Hapa Tu ndio ninapochukia nchi hii watu wanaoiba mamilioni hawakamatwi hivi wala kuguswa hata shati wallahi haram ni kumweleza na kumfundisha wengi wamezoea kawaida
Kwan hiyo gari ni bure jomon sis wengin maskin hatuna miya mbon mamb yakufatiliy yako tele na wala hamuwakamat km wabakaj waseng wafiraj watekaj wauza unga mnakuj kukamat watu hohe hahee jomon na mnamburuta km mbuzi
Nimejifunza❤
Hill gari bei yake hawaiwezi hao ni masikini
😮Mulicho kifanya kitawarudia kwenye familia zenu pia muna mzalilisha mzee maskini jee hiyo gari ni buree
Ayo ndo mambo ya kizanzibar
Uyomume mkamata jee umommitaani munapita mukaona Makaro yanavo towamaji machafu au munasubiri sm ofisini ndomufanye hivo
Hapa Tu ndio ninapochukia nchi hii watu wanaoiba mamilioni hawakamatwi hivi wala kuguswa hata shati wallahi haram ni kumweleza na kumfundisha wengi wamezoea kawaida
Sasa hilo gari masikini ana uwezo kulikodi ?
Kwan hiyo gari ni bure jomon sis wengin maskin hatuna miya mbon mamb yakufatiliy yako tele na wala hamuwakamat km wabakaj waseng wafiraj watekaj wauza unga mnakuj kukamat watu hohe hahee jomon na mnamburuta km mbuzi
Yaan we acha tuu
Jenga picture huyo ni baba yako
Noma sana ningeruka ngumi mwazo mwish
Ningekwangua sura zao@@fakijecha