Muogope Allah ndugu yangu, ilo neno ewe mkristo ndani ya uislamu ni neno zito, ambalo unamnasibishia mtu ukafiri sas je fizibiti unavyo vya kuthibitisha ukafiri wake Ungekosoa pale unapohisi kakosea ila sio kumpachikia hii kufru ambayo ni jambo zito ilo
Tusimkubali shekh muhammed Nasir kwenye Hilo tu, na mengine tumkubali ktk dini
Kwani hapo nikumkubali? Sikiliza vizuri utajua huu msimamo tunao bila ya kumtegemea huyo
Sasa mbona unatolea ushahidi kutoka kitabu ambacho kina Hadith dhaif na maudhui, au kwasababu zinaungana na hoja zako ewe mkristo ndani ya uislam
Muogope Allah ndugu yangu, ilo neno ewe mkristo ndani ya uislamu ni neno zito, ambalo unamnasibishia mtu ukafiri sas je fizibiti unavyo vya kuthibitisha ukafiri wake
Ungekosoa pale unapohisi kakosea ila sio kumpachikia hii kufru ambayo ni jambo zito ilo
Sasa mbona unatolea ushahidi kutoka kitabu ambacho kina Hadith dhaif na maudhui, au kwasababu zinaungana na hoja zako ewe mkristo ndani ya uislam