Frank ni zamu yake nae alimtesa sana Michael alie kiasi nae pia ila naomba amfumanie Maria anae jifanya kumpenda mwanzo amemdanganya mimba pili Bado Yuko kwa penzi jengine kando na madevu yaani yauma kweli😂😂😂😂😂
Aya maigizo ni maisha halisi watu wanayaishi kwenye jamii zetu, na wapo wanotamka Jina La Mungu bure Bila kujua mazara yake, ipo siku Maria ataaibika ndilo funzo kwa jamii nzima, guyz msilaumu kunafunzo apo linakuja😊
Idd naww acha wanawake watoke nje tu maana naww huridhiki😂😂😂.Mariaaaaaaaa saruti kwako.Frank pole yako endelea kulala utakapokuja kuamka umechelewa sana mapenzi jamni sijui Maria anakitu gani kinakuja mpk anafanya yote hayo
Huyu ni mm haswa nilikuwa na mwanamke ananijaki kama huyo frwnk na maria lakin nilitesa Kwa watu makapuku ila nilikuwa namchukia ananibana sana na kunichunga kama mbuzi gubu tuu Sina aman nyumban anakesha na gar nje nikitoka tu yupo nje 😂😂😂 najiskia uchungu kuliliwa wivu lakin ndio alie nioa nishazaa nae Sasa nimetulia 😂😂😂😂
Frank frank unakuja kuumia zaidi huyu maria leo kanikera zaidi si kwa uwongo huu..moyo wa mtu kichaka ingawa haya mambo yapo mtaani kabisa si maria tu...nitakuja kwenye harusi ya lamata nitakutafuta frank japo tupige picha..ila wifi yetu huko awe mpole.upo kazini😮
Lamata tumechoka, una mtesa frank bila sababu
Maria akamatwe😂😂😂
😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Nakuunga mkono
Lamata hataki mchezo uishe,tutazungushwa mpaka 😢
Frank ni zamu yake nae alimtesa sana Michael alie kiasi nae pia ila naomba amfumanie Maria anae jifanya kumpenda mwanzo amemdanganya mimba pili Bado Yuko kwa penzi jengine kando na madevu yaani yauma kweli😂😂😂😂😂
😂😂akamatwe kabisa
Aweeee mama diba kadamshi please anae mkubali ❤❤
Aya maigizo ni maisha halisi watu wanayaishi kwenye jamii zetu, na wapo wanotamka Jina La Mungu bure Bila kujua mazara yake, ipo siku Maria ataaibika ndilo funzo kwa jamii nzima, guyz msilaumu kunafunzo apo linakuja😊
Mashalha mama diba wetu kapendeza san❤❤❤❤❤❤
Idd naww acha wanawake watoke nje tu maana naww huridhiki😂😂😂.Mariaaaaaaaa saruti kwako.Frank pole yako endelea kulala utakapokuja kuamka umechelewa sana mapenzi jamni sijui Maria anakitu gani kinakuja mpk anafanya yote hayo
Iddi afanye nn sasa 🥺🥺🥺🥺🥺
Maria Kwa iyo unampa alama gapi gapi
😂😂Semeni anaakili za kujitegemea🙌
Mama diba kaweka nn kichwani😂😂 amependeza sana
U yoga
Mmmmm huyu mzeee kiboko sana😂😂😂😂😂na chikuuu hatari na uongeze maria more fire❤❤❤
Ni makosa kutamka jina la MUNGU na kuapa ktka mchezo nashauri maoni yangu
Sahihi
Jina la Mungu wenyewe ni lipi sasa?
Kibanio cha mama Diba kikubwa Zaid ya kichwa😂😂😂😂😂
Kweli😂😅
😂😂
Ndyoo😂🤣🤣🤣🤣
Ssa Judy ndie atakae lipua bomu Kwa yote yanayo endelea kti ya peter na wke zake idd
Semeni ananyweke nzuri
Umependa 😊😊😊😊😊
Iddiiiiii 😊😊😊😊😊
Kusoma ujui hata picha ila sawA atakuamibia nani
@@ZuhuraKifunda-wn1ms 🤣😂🤣😂😂🤣😂
Yaani mm ningekuwa maria ningetulia na Frank cyo kawaida maana Hakuna anachokosa
Mh sasa madevu
Siku zote kuingia kwenye kitu ni rahisi Ila kutoka hapo ni ngumu 😢
Huyu ni mm haswa nilikuwa na mwanamke ananijaki kama huyo frwnk na maria lakin nilitesa Kwa watu makapuku ila nilikuwa namchukia ananibana sana na kunichunga kama mbuzi gubu tuu Sina aman nyumban anakesha na gar nje nikitoka tu yupo nje 😂😂😂 najiskia uchungu kuliliwa wivu lakin ndio alie nioa nishazaa nae Sasa nimetulia 😂😂😂😂
Kahaba iyo nahajui anatak nini😂😂
Judith big up umeupiga mwingi kwa huo msimamo una mapenzi ya dhati kwa kumpenda mtu mmoja asiyejielewa
❤❤❤❤ mama Diba beba muwa yako ya upendo
Hauna baya mama
❤️❤️❤️❤️❤️
Maria weeee Mungu anakuona
Wa kwanza mm🎉🎉🎉🎉
mama diba leo kawa na vichwa viwili jamaniiiiiii😂😂😂😂😂😂😂
I love Frank 😂😂 , Maria kunguru jamani 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
Nani kaona mlango wa peter una ufaaa pia kumbe p hajamzagamua semeni alijivua nguo na kujittimua nywele buleee
Kweli hujakosea 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kama kumzagamua washazaguana sana😂😂
Maria mbaya mno wengi wanapitia jina la Mungu vibaya mno
Nzuri sana ❤🇹🇿
❤️❤️❤️❤️❤️
Frank frank unakuja kuumia zaidi huyu maria leo kanikera zaidi si kwa uwongo huu..moyo wa mtu kichaka ingawa haya mambo yapo mtaani kabisa si maria tu...nitakuja kwenye harusi ya lamata nitakutafuta frank japo tupige picha..ila wifi yetu huko awe mpole.upo kazini😮
Kibanio cha mama diba hahhahaha 😂😂😂😂
Nimpate mjinga mmoja km fule nimuendeshe kma gari bovu
😂😂😂amebak pek ake tu dunia nzim
Ni frank tu..aliyeamua kutulia ila kakutana na.kimbunga hidaya😅
Hahhahahahaha yaani nimecheka
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 umeniacha hoi ndgu yangu
Maria weww ni kimbunga.hidaya kwa frank utamuuwa buree fule wetu..wanaume moyo wao mdogo hautakiwi kubeba mambo mengi kama yako maria..😢
Jaman maria kafika mbali ad kumpeleka francy kwa watumishi akti anamzuguka mwenyewe duuuuh
Maria maria maria maria ipo cku yako
🥺🥺🥺🥺🥺🥺
Yaani huu uwongo upo kabisa nihatari
Yani maria hii ni too much
Mwuache achenze na Mungu
Maria naomba unachezea wokovu maananhuna wokovu wowote unamchezea Mungu kwahuo uwongo wako na Maigizo yako Mungu akuumbue
😂😂😂😂😂😂heeeee tamsilia hiiii kwani kuna mtu anaishi kama hivi maria
semeni kumbwa jinga sana
Mama diba yemialade na hamsemiii😂😂😂
🤣😂🤣😂
😂😂😂😂
Kwaiyo kwa peter Kuna kitenge😂😂😂 ila wanawake mwalimu wetu Mungu nitoe huku😢ni huzuni..
Maria una dhambi sana jaman muache kaka fulee kidog kheee
Idi ck ukijua km peter ND anokula wakezo...utajionea huruma mwenywe😂😂😂
Kwann mama diba anapenda kukaa hivyo jamani shingo anaweka upande km amehukumiwa kunyongwa😂😂😂😂
😂
Mama diba ana mapoz balaa
Sauti mbona inakata inakeraaa
Mlimuona maman Diba😂😂kichwani jamani 😅
🤣😂🤣😂🤣
Ma bint ni wakezako
Huyo mama mchungaji 😅😅😅mapozi
Jamani huyu Iddy kuanzia Tamthilia ianze anatengenezaga gari moja tu😂😂😂😂😂
Wewe nawe hadi magali unakalili
😅😅😅
😂😂😂😂😂
Umesahau na vitambaa vya kwamamake diba
Hhhaahahhaahahhahaha umenikumbusha yaani wabadilishe tu kwakweli manake tupo digital
Maria atupe section C maana ameweza Alooh 😂
Ila Huyu mama diba awe anapewa dawa za maumivu ya shingo maana 😃😃😃
😁😂😂😂😂
Jamani zingatieni banio la mama diba😅😅
Heeeeeee 🤣😂🤣😂😂 muko vizuri
😂😂😂😂😂😅
Khee maria 🙌🙌🙌
Nywele za mama diba
😂😂😂😂😂😂😂na shingo yake sasa😂😂😂😂
Yani ili ni banio kaweka kwa juu. Sema sasa ni li kubwa kuliko kichwa chake😂
Kama karungu yeye😂😂
@@bibibomba9799😂😂😂😂😂😂 Khaa jmani
Nmecheka sana
😂😂semeni jameni!!
Umenibusu au umenisonya please like for me
😂😂😂😂 Ila Mchungaji Mbona haupo Rohoni jaman unadanganywa hata Mungu hakuonyesh
Hv mama diba nikwamba hilo shingo ndy style au ndy wanyakyusa wanakaaga hvyo
Dj 🎉🎉🎉🎉❤
🎊🎊🎊🎉🎉❤️❤️❤️❤️❤️😊😊
Mama Diba iyo shingo na kibanio duh😂😂😂😢
Pole😊
Kikulacho n mtuu wako wakarib il peter anakul mboga zote mbil 😅
Anguko la Maria litakuwa la kimataifa
Heeeeeee
Ana Diba jamani uwo msuko umepipa kichwa😂😂
Maria Niko na wewe mpaka frank Akuuwe
🤣😂😂😂😂😂😂 halafu wewe unakaa pembeni
😂😂Idd bwan ety unakua mkali mkali mkaliiii
😂😂😂😂😂😂
Yan maria maria maria mshenz ahh 😅😅
Dj adi ukate sauti jamn 😢
Yani binti mrokore siku yako ipo karibu sana
Anamipango hapatikani ovyo 🤣🤣🤣🤣🤣
Mpkaa inaishaa hawenzi kukamatwa yaani
Maria atakuwa Mary siku si nyingi, yaani kamdang'anya mpaka Pastor 😮
Wakwanza mimi kuidakiya ju😂😂❤❤❤
Nani kaona mtindo wa nywele wa mama diva
IDD UMENISONYA,UMENIBUSU🎉🎉
Maria maria maria nimekuita mara tatu.
Ila, Maria Maria Mungu anakuona.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 KAZI kazi
Hahahahah 😃 😃 😃
Pendo maria pepo mtaionea viusasa😅
Mama Diba jmani kweli limekaa vizuri😂😂😂😂
Haya maisha ya jua kali ni maisha yetu kabisa ya kila siku😂😂😂
Uyo mganga wa pita nataka nimjue😂😂😂
Nilichogundua ni kuwa kila mtu lazima apigwe na juakali kwenye hii movie...😂
😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂 judi anavochungulia sana
Naomben no ya kaka fure n imwambie ukweli Mary kadanganya na baba mchungaji kadanganywa
😂😂😂😂😂😂Sasa kweli mumeamua kumuokowa frenk +255
Yaan iddy eti cjuh kampata nani ange jua ni sofi na semen mweeeeeehh 🤣🤣
Ila maria kuiona pepo cjui😂😂
Mama Diba huo mzigo vp
Huyo mama diba hilo banio
🤣🤣🤣😂😂😂
😂😂😂😂😂
Mama diba banio pambe weweeeeeeh! 😂😂😂😂
We maria ipo siku Yako utalia kama mbwa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mm nasemaga nakosea ila maria too much
Frank mapenzi yanakutesa mpk macho yamelegea weeee hadi raha
Mapenzi ni kikohozi hajakohowa baado 🤣🤣🤣🤣🤣
@@blackwalkerscrewMedia-qx9dg kwahiyo akikohowa macho yatakaa sawa.staki kucheka ujue
Ukiskia mapenzi nikizungu zungu ni hayo sasa kaka fule hana ujanja sasaa😂😂😂😂😂
Umeonaeeee
@@kinananyuni9732 😂😂😂😂😂
Maria umepigaje apo 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kma Ronald 😂😂
Wajinga katika jua Kali ni Frenk na Idd hawajijui hawajielewi!!
Lamata simamisha gari nishuke nimechoka na tabia za Maria. Afu hata siku moja hafumaniwi atlist
EDDI ANGEJUA MWANAMKE ANAE MZUZUA PITA NI WAKE ZAKE HAKILI INGEMKAA SAWA
Nawe,mchungaji kanisa lako linaongoza kwa uzinzi .tupe utaratibu wa kuchumbiana ktk kanisa lako,😢
Dj 🎉🎉🎉🎉❤❤ila Peter 😢😢 14:19
Yaan,SOPHY NA SEMENI JAMANII.
MNANICHEKESHA SAAANA KHAAA
Ni kweli maigizo..sofi angalia kitanda
Huyo p mwenyewe sasa mmmmmh heeee
Maria mbingu hutaifikia😂😂😂😂😂😂😂
Semen hujui kuachika😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂maria bhana🙌🙌🙌🙌🙌
Anaazaje kuachika 😂😂😂😂😂😂😂
Mariaaaaa saluti 🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️
@@blackwalkerscrewMedia-qx9dg keshaachwa akubali kuachika 😂😂😂😂😂
Maria akamatwe. Lamata inatosha hii
Idd anajiuliza eti hajui kampata nani😮wake zako wanajitolea kwa Peter huko na wametoka kufumaniwa na dada mtu!😅
Mch hana macho ya rohoni kujua uovu wa Maria.
jaman sauti ina shida gan vipande vingine haiko kabisa
Frank wangu naomba jikaze kabisa hipo siku tu huongo wa maria utafika mwisho kabisa
😂😂😂😂jua ni kali kweli😂😂
Yaaani franck wanamfanya zezeta dhuuu!!!😂
Sauti
Semeni nipunguzie nywele zenyewe nzuri 😅😅😅
Mmmh Maria we kiboko!!!