Kazi nzuri na kubwa sana MashaAllah Masheikh wetu Mungu awalipe na pia ningependa Muangalie kazi wanazozifanya ndugu zetu Waislam kule Uingereza neno SPEAKERS CORNER HYDER PARK ujionee Kaz in sha Allah Amin
MashaAllah,kazi Masheikh wetu mwaifanya na pia Allah ametuona tukiwalingania wakiristo kuja kwenye uislamu bila Shaka dini pekee ya haki mbele ya Mungu ni uislamu,alafu walimu video tuekeeni ndefu
Message kutoka Canada. Wakristo na waislamu wameumbiwa na mungu huyu mmoja tu. Hakuna mungu tofauti aliye umba Mkristo na mungu mwingine aliye umba Mwislamu. Sawa? Hapa tumekubali. Je dada na ndugu zangu kwenye Ukristo--umejiuliza hayo maswali kibinafsi? Umejiuliza jina la pili au la mwisho, yaani surname, wa Gospel kutoka Matthew, au Mark, au Luke, au John? Passport yako ina jina lako ya kwanza tu? Utaweza kusafiri hivyo? Ujiulize. Fikiria sana kwa akili aliyekupa mungu. Je Yesu au mama yake Maria walisema Yesu ni mungu au mtoto wa mungu? Je wanabii kwenye Bible waliozaliwa kabla ya Yesu wataenda motoni, kwa sababu hawakujua Yesu, na wakristo wanasema “only through Jesus you will be saved?”? Hii ndiyo haki au ni dhulma? Waislamu wanapenda Yesu zaidi kwa sababu wanaume wa waislamu wanaweka ndevu na wanawake wanavaa hijab (Head Cover) kama Mother Mary. Hawali Pig/Pork kama Yesu au mama yake. Wanamwomba dua na kukwabudu mungu moja sawa sawa kama yesu na mama yake walivyo omba kwa huyu mungu moja. Sawa? Fikiria sana haya maswali. Sio Ibilisi/Shaitani/satan awapoteshe na awachukue motoni. Wakristo ni wandugu wa waislamu. Sote tuende Peponi kwa kumwabudu mungu mmoja tu. Au sio? Much respect from Ray in Canada.
Mungu ana weza kumtumie shetani lakini hato mtumia maana Allah ni tukufu na shetani alisha laniwa ina maanisha Munhu hato mtumia shetani maana shetani alisha laniwa na Mungu kwa uwezo wake ana weza ku tumia kiumbe kingine sio sharti iwe shetani maana hata katika bin adam bin adam ma shetani wapo walio kua wana abudu shetani wa christo wame potea yesu atawa nawa siku ya kiama
wa christo wame potea tena kama hawa rudi katika dini ya ki islam maana islam ni dini ya Allah sababu katika majina tukufu za Allah Al Islam pia ipo ka wao wana sema yesu ni mungu je kwanini Mungu afe ili bin adam wa samehewe? hai ingii akilini, na Mungu ni mtukufu sana na ikiwa amekufa ili bij adam wa samehewe ina maanisha utukufu wake ume shushwa, Ina lilahi waina ilaihi rajiun
""Mashaallah mada nzuri lakini nifupimno... Allah Atawalipa kheri mashekh wetu
Allahuma Amin tegea part 4
Masha Allah
Kazi nzuri na kubwa sana MashaAllah Masheikh wetu Mungu awalipe na pia ningependa Muangalie kazi wanazozifanya ndugu zetu Waislam kule Uingereza neno SPEAKERS CORNER HYDER PARK ujionee Kaz in sha Allah Amin
Mazinge hapo kabisa kidole kwenye lipesa usiwondoshe asante nawependa sana kila lakheri
Karibu
Mashallah mashallah
MashaAllah,kazi Masheikh wetu mwaifanya na pia Allah ametuona tukiwalingania wakiristo kuja kwenye uislamu bila Shaka dini pekee ya haki mbele ya Mungu ni uislamu,alafu walimu video tuekeeni ndefu
InshaAllah akhi tegea part 4
Mungu awape nguvu na maisha marefu
Dawaa nzuri sana
Karibu
Masha Allah masheikh wetu Allah awalipe mema na awafanyie wepesi kwakila mlifanyolo tumeona chaka kaishiwa huyo
MashaAllah
Mashaallah sheikh Suleiman ALLAH BARIIK nyte always
Maashaa-Allaah,Allaah akuzidishieni Elimu.
Yusuf ww n kıboko wa makafır na maznge na shekh yahya!
Allah atawalipa n sha llah
Message kutoka Canada. Wakristo na waislamu wameumbiwa na mungu huyu mmoja tu. Hakuna mungu tofauti aliye umba Mkristo na mungu mwingine aliye umba Mwislamu. Sawa? Hapa tumekubali. Je dada na ndugu zangu kwenye Ukristo--umejiuliza hayo maswali kibinafsi? Umejiuliza jina la pili au la mwisho, yaani surname, wa Gospel kutoka Matthew, au Mark, au Luke, au John? Passport yako ina jina lako ya kwanza tu? Utaweza kusafiri hivyo? Ujiulize. Fikiria sana kwa akili aliyekupa mungu. Je Yesu au mama yake Maria walisema Yesu ni mungu au mtoto wa mungu? Je wanabii kwenye Bible waliozaliwa kabla ya Yesu wataenda motoni, kwa sababu hawakujua Yesu, na wakristo wanasema “only through Jesus you will be saved?”? Hii ndiyo haki au ni dhulma? Waislamu wanapenda Yesu zaidi kwa sababu wanaume wa waislamu wanaweka ndevu na wanawake wanavaa hijab (Head Cover) kama Mother Mary. Hawali Pig/Pork kama Yesu au mama yake. Wanamwomba dua na kukwabudu mungu moja sawa sawa kama yesu na mama yake walivyo omba kwa huyu mungu moja. Sawa? Fikiria sana haya maswali. Sio Ibilisi/Shaitani/satan awapoteshe na awachukue motoni. Wakristo ni wandugu wa waislamu. Sote tuende Peponi kwa kumwabudu mungu mmoja tu. Au sio? Much respect from Ray in Canada.
Masha’Allah
Ahsanta elmu ya dini rahaa
😂😂
Ahlan wa mahlan
Huyo ashaelewa mashekh, mketisheni NDACHA nae aelewe aache kupotosha jamii kuwa yesu n mungu wakati yesu mwenyewe aliwakana kuwa yy cyo MUNGU
Mashallah
Huyu pastor anatusumbuaga sana facebook bora amefika kwa walimu ujanja wote mfukoni
Leo mjomba amepatikana ni kama samaki ameshikwa Na nyavu ( net)
Haswaaaaa anasumbuaga sana facebook
Suleiman tupe vitu vipya one hour mashaallah uko sawa kakangu ALLAH BARIIK nyte always
uyo pasta ata silimu tu pole pole maana sio mbishi ana utaratibu waku elewa naku skiliza In Shaa Allah ata silimu Allah aki taka
Hakika
Sheikh yahya pass my greetings to sheikh suleyman mazinge na ustadh yussuf
Sasa yesu mungu tena affe sijuwi ajetuma kwakusulubiwa mara mwana wa mungu basi khatari 8:8 yeremia 8:40 yohana
On point
Wapi part 2 yake
Hadi raha jamani, ongezeni mda masheikh wetu
Hakika nawapenda kwa juhudi yenu katika Uislamu
Nasi twakupenda kwaajli yake Allah
Mungu ana weza kumtumie shetani lakini hato mtumia maana Allah ni tukufu na shetani alisha laniwa ina maanisha Munhu hato mtumia shetani maana shetani alisha laniwa na Mungu kwa uwezo wake ana weza ku tumia kiumbe kingine sio sharti iwe shetani maana hata katika bin adam bin adam ma shetani wapo walio kua wana abudu shetani wa christo wame potea yesu atawa nawa siku ya kiama
Asam aleikum mashekhe namsikia na kumoona postar anasema yesu alitumwa kuhubiri injili.je nani aliemutuma?na munasema yesu ni mungu
Waalaykum salam warahmatullah wabarakatuh brother
😂😂
Leo anamkubali Allah SW wakati liia siku alikuwa anasema Allah ndie mwenye uweza wa kila kitu mkikaa pekee mnasema Allah a namuomba yessu
Chaka amerudi?😃
The whole bible is written in third person.The prophets never said themselves but the third person did say it for them.
Wana macho, hawaoni. Wana maskio, hawaskii, Wana akili, hawaelewi?! Wasomi kama 3rd grade level hawa Mashelk.
Aki mm huku mbavu maana nacheka hata ni aibu
wa christo wame potea tena kama hawa rudi katika dini ya ki islam maana islam ni dini ya Allah sababu katika majina tukufu za Allah Al Islam pia ipo
ka wao wana sema yesu ni mungu je kwanini Mungu afe ili bin adam wa samehewe? hai ingii akilini, na Mungu ni mtukufu sana na ikiwa amekufa ili bij adam wa samehewe ina maanisha utukufu wake ume shushwa, Ina lilahi waina ilaihi rajiun
Alhamdulillah mumewajua hawa watu kama ni Illuminati wanajifanya ni pastor undani wao ni Freemason
Huyu pastor hana chochote ila ni viraka
Huyo ashaelewa mashekh, mketisheni NDACHA nae aelewe aache kupotosha jamii kuwa yesu n mungu wakati yesu mwenyewe aliwakana kuwa yy cyo MUNGU