NDEGE YA ‘JEJU AIRLINES’ ILIVYOANGUKA KOREA KUSINI NA KULIPUKA, WALIOKUFA WAFIKA 179.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 20

  • @SofiaS-i5r
    @SofiaS-i5r 2 วันที่ผ่านมา

    Poleni sana nduguzetu Allah atuepushe na mitihani

  • @ISACKITINDE
    @ISACKITINDE 2 วันที่ผ่านมา

    Aise poleni sana ndugu zetu wa korea

  • @AshuuuBakari
    @AshuuuBakari 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mwenyezi mungu atunusuru turejee salama

  • @mwalongoonline9063
    @mwalongoonline9063 2 วันที่ผ่านมา

    Imegonga cyo kuanguka

  • @umarwa6915
    @umarwa6915 2 วันที่ผ่านมา

    Mungu wang

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 2 วันที่ผ่านมา

    Nashndwa kuelewa huo ukuta ndege iliyogonga kwann waliujenga mbele ya eneo la kurukia ndege

  • @AllaudinMeghji
    @AllaudinMeghji 3 วันที่ผ่านมา

    Kwanini kila siku ni boeing 737 jamani???

  • @NgasaMaduhu
    @NgasaMaduhu 3 วันที่ผ่านมา

    Korea kaskazini wameitungua hii

  • @Brunoh90Tv
    @Brunoh90Tv 3 วันที่ผ่านมา

    Dah 😢 usafiri wa ndege nao yaan anali yake kupona ni asilimia 3

    • @TeacherBoda
      @TeacherBoda 3 วันที่ผ่านมา +1

      3 zote hizo..Kupona ni 1%

    • @mohamedali-ur6ri
      @mohamedali-ur6ri 3 วันที่ผ่านมา

      Weeeeeh 1% ya nini.....ni 0.05%....😢😢😢

    • @christopherjoseph8330
      @christopherjoseph8330 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@mohamedali-ur6ri0.05% nyingi sana ni 0.00001

    • @Brunoh90Tv
      @Brunoh90Tv 2 วันที่ผ่านมา

      @TeacherBoda Kwa kwel 🙌

  • @FortunatusDaniel
    @FortunatusDaniel 3 วันที่ผ่านมา

    Saa sita usiku na hapo panaonekana ni mchana, mtangazaji vipi 😂

  • @Mrmohadi.OFFICIAL
    @Mrmohadi.OFFICIAL 3 วันที่ผ่านมา

    Ni zamu ya kafara ya ndege

  • @Clex-f5s
    @Clex-f5s 3 วันที่ผ่านมา

    Rubani mzembe kazingua

    • @richardkayuguyugumasalu2594
      @richardkayuguyugumasalu2594 2 วันที่ผ่านมา

      Hahahaaaaaaa alitakiwa afanyaje

    • @JamesMatolo-ye2fd
      @JamesMatolo-ye2fd 2 วันที่ผ่านมา

      Hydraulic system failure,nadhani😢

    • @alexmaungo2851
      @alexmaungo2851 2 วันที่ผ่านมา

      ​Kuna camera kwenye tairi kama zimegoma kutoka asingeshusha ndege chini angekausha mafuta kwanza yakiisha hata akiishusha haitalipuka pakubwa​@@JamesMatolo-ye2fd