REBECCA EBENEZER MAGABA _ NENDA NAMI (official gospel video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 61

  • @alphoncemutema8097
    @alphoncemutema8097 4 ปีที่แล้ว +10

    Komeza ukorere Imana

  • @robertsimwinga4279
    @robertsimwinga4279 4 ปีที่แล้ว +11

    Nakupenda ila jiombee sana vita yako ni kubwa sana na ni kwa sababu umebeba kitu kikubwa ndani yako hawatakuelewa leo

  • @yahyahmaria
    @yahyahmaria 4 ปีที่แล้ว +10

    Yes I nenda NAMI...

  • @stellanyato3644
    @stellanyato3644 3 ปีที่แล้ว +4

    Maombi yangu Mungu akuinue Zaid mama yng huduma yko inatubariki wengi

  • @derickkitila5957
    @derickkitila5957 4 ปีที่แล้ว +10

    Very great song,,,you're blessed

  • @joycetz6966
    @joycetz6966 3 ปีที่แล้ว +4

    Bwana akukumbuke kama alivyomkumbuka Hana! Wakati na majira ya Mungu ukifika utanyonyesha tu! Songa mbele hakuna kurudi nyuma! Iko taji mbele yako ambayo Mungu ameiweka tayari

  • @qurxintaugbaad5110
    @qurxintaugbaad5110 4 ปีที่แล้ว +8

    Waaaw waaw 👏👏👏♥️♥️♥️🌹🌹🌹

  • @samsonholowa6014
    @samsonholowa6014 4 ปีที่แล้ว +5

    Yan ubarikiweeeeeeeeeeee nakupendaa bureeeee kwa kazi hii nzuriuu

  • @modestyally5797
    @modestyally5797 4 ปีที่แล้ว +4

    Barikiwa sana kwa nyimbo nzuli

  • @gtmissionministry9166
    @gtmissionministry9166 4 ปีที่แล้ว +13

    Mungu akufinyange zaidi, ushuke zaidi ili akupandishe juu zaidi, unyenyejekevu, utii, uaminifu na kuvumilia ndiyo ziwe hatua zako daima..

  • @bardendear7097
    @bardendear7097 4 ปีที่แล้ว +9

    Kazi njema sana dada, here mchina

  • @sarahjanuary2875
    @sarahjanuary2875 4 ปีที่แล้ว +8

    Amina,my dada

  • @Kingsolokotv-
    @Kingsolokotv- 4 ปีที่แล้ว +9

    Faya

  • @lilianmassawe6229
    @lilianmassawe6229 4 ปีที่แล้ว +9

    BARIKIWA SANA WIMBO UNA UPAKO MUNGU AKUJAZE ZAIDI MY DEAR VIDEO IKO VIZURI SANA DIR MUNGU AMBARIKI SANA

  • @rizikitito3024
    @rizikitito3024 4 ปีที่แล้ว +9

    Waaoh!!wimbo niupendao hongera sana kuto video na unazidi kuwa mrembo video iko vizur sana ujumbe ndio kabisa unagusa moyo ubarikiwe mno..nikitaka kuimba na ww nakupataje?

  • @jordanmweluka5490
    @jordanmweluka5490 4 ปีที่แล้ว +9

    Amen Mtumishi

  • @richardtaji5363
    @richardtaji5363 4 ปีที่แล้ว +8

    So touching song! Bless you cisy!!

  • @lightnessdaniel1555
    @lightnessdaniel1555 3 ปีที่แล้ว +3

    God bless you sister Rebecca

  • @yahyahmaria
    @yahyahmaria 4 ปีที่แล้ว +6

    You sound like bukuku

  • @chishidesert9900
    @chishidesert9900 4 ปีที่แล้ว +5

    Fantastic song mama well done

  • @emmanuelmwandu.3126
    @emmanuelmwandu.3126 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana mtumishi. Wimbo huu siku ya kwanza kuusikia niliurudia rudia. Na sasa bado hauchoshi kusikiliza. Mungu akubariki mtumishi

  • @mwanyaxy2334
    @mwanyaxy2334 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu kwa ujumbe mzuri.

  • @neemakidala1631
    @neemakidala1631 4 ปีที่แล้ว +6

    Mungu akupe uzao dear

    • @ebenezerrebecca9391
      @ebenezerrebecca9391 4 ปีที่แล้ว

      God bless you beloved.
      I don't know you in person but God knows you well God reveal a revelation to me when I was going through your profile
      to observe things about your spiritual life. while I was meditating
      I saw a divine breakthrough in your life and I saw evil attacks of
      the enemies manipulating on seizing your favour and to come against your hand work for you to be confused and lost hope. in life As i was praying the Lord reveal to me and instruct you to sow a seed into the life of a baby suffering from leukemia in Godsfavorhand orphanage home located in kebbi state in Nigeria before the end of tomorrow and let me know so I can join you in prayers deeply because he want to manifest his promises in your life and that of your family Nobody should know about the seed is between you and God, you will testify to the Glory of God after you have done it if only you believe in him and do what he says
      Proverb (3:27;21:26;22:9 ,,Deu.28:1-5)
      Contact the MD of the orphanage foundation on WhatsApp on +2348148265325 and send your donation to them ask for there acc details and soul a seed to the glory house of this orphanage home babies
      God bless you.

  • @bishopkatunzi4892
    @bishopkatunzi4892 4 ปีที่แล้ว +9

    Amen be blessed

  • @Marylimo
    @Marylimo 3 ปีที่แล้ว +2

    ❤️💯👍

  • @tanoricdavd6281
    @tanoricdavd6281 3 ปีที่แล้ว +2

    Haleluya

  • @saimonngwena7050
    @saimonngwena7050 4 ปีที่แล้ว +8

    My favourite song 🙏🙏🙌my sister...more grace in your ministry

  • @Madambeatrice5408
    @Madambeatrice5408 4 ปีที่แล้ว +8

    Be blessed I like it

    • @ebenezerrebecca9391
      @ebenezerrebecca9391 4 ปีที่แล้ว

      God bless you beloved.
      I don't know you in person but God knows you well God reveal a revelation to me when I was going through your profile
      to observe things about your spiritual life. while I was meditating
      I saw a divine breakthrough in your life and I saw evil attacks of
      the enemies manipulating on seizing your favour and to come against your hand work for you to be confused and lost hope. in life As i was praying the Lord reveal to me and instruct you to sow a seed into the life of a baby suffering from leukemia in Godsfavorhand orphanage home located in kebbi state in Nigeria before the end of tomorrow and let me know so I can join you in prayers deeply because he want to manifest his promises in your life and that of your family Nobody should know about the seed is between you and God, you will testify to the Glory of God after you have done it if only you believe in him and do what he says
      Proverb (3:27;21:26;22:9 ,,Deu.28:1-5)
      Contact the MD of the orphanage foundation on WhatsApp on +2348148265325 and send your donation to them ask for there acc details and soul a seed to the glory house of this orphanage home babies
      God bless you.

  • @gloryleonard1563
    @gloryleonard1563 9 หลายเดือนก่อน +1

    Tunakuombea Sana

  • @everlynemuno9987
    @everlynemuno9987 2 ปีที่แล้ว +1

    Everything I do lord just be with me in Jesus name... nice song 🙏

  • @lamecknyalugoe7946
    @lamecknyalugoe7946 3 ปีที่แล้ว +1

    Ameni mungu akupe nguvi

  • @leahmwakalambile1648
    @leahmwakalambile1648 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu pokea itaji lako la mtoto mtumishi wa Mungu,Mungu yupo kwa ajiri yako atakupigania tu binadam hawatakuelewa lakini Mungu atakuelewa mpenzi

    • @ebenezerrebecca9391
      @ebenezerrebecca9391 4 ปีที่แล้ว

      God bless you beloved.
      I don't know you in person but God knows you well God reveal a revelation to me when I was going through your profile
      to observe things about your spiritual life. while I was meditating
      I saw a divine breakthrough in your life and I saw evil attacks of
      the enemies manipulating on seizing your favour and to come against your hand work for you to be confused and lost hope. in life As i was praying the Lord reveal to me and instruct you to sow a seed into the life of a baby suffering from leukemia in Godsfavorhand orphanage home located in kebbi state in Nigeria before the end of tomorrow and let me know so I can join you in prayers deeply because he want to manifest his promises in your life and that of your family Nobody should know about the seed is between you and God, you will testify to the Glory of God after you have done it if only you believe in him and do what he says
      Proverb (3:27;21:26;22:9 ,,Deu.28:1-5)
      Contact the MD of the orphanage foundation on WhatsApp on +2348148265325 and send your donation to them ask for there acc details and soul a seed to the glory house of this orphanage home babies
      God bless you.

  • @barikisaid1007
    @barikisaid1007 4 ปีที่แล้ว +1

    Amina mtumishi nyimbo zako zanigusa

  • @barikisaid1007
    @barikisaid1007 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa mama wimbo mzuri

  • @euvinevurinji
    @euvinevurinji 4 ปีที่แล้ว +9

    So touching.. May God never cease to use you in Jesus name Amen 🙏. Receive favour and grace upon your life and ministry in Jesus name Amen 🙏.. May the holy spirit keep on guiding uuu in your ministry in Jesus name Amen 🙏

    • @danielmandago9668
      @danielmandago9668 4 ปีที่แล้ว +1

      Ujumbe mzuri, Mungu aendelee kukutumia,kukutunza na kukubariki katika Jina la Yesu; Amina!

    • @pendomagana8883
      @pendomagana8883 4 ปีที่แล้ว +1

      Ameeeen

    • @pendomagana8883
      @pendomagana8883 4 ปีที่แล้ว

      Mungu Akupe uzao kunywa dawa za kienyeji wewe

  • @sarahmartin4912
    @sarahmartin4912 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akutetee sana lkn nasikia hautaki kuolewa dada au umeshikiliwa ukweni 😀

  • @lightnessmruma3219
    @lightnessmruma3219 2 ปีที่แล้ว +1

    Wimborne mkubwa sana Dear tunapenda Dictary na hazina ujumbe bukuku yuko wapi

  • @lightnessdaniel1555
    @lightnessdaniel1555 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakubariki kamera nzuri nakuja mwezi ya 11

  • @andrew85430
    @andrew85430 ปีที่แล้ว

    Simama na Mungu tu Mungu hawezi kukucha dada mpaka machozi yamenitoka pole sana mtumishi jitie nguvu wenye Neema ya kukaa na Mungu ndani ya mioyo yao watakuelewa japo Dunia imebadirika hata watumishi wenyewe wa kuhesabu

  • @pendomagana8883
    @pendomagana8883 4 ปีที่แล้ว +1

    Dada kunywa dawa za kienyeji utazaa ulokore ni sawa lkn Mtoto muhimu mmeo atakurudia

    • @joycetz6966
      @joycetz6966 3 ปีที่แล้ว

      Sara alipata mtoto akiwa na Miaka 90 mkumbuke pia hana mke wa Elkana wakati wa Mungu ukifika atanyonyesha tu!

    • @AmyeSanga-u4c
      @AmyeSanga-u4c ปีที่แล้ว

      Dawa za kienyeji hazisaidii ninayemfaham alitutumia sana mpaka akaamua kupokea jambo lake ndipo Mungu akaachia Binti ambaye wazazi wake wanamfurahia tangu utoto mpaka ukubwani

  • @EstherMwenyemali-l1b
    @EstherMwenyemali-l1b ปีที่แล้ว

    Hallelujah Hallelujah, Asante bwana Yesu kwakua safari nilionayo uko pamoja Nami,God bless you dada Rebecca

  • @presseg.6362
    @presseg.6362 3 ปีที่แล้ว

    Bwana usiniache, nenda nami katika safari hii

    • @christinaibobo8312
      @christinaibobo8312 3 ปีที่แล้ว

      Kazi nzuri mungu akubariki sana dada yangu nakupenda

  • @LemyJere
    @LemyJere ปีที่แล้ว

    Nyimbo nzuli saana
    Inanikumbusha kipindi nilikua onba omba .God bless you

  • @LemyJere
    @LemyJere ปีที่แล้ว

    Lazima uache kitu chochote kinaweza kugutenganisha na Mungu ili Akubaliki nyimbo nzuli saana

  • @paultwaha6981
    @paultwaha6981 2 หลายเดือนก่อน

    Safi sana Rebecca Magaba nimekukumbuka

  • @Peace-d1w
    @Peace-d1w หลายเดือนก่อน

    Mungu ameweka kitu kikubwa sana ndani yako

  • @leticiamadinda3977
    @leticiamadinda3977 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Sana mpenzi wimbo maandiko tupu nakupenda Rebecca

  • @janehabakuki4564
    @janehabakuki4564 ปีที่แล้ว

    Ameeni

  • @Info5095
    @Info5095 4 ปีที่แล้ว +9

    Amen

  • @stecybeib948
    @stecybeib948 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @gloryleonard1563
    @gloryleonard1563 9 หลายเดือนก่อน

    Amen