NIWE BARAKA - TUCASA SUA ( OFFICIAL VIDEO 4K)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
- Maisha yetu ya Kila Siku yanaweza kukutanga na kila aina ya changamoto ambazo zinaweza kupelekea kuwaudhi, kuwaumiza au kuwakera wengine, lakini kama wakristo tunapawa kufanyika Baraka kwa watu wengine bila kujali ni mapito gani tunayopitia, watu wanategemea kama wewe mkristo kuwa sehemu ya kuwafanya wale wanaokuzunguka kuakisi upendo na baraka za Yesu katika maisha yao, Fanyika Kuwa Barak
Ooh Hallelujah!!! Barikiwa mno WATUMISHI WA MUNGU kwa utumishi ❤❤❤
TUCASA SUA Mungu awabariki sana
Tucasa SUA mnajitahidi kuimba inavyotakiwa🙏
Amen be blessed!
Blessed
Aminaaa nimewapendaaa
niwe barka kwa mtu leo
Hallelujah
Wimbo mzuri barikiwen
Barikiweni sana
❤❤
Ujumbe mzuri Mungu awabariki I can't stop playing this song🙏🙏
Blessings over blessing.... this song is a real blessing.
May i bless a soul everyday ❤
Be blessed my choir, TUCASA SUA
Wow nikuwa nausubiri sana huu wimbo..i see yuh my young Irene 🎉
Watu wa Tanzania mmeweza. Nyimbo zenu zimetungwa kwa uweza WA roho wa mungu
Amen, be blessed.
Wimbo ni mzuri,barikiwaa sanaa
Mungu awabariki sana
Ofcause it is a good song with nice message .God bless your servants
Niwe Baraka ❤🎉
God is good all the time
Stay tuned
Nabarikiwa sana na nyimbo zenu mzidi kumtukuza mungu kwa akili kicho na hekima❤❤❤
be blessed nice song
Mbarikiwe TUCASA SUA kwa wimbo unaotafakarisha. Mzidi kumtukuza Mungu
Barikiweni sana wapendwa katika Bwana mzidi kuwa waaminifu
Hakika mmemtukuza Mungu katika uimbaji🎤🙏
❤❤❤🔥🔥🔥🔥
Mucha blessings. Keep on blessing others 👍
Amen nawapenda sana Tucasa sua
Wimbo mzuri...Barikiweni sana❤️🤗
Mungu atukuzwe kwaajili yenu
Kwa kuamua kuchagua mziki wa kumtukuza Mungu
Songeni mbele
Be blessed ❤tucasa sua
🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️
Amen 🙏
Amen❤
Wimbo mzur Bwana na awabariki na kuwaongoza katika Nuru yake
Mnanibariki sana, Mungu awajalie zaidi neema yake
Finally 🤗🤗🤗
God bless you coz you have talent so don't let church down
Naombeni tushare huu mbaraka
Whaoo!!, Mungu awabariki sana..
Hasa dada aliyesolo hakika utukufu Kwa Mungu
Congratulations TUCASA SUA, this is a masterpiece!
fantastic singing
Tucasa SUA Mbarikiwe sana na Bwana
it has really blessed me. Just like the message, may this prayer be mine always to the LORD. Amen. Keep moving forward solder of the cross...
Ujumbe mzur blessed
Congratulations tucasa sua 🎉🎉Nawapenda Bure Kwa kwl mfike mbali
Ni ladhaa nzurii ya mzikii ya bwana barikiweni sanaaaa katikaa utumishii msongee mbelee
Niwe Barakaa😴🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Woooh what a touching and good song be blessed Na msonge mbele ,am really blessed 😊🙏🏾🙏🏾
be blessed people of God
Why not,,, be blessed tucasa SUA
How Go i get the scores for this song ?
Mbarikiwe na Bwana Tucasa Sua
sauti ya pili na ya tatu mnafanya mambo magumu kuwa mepesi....bravoooo
❤ Nanyenyekezwa🙌😌
Mbarikiwe zaidi watoto wa Mungu ..
Barikiwen Sana wapendwa 🙏🤝
Waaoh mungu awabariki
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ninawakubali mnaniweka ktika ulimwengu wa muziki uliojaa uvuvio was Roho mtakatifu.bando linaishia kwenu.nashindwa kulala kabla sijawasikiliza ...be blessed.
hallelujah
Wadogo zangu barikiweni sana, I am proud of you
Amen be. Blessed
❤❤❤
Barikiweni sana
What a wonderful song🔥🔥🔥 mbarikiwe
Amina Sana, Mungu awabariki na aendelee kuwatumia
Wimbo mzur Sanaa
Powerful voices. Wonderful message. NIWE BARAKA - May I be a blessing 🙏🏽💯🎊
Wow! So blessed.
God bless you TUCASA SUA
Beautiful melodies , beautiful message.
What a blessing 🙌 🙏..."Niwe Baraka"
Bwana Mungu awabariki TUCASA SUA
Mungu awabariki ❤❤❤
Watamwamini wakimwona nikitembea naye, wow!!! Mbarikiwe kwa ujumbe mzito wa injili ya Bwana vijana!! Mmenigusa!
Hii ni ya pekee.
Mbarikiwe
Its fantastic. God bless you
Thanks a lot
You have to focus on your talent coz GOD together with you
bE BLESSED
Amen
Ooooh yesssss!
Mbarikiwe,,,,,🙏
No salayangu
Barikiwa❤❤❤❤❤❤
Amena
Bless you dears❤
❤
Mungu awabariki tucasa sua
Daaaa the blessed song! Mguso wa kirho unaonekana barikiweni
Mungu awabariki kwa uimbaji mzuri na wenye mpangilio mzuri wa sauti❤❤❤
Nawapenda
Amen keep on