchafua pole mwaya kaoa shemasi 😂hana hata hela usiogope mwaya
Usihofu kwanza mmeo analelewa😂anaishi kwa mwanamke alivyomjinga anajinenepea tu harafu Mchungaji wake Amon mahwa alimuozesha Shemasi wake aliyeachwa na mwanaume ameachwa na Ana watoto wa nne😂wa mwisho ndo anaemrusha mmeo kwenye fb yake jinga kweli
Mmeo huku arusha analazimisha kuhubiri kuimba 😂tunacheka kula kanisa anaingia sasa si angeoa muimbaji Tena kakaangu muha ana chekesha hachoki kuoa mke wa tatu na kuzaa hakuna ngoja tuone mwali huyu huenda akamletea hata asiye damu yake amfichie mmewe aibu 😅corodani hamna mhunga nzima tunajua