- 96
- 974 734
ZILIPENDWA TANZANIA
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 12 ก.ย. 2018
วีดีโอ
Vijana Jazz - Pongezi Nyerere (Zilipendwa 1970s)
มุมมอง 1.8Kวันที่ผ่านมา
Vijana Jazz - Pongezi Nyerere (Zilipendwa 1970s)
Zawadi Gani Tumpe - Mbaraka Mwinshehe & Morogoro Jazz Band
มุมมอง 1.8Kหลายเดือนก่อน
Zawadi Gani Tumpe Rais wetu Nyerere - Mbaraka Mwinshehe & Morogoro Jazz Band
Tabora Jazz Band - Florah (Hataki tena)
มุมมอง 1.1K2 หลายเดือนก่อน
Tabora Jazz Band - Florah (Hataki tena)
Tabora Jazz Band - Kabwela Sina Kitanda (Zilipendwa 1970s)
มุมมอง 1.1K5 หลายเดือนก่อน
Tabora Jazz Band - Kabwela Sina Kitanda (Zilipendwa 1970s)
Nuta Jazz Band - Sabina (Zilipendwa 1970s)
มุมมอง 6K6 หลายเดือนก่อน
Nuta Jazz Band - Dada Sabina (Zilipendwa 1970s)
Dar Jaz Band - Yamewafika wenzetu (06/08/1967)
มุมมอง 9K8 หลายเดือนก่อน
Dar es Salaam Jaz Band - Yamewafika wenzetu (06/08/1967)
Nuta Jazz Band - Instrumental tamu sana (1960s)
มุมมอง 4.4K8 หลายเดือนก่อน
Nuta Jazz Band - Instrumental tamu sana (1960s)
Mbeya Jazz Band - Nampenda Frida (Zilipendwa 1970s)
มุมมอง 8678 หลายเดือนก่อน
Mbeya Jazz Band - Nampenda Frida (Zilipendwa 1970s)
Maestro King Kikii - Mimi na Nono (Zilipendwa)
มุมมอง 2.2K8 หลายเดือนก่อน
Maestro King Kikii - Mimi na Nono
Tongolanga - Chingome (Wimbo wa Kimakonde)
มุมมอง 32K9 หลายเดือนก่อน
Tongolanga - Chingome (Zilipendwa)
Zilipendwa RTD - kazi gani nitafanya nipate mali
มุมมอง 7539 หลายเดือนก่อน
Zilipendwa RTD - kazi gani nitafanya nipate mali
Nuta Jazz Band - Bibi (Zilipendwa 1970s)
มุมมอง 9K9 หลายเดือนก่อน
Nuta Jazz Band - Bibi (Zilipendwa 1970s)
Zilipendwa Mashuleni - Usitoe mimba sakina
มุมมอง 5849 หลายเดือนก่อน
Zilipendwa Mashuleni - Usitoe mimba sakina
Kilwa Jazz Band - Mwenzenu nina kesi (Mama Chanja) Zilipendwa
มุมมอง 2.9K9 หลายเดือนก่อน
Kilwa Jazz Band - Mwenzenu nina kesi (Mama Chanja) Zilipendwa
Tabora Jazz Band - Kilimo cha Kufa na Kupona (1973)
มุมมอง 2.7K11 หลายเดือนก่อน
Tabora Jazz Band - Kilimo cha Kufa na Kupona (1973)
Juma kilaza & Cuban Marimba - Sema unachotaka
มุมมอง 2.4Kปีที่แล้ว
Juma kilaza & Cuban Marimba - Sema unachotaka
Zilipendwa - Pongezi Yanga Afrika (1970s)
มุมมอง 2.2Kปีที่แล้ว
Zilipendwa - Pongezi Yanga Afrika (1970s)
Kilosa Jazz Band - Mpenzi nyamaza kulia (1960s)
มุมมอง 4.1Kปีที่แล้ว
Kilosa Jazz Band - Mpenzi nyamaza kulia (1960s)
Zilipendwa RTD - Kila munu ave na kwao (Original Version)
มุมมอง 55Kปีที่แล้ว
Zilipendwa RTD - Kila munu ave na kwao (Original Version)
Juma Kilaza & Cuban Marimba - Yaniliza Maisha Haya
มุมมอง 894ปีที่แล้ว
Juma Kilaza & Cuban Marimba - Yaniliza Maisha Haya
Wanyamwezi - Nalelemba Nalinshinya mbina (1960s)
มุมมอง 758ปีที่แล้ว
Wanyamwezi - Nalelemba Nalinshinya mbina (1960s)
Mkwawa Jazz Band - Weekend ya Iringa Tamu (1969)
มุมมอง 1.3Kปีที่แล้ว
Mkwawa Jazz Band - Weekend ya Iringa Tamu (1969)
Juma Kilaza & Cuban Marimba Band - Nilipo nyamaza mlisema
มุมมอง 2.5Kปีที่แล้ว
Juma Kilaza & Cuban Marimba Band - Nilipo nyamaza mlisema
Juma Kilaza & Cuban Marimba Band - Nalia na Walimwengu
มุมมอง 1.7Kปีที่แล้ว
Juma Kilaza & Cuban Marimba Band - Nalia na Walimwengu
Juma Kilaza & Cuban Marimba Band - Mke Wangu
มุมมอง 2.8Kปีที่แล้ว
Juma Kilaza & Cuban Marimba Band - Mke Wangu
Isungu kunowa daah ngukumbukila chipweng'e kulidumbe kunewala❤❤
Nakumbuka masasi Mimi tokea nimekuja arusha 2005 mpakaleohii sjawa kurudi nyumbani sijui nimelogwa aunnn jamani naomba mnishauri jamani haliyangu nimbaya sana.Ila skumbuki nyumbani. Nipo Arusha mjini
@@bashirihassan2939 jitahidi uende nyumbani, miaka mingi sana hiyo
Oooohweii jamaniii enzi hizo tukiwa wadogo jamani miaka ya 1980s hadi kwenye miaka ya 1990s Eee MUNGU UMETUTOA MBALI SANA KIPINDI HICHO KULIKUA NA UDILIFU NA MAADILI 😢😢😢
Daaa sikonge kwetu sasa niko zenjji nalisikiliza 19 12 2024
DAAH ZAMANI HII NDIYO MIZIKI YENYE MAADILI HAISHI HAMU YA KUUSIKILIZA
Huu wimbo naupataje jaman
Zilipendwa nikweli mawaidha makubwa
Ludien tena hii nyimbo ipigen Kama ilivyoandaliwa syo mnaikata
Mtayalishaj rudia tena iyo nyimbo hatukuerew kbsa sisi cyo watoto wa miaka y 2000tumezaliwa 70 tunazijua izo nyimbo vzl sana
Pigen nyimbo mwanzo mwisho CYO mnazikata hasa hz nyimbo za hala weken n yo nyimbo Kama zilivyo
Nyimbo mnazihalbu sana kwann mnazikata kata?
asamte sana Mhenga umenikumbusha mbali nikiea Nzega
Nasikiliza.kutoka masasi
Jeremiah 1:4-5 Isaiah 6:8
Mungu zidi kudumisha Amani yetu Tanzania
NAKUMBUKA MWAKA 1978 TUNABAKI NA MDOGO WETU PETER MOSHI
It can be done❤🎉
Nitaipata wapi hiyo redio inanikumbusha mbali sana 😂😂😂😂😂
Mungu kupitia wimb huu nisaidie niweze kuyajua maleng yang nakuyatimiza❤😌
Daah nouma Sana
Duuuu
Rip dad, those days
Kim
Waoooo ❤❤❤
Nimekumbuka mbali sana, nikiwa primary school ,ukirudi nyumbani unasikia nyimbo hizi, na kulikuwa na kipindi RTD cha Salam, basi wimbo wa kwanza ni huu. Mhh jamani kweli duniani tunapita kwa kweli. ona nyimbo zinaishi ila sisi tutaondoka kama walivyoondoka wazee wetu na jamaa zetu. 28.11.24.
Longtime Dah
Kabeloni😭😭😭😭
Hizi ndio nyimbo zawakubwa zenye ujumbee mzito
Nina mengi ya kukumbuka, siku zimesonga sana. Asante Yesu kwa yote.
Vijana tunasema tutashinda vilevile taifa la kesho gonga like hapo tarehe 24/11/2024
Ahsate zilipendwa tz hongera kwa kutunza hazina
Best of the best east African leaders
Kwakweli kwa ss akuna miziki azina jumbe nishida kwass
hapo nipo kuwa mudogo sana baba alipeda wimbo huu
Daaaah huwa nikiusikiliza nakumbuka nyumbani jamani nataman niende hata Leo,nauli bukoba to mtwara Hadi ujipange.ila nmemiss nyumbani
Nakumbuka mbali sanaa! Kilikuwa kionjo cha kipindi cha "Mtu ni Afya" RTD wakati huo miaka ya 80 mwishoni nipo drs la 2 hivi😢
Rare gem. Thanks a bunch
Pumzika kwa amani, mfalme wa uimbaji. Huzuni 😢
Nitume Mimi BWANA... Nov 2024
Is there any song that can be compared to this; in instrument arrangement being in perfect harmony with the melody? What of the content and the display of romance involved? Nuta was in a class of their own at that time. This song remain classic to this day. I tear up every time i listened to it.
Hii ilikuwa bendi ya "Mkwawa High School" miaka ya 1969 - early 1970s. Ni historia nzuri sana na inapendeza kama itajumuishwa katika kumbukumbu pale makumbusho ya Iringa mjini
Hii ilikuwa bendi ya "Mkwawa High School" miaka ya 1969 - early 1970s. Ni historia nzuri sana na inapendeza kama itajumuishwa katika kumbukumbu pale makumbusho ya Iringa mjini
Nimemkumbuka babangu mpedwa sana alituacha 1996 continue resting in peace baba
Hongera san kwa watunzi❤
Ambao bdo wazaz wenu wako hai wapendeni bila kujali mapungufu yao please 🙏🙏🙏
Sauti ya upendo kwa wazazi utabarikiwa ukimkumbuka mzazi wako.
Umenikumbusha dads yangu Amina msakamali alikuwa anaupenda sana Allah amerehemu
Tunaosikiliza huu wimbo 2024 mwezi wa 11 pliz gonga like hapoo
😭😭😭 asante MWENYEZI MUNGU kwa maisha ya wazazi wangu endeleeni kupumzika kwa amani tunawakumbuka sana vipenzi vyetu dah
Nitumie Mimi bwana niende❤❤❤❤
Nitume Mimi bwana