Afrika tunawachilia wanamusiki wetu wakufe kwa hali ya umasikini.We left them die unoticed.Such entertaining voices only recognized after they are long gone
@@memwana1most of them are dead. The song was composed by Belesa Kakere and let his friend Hassan Rehan Bichuka Sing Lead guitar was played by Kassim Mponda a.k.a De La Chancè Bass Guitar was played by Hindohondo, Rethym Guitar was played by Dullah, Drums Siddy Morris and Keyboard by Waziri Ally a.k.a Kissinger. I can well confirm only the lead Singer is still alive.
miziki hii inaelimisha. inaburudisha! siku zote itabakia kuwa adhina na kielelezo kwa muziki wa taifa letu. daima hazichuji zitaendelea kupendwa kutokana na mahudhui yaliyomo. hii iwe fundisho pia kwa wasanii wa kizazi kipya. waimbe nyimbo ambazo zitapendwa daima.
Katika uliowataja Bichuka na Muhidin na Mnenge Ramadhani tu walikua tayari wanamuziki wa Juwata. Abel nadhani alikuja baadae. Sababu solo lilipigwa na De La Chancè Kassimu Mponda
Nakumbuka mwaka 1984 nasoma shule ya msingi UKOMBOZI MANZESE nimetoka shule saa nane mchana njaa inaniuma ,nafikanyumbani nausikia huu wimbo nasahu kula .nilichapwa vibao ,sitasahau. Niliupenda sana ingawa nilikuwa bado mdogo.
WAS MY FRIEND AND BROTHER USED TO COME TO OUR OFFICE MANY TIMES! IT WAS WHOM INTRODUCED ME TO HIS MUSICIAN ESPECIALLY THAT OF NJENJE! WHILE GIVEN LAST RESPECT TO MZEE NJENJE AT KISUTU CEMETERY., HE ADVICED ME TO CONTEST FOR GENERAL SECRETARY POST OF BAMUTA BUT I DIDNT
Msisahau solo la Professor De La Chancè Khassim mponda. Msondo wamepita wapiga magita nguli sana ila gita la huyu Professor ni la kipekee. Inasemekana wakati alipotoka ilikua taabu kuupata ule utamu wa gitaa lake
Hahahaa. Wewe ni Kaka yangu. Mie...darasa la kwanza Shule ya Msingi Mbuyuni, DSM. Dah...raha sana enzi hizo kusikiliza Radio Tanzania Dar-es-Salaam; walikuwa juu sana. Kipindi chao kimoja tu ndiyo kilinipa taabu...Mashairi...😂
Wimbo umenirudisha nyuma kipind cha utoto miaka ya mwanzo ya 90's nilipenda sana kusikiliza RTD hususan kipindi cha pokea salamu na salamu za pole kwa wagojwa. Nawakumbuka watangazaji kipindi hicho Shafiru Makosa, Malima Ndelema,Christine Chokonobela, Halima Mchuka,Shabaan Kisu n.k
..... played in the fashion of African Jazz/ African Fiestas and Bantous de L' Capitalle but more pertinently in the general " Taarab" musical traditions of Eastern Africa!!! Kudos to these Artists, they surely did make our days!!!!
Thank you Bwana Waziri!!! For the first time and perhaps the last in our local bands "Muziki wa Dansi" scene to get a commanding solo keyboardist. Bwana Waziri set the bar so high one could argue it has never been reached since. Ahsante sana Bwana Waziri
Jamani! Anayemjua vizuri huyu waziri Ally hiki kinanda kajifunza mahala gani au Church ipi atupe utamu. Mpangilio wavyombo kama watu wanaosemzana,Akili inalewa kabisa kwa utamu Wa wimbo.
Sure! It was a unique music empire in Tanzania during those by gone days. And if you would understand the meaning of what these musicians say. You would run mad in respecting it.
OMG,nmekua nautafuta huu mziki hata nlikua karibu niuulize,ila jina ndo lilikua limenitoka lakini baadhi ya maneno ya huu wimbo ndo nlikua nayakumbuka.Thanx braza
Very skilled Tz music presentars. I previewed Mr. Waziri's interview via nyundo ya burhani program, it's very good interview to reveal Tzs music talents.
Sad tune but fantastic music! Hassan Bitchuka Rehani isa one of the very greatest musicians Tanzania has ever produced! However listening to him today his nice voice is gone....many years of singing and age has caught up with him! Bitchuka you are still the best! Bitchuka has sang many many great songs with Juwata then DDC. Can someone tell me where he was before he joined Juwata?
Dr. Mbelwa W. Kimweri UK wapi ndugu yangu?Mazigo, Peter John, Mgaya, Lubango, Victor Msuya, Hamis Iddi, Ally Kibona, Ally Wazir, Hussein Nzotta, Semindu,Somanga, Simon Sakilu nk POLENI KWA MSIBA WA DR. SAID MABERA
Ndugu,kuna wimbo mmoja ambao ulikua karibu sana na huu wimbo Sogea Karibu,jina lake silijui ila baadhi ya maneno ni...AAH MIE AZIZA NAJUTA NAJUTA SANAAA,KUNITOA KIVULINI OOH NA KUNIWEKA JUANI... Sauti ni ya Bitchuka na bendi nafikiri ni hii hii Juwata.Nimeitafuta hapa lkn siioni.Tafadhali km waifahamu jina lake na kama pia uko nayo ibandike hapa
Kwa ufupi siku hizi hakuna nyimbo bali maigizo matusi na ukosefu wa nidhamu,nyimbo ziliondoka wenyewe miaka ya 80,zika sindikizwa na95 .wakati E, Alikua nyimbo za fanana midundo rahaaa..sasa sarakasi tu
Wimbo wa mwaka 1978 mwishoni na mtunzi wa huu wimbo ni Kakere Belesa na hii ni story ya ukweli iliyomtokea yeye kwa aliyebidi awe mke wake. Alimpeleka kwao Tanga akaone wakwe, kufika huko akaanza hivi vituko vinavyoimbwa. Vocals: Hassan Rehani Bitchuka, Kakere Belesa, Joseph Lusungu, Juma Akida, Solo: Kassim Mponda, Said Mabera Bass: Suleiman Mwanyiro Kinanda/Organ: Waziri Ally (Bwana Waziri) Drums: Mabruki Tumba: Sid Morris Sax: Mnenge Ramadhani Ni kitambo wengine siwakumbuki hata kidogo.
Nakumbuka mnamo 1985 bado zinatika supika za radio Tanzania adi kwa majirani zetu keidis Nairobi mzik wa hadhur kulikua namtangazaji 1 akiitwa Elizabet ubege akipiga sana zauku kwetu
Ya kale kweli dhahabu nyimbo za namna hii zinarudisha hisia nyuma. Hivi huyu muimbaji Hassan Rehani Bitchuka yupo wapi. Na aliyekuwa akipapasa kinanda Waziri?
Maji yakishamwagika ohhh,hayazoleki
Watu wanajua kutengeneza kazi hadi nchi inatikisika ama kweli ya kale dhahabu tupu
Nimekumbuka mbali mpaka machozi yananitoka
Ni muziki wa kiazi kilicho pita, cha sasa na kijacho. Nashukuru kwa ujumbe muhimu ulio ndani🤍🤍❤️❤️🥰🕊️🕊️🙏
Niseme nini jamani
Kama watu mnapenda na kuthamini kazi mbona Idadi ya viewers haiongezeki
Ndugu WAZEE wachache Wana smart phone
Nikisikiza mziki huu hushitukia nimezimia Kwa furaha ya thati.
Mponda, Waziri na Bitchuka wameonyesha kitu ambacho hakiwezi kurudiwa tena.
Usimsahau Dullah kwenye Rithym
Zamani za ujana za ujana.wetu msondo baba wa muziki wa dansi Tanzania wali vuma na kutetemesha majukwaa ya muziki KOTE kote
Jameni msondo juwata wameacha urithi mkubwa katika nyiimbo hizi na nyingine . Lakini vijana wa leo Wana shindwa kufata nyayo za watangulizi wao.
Afrika tunawachilia wanamusiki wetu wakufe kwa hali ya umasikini.We left them die unoticed.Such entertaining voices only recognized after they are long gone
It sad those in authority seems not to care
@@christophersumba5186 bitchuka ..leading singer is still alive and kicking...would you be ready for his live performance
@@deogratiasjorojiq4631 please tell me that the guy on the killer rhythm guitar is also alive! Amazing soulful sound!
@@memwana1most of them are dead. The song was composed by Belesa Kakere and let his friend Hassan Rehan Bichuka Sing
Lead guitar was played by Kassim Mponda a.k.a De La Chancè Bass Guitar was played by Hindohondo, Rethym Guitar was played by Dullah, Drums Siddy Morris and Keyboard by Waziri Ally a.k.a Kissinger. I can well confirm only the lead Singer is still alive.
Daah!Kinanda Cha Waziri Ally,Rest On Paradise
Nyimbo tamu sana hii, gonga like kama unakubaliana namimi
zamani sana machozi yananitoka nawakumbuka waliotangulia mbele za haki kwa wimbo huu
Who played this organ
Old is gold, sogea karibu. Mwimbo huu unanikumbusha mbali mno. Mama yangu Herieth Chamshama alikuwa akiupenda sana R.I.P mama yangu
Pole sana
miziki hii inaelimisha.
inaburudisha!
siku zote itabakia kuwa adhina na kielelezo kwa muziki wa taifa letu.
daima hazichuji zitaendelea kupendwa kutokana na mahudhui yaliyomo.
hii iwe fundisho pia kwa wasanii wa kizazi kipya.
waimbe nyimbo ambazo zitapendwa daima.
Kwangu mimi kwakweli waziri ally katika nyimbo zote alizopiga kinanda hii ni hatari sana.
Wapiga midomo ya bata na saxa waliweka mgomo baridi ndiyo kinanda kikachukua nafasi zao. Na Waziri akakifanyia haki sana
Bitchuka mnenge muhidin waziri hamisi Franco, abeli bartazal, mwanyilo,mtakumbukwa milele
Katika uliowataja Bichuka na Muhidin na Mnenge Ramadhani tu walikua tayari wanamuziki wa Juwata. Abel nadhani alikuja baadae. Sababu solo lilipigwa na De La Chancè Kassimu Mponda
Asante sana kwa kutuwekea nyimbo hizi online....A beautiful memory that brings emotional feelings too
Nakumbuka mwaka 1984 nasoma shule ya msingi UKOMBOZI MANZESE nimetoka shule saa nane mchana njaa inaniuma ,nafikanyumbani nausikia huu wimbo nasahu kula .nilichapwa vibao ,sitasahau. Niliupenda sana ingawa nilikuwa bado mdogo.
Zamani mida ya mchana RTDwalikuwa na kipindi Cha mchana mwema saa Saba Hadi saa 8 hapo umetoka shule break ya mchana unasubiri ugali hiyo 1982
@@adrianomwikalo6277 HALAFU WAKATI MWINGINE UNAKUTA MAMA HAYUPO KWA HIYO UGALI HAMNA
Kinanda kitamu sana, Bitchuka na Gurumo mnanitoa machozi. Ningekuwa bilionea ningewalipa bilioni kila mtu kwa vipaji yenu vilivyotukuka.
Enzi hizo,,,, Radio Tanzania Dar es salaam(RTD) Nimekumbuka mbali sana.
How do you feel when Bitchuka calls Bwana Waziri.... Waziri and the man is already gone before us. Very sad indeed.
WAS MY FRIEND AND BROTHER USED TO COME TO OUR OFFICE MANY TIMES! IT WAS WHOM INTRODUCED ME TO HIS MUSICIAN ESPECIALLY THAT OF NJENJE! WHILE GIVEN LAST RESPECT TO MZEE NJENJE AT KISUTU CEMETERY., HE ADVICED ME TO CONTEST FOR GENERAL SECRETARY POST OF BAMUTA BUT I DIDNT
Msisahau solo la Professor De La Chancè Khassim mponda. Msondo wamepita wapiga magita nguli sana ila gita la huyu Professor ni la kipekee. Inasemekana wakati alipotoka ilikua taabu kuupata ule utamu wa gitaa lake
Asante sana kutukumbusha hizi nyimbo zilikwa nzuri na zimepangwa
huu wimbo unanikumbusha mwaka1980 nasoma darasa LA pili sm Uhuru mchanganyiko bigup Waziri Ally umetumia ubunifu kwenye kinanda
Samuel Matata
Diamond-kupotea njia ndiyo kujua njia.Jifunzeni kwa wakongwe!muziki hamjauanza nyie.
Sogea karibu umeniliza
Duu nami mwaka uliofuata 81 naingia la kwanza
Hahahaa. Wewe ni Kaka yangu. Mie...darasa la kwanza Shule ya Msingi Mbuyuni, DSM. Dah...raha sana enzi hizo kusikiliza Radio Tanzania Dar-es-Salaam; walikuwa juu sana. Kipindi chao kimoja tu ndiyo kilinipa taabu...Mashairi...😂
Mnanda wa Bwana Waziri ni hatari fire. Bitchuka kama kawa anatisha
Belesa Kakere alitunga huu wimbo na akampatia swaiba wake Bichuka aimbe.
Wimbo umenirudisha nyuma kipind cha utoto miaka ya mwanzo ya 90's nilipenda sana kusikiliza RTD hususan kipindi cha pokea salamu na salamu za pole kwa wagojwa. Nawakumbuka watangazaji kipindi hicho Shafiru Makosa, Malima Ndelema,Christine Chokonobela, Halima Mchuka,Shabaan Kisu n.k
90s?
Mchana mwema
Pokea salamu ilikuja baada ya kubadilisha jina mchana mwema ndio zilipendwa
Na jioni ilikuja pole kwa kaz
This I used listen from Radio Tanzania Dar-es-Salaam and I bought it in Merodica Nairobi in 1990.Mpangilio Sawa kabisa. 🤍🤍🤍🕊️🕊️🙏💯
Ndugu unakumbuka huyo wimbo ulirekodiwa mwaka gani
Big up! Hapa kuna vichwa vilitafakari vya kutosha,message vs melody so attractive!
..... played in the fashion of African Jazz/ African Fiestas and Bantous de L' Capitalle but more pertinently in the general " Taarab" musical traditions of Eastern Africa!!! Kudos to these Artists, they surely did make our days!!!!
Kwahiyo Bitchuka aliimba OSS, Msondo, na Ngide ??? Huyu mzee namkubari sana.
Bichuka alianzia Juwata akaenda Mlimani baadae akahamia OSS
Waziri ananipa vitu vyenye takwimu
Thank you Bwana Waziri!!! For the first time and perhaps the last in our local bands "Muziki wa Dansi" scene to get a commanding solo keyboardist. Bwana Waziri set the bar so high one could argue it has never been reached since. Ahsante sana Bwana Waziri
Zonko 04. Waziri is Babu njenje who perfoms at Kilimanjaro band
Waze wakazi kwakweli naliwakubali nahata sasa bado nawakubali ile mbayaaa
Katutoka tayari bwana waziri mwezi uliopita..!
And was on a keyboard?
Hatari
Nyakati hizo muziki Ilikuwa mwito. Siku hizo sitarudi kweli
Moja kati ya nyimbo bora sana,Waziri alifanya kazi so ya kitoto huku mzee mzima Bitchuka akiua game mapema tu.
Wewee Nguzo dah unaniliza mie 2020
Hùo ni utunzi wa belesa kakere akiimba pampja na bichuka. Solo yupo mponda
We acha tu
Da hii nyimbo inanimate mbali sana aisee
Jamani! Anayemjua vizuri huyu waziri Ally hiki kinanda kajifunza mahala gani au Church ipi atupe utamu. Mpangilio wavyombo kama watu wanaosemzana,Akili inalewa kabisa kwa utamu Wa wimbo.
St Anthony school, Tanga, alikosomea primari.
Mpango ulikua wapige wapiga trumpet lakini wakazingua ndipo waziri akapiga kufidia trumpet.
Almasi kwetu sisi zote. Pokea bila jasho! Dr. Ogeto International
Duh, hiyo organ ya wana Juwata Jazz band inanikumbusha mbali sana Tanzania.
Sauti ya Bichuka kwa ukweli haichuji.
Organ ya hatareee
Niliwahi sikia huyo alijifunzia kanisani katoliki Manzese. Anaejua zaidi atujuze.
Very reflective music
Huu ndio mziki sio nyege
Kaka nguzo wewe haya. long time ile tanzania tamu walioshiriki wote hongera yao
Twaha Mtumbi enzi izo npo mdogo naandikiwa kikalatasi ambaoa kinajina LA wimbo niende kaliakoo nkanunue
Unanikumbusha mbali duuh
With this kind of music ,it is no wonder the giant Zaireans could not penetrate your territory
Sure! It was a unique music empire in Tanzania during those by gone days. And if you would understand the meaning of what these musicians say. You would run mad in respecting it.
The golden years, when Tanzania was "Tanzania"
Napenda wimbo huu tangu nikiwa mdogo katika kitatu cha mbili mpaka sasa ninahuzikiliza kila wakati.
Utunzi wake marehemu Balesa Kakere. Amekutwa amefariki nyumbani kwake Tanga mwezi uliopita
Duu! RIP rafiki yangu Belesa
Sauti itaendelea kudumu. RIP
RIP Balesa
kinanda kimekubali hasa ongera sana waziri ally
hii ngoma sogea karibu sio mchezo
kinanda matata, hongera mzee waziri kaz ulifanya
mzee bichuka nae sio kama bado ana miaka 12
Muhidin Shaib hongera sana
nafajilika na inzi nyimbo zamani.nawambeya kwa mwenyezi mungu wa pumzike peponi Amen.
OMG,nmekua nautafuta huu mziki hata nlikua karibu niuulize,ila jina ndo lilikua limenitoka lakini baadhi ya maneno ya huu wimbo ndo nlikua nayakumbuka.Thanx braza
Wimbo unaitwa sogea karibu, Mtunzi ni Beresa kakele,Asante
Unaitwa sogea karibu
Good old days
Aaaaa! waziri weeee!
Very skilled Tz music presentars. I previewed Mr. Waziri's interview via nyundo ya burhani program, it's very good interview to reveal Tzs music talents.
Natumaini mponda de la shante bado yuko hai, asante kwa gitaa la solo lililo tukuka!
Yupo Tanga
Mponda alifariki zaidi ya miaka 20 iliyopita. Nadhani ilikuwa ni 2002.
Hakika watunzi walijua
Ndugu Said Acheka Ali, Huwo wimbo ulikuwa utaitwa "Kaka yangu Adam"
Power Nguzo wewe ni kiboko rafiki yangu.. wewe ni nguzo kweli.. nakushukuru sana.. duuuuuuh!
Old is Gold. Thank you so much for sharing
Humo nawe
Sad tune but fantastic music! Hassan Bitchuka Rehani isa one of the very greatest musicians Tanzania has ever produced! However listening to him today his nice voice is gone....many years of singing and age has caught up with him! Bitchuka you are still the best! Bitchuka has sang many many great songs with Juwata then DDC. Can someone tell me where he was before he joined Juwata?
Hilarious...
Safari Tripers
@@gilbertmasaki2965 Kweli?
National of Arusha before he was 20yrs.
There also Belesa Kakere whose voice is often confused with Bitchuka
's
Hakika kila shari na kheri zake. Waziri, Bitching wee ache tu.
Bitchuka ayaa..
Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, Belesa kakere ndiye mtunzi wa wimbo huu
Mambo vipi?Power Nguzo tunaomba utuwekee wimbo wa Ashibae wa Msondo kama unao.Wasalaam toka Keko Machungwa.
yakale zahabu waziri ally enzi zileee
Hongereni sana vijana wa zamani
halima koutaka maskati nasikialaa
eeeh bwana Waziri ..Waziri
hapa kazi tu!
Hii ndio ilikuwa Tanzania ya Nyerere, wapi Kizinja waziri Ally?
Ally Miteya yuko njenje huko
Pender sana msondo ngoma
Dr. Mbelwa W. Kimweri UK wapi ndugu yangu?Mazigo, Peter John, Mgaya, Lubango, Victor Msuya, Hamis Iddi, Ally Kibona, Ally Wazir, Hussein Nzotta, Semindu,Somanga, Simon Sakilu nk POLENI KWA MSIBA WA DR. SAID MABERA
Ndugu,kuna wimbo mmoja ambao ulikua karibu sana na huu wimbo Sogea Karibu,jina lake silijui ila baadhi ya maneno ni...AAH MIE AZIZA NAJUTA NAJUTA SANAAA,KUNITOA KIVULINI OOH NA KUNIWEKA JUANI...
Sauti ni ya Bitchuka na bendi nafikiri ni hii hii Juwata.Nimeitafuta hapa lkn siioni.Tafadhali km waifahamu jina lake na kama pia uko nayo ibandike hapa
Unaitwa kaka yangu Adam
Kiitio: nasikitika kijana!
Bichuka yoyo!
Mwanyiro yoyo!
Na kadhalika na kadhalika.
Rip Wazir Ali
Huu utunzi wake marehem Saleh Belesa Kakere....RIP
Kwa ufupi siku hizi hakuna nyimbo bali maigizo matusi na ukosefu wa nidhamu,nyimbo ziliondoka wenyewe miaka ya 80,zika sindikizwa na95 .wakati E, Alikua nyimbo za fanana midundo rahaaa..sasa sarakasi tu
Dah lakini mnaielewa iyo ngoma
Nimeirudia Mara sita Na bado naendelea kuisikiliza. Chozi linanimwagika namkumbuka Dadaangu mpendwa.
Sogea karubu
Full line-up please ya waliojumuika katika kuufanikisha huu wimbo pamoja na mtunzi wake.Nafahamu sauti za Almarhumu Ngurumo na Bitchuka hapo tu
Wimbo wa mwaka 1978 mwishoni na mtunzi wa huu wimbo ni Kakere Belesa na hii ni story ya ukweli iliyomtokea yeye kwa aliyebidi awe mke wake. Alimpeleka kwao Tanga akaone wakwe, kufika huko akaanza hivi vituko vinavyoimbwa. Vocals: Hassan Rehani Bitchuka, Kakere Belesa, Joseph Lusungu, Juma Akida,
Solo: Kassim Mponda, Said Mabera
Bass: Suleiman Mwanyiro
Kinanda/Organ: Waziri Ally (Bwana Waziri)
Drums: Mabruki
Tumba: Sid Morris
Sax: Mnenge Ramadhani
Ni kitambo wengine siwakumbuki hata kidogo.
MightyLumber ahsante sana
@@MightyLumber Asante sana Kaka asante sana.
Wimbo huu wapiga magita na ala za upepo walikuwa wana mgomo baridi bwaba Waziri the late akawafunika kwa kinanda.
Lau kama ingewezekana kurudi enzi hizo,
Nakumbuka mnamo 1985 bado zinatika supika za radio Tanzania adi kwa majirani zetu keidis Nairobi mzik wa hadhur kulikua namtangazaji 1 akiitwa Elizabet ubege akipiga sana zauku kwetu
2024 tujuane
Ya kale kweli dhahabu nyimbo za namna hii zinarudisha hisia nyuma.
Hivi huyu muimbaji Hassan Rehani Bitchuka yupo wapi. Na aliyekuwa akipapasa kinanda Waziri?
Yupo sikinde ngoma ya ukae mlimani park bend
Bitchuka yupo kwake Sinza Mori-Dar es Salaam na Waziri Ally "Kissinger" yeye ni marehemu..
@@mathewmunthali3684
Shukrani Matthew. RIP Waziri 🙏
Power Nguzo,please, tafuta na ule usemao " Nasikitika kijana !
Kakere yoyo! Nasikitika kijana!
Mwanyiro yoyo! Nasikitika kijana!
Mulenga yoyo! - ,, - - ',,- "......
(Umepigwa kwa staili hiyo hiyo ninaeisikiliza hapa.) Najua utaupata tu.
Memory
Memory
OK
Miaka ya nyuma,shule ya msingi Kivesa, Handeni
Hongara juwata band na muimbaji waziri sauti adim sana
Muimbaji ni Bitchuka....Waziri amepiga Keyboard
Asante kaka yangu mpendwa
Oooh bwana waziri hakika wazir alli amenogesha kinanda yazaman matam
❤❤😂😂
Llllllll
Pkkmmm
I tell you I bought it when it was a cassete. Anyway one among many. 🥰🥰🥰💯🕊️🕊️🤍🤍🙏💖