DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOMPANDISHA HAWA KWENYE STAGE YA WASAFI FESTIVAL DODOMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ส.ค. 2019
  • Katika Usiku wa Jana Star #DiamondPlatnumz Alimpandisha Msanii #HawaNtarejea Kwenye Stage ya #WasafiFestival2019 Dodoma na Kuperfome Ngoma Yao ya Pamoja ya #Nitarejea na Kuwa Rasmi Sasa HAWA Amerejea Kwenye Muziki
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 666

  • @ngakanimapendo1464
    @ngakanimapendo1464 4 ปีที่แล้ว +126

    Kama unapenda kitendo cha Diamond kwa hawa basi gonga ma likeeee ❤️❤️❤️

  • @celinemakokha6915
    @celinemakokha6915 4 ปีที่แล้ว +7

    Diamond ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ nalia mm hapa😭😭😭😭 wow,mwanzo Mungu amefurahi sana

  • @salummpala9256
    @salummpala9256 4 ปีที่แล้ว +24

    Eti bila Yeye musingeweza Kusikia Sauti yangu Leo Duh Nmefurai Sana Nasibu

  • @King_186
    @King_186 4 ปีที่แล้ว +38

    Kitendo cha kumsaidia Hawa kimetugusa wengi, maana alikuwa na hali mbaya sana, big up Platnumz

  • @matingo-bk1248
    @matingo-bk1248 4 ปีที่แล้ว +171

    The best collaboration of all the time for diamond platnumz

    • @rukiaosman8416
      @rukiaosman8416 4 ปีที่แล้ว +1

      Asante simba umefanya uongwana kabisa mashaallah mashaallah nimefurahi sana kuona hawa maskin

    • @momotimz3940
      @momotimz3940 4 ปีที่แล้ว +3

      @@rukiaosman8416 Hey what's the history btn those two,,good old time lovers???

    • @keifatuke99
      @keifatuke99 4 ปีที่แล้ว

      I love it

    • @kwenyshaks3463
      @kwenyshaks3463 4 ปีที่แล้ว

      @@rukiaosman8416 please guys what was happening with Hawaii. With English please

    • @munawwarabeid8634
      @munawwarabeid8634 4 ปีที่แล้ว

      @@kwenyshaks3463 for a long time hawa became drunker and later on was sick and damaged her liver than tznians fellow felt ptty for her n was sent to sober house than to india for the operation and now thats her new life n look

  • @njetehentez4233
    @njetehentez4233 4 ปีที่แล้ว +13

    Am from Kenya Diamond you should take Hawa you guys you look good together am sorry Tash......Hawa loves Simba alimpenda bila chocho God bless you Simba more blessings for you Hawa .nilikuwa na pita Tu Tash.....

  • @ronnielahlion-simba6786
    @ronnielahlion-simba6786 4 ปีที่แล้ว +7

    Thanks big bro,naona after umeenda mjini na kufanikiwa umemkumbuka Hawa,Mungu aendelee kukuzidishia

  • @corneloduor8858
    @corneloduor8858 4 ปีที่แล้ว +8

    I love this song... Hawa has alot of talent na tena asharejea❤️❤️🇰🇪🇰🇪

  • @eunicesaumu7486
    @eunicesaumu7486 4 ปีที่แล้ว +81

    Surely Diamond may Allah reward you,am so happy to see this lady back she Will not forget you all her life be blessed mond 254 watching for 966

  • @pilijuma2913
    @pilijuma2913 4 ปีที่แล้ว +86

    Alieskia pendaneni ivo ivo anipe like yangu daaa adi raha

  • @scompanyswahili3024
    @scompanyswahili3024 4 ปีที่แล้ว +7

    Congratulations to you diamond for supporting Hawa back to life nampenda Sana Hawa ni msanii mzuri

  • @verizzonwanjiru1914
    @verizzonwanjiru1914 4 ปีที่แล้ว +8

    Wow happy to see her back on her feet wow,diamond you did a great thing

  • @cresensiandimbo4195
    @cresensiandimbo4195 4 ปีที่แล้ว +1

    Diamond shikiria huyo dhuy,yupo vizuri sana,anasauti nzuri ya asili kipaji alichopewa na mwenyezi mungu sio kuunga unga mimi namkubali sana hawa,na nimefurahi sana kuona mkifanya kazi pamoja.

  • @shawnnjuguna8855
    @shawnnjuguna8855 4 ปีที่แล้ว +28

    Nimefurahi sana leo...Hawa you've got love from us Kenyans

    • @ndoricimpandoricimpa4946
      @ndoricimpandoricimpa4946 4 ปีที่แล้ว

      Walali Baba tee umenifuraisha pamoja na mambo yako.iyo moja Allah atakulipa

    • @anthaall4582
      @anthaall4582 4 ปีที่แล้ว

      Hatanamimi nimewapenda mondi na Hawa Niko oman nimu Burundi

  • @estherhaloim1496
    @estherhaloim1496 4 ปีที่แล้ว +8

    Napendea Diamond Platznum kitu moja. Ana roho ya huruma na amesaidia watu wengi. May God bless you @diamond chibu baba yao.

  • @wilkrifurwehabura9424
    @wilkrifurwehabura9424 4 ปีที่แล้ว +92

    Touching feelings for life...nimejikuta machozi yananitoka

  • @sheilawandera1303
    @sheilawandera1303 4 ปีที่แล้ว +3

    Eiiish, this lady's body is goals

  • @bonnybabayao9529
    @bonnybabayao9529 4 ปีที่แล้ว +3

    hii collabo ilkuwa moto. kama unaikubali weka like tafadhali

  • @zakiahussein3535
    @zakiahussein3535 4 ปีที่แล้ว +2

    Mola akuxindushie diamond...hawa anapendeza mama hata finger unayo very happy to see once again hawa keep it up

  • @Samullarhymes
    @Samullarhymes 4 ปีที่แล้ว +6

    Am glad she's doing fine, she's such a talent

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 4 ปีที่แล้ว +38

    Had machoz yamenitoka jaman ka felling flan hiv kamenikamata wooow 😍hawa umependeza

  • @calvinklein5933
    @calvinklein5933 4 ปีที่แล้ว +1

    Napenda urembo wako na sauti yako dada. Nawe Diamond mungu akuzidishie ndugu yangu. Jamani waTz mnipee mwanadada mrembo na mewnye heshima tuwe mashemeji na tudumishe undugu

  • @rachelexaut387
    @rachelexaut387 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu azid kukubariki Sana diamond Kwa moyo ulionao usiishie Kwa Hawa tu Bali hata Kwa wengine wasojiweza

  • @yakoubtzmabewa1875
    @yakoubtzmabewa1875 4 ปีที่แล้ว +6

    A lot of tears come from me when I get see dis collaboration

  • @blackisgold1200
    @blackisgold1200 4 ปีที่แล้ว +4

    Wow. Diamond your just so kind luv you❤️❤️❤️🥰🥰🥰🥰thanks for making hawa shine make a star 💫 out of her bless you. That song Med you who you’re today

  • @mohamedalkindi8283
    @mohamedalkindi8283 4 ปีที่แล้ว +146

    Jamani tujuane tuliorudia kuangalia hii zaid ya mara moja
    Daaa imenigusa hatari hadi machozi kwa kweli hawa amefarijika mnoo

  • @athanaswilliam6940
    @athanaswilliam6940 4 ปีที่แล้ว +41

    Daaaaah safi sana.. So impressing.. What a caring Mond.. Sasa mumbebebe kidogo arudi muzikini

    • @munawwarabeid8634
      @munawwarabeid8634 4 ปีที่แล้ว

      Tyr ametoa new song yaitwa kucheka

    • @happynesrukonge5278
      @happynesrukonge5278 4 ปีที่แล้ว

      Happy Rukonge
      nakupenda brother angu mond kwa jitihada zako za kimuziki maana nyimbo zako nazikubali cna napenda uwendelee na hawa jamani yuko vizuri

    • @happynesrukonge5278
      @happynesrukonge5278 4 ปีที่แล้ว

      penda cna hawa eti mond kwanza ana sauti nzuri na pozi zake za kucheza ziko powa cmpingi mungu awabariki

  • @ramak.9587
    @ramak.9587 4 ปีที่แล้ว +2

    Frm Canada diamond hii imeweza big up broo tunasubiri makubwa zaidi ya haya...God bless u big....wapi like za mondi

  • @maryamkhemd4465
    @maryamkhemd4465 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallh diamond mungu akuzidishie heri kwan mbay hawez kuwa mbaya kila xiku wa kwaote ipo ciku atakuwa mwem

  • @innocentoisso6869
    @innocentoisso6869 4 ปีที่แล้ว +2

    True luv simba uko vizuri God bless your

  • @edwinndaki
    @edwinndaki 4 ปีที่แล้ว +1

    Umefanya jambo la kheri Nasibu .bless 🙏🏾

  • @princesskay1573
    @princesskay1573 4 ปีที่แล้ว +1

    Mond wakamake peace na babake leo kamleta hawa stage😍yaani it’s awesome

  • @sadockjoseph4555
    @sadockjoseph4555 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akudishie D mondi umemfanya hawa awe mwenye furaha,God bless u Mondiiiii

  • @shunaside8956
    @shunaside8956 4 ปีที่แล้ว +13

    Diamond mke wako ni hawa❤️❤️😍

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 4 ปีที่แล้ว +9

    Hapo utajua uwepo wa diamond tz mtimwema matunda ndio hayo kutoka kwa diamond mungu akuzidishie nawengine walio kata tamaa uweke kwenye ramani kama hawa🔥🔥🔥🔥🔥🇧🇼🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏💪💪💪🙏💪💪😁🙏🙏

  • @annatesha7416
    @annatesha7416 4 ปีที่แล้ว +8

    Kama unamkubali hawa gonga like twende sawa

  • @irenejane4213
    @irenejane4213 4 ปีที่แล้ว +3

    That ka hug..I'm still😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @achyachy6367
      @achyachy6367 4 ปีที่แล้ว

      Yes : that ka hug is so powerful. The hug is a powerful message from Mond to Hawa , and it means :
      1. I still love you despite us not being together anymore.
      2. I miss you and the moments we shared together
      3. I still care for you and am proud of you despite all .
      4. I will always be there for you.

  • @fizaf8402
    @fizaf8402 4 ปีที่แล้ว +3

    Apo saw kbs mungu nimwena . Diamond nafika nakupenda sana kweri

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 4 ปีที่แล้ว +3

    Dah Safi Sana. Huyu Dada alikuwa hoi bin taaban.God bless you Hawa, keep it up.

  • @pendodavid5148
    @pendodavid5148 4 ปีที่แล้ว +3

    hawa kumbe mrembo sana tu mond mungu akufanye kuwa juuu unaohuruma sana

  • @rosemumamblessedbyyourname5476
    @rosemumamblessedbyyourname5476 4 ปีที่แล้ว +3

    wooow this nice God bless you Diamond hawa she is very beautiful

  • @rebeccanyatichi6573
    @rebeccanyatichi6573 4 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭machozi ya furaha 😍😍😍love you hawa

  • @modesterdavid8500
    @modesterdavid8500 4 ปีที่แล้ว +1

    Yaani diamond ukitulia na mwanamke moja na mchepuko mmoja walah mbinguni unakiti chako tena pale mbele kwa bwana Yesu yaan ubarikiwe sana

  • @jumannemfaume
    @jumannemfaume 4 ปีที่แล้ว +6

    Yani ww mzee baba mond ndio maana mwenyez mungu anakubariki utajiri kila siku umefanya jambo kubwa sana kwenye maisha ya huyo dada hakika Allah atakulipa fadhila zako

  • @jecintawambui5345
    @jecintawambui5345 4 ปีที่แล้ว +1

    Wish mungekuwa wapenzi wallai nawapenda hadi naumwa...Hawa mungu akuongoze

  • @bigbossmanbossman6946
    @bigbossmanbossman6946 4 ปีที่แล้ว +50

    Very nice am very touched hawa you have steal the show it could be a wonderful couple

  • @hassaniothumani5501
    @hassaniothumani5501 4 ปีที่แล้ว +1

    Ni Kali zaidi ya Kali diamond is next level 🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🌍🌍🌍🚀🚀🚀

  • @puritykimeu1907
    @puritykimeu1907 4 ปีที่แล้ว +1

    M sooooo hapi diamond ulirejea nyumbani hawa kapata tabasamu....so beautiful

  • @shixsteve5705
    @shixsteve5705 4 ปีที่แล้ว +1

    Good job Diamond, mshikilia kabisa baba Mola akubaliki🙏🙏

  • @shallinenyamweru9658
    @shallinenyamweru9658 4 ปีที่แล้ว +13

    Finally God answered hawa prayers,@lyst umemeet diamond na kuperform kwenye stage big up happy for u

  • @Mku-wa-waku1
    @Mku-wa-waku1 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki Diamond kwa msaada wako kwa Hawa, mimi mishabiki wa WCB from Sweden

  • @ains1122
    @ains1122 4 ปีที่แล้ว +1

    I like how human Diamond is wooow

  • @emmahnjoki4414
    @emmahnjoki4414 4 ปีที่แล้ว +3

    i cant get enough of this song am watching again and again God bless u more d for uplifting hawa i think thats the best song ur mum likes

    • @florahmumia689
      @florahmumia689 ปีที่แล้ว

      Me and you same WhatsApp group, I still listen to this song

  • @durgatagur5898
    @durgatagur5898 4 ปีที่แล้ว +1

    Wow congrats bro Allah azidi kukubariki you are a Hero

  • @wesleysanja3265
    @wesleysanja3265 4 ปีที่แล้ว +1

    Aki Diamond is a gentleman!!! Uyu dem ndio walianza na yeye ngoma!!! Hongera brother

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 4 ปีที่แล้ว +1

    Hawa Namkubali Sana..
    Anajiamini Sana Huyu Mschana..
    Anajiamini Sanaaaaaa..
    Daaaaahhh Nomaaaaa
    Najua Hapo Mondi Amekumbuka Mbali Sanaaaaaa..
    Safi Sanaaa Mondi..

  • @achyachy6367
    @achyachy6367 4 ปีที่แล้ว

    Hawa my Gal ! Congrats.. you are such a beautiful soul. May God richly bless Diamond. Huyu ndio mkeo Diamond. Achana na hao ma slay queen wengine. Huyu ndio mkeo. Listen to what pple are telling you. 100% of your fans want you to get back together with Hawa. Hawa akae Kwa nyumba. Hao wengine utakuwa unawatembelea tu makwao kwasababu ya watoto. chukua Hawa TAFADHALI. I wish I could persuade your mum to persuade you on our behalf. Lots of love from Kenya

  • @andrewwoiso5559
    @andrewwoiso5559 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana simba inapendeza sana kwakweli unakumbuka ulipotoka Mmetoka mbali sana na hawa! Kwa hili nakupongeza sana BROO Barikiwa zaidi

  • @johnsonlenas8227
    @johnsonlenas8227 4 ปีที่แล้ว +3

    Mondi mi siyo shabiki yako lkn kwa hili na mengine mengi nakupa salute kaka! BLESSED BRO.

  • @ains1122
    @ains1122 4 ปีที่แล้ว +3

    This lady was there B4 Diamond awe platinums (simba), thanks for standing with her in her trying times

  • @nakhumitsasylivia8615
    @nakhumitsasylivia8615 4 ปีที่แล้ว +1

    GOD is great, that she back to music

  • @mojo50ful
    @mojo50ful 4 ปีที่แล้ว +3

    Honestly am just ur kawaida fun but for whatever u've done for Hawa...am speechless May the Almighty bless you.salute

  • @marietajohn2913
    @marietajohn2913 4 ปีที่แล้ว +2

    ndio maana nakupenda sn mond god bless you bro

  • @bigmamaa2198
    @bigmamaa2198 4 ปีที่แล้ว +55

    254..Mondi ukimalizana na Tanasha,, Rudi kwa HAWA

    • @cestlaviecestlavie4606
      @cestlaviecestlavie4606 4 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂

    • @rosemarymusanga3053
      @rosemarymusanga3053 4 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂

    • @shamaa996
      @shamaa996 4 ปีที่แล้ว +1

      Hahahah

    • @divadiva684
      @divadiva684 4 ปีที่แล้ว

      Marymary Mary this was the problem the demons of women will leave diamond alone now

    • @bigmamaa2198
      @bigmamaa2198 4 ปีที่แล้ว +1

      @@divadiva684 kiingereza sio lugha yako ongea kiswahili nikuelewe

  • @munashabani1376
    @munashabani1376 4 ปีที่แล้ว +4

    Leo Leo furaha Sanaa kwangu kusema ukweli daimond ana roho zuriiiiiiii

  • @ibraimosufo8706
    @ibraimosufo8706 4 ปีที่แล้ว +1

    Diamond ww mungu azidi kukupa tu, apotu pakupanda nae awa yani mm nimerizika zaidi yake, mungu akupe wepesi Wa kila jambo kijana.

  • @charlesased
    @charlesased 4 ปีที่แล้ว +17

    It's like a movie. GOD is great 🙌

  • @shabanimambo5447
    @shabanimambo5447 4 ปีที่แล้ว +1

    Daaaah simba mungu akupe moyo huohuo nimefurahi sana ujio Wa Hawa

  • @swaumumustaphamapondanga4707
    @swaumumustaphamapondanga4707 4 ปีที่แล้ว +1

    Diamond big up kwa kweli sina cha kusema

  • @maggnish8842
    @maggnish8842 4 ปีที่แล้ว +1

    It feels good that diamond amerejea

  • @jannethysiwale3448
    @jannethysiwale3448 4 ปีที่แล้ว +3

    Allah azid kukuongoza mond nimefurah sana kwa hik ulichokifanya

  • @papafikiri
    @papafikiri 4 ปีที่แล้ว

    Kuna kazi na ubinadamu...huu ni ubinadamu....namjua Hawa vizuri sana she is humble and always on her tears

  • @biashaallyally3701
    @biashaallyally3701 4 ปีที่แล้ว +2

    Duuuuuuu simba naangali mpaka machoz yamenitoka mungu atazind kukupa kuwa na moyo huohuo ukitoa ndo mungu anakupa zaid simba shikamoooooo 👏👏👏👏👏👏👏❤❤❤❤❤❤❤nakupenda sana chibu kaka la kaka eshima kwako

  • @danielpablo6868
    @danielpablo6868 4 ปีที่แล้ว +19

    I never support you diamond but today because of poor girl HAWA we back again PLATINUM

    • @ubah7047
      @ubah7047 4 ปีที่แล้ว

      How do you support diamond,am really intrested in doing the same?

    • @robertmorerli7919
      @robertmorerli7919 4 ปีที่แล้ว

      Umetisha sana mondi salute kwako brp

  • @mourinenekesah4002
    @mourinenekesah4002 4 ปีที่แล้ว +2

    God bless u DIAMOND AND HAWA NICE VOICE NICE SONG

  • @frankrobson9829
    @frankrobson9829 4 ปีที่แล้ว +7

    SHUKURANI MOND UMEFANYA VIZURI SANÀ MUNGU AKUBARIKI SANA

  • @michealonesmo1972
    @michealonesmo1972 4 ปีที่แล้ว +2

    Very touching I never comment but this time I cnt hold

  • @subirachuttar6490
    @subirachuttar6490 4 ปีที่แล้ว +3

    Ila Mondi anajua kugusa mioyo ya wa Tz aiseeeeee👏👏

  • @carolinekimani3799
    @carolinekimani3799 4 ปีที่แล้ว +1

    Wow D is a nice person ako na utu

  • @dainescharles3647
    @dainescharles3647 4 ปีที่แล้ว +2

    Jmn muacheni mungu aitwe mungu ila nasema mungu ampe kila chakhiri mondi na apate anacho kitaka dunian na kesho akhera inshallah yaraab

  • @trizahwariara597
    @trizahwariara597 4 ปีที่แล้ว +6

    Hawa is back looking gorgeous
    Smiling to all because of you 🦁 God bless you for been a help to her and bringing back her smile

  • @prettypatty3107
    @prettypatty3107 4 ปีที่แล้ว +6

    NYC Mondi... luv u Hawa... be blessed Platinum!

  • @bellaferrer3390
    @bellaferrer3390 4 ปีที่แล้ว +1

    Raha raha teleeeee!!! Mbona rahaaaa!! I love this!!! Mondi karejea!!! Patience pays for real. God bless u simba!!!!!

  • @nida4509
    @nida4509 4 ปีที่แล้ว +2

    Diamond is such a darling.....
    You're special. God bless you.

  • @officialmao
    @officialmao 4 ปีที่แล้ว +3

    Diamond platnumz umekuwa mtu ase big up kwa Hilo

  • @wanderaothumani4919
    @wanderaothumani4919 4 ปีที่แล้ว +9

    Hawa love kweli umeuishi huu wimbo maana kwanamna moja au nyingine D alikuacha na sasa amerejea

  • @bigmamaa2198
    @bigmamaa2198 4 ปีที่แล้ว +1

    254...naezafrahi nkiskia Hawa wamerudiana na Mondi❤️❤️❤️

  • @khadijamzee2739
    @khadijamzee2739 4 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah she is beautiful

  • @gracewaicy5839
    @gracewaicy5839 4 ปีที่แล้ว +3

    Wooow congrats mod haki umerejea, God bless you soo much for this love, hawa ad mod much love from+254

  • @revocatusmichael1137
    @revocatusmichael1137 4 ปีที่แล้ว +1

    Yan nimetaman kulia waalah , huyu jamaaa alichokifanya nimejiskia moyo umeingiza barid aseeee... ukwel naamin umefurahisha wengi.... unafanya mengi la huyu hawa kumpandisha kwenye stage tena nimejiskia vizuri sana na mungu akuzidishie man angu mond

  • @maryanneakinyi
    @maryanneakinyi 4 ปีที่แล้ว +3

    This should definitely be couple 👫 😍😍👌🏻they're cute mimi kama kamati ya roho mbaya nasema diamond apite6na hapa kwa hawa 😊😊

  • @brigitamash2007
    @brigitamash2007 4 ปีที่แล้ว +1

    hawa ana sauti nzuri sana yenye melody

  • @jemusiobedi1107
    @jemusiobedi1107 4 ปีที่แล้ว +3

    Team king nakubali 👌
    Upendo kwanza 🍎

  • @DamarisDuuTausi
    @DamarisDuuTausi 2 หลายเดือนก่อน

    Congratulations diamond muoe mwapendeza sana

  • @shomytventertainmenttanzan7842
    @shomytventertainmenttanzan7842 4 ปีที่แล้ว +2

    Leo nimekupemda diamond this is so touching

  • @joycematonya1241
    @joycematonya1241 4 ปีที่แล้ว

    honger san diamond mungu akuzidishie baraka tele katika maisha yako kwa kumpatia suport Hawa

  • @rabut.j.1829
    @rabut.j.1829 4 ปีที่แล้ว +3

    Your star will keep on shining mondi for the good heart you have and help for many other people.. .God bless you for making Hawa to be Hawa we used to know.

  • @susanruo502
    @susanruo502 4 ปีที่แล้ว +1

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe... Ata kama mi si shabiki saaana wa mondi lakini kwa hili, na vyote alimfanyia huyu binti wa watu, may God bless this guy more

  • @puritymwangi2336
    @puritymwangi2336 4 ปีที่แล้ว +6

    Wow!!!Finally you guys have sang the song together!!Welcome back Hawa!!

  • @jacobpatrick7936
    @jacobpatrick7936 4 ปีที่แล้ว +1

    My best song of all the time