Hiyi Jua Kali ikonani kwaza kungambo ya Maria femi bungonjwa yake ilijulikanaka mapema sana lakını Maria aijulikani Siku tunachoka namichezo ya Maria 🇨🇩🇨🇩
Team Anna mbona tunaonewa hivi jamani,,,,,,, jua kali kabla haijaisha lazima tupate couple mpya mbili yaani Anna na devs,,,,, pia Regina na Thomas 😅😅😅😅
😢😢😢😢😢ila jmn waja hamna uninadam!!!!! Kumbuken ana post kwa bando lake na mapenz yake kwetu na mtambue hapasw kutuma copyright kwa you tubu but ana risk account yke bdo mnamkwaza kwa comment zenu za nipeni likes naomben likes mara mm wa kwanza wa 40 ...hata nyinyi kuweza??!!!!! TUSIWE WABINAFSI NA TUSIPENDE KUHUKUM WATU OUT OF NOWHERE. Tuwe tuna shukuru.
@@zenaycechanzinho6702 hatumkwazi Ila tujaeleza kuwa awe makini sababu anapoweka hii ni kazi ndiyo maana anaweza kma hapati chochote bc asingekuwa anapost, pia Lengo lake ni kuwa na viewers wengi kama haitowekwa kwa wakati watu watapungua kuangalia kitu ambacho kitampatia hasara
Hivi Sophia na semen mbona mnapenda mapenzi ya kushare jaman ...mume nmeshare bado namchepuko mnashare yaani akili zenu hazina akili kabsa nasiku Iddy akijua sijui atakachowafanya
Habari zenu wadau wangu ❤️❤️❤️❤️❤️ Kesho nitachelewa kutuma Angalieni katika hiyo 👇👇👇👇👇👇👇 th-cam.com/video/2IoUVP58Fbs/w-d-xo.htmlsi=i04P7-vb8m9FKtHK Nakupendeni sana na kwasapoti yenu
Nyote mmemuona Anna tu ila hamjamuona Madevu najeuri zake kwa Regina 😂😂😂 hii jua kali inasiri nyingi.madevu kapita nawengi lkn kapenda Maria alafu nayy hamtaki😂😂
Team strong mko wapi Jamani naomba tujuane kwa likes😂😂njooni tutiane nguvu💪💪😁😁
Tupooooo
Tupoooooo
Tupoo
Tupoooo
Tupooo
Hiyi Jua Kali ikonani kwaza kungambo ya Maria femi bungonjwa yake ilijulikanaka mapema sana lakını Maria aijulikani Siku tunachoka namichezo ya Maria 🇨🇩🇨🇩
Mi naungana na wewe wanatuchosha kbs
Nimekumbuka Maria wangu wa zamani,nime mu miss
Hongera Mama sofi
Hii ofisi ya professor wote wana kaumalaya atari😅😅😅😅
😅😅😅😅😅😅
True 😂😂😂😂
Jaman DJ Asante sana ubarikiwe
Team Anna mbona tunaonewa hivi jamani,,,,,,, jua kali kabla haijaisha lazima tupate couple mpya mbili yaani Anna na devs,,,,, pia Regina na Thomas 😅😅😅😅
Jamani sijawahi kupata like hata 1
Mh juakali ya Jana ndiyo tunaipata saiv, watu tutapunguza ufatiliaji
Halafu siku hizi pia hawana mpangilio wa tarehe
Mmmh ufatiliaji ushapungua sana wanaboa mno
Kwakweli..
😢😢😢😢😢ila jmn waja hamna uninadam!!!!! Kumbuken ana post kwa bando lake na mapenz yake kwetu na mtambue hapasw kutuma copyright kwa you tubu but ana risk account yke bdo mnamkwaza kwa comment zenu za nipeni likes naomben likes mara mm wa kwanza wa 40 ...hata nyinyi kuweza??!!!!! TUSIWE WABINAFSI NA TUSIPENDE KUHUKUM WATU OUT OF NOWHERE. Tuwe tuna shukuru.
@@zenaycechanzinho6702 hatumkwazi Ila tujaeleza kuwa awe makini sababu anapoweka hii ni kazi ndiyo maana anaweza kma hapati chochote bc asingekuwa anapost, pia Lengo lake ni kuwa na viewers wengi kama haitowekwa kwa wakati watu watapungua kuangalia kitu ambacho kitampatia hasara
Iyi bundumba ba semeni na sofi siku idi akijuwa ata bafukuza bote kwake from DRC tuko pamoya batu yangu je vous aime beaucoup
Mbna tomas kwa regina anajiamini kias ivyo 😂. Ila Kwa maria lele mama😅
Ndugu yng mapenz upofu jmn 😂🤭
😂😂
Vivian alipita na Frank 😂
Na Tomas akapitaa na rejina
Yaan huyu angejua Anna yupo kwenye kipindi gani asingejilegeza kwa Anna😂😂😂
Atakuwa anamtaka 😅😅😅
Lulu Anaigiza Sanaa Jamani yaani Hana uhasilla
Kwaiyo 😂mnataka kutuambia tusimuamini Anna
Mama sofi maua yko❤❤❤❤
Bravo Jua kali wote
Anna anajua ,anajua anajua tena❤🎉kama ilivyo jina la movie juakaili😊😊
Anna na davis watakuja kuwa wapenzi😂😂 kama unakubali gonga like
Hat mm naona hivyo
Nimelipitisha asilimia mia
Wao vzr
Malaya wa jua kali 😅😅😅
@@user-pw2sw1sk1b hahahaha 🤣
Ila lamata imefikis hatua unaboa Haina mawazo mapana kwa sasa Kila kila siku Yale Yale insboa sasa
Kweli kbs anazingua
Natqmani mariq aache cm siki frank akij/ najuwa namb yq tony aijq savewa..
Af frank anaijuwa....mara paa sim iite af aambiwe pokea sim,,😂😂😂😂
lamata jua kali iishe bas anzisha nyingn mpy bwana
Jua kali ya jumatano tarehe 19 inaonyeshwa tarehe 20 alhamiss kaz ishawashinda nahuyo boss wenu lamata haeleweki
Anna penda penda mtakuja kunambia na msiiguse comment yangu😅😅
Naigusa😂😂😂😂
naanzaje kuiacha kuigusa wakati umeongea kitu cha kwel😂😂
😂😂mmeniweza
Mimba ya maria nahs ipo kifuani 😂
Naomba hili la maria na ana lifike mwisho Kaa mnyororo mkubwa
Nam jamani xijachelewa like nami xijawah pat
Nishachok natak kuona tumbo la maria linakua tena 😅
Asante🎉🎉🎉🎉
Kila siku kwenye fumanizi la maria ni ndoto tumechoma jaman upande huo
Tomas atakuw alishawah date na regina😝😝😝 Toms anakwaz jmn uwiii
Nan alimmiss love😂😂😂
🤣🤣😂
Ila jamani enzo anatia huruma😮
Tunaoangalia viporo tujuane😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
Dah Yan maria mmmmmh nataman aumbuke cijui ataumbuka Lin maan Lamata at cimuelewi
Lamata haeleweki siafanye tu huyo maria aumbuke na mambo yake mweee tumeshachok sis
Madevu nae,fagio la chuma sombasomba wote hapo kazini
Ila tomas😂😂🙌
Da! So Kwa kuisubr uko
Dah afazal
Kwahy Thomas ametembea na Regina eeeh basi na Davis ukute alitembea na Anna aiseee hili jua kali bado bichi sn
Frank maria njo dawa yako,love ♥️ hum jamani nakupenda tu
Uchumba wa Maria na Frank ndoa lin?
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Frank umewezwaa wee. ...kwnn maria asijulikane izo tabia zake
Akijulikana mov inaisha😅
Tearm tuko pamoja ama
Anna Anna Anna nimekuita mara ngapi? Wagombanao ndiyo wapendanao!! Shauri yako
Anna na shog ake lov nawapendaa jomon😂😂😂😂😂😂😂
Wana Harribu sai kwasababu watu wapya wanaongezeka wanatska kufanya kma huba
Ana na Davis watakua wapendi
❤❤❤❤🎉🎉🎉
Dj❤❤❤
Jaman I uyo maria lini jua litamuwakia
Love jamani khaaa!😅😅😅
Katikati ya Regina na Thomas madevu kuna nn khaaaaaaa 😂😂😂😂😂
Tomas nakukubali kw rejina
Ila Ana na love wake😂 alafu kuna sofi na mke mwezake 😂😂🙌🏻🙌🏻
Hivi visa vya Maria tumevichoka 😏😏
Regina na Thomas wanawezana hawa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Jamani jua kali himekuwa maria freki dah
Jifunzeni wenye maofisi yenu kuweka ndugu makazini plofesa kaweka watoto wake
❤❤❤❤❤
Mume wa
Diva kaaanza kuigiza jama'i
Huyu maria 40xako zitafika tu
Ila Thomas kweli Rejina amekumiss😂😂😂😂😂
Kwahiyo madevu hata regina kapita nae😂😂😂😂😂😂
We kijana ungemjua ana alivyovurugwa ungetulia😂
Hivi Sophia na semen mbona mnapenda mapenzi ya kushare jaman ...mume nmeshare bado namchepuko mnashare yaani akili zenu hazina akili kabsa nasiku Iddy akijua sijui atakachowafanya
Anna❤❤
Nipen like nijue kaz yake
Dj🎉🎉🎉🎉🎉❤
Maria wangu kazi iendeleee 😂😂😂😂
Tumechoshwa na drama za maria jamani
Anna umenishtua
Jamani maria daaaa
Kwani mimba ya maria inakuwa lini
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 4:14
Love ucheke tu😂😂😂😂😂
😮
Habari zenu wadau wangu ❤️❤️❤️❤️❤️
Kesho nitachelewa kutuma
Angalieni katika hiyo
👇👇👇👇👇👇👇
th-cam.com/video/2IoUVP58Fbs/w-d-xo.htmlsi=i04P7-vb8m9FKtHK
Nakupendeni sana na kwasapoti yenu
Hii ya jana ama leo wadau
Thomas 😅😅😅🙌🙌🙌
Nipen like jaman❤❤❤❤❤
Tomas shkamooo 😂😂😂😂😂
Dj mikelele
Sasa ofisini vitiko plofes😅😅
Thomas 😂😂😂na Regina
Video umeikata haiishi ilivoisha kwako
Kwa nini mama mzeee😅
Mbona mganga anajishaua sana
Anna AnnaAnna wagombanao ndiyo wapatanao!
Nyote mmemuona Anna tu ila hamjamuona Madevu najeuri zake kwa Regina 😂😂😂 hii jua kali inasiri nyingi.madevu kapita nawengi lkn kapenda Maria alafu nayy hamtaki😂😂
ila Anna mavazi yako,
nimemic mahaba ya fem na luka ,wapi? fem na luka
Frank na maria wanaboa
naomba basi namba yako kuna kitu unisaidie ndugu yangu
Njoo Instagram imeandikwa black walkers crew
Ila anna kheee😅😅😅😅
Ila Sophia mwehu😂😂 eti analilia kabisa ya peter
Analilia yake 😂😂😂😂😂😂
Frank ni mpuuz kma limbuz fulan ivi
Love is a blind
Sophia umetisha
Mizinguo tuu Yani nyumba ya ton kila mara frenk anakuja alafu eti mnajifanya sio kwa toni move inachosha hii sema tunaangalia tu mladi siku ziende
Naomben like jaman