- 8
- 103 105
TUCASA SUA CHOIR
เข้าร่วมเมื่อ 28 ก.ค. 2020
🇹🇿 call us : +255743146969
AHADI TAMU - TUCASA SUA ( OFFICIAL VIDEO 4K)
Mungu ametuahidi kuwa pamoja nasi, hata tunapopitia majaribu na changamoto za miasha amini haujasahauliki, amekuandika katika vitanga vya mikono yake, Ahadi yake ni kwamba Anakukumbuka na anakuwazia yaliyo mema.
มุมมอง: 41 395
วีดีโอ
NIWE BARAKA - TUCASA SUA ( OFFICIAL VIDEO 4K)
มุมมอง 34K11 หลายเดือนก่อน
Maisha yetu ya Kila Siku yanaweza kukutanga na kila aina ya changamoto ambazo zinaweza kupelekea kuwaudhi, kuwaumiza au kuwakera wengine, lakini kama wakristo tunapawa kufanyika Baraka kwa watu wengine bila kujali ni mapito gani tunayopitia, watu wanategemea kama wewe mkristo kuwa sehemu ya kuwafanya wale wanaokuzunguka kuakisi upendo na baraka za Yesu katika maisha yao, Fanyika Kuwa Barak
PATMO II TUCASA SUA CHOIR (Official Video)
มุมมอง 2.6K2 ปีที่แล้ว
Karibu kubarikiwa na wimbo mzuri unaoenda kwa jina la PATIMO ulioimbwa na Chama cha wanafunzi Waadventista Wa Sabato walioko vyuo vya kati na vyuo vikuu nchini Tanzania toka Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo (SUA) toka mkoani Morogoro Follow us Instagram II Facebook II Twitter: TUCASA SUA MUNGU AKUBARIKI SANA
PENDO KUU -TUCASA SUA CHOIR {OFFICIAL VIDEO}
มุมมอง 2.1K3 ปีที่แล้ว
Be blessed with a song PENDO KUU by TUCASA SUA from MOROGORO TZ. Follow us on Instagram : tucasa sua Twitter: tucasa sua Facebook: tucasa sua
SUA TUCASA CHOIR - NG'AMBO YA YORDANI (OFFICIAL HD VIDEO)
มุมมอง 15K4 ปีที่แล้ว
THE GOSPEL SONG PERFORMED BY SUA TUCASA CHOIR Audio Produced by: Manyangu Studio Video Directed By: Shua Mapicha
Ahadi za Bwana song by tucasa sua choir
มุมมอง 2.1K4 ปีที่แล้ว
Tucasa Sua choir live performance, At Saint Joseph Collage, during morozone Federation in 25/07/2020 Wimbo huu unatia moyo Kwamba japo tupitie magumu changamoto zozote Bwana ameahidi kututia nguvu na kutuvusha salama kabisa. Akisha ahidi ameahidi Wala hakuna wakupinga zisitimie, Barikiwa mpendwa unaposikiliza wimbo huo
God bless you
Amen 🙏🙏🙏🙏
Much love for you may God continue uplifting you as you serve Him ❤❤❤
God is gracious may we never forget Him
it has really blessed me. Just like the message, may this prayer be mine always to the LORD. Amen. Keep moving forward solder of the cross...
Ooh Hallelujah!!! Barikiwa mno WATUMISHI WA MUNGU kwa utumishi ❤❤❤
Mungu azidi kuwatunza sana WATUMISHI WA MUNGU!!! ❤
niwe barka kwa mtu leo
I keep listening to this song again and again since it was uploaded. You should come to Kenya, Kisii county, Nyangena SDA to bless us. Blarikiwa sana
Amen
Just waiting for your call over there and we will show up.
Amen 🙏🙌
Watanzania wamebarikiwa sana kwa uimbaji ya kutuliza roho.. Baraka tele🇰🇪
Wimbo mzuri sana. Mbarikiwe sana TUCASA SUA Choir.
Barikiweni sana wapendwa katika Bwana mzidi kuwa waaminifu
🙌🙌
Gid bless you 🙏🏾
Mungu awabariki ❤❤❤
Watamwamini wakimwona nikitembea naye, wow!!! Mbarikiwe kwa ujumbe mzito wa injili ya Bwana vijana!! Mmenigusa!
Lovely choir..God bless you my favorite choir
Amina kwa uimbaji wa kimbingu
One of my favourite songs. Simply the best and message loaded.
Watu wa Tanzania mmeweza. Nyimbo zenu zimetungwa kwa uweza WA roho wa mungu
Asante
sauti ya pili na ya tatu mnafanya mambo magumu kuwa mepesi....bravoooo
Amen, nabarikiwa sana na huu wimbo!!!
Napenda uimbaji wenu, melody ni yakiadventista. Don't change it's grorious
Amen, mbarikiwe sana
Amen
🎉
❤❤Amen.
Ninawakubali mnaniweka ktika ulimwengu wa muziki uliojaa uvuvio was Roho mtakatifu.bando linaishia kwenu.nashindwa kulala kabla sijawasikiliza ...be blessed.
Mbarikiwe
Woow a piece that has talked to me all through the day,,this is what songs should do touch souls and bring people's thoughts back to Christ. Sincerely may the Lord bless your ministry.
Amina, Barikiweni saana
Mungu awabariki sana kwa wimbo mzuri na uimbaji mzuri wa kiadventista . Hakika ahadi za BWANAni tamu sana ni za hakika na kweli
Aaaameeeee mwendeee mbali🙏🙏🙏
Tucasa SUA Mbarikiwe sana na Bwana
Wimbo huu ni wa kufariji mno!
hallelujah
Daaaaaaa pamja sanaa
Amina 🔥🔥
Aminaaa nimewapendaaa
Mnanibariki sana, Mungu awajalie zaidi neema yake
Hakika wimbo huu unastahili kuwa wenye kututia moyo kwenye changamoto zetu, mubarikiwe Sana!
Wimbo mzuri Hongereni sana Mungu azidi kuwabariki
Wimbo mzuri na umepata waimbaji pia
Mungu awabariki saana mfike mbali
Wadogo zangu barikiweni sana, I am proud of you
No salayangu
Barikiwa❤❤❤❤❤❤
Amen keep on
Beautiful melodies , beautiful message.
❤