MAPYA AJALI YA NDEGE KOREA KUSINI, CHANZO CHAANIKWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 26

  • @Gsamir694
    @Gsamir694 19 วันที่ผ่านมา +3

    mwenye zi mungu ziweke roho zao watu 85 mahali pema peponi milele na milele daima aminaa nimeumia sana poleni sana familia zao zote

  • @صفيةالمعشري
    @صفيةالمعشري 12 วันที่ผ่านมา

    Mh jamani naogopa sana maana mm mwenyew nategemea kuondoka yarabi nifanyie wepes inshaallah🤲

  • @Vitusseleman
    @Vitusseleman 18 วันที่ผ่านมา +1

    Poleni wafiwa

  • @MiwagoTz
    @MiwagoTz 19 วันที่ผ่านมา +2

    Eeeh Mwenyezi Mungu tunusuru maana juzi ndege imendoka leo tena imedondoka nyengine Daah,Poleni sana ndugu,jamaa na marafiki.

    • @FekiHappy
      @FekiHappy 16 วันที่ผ่านมา

      Poleni jmn hao waliopona mmmmh

  • @zuhuraPatrick
    @zuhuraPatrick 16 วันที่ผ่านมา +1

    Hizi ndege 373 zinashida sana

  • @rukiauwonde7062
    @rukiauwonde7062 19 วันที่ผ่านมา +2

    Innah lilah wainnah ilahi rajioon

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 19 วันที่ผ่านมา

    Dahhh poleni ndugu zetu

  • @B.H.T.gardendizainTimilai
    @B.H.T.gardendizainTimilai 18 วันที่ผ่านมา

    Dah nihatari sana

  • @Yehova_Kwanza
    @Yehova_Kwanza 18 วันที่ผ่านมา +1

    Uwo uongo KAMA NDEGE POLI NDO CHANZO MBONA MATAIRI HAYAJAFUNGUKA
    Ndege POLI na MATAIRI kushindwa kufunguka Kuna UHUSIANO Gani
    ...........SABABU hiyo ni uongo ..........

    • @mathiaszakaria7052
      @mathiaszakaria7052 18 วันที่ผ่านมา +1

      Ndege pori wameingia kweny injini hali iliyosababisha tatzo la umeme na matairi kufeli kutoka

  • @FlavianapauloPaulo
    @FlavianapauloPaulo 19 วันที่ผ่านมา

    Poleni sana

  • @Mnengatv
    @Mnengatv 18 วันที่ผ่านมา +1

    huu mbona kama ni mlipuko ulisababishwa na kilipuzi

  • @salhaomar5382
    @salhaomar5382 19 วันที่ผ่านมา

    Innalilah wainna illah iraajiun

  • @noelmbosa2736
    @noelmbosa2736 19 วันที่ผ่านมา

    Polen sana

  • @ElizaNaimutie
    @ElizaNaimutie 18 วันที่ผ่านมา

    Sad let them rest in peace 😢😢😢

  • @janemusali
    @janemusali 17 วันที่ผ่านมา

    Rip

  • @CityMedia-z8u
    @CityMedia-z8u 18 วันที่ผ่านมา

    😢😢

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du 19 วันที่ผ่านมา +1

    Ao dege poli kiboko wazibitiwe. Wasije reta tena vifo

  • @MasoudGaddafi
    @MasoudGaddafi 19 วันที่ผ่านมา

    Ilipata under carriage problems

  • @mshindochanga5698
    @mshindochanga5698 19 วันที่ผ่านมา +3

    Abiria 179 wamefariki kwenye ndege iliyobeba abiria 175😢

    • @LettyLussi
      @LettyLussi 19 วันที่ผ่านมา

      6 Ni wahudum wa ndege uw unasoma vzl

    • @alimakame5645
      @alimakame5645 18 วันที่ผ่านมา +1

      175 Abiria + 6 Wahudumu

    • @RoseMichael-oz7cy
      @RoseMichael-oz7cy 17 วันที่ผ่านมา

      @@alimakame5645 kwa kumsaidia zaid 175+6=181 afu waliopona ni 2 kwaiyo 181-2=179 hao ndo marehemu, ebu tumuulize sasa....umeelewa au bado?

  • @sofiaabdallah8741
    @sofiaabdallah8741 17 วันที่ผ่านมา

    Poleni sana

  • @DannyDiver-j9d
    @DannyDiver-j9d 19 วันที่ผ่านมา

    Polen sana