Mashallah sheikh napenda darsa zako afadhali utuelimishe coz waislamu wa Mombasa wanafanya dini iwe ngumu mtu aone uislamu ni adhabu...jazaka Allah kheir
Sheikh nakuona tu u tube kutoka nairobi.Na nimesilimu kwani bible imenielekeza kukubali islam kama dini yangu ya kweli na Quran kama kitabu ya Mwenyezi Mungu.ALLAH is the greatest
Asalamu aleykum warahamatul lwahi Taalah wabarakatuh Ma'Shaa'Allah Jazakahlaulkhairàan sheikh ...mawaidha yako....👌alhamdulilah Mola akuzidishie na akulinde na hasaad na balaa za dunia na akhera na sisi wote waislamu Allahumma Ameen In'Shaa'Allah 🙏
Nimepata swali hapa sheikh wangu nikupendae kwaajili ya Allah.... kuna baadhi wanatumia kauli za maimamu wote ... Mfano hashiki msahafu bila udhu kwakigezo cha madh,habi yaimamu shaafiy.... Nakesho unamkuta anasema ukimgusa mwanamke hata kunakizuizi anasema umechangukwa naudhu ... Hapo ametumia kigezo chaimamu mwingine je yafaa
Shekh tunaomba darasa la hukmu ya kupita mbele ya msikiti (Alqaba), kuingia msikitini, na kusoma Quran bila kushika mas-haf kwa mwanamke asiye na tohara tafadhali

Mashallah Allah akuongoze
Karibu ndugu yetu
Mashallah Allah akusimamie kwa kila jambo🙏🙏
MashaAllah
Karibu kwenye dini yako ya asili
Mashallah Allah akubariki shekh
Jazzaka Allah Kheri Ustadhi kwa mafunzo nzuri
Ni kweli
Allah akujaalie Umri mrefu Afya salama na rizki halali Sheikh wangu.. Nakuelewa sana
Shekh Allah akuzindixhie kher
Allah akuzidishie elimu yenyee manufaa amin
Man'shallah
Asalamu aleykum warahamatul lwahi Taalah wabarakatuh Ma'Shaa'Allah Jazakahlaulkhairàan sheikh ...mawaidha yako....👌alhamdulilah Mola akuzidishie na akulinde na hasaad na balaa za dunia na akhera na sisi wote waislamu Allahumma Ameen In'Shaa'Allah 🙏
Shukran shekhewetu tunakuelewa sana
جزاك الله خيرا ف التعلم الدين ان المذاهب ليس اساس الدين بل هو الطريقة علا مفاهيم الدين
Masha Allah Sheikh Jazaka Allahu kher
Shukran Shekh wetu kwa kutufahamisha tusio yajua
Manshllh, jazakallh ustadh imeelewekaa vyemaa
Sheh unanipa raha sana nnapokusikiliza
Chooni SHEKH tuelimishe vifuli kwa ajli ya Allah sw ya akhy
shukran jazzakkallah kheir kwa kutufahamisha.
Kwa hiyo Qurani kwenye simu haina neno. Vipi Qurani kwenye kitabu?
mashallah sheikh
Nimejikuta nacheka tu mfano wa juha ila shehe tumekuelewa kwa ufafanuzi wako shukran
Shukran shekh
Nimepata swali hapa sheikh wangu nikupendae kwaajili ya Allah.... kuna baadhi wanatumia kauli za maimamu wote ... Mfano hashiki msahafu bila udhu kwakigezo cha madh,habi yaimamu shaafiy.... Nakesho unamkuta anasema ukimgusa mwanamke hata kunakizuizi anasema umechangukwa naudhu ... Hapo ametumia kigezo chaimamu mwingine je yafaa
Tunasubli majibu inshaa Allah sisi tupo tanzania
Mashaallah
mashaalah nimepata kitu
Ma shaa Allah
sh Allah akujaalie karibu Tanzania
Jazakallah
Je unaweza kusoma kuran kutumia simu kama uko kwa heidh??
shkran maalim
Subhan-allah!!😰😰
Astaghfu-allah
MashaalaaaAllah
Shukran wajazzak Allahu khery
Masha Allah,
Inshhalah tunashikuru
sh nimekuelewa sana mashallahu allahu atupe fahamu za manabii inshall
Wasema kwly sheikh
🤣 🤣 🤣 Shukran Jazeelan jazak Allah khayri 🌺 🌹
Shukuran jazillah kakangu
Shukran
Ahmed
Baba ali
dah yakanzu hii umeniacha hoi sheikh
Kuinginao chooni apn japo naskliza kwa makni kwa madarasa yako ila tupe dalili ya uakika kua si tatzo kuingiana chooni inshaa Allah kwa ajli ya Allah
Shukraan kwa elmu hii sasa nimeelewa, hata mm ilikua inanitatiza mno kuhusu kusoma kur an kwa simu hali ya kua sina udhu sasa nimeelewa
Na hukmu ya kusoma Quran kwa mwanamke asiye tahara je?
Huwezi kusoma quran nawee uko nifasi
Unaweza kusoma
Shekh tunaomba darasa la hukmu ya kupita mbele ya msikiti (Alqaba), kuingia msikitini, na kusoma Quran bila kushika mas-haf kwa mwanamke asiye na tohara tafadhali
Ustadh si kuna siku ulisema uislam hauna dhehebu mbona wasema ni dhebebu la shafi
😂😂😁wanapapariika wanakufanya kinu cha tambi😁😂
Shukrani mashallah jazakalau laka
Furaha Khamiisi mashallah
Shukran
Furaha Khamiisi hbr
Asante Shekh
napenda darasa
Shekh hii kaz]🤣
Mashaallah
Shukran