QUEEN DARLEEN SIWEZI KUMSUBIRI HARMONIZE NITAFANYA MWENYEWE ''TUZO ZA NJE WAKATI WANGU BADO''

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • QUEEN DARLEEN SIWEZI KUMSUBIRI HARMONIZE NITAFANYA MWENYEWE ''TUZO ZA NJE WAKATI WANGU BADO''
    #Wasafitv #Wasafifestival2019

ความคิดเห็น • 52

  • @langkatalang7852
    @langkatalang7852 5 ปีที่แล้ว

    Queen Darlin kwa maoni yangu kama mtaalam na mchanganuzi wa mambo ya Showbiz huenda akawa the most intelligent female artiste in Tanzania.Napenda anavojibu maswali.Mwisho wa siku tukitoa wigi na Nini na Nini anaonekana kujua anakokwenda na jinsi ya kujibu maswali ya kizushi . Ila cha muhimu kwa msanii ni kujitambua manake Leo unapendwa kesho unapondwa ila akili na maarifa ndizo mwanga wa kesho. Kudos Queen . I like you.

  • @jaguarmafuvu5355
    @jaguarmafuvu5355 5 ปีที่แล้ว +11

    Kama unawakubali WCB gonga like

  • @moreenmichael7482
    @moreenmichael7482 5 ปีที่แล้ว +8

    Hizo nywele nyeupe unazozipendaga uwa hazikupendez Kama unakubaliana namimi weka like twende saw

  • @christinammassy1550
    @christinammassy1550 5 ปีที่แล้ว +3

    Kwa kweliiiiiiiiiii mmmmmmh! Sijui lini nitamuelewaga huyu! Ingekuwa siyo ukaka asingekuwagapo duuh!!!

  • @Esty1248
    @Esty1248 5 ปีที่แล้ว +8

    Sasa hiyo moping brush yenye ameweka kwa kichwa ni ya nini? 😂😂😂😂😂😂

  • @diamondsimba1023
    @diamondsimba1023 5 ปีที่แล้ว +6

    wasafi n fire

  • @kimutattoo4067
    @kimutattoo4067 5 ปีที่แล้ว +2

    Queen Darleen I wish to see you there...

  • @majaliwapili2928
    @majaliwapili2928 5 ปีที่แล้ว +3

    Tunakupenda dada etu

  • @salimkhamis3638
    @salimkhamis3638 5 ปีที่แล้ว

    Queen Darleen kama unaona comment za watu kuhusu Style yako ya nywele unatakiwa kubadilika maana haikupendezi kabisa. Umekaa kama Shetani. Halafu ushauri wa bure kutoka kwangu ni kwamba; wewe ni mtoto wa Kiislamu kama ni pesa za kuendeshea maisha tayari umeshazipata, badilisha muonekano, vaa kwa kujistiri, mrudie Mungu wako na achana na musiki. Angalia muonekano wako jinsi unavyopendeza siku unapovaa kwa jistiri. Jiekeze hata wenye biashara tu

  • @hamzamoshi8275
    @hamzamoshi8275 5 ปีที่แล้ว +6

    Demu mkali sana

  • @beatricemkinga7275
    @beatricemkinga7275 5 ปีที่แล้ว +7

    Huyu Dada hakuna anaemshauri mbn anavojiweka anakua mbaya kila cku jiweke ka mwanamke Queen

  • @teddymwakanyamale9005
    @teddymwakanyamale9005 5 ปีที่แล้ว +2

    Safi Darleen😍

  • @elizabethaloyce7516
    @elizabethaloyce7516 5 ปีที่แล้ว

    Kaza buti mama💞😘😘😘

  • @swashabdul
    @swashabdul 5 ปีที่แล้ว +6

    Dada muhogo leo umezungumza vyema

  • @happybalama3591
    @happybalama3591 5 ปีที่แล้ว +6

    simuelewi hata kidogo

  • @ngalawekikohingalawekikohi4768
    @ngalawekikohingalawekikohi4768 5 ปีที่แล้ว +2

    Kante wizeeeee

  • @comedy_kali
    @comedy_kali 5 ปีที่แล้ว +6

    Nichek dm

  • @willymtanzania5394
    @willymtanzania5394 5 ปีที่แล้ว +8

    Mbon unakonda we darling

  • @annenisoo2413
    @annenisoo2413 5 ปีที่แล้ว

    Amezeeka

  • @matitu_jr5035
    @matitu_jr5035 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu hajui kuimba, kama wifi yake......nani vile?

  • @neyjoseph813
    @neyjoseph813 5 ปีที่แล้ว +1

    Jaribu kutafuta dizain mzuri bana 😂😂😂

  • @khadijakhadija6212
    @khadijakhadija6212 5 ปีที่แล้ว

    Ziro kabisaa hujapendeza kwanza kichwan hadi miguun😁

  • @dazzwazenji7419
    @dazzwazenji7419 5 ปีที่แล้ว

    Jina zury hawa ila muhon miaka 30 huyu dada ila kama mtoto wa miaka kumi

  • @rashidbusanya7166
    @rashidbusanya7166 5 ปีที่แล้ว +1

    Kama umeskia akitoka diamond nimimi mmh

  • @jamalkimbililo9127
    @jamalkimbililo9127 5 ปีที่แล้ว +1

    Umekomaa

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwel Dom kugum
    Kwenye music wakuimba
    By AVATA STAR255
    Online my you channel

  • @diamondsimba1023
    @diamondsimba1023 5 ปีที่แล้ว +4

    school tym

  • @ibuninkwaje557
    @ibuninkwaje557 5 ปีที่แล้ว +4

    Bwege tu huyo mdangaji chaka chaka we tulia tu uzalishwe muziki usha kufunga pingu muziki wako na sula yako vya fanana

  • @nancynmbugua7047
    @nancynmbugua7047 5 ปีที่แล้ว

    Huyu mama sijawahi mwelewa ata

  • @talazain1017
    @talazain1017 5 ปีที่แล้ว

    Kanyeeeee

  • @niasanga2373
    @niasanga2373 5 ปีที่แล้ว +2

    Vituko vya dunia nini hiki

  • @mashmashmkeyenge9210
    @mashmashmkeyenge9210 5 ปีที่แล้ว

    HUYU DADA ANATAKIWA KUSAIDIWA KIMUZIKI..BADO HAJAWEZA KUKONGA NYOYO ZA MASHABIKI KWA TUNGO ZAKE.NYIMBO MOJA TU KIJUSO NDIO ALIPATIA.

  • @DesertTears
    @DesertTears 5 ปีที่แล้ว

    Hamna cha Tuzo..... fungua biashara ya kuuza samaki labda utafanikiwa huko

  • @ahmedmahmudu1046
    @ahmedmahmudu1046 5 ปีที่แล้ว

    huyu demu hajui.

  • @zaudiin8663
    @zaudiin8663 5 ปีที่แล้ว

    Apo Harmonize hayupo tena wcb wazungumze tu ukweli

  • @KingKong-db9zv
    @KingKong-db9zv 5 ปีที่แล้ว +2

    Ndiyo msanii gani huyuuuuu

  • @emarkimaro7297
    @emarkimaro7297 5 ปีที่แล้ว +2

    Nxaa

  • @azzachumi3150
    @azzachumi3150 5 ปีที่แล้ว

    Mimi sion hata anachokiimba

  • @Sppah697
    @Sppah697 5 ปีที่แล้ว

    Mkubwa Tanzania my Ass!

  • @saadakiyungi6437
    @saadakiyungi6437 5 ปีที่แล้ว

    Hili dada limekuja hapa puma mapozi kibaoo

  • @ibuninkwaje557
    @ibuninkwaje557 5 ปีที่แล้ว +2

    Bwege tu huyo mdangaji chaka chaka we tulia tu uzalishwe muziki usha kufunga pingu muziki wako na sula yako vya fanana

  • @sharifuhsharifuhh8471
    @sharifuhsharifuhh8471 5 ปีที่แล้ว +1

    unavebwa tu wcb now huna lolote

  • @salummpala9256
    @salummpala9256 5 ปีที่แล้ว +1

    Uyu Anavtuko Sana Shepu Mzuli Ana