RAHMA AMEOKOLEWA AKIWA HAI, HUYU NI YULE ALIYE POST AKIWA ANALIA KWENYE KIFUSI GHOROFA KARIAKOO...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 178

  • @NeemaJohn-ek8nf
    @NeemaJohn-ek8nf 26 วันที่ผ่านมา +14

    Hallelujah hallelujah tunashukuru sana MUNGU uendelee kutiwa nguvu niliia sana Kwaajili yako lakn Mungu wetu ni mwaminifu sana duuuh nimefrahi mnooooo sifa zote zinakustahili Mungu wetu na wenzetu wengine polen sanaaa sana

  • @AwiloNtemi-j8y
    @AwiloNtemi-j8y 26 วันที่ผ่านมา +8

    Love so much rahma
    God bless you
    Nimemtukuza Mungu sana

  • @PauloTito-r7i
    @PauloTito-r7i 27 วันที่ผ่านมา +16

    Maombi yetu yameaidia uliniliza sana ww dada ila kiukweli mungu nimkubwa maisha malefu dada etu

  • @JoakimuOmpeshi
    @JoakimuOmpeshi 27 วันที่ผ่านมา +16

    Mm niliomba mungu sana aokolewe huyu dada,masikini inatia huruma sana

  • @Nasmasilivanus
    @Nasmasilivanus 23 วันที่ผ่านมา +2

    Mwenyezi mungu ni mwema akika tumrudie mora we2

  • @anithasemwano8276
    @anithasemwano8276 26 วันที่ผ่านมา +10

    Rahma uliniliza sana kwa uchungu kwa maneno yako ya kumuombolezea Mungu ,na nimelia kwa furaha Mungu kusikia maombi yako.

  • @tegemeakyangenyenka6111
    @tegemeakyangenyenka6111 26 วันที่ผ่านมา +14

    Tumtegemee Mungu kwa kila jambo,Mungu yupo jamani, pole sana

  • @VickEdson-z1d
    @VickEdson-z1d 27 วันที่ผ่านมา +15

    Tunaomba tumuone huyu dada ametuliza sana kweli mungu mwema asantee mungu

    • @MustyNgongo
      @MustyNgongo 26 วันที่ผ่านมา +3

      Kwakwel tuoneshen bwana

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 26 วันที่ผ่านมา +3

      Nasikia waongo hawana uhakika wa lolote lile ht hilo jina halipo hospital yoyote

    • @HopeChriss
      @HopeChriss 26 วันที่ผ่านมา +3

      Wanasema yule dada ni muongo na jana aliingia live baada ya watu kumkalia kohon akasema yey ni mchekeshaji aliongopa nenden kweny tiktok uko kumechemka toka jana baana ya kuona watu wamejua akafuta na izo post alizo post

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 26 วันที่ผ่านมา +2

      @@HopeChriss Nilisema mm lkn sio vizuri akamatwe

    • @fatmazullu4933
      @fatmazullu4933 25 วันที่ผ่านมา

      ​@@HopeChrissAisee kweli? Sasa inasaidia Nini au ndio fursa za kupata followers?

  • @Am-vo5cu
    @Am-vo5cu 26 วันที่ผ่านมา +6

    I cried in church in the USA and prayed . God is great

    • @suzymboya5812
      @suzymboya5812 25 วันที่ผ่านมา

      Thank you for the love jamani❤

  • @NURUMUSA-td5pl
    @NURUMUSA-td5pl 23 วันที่ผ่านมา

    Pole nwanangu rahma alhamdullillah alhamdullillah alhamdullillah mashaa allah

  • @FAIZAKIONGO
    @FAIZAKIONGO 27 วันที่ผ่านมา +5

    Asante eeee mungu kwa dada uyu hakika wewe ni rafiki mwema

  • @JamesiErfhazi
    @JamesiErfhazi 26 วันที่ผ่านมา +1

    Daa mungubawabarikisan waokoaji jaman hyu dada arinigitisha arivo kuwa anaelezea kwamba anamtoto Mungu ni mwema ahimidiwe milele 🙏🙏🙏

  • @NadiyaAlly
    @NadiyaAlly 27 วันที่ผ่านมา +7

    Je vip yule mkaka alie jilekod vidio koli chini ya kifusi alikuwa ana muita said vp je ametoka

    • @BujuKika
      @BujuKika 27 วันที่ผ่านมา +2

      yule waliokolewa walikua watatu pale

  • @SakinaValy
    @SakinaValy 27 วันที่ผ่านมา +6

    Mungu ni mwema

  • @MamahetuChikuti-mp5lj
    @MamahetuChikuti-mp5lj 26 วันที่ผ่านมา +1

    Allah Akbar,Kila mtu ufa na zake,pole sana dadaetu mungu azidi kukusimamia akupe subra na afyah njema insha Allah, Allah atujalie mwisho mwema Insha Allah

  • @tatually1366
    @tatually1366 26 วันที่ผ่านมา +1

    AlHmduliAllh Namshukuru mwenyezi mungu akulinde akupe Afya

  • @KabweDorcas
    @KabweDorcas 23 วันที่ผ่านมา

    Que Dieu soit loué vraiment

  • @MariamKombo-s2v
    @MariamKombo-s2v 26 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu wetu ukimwomba anakujibu. Ahsante mungu kw upendo wako kwetu sisi utusamehe pale tunapokukosea

  • @RoseMinjar
    @RoseMinjar 26 วันที่ผ่านมา +9

    Pole sans Rahma mungu yu pamoja nawe.

  • @hillarimtambo482
    @hillarimtambo482 26 วันที่ผ่านมา +1

    Amen 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽 amen 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽

  • @RajabuAbdi-rs7sp
    @RajabuAbdi-rs7sp 26 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤Allah Akbar! Hakika Allah nmweza wayote

  • @Alijabed-q2m
    @Alijabed-q2m 26 วันที่ผ่านมา +5

    Ahsante mungu 🙏🙏🙏🙏

  • @SaumuShaima
    @SaumuShaima 27 วันที่ผ่านมา +2

    Asant mngu ali nilza sana uyu dada🙏🙏🙏🙏🙏

  • @lusianassenga5698
    @lusianassenga5698 23 วันที่ผ่านมา

    Asante yesu Asante baba Asante mnoo

  • @عليسالم-ظ7غ
    @عليسالم-ظ7غ 24 วันที่ผ่านมา

    Alhamdullah Alhamdullah 😢😢😢😢yarabi😢😢😢😢Alhamdullah

  • @AgnessLeonard-ug5oq
    @AgnessLeonard-ug5oq 27 วันที่ผ่านมา +4

    Sasa mbn hatuoni maojiano tutaamini vipi yaaaani jmn😢😢

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 9 วันที่ผ่านมา

    Pole sana dada.mungu azidi kuwapigania

  • @esterpaul1702
    @esterpaul1702 25 วันที่ผ่านมา

    Mungu ni mwaminifu wakati wote hajawahi kutuacha Wala kutupungukia, Asante Mungu

  • @MamaAfrikaans
    @MamaAfrikaans 26 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu ni mwema sana aliniliza uyo sana

  • @rehemaathhmani357
    @rehemaathhmani357 26 วันที่ผ่านมา +5

    Mungu azidi kukupigania mdogo wangu ❤

  • @asta.tanotdoor7
    @asta.tanotdoor7 26 วันที่ผ่านมา +1

    Hee hallelujah sana
    Kwa kweli nimefarijika sana

  • @مريمالبلوشي-ن2ح
    @مريمالبلوشي-ن2ح 26 วันที่ผ่านมา +1

    Alhamdulillah nilikuwa nakufilkilia sana jamani

  • @EdnaWilliam-f4c
    @EdnaWilliam-f4c 24 วันที่ผ่านมา

    Mungu mwema ulemwanao mwewe mkuze🥰

  • @DenisManyesela-i8c
    @DenisManyesela-i8c 27 วันที่ผ่านมา +4

    Jamani naomba no ya dada Rahman Mimi naitwa Denis manyesela

  • @joykapaya1970
    @joykapaya1970 26 วันที่ผ่านมา +1

    Aminaa, tunamshukuru❤

  • @Neemangonyan
    @Neemangonyan 26 วันที่ผ่านมา +2

    Jamn bora kapatikana Mungu ushukuriwe

  • @LameckSengo
    @LameckSengo 20 วันที่ผ่านมา

    Mungu awaweke pema peponi nawele majerui mungu awape afya njema muweze kupona araka

  • @juliusjkalela9164
    @juliusjkalela9164 26 วันที่ผ่านมา

    Dah!!! Japo tumewapoteza wengi ila ahsante mungu pia kwa kumuokoa huyu dada ameniliza sana yaan dah!!! Ahsante bwana kwa wema wako umejidhihilishia kua wewe n bwana umetuokolea wapendwa wetu hata waliotutoka naiman utawapa pumziko jema AMINa

  • @sarahaly-vf8qn
    @sarahaly-vf8qn 27 วันที่ผ่านมา +2

    Asante Mungu wetu

  • @AnnahSifuni
    @AnnahSifuni 26 วันที่ผ่านมา +3

    Jamani mungu ni mkubwa Xana unapo mtegemea kwa Kila jambo hawezi kukuacha kamwe hata kama uwe kwenye changamoto kubwa kiasi gani yeye yupo pamoja na wewe ameni

  • @EliseMasoka
    @EliseMasoka 24 วันที่ผ่านมา

    Mungu ni mwema kweli Asante kweli

  • @SanuriAShefaya
    @SanuriAShefaya 26 วันที่ผ่านมา

    Inshaallah tumshukuru allah na tuwaombee wenzetu walio tangulia mbele ya haki na tulio baki tufanyeni ibada hili nipigo katika taifa letu la tanzania kufiwa na nwatanzania wenzetu nimesikitika sana marabaada ya kuiona habari hii yagorofa lakariakoo

  • @Teaching356
    @Teaching356 26 วันที่ผ่านมา

    Amen Mungu mweza wa yote uhimidiwe milele.

  • @Latifaally390Latifa
    @Latifaally390Latifa 26 วันที่ผ่านมา

    Alhamdulilah allah amvue hilo na jenginelo inshallah

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 26 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu mkubwa, Allahu Akbar.

  • @FloraMika-n5m
    @FloraMika-n5m 25 วันที่ผ่านมา

    Amina MUNGU WETU NI MWEMA 😢😢

  • @rehemambilinyi3523
    @rehemambilinyi3523 25 วันที่ผ่านมา

    Asante Yesu kwa kuokoa

  • @ElizaWilondja-k3d
    @ElizaWilondja-k3d 27 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu nimwema

  • @aminachiziamina
    @aminachiziamina 26 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu n mungu2 acha aitwee mungu

  • @JairosardonJohn
    @JairosardonJohn 26 วันที่ผ่านมา

    Mungu anatenda kwawakati wake, tuendelee kumuomba mungu 🙏

  • @DeborahMganga-p9y
    @DeborahMganga-p9y 26 วันที่ผ่านมา

    Mungu wetu wa Mbinguni aliye juu kuliko wote muumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo. Sifa na utukufu vikirudie eeh bwana!! Dada huyu alituliza wengi. Hongereni waokozi mungu wetu wa mbinguni yuko pamoja na nyinyi!!!

  • @johanjoha5262
    @johanjoha5262 26 วันที่ผ่านมา +2

    Kweli MUNGU ana maajabu yake

  • @بيراتاوبسوالباقيخس
    @بيراتاوبسوالباقيخس 26 วันที่ผ่านมา +2

    😢😢😢😢❤

  • @LeilaMjaka
    @LeilaMjaka 26 วันที่ผ่านมา +2

    Uyu dada kaniuliza...lkn nipipopata abari kuwa alidanganya watu kwa masirahi yake binafs niliumia pia.ivyo waandish wa habar mukatutafutie rahma na mumuoji maana ajaojiwa hospital km wengine.

  • @mwitaagness455
    @mwitaagness455 25 วันที่ผ่านมา

    Mbona hatuelewi... Mara kadanganga mara kaokolewa, muogopeni Mungu.... Hii mitandao kuna saa siiiamini. Ipi ni ipu😓

  • @ElizabethDaudi-b6v
    @ElizabethDaudi-b6v 27 วันที่ผ่านมา +3

    Huyo dada katuchanganya sana,kuna kripu nimeangalia wanadai huyu dada nimuongotu,kaokolewa sawa mbona hawajamuonyesha akiwa anaokolewaaa,nawote waliookolewa wametangazwa nawaliokifa pia wametajwa,kwanini yeye tu,nakwahabari hii na voisi yakeilivoumiza watu vile nilazima wangemtangaza nahata ndugu yake ata mmoja angetowa huo ushahidi kama nikweli hili jambo😌

    • @AishaOman-w4b
      @AishaOman-w4b 26 วันที่ผ่านมา

      Watangazaji waongo pia mbona hatuonyesh akimuoji

    • @lulumussa9009
      @lulumussa9009 25 วันที่ผ่านมา

      wanazima kesi huyu muongo

  • @hadija8880
    @hadija8880 26 วันที่ผ่านมา

    Mungu yumwema jamani mungu azidi kukupingania jamani niliumia sana lahama katoe sadaka msikitini mdogo wangu

  • @mangukasasali7614
    @mangukasasali7614 27 วันที่ผ่านมา +2

    Mm nilimkosoa yey na wengine wanaokata tamaaa. Hata Mungu hapendi mja wake akate tamaaa

  • @DatiGenes
    @DatiGenes 26 วันที่ผ่านมา

    Hongera kipenzi mungu azidi kukutangulia

  • @ChalesLukumai
    @ChalesLukumai 27 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu amjalie afya njema.

    • @umfarooqjumbe1702
      @umfarooqjumbe1702 27 วันที่ผ่านมา +1

      Tuliambiwa alikua anatafuta kiki tunaaminije sasa

  • @batistamngullu9235
    @batistamngullu9235 25 วันที่ผ่านมา

    Tunamshukuru Mungu kwa matendo yake makuu! Kweli alitugusa wengi!

  • @SabrinaBakari-p1f
    @SabrinaBakari-p1f 26 วันที่ผ่านมา

    AlhamdulillAh aki nimefurahi sana Allah azidi kukutia nguvu machozi yalinitoka niliposikia voice yako ukilia

  • @issakhalfan1514
    @issakhalfan1514 27 วันที่ผ่านมา +4

    Nilipata post yake naomba mkamuhoji manake nililia sana jamani inga bado maombi nikwa M/mungu

  • @Mimi-wf7mb
    @Mimi-wf7mb 26 วันที่ผ่านมา +1

    Mwenye hii channel muongo! Anataka tu viewers

  • @NakiiWahabu
    @NakiiWahabu 26 วันที่ผ่านมา

    Pole sana dada nawengine wote walio patwa na janga hilo na Tanzania wote kwa ujumla

  • @stanleymhozi7590
    @stanleymhozi7590 27 วันที่ผ่านมา +2

    Amina

  • @KhalimaKhassani
    @KhalimaKhassani 26 วันที่ผ่านมา

    Pole sana dada inauma sana mungu awafanyie wepesi jamani

  • @YohanaMathayo-r7p
    @YohanaMathayo-r7p 26 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu anaweza mungu akutie nguvu

  • @AishamejaAisha
    @AishamejaAisha 26 วันที่ผ่านมา

    Du asante mungu nilitaka kujua hali yake ashukuliwe mungu

  • @RabiaIddi-ci2uz
    @RabiaIddi-ci2uz 26 วันที่ผ่านมา +1

    Nyie wengine sijui mna chuki gani na dada wawatu naona mmekazana kusema ni mwongo sasa mtu anaweza kudanganya kitu kama icho ili apate nini?😢

  • @maryammo-gd3me
    @maryammo-gd3me 26 วันที่ผ่านมา

    Alhamdullah huyu dada nilivyomsikia alinitoa machoz

  • @devothaignatius5256
    @devothaignatius5256 26 วันที่ผ่านมา

    Jmn nimefrai mno kamtumikie mungu siku zote za maisha yako

  • @BungeyiSaiboku
    @BungeyiSaiboku 26 วันที่ผ่านมา +2

    Pole sana dada

  • @angeljoseph8103
    @angeljoseph8103 26 วันที่ผ่านมา

    Mungu yumwema mawazo yawanadamu sikama yaMungu hahimidiwe Mungu

  • @rukinishathadeo7215
    @rukinishathadeo7215 26 วันที่ผ่านมา

    Mungu ashukuriwe!

  • @ShahidakasirateShehedas
    @ShahidakasirateShehedas 26 วันที่ผ่านมา

    Alhamdulilh jmni uyo dada alijua kuniliza

  • @jacquelinemwakasala9563
    @jacquelinemwakasala9563 27 วันที่ผ่านมา +4

    Ahojiwe live

  • @MonicaFrances-w5m
    @MonicaFrances-w5m 26 วันที่ผ่านมา

    Poreni Sana Mungu yupo pamoja nanyi

  • @agnesrutakemwa6773
    @agnesrutakemwa6773 26 วันที่ผ่านมา +1

    Asante mungu

  • @LeylaShabani-o3q
    @LeylaShabani-o3q 26 วันที่ผ่านมา +1

    Tunaomba tumuone kama ni yey kweli mana tunasikia alitanganya kumbe hakuwa chini ya kifusi

  • @salmamsangi6676
    @salmamsangi6676 24 วันที่ผ่านมา

    Mbona kuna uzushi kwamba eti alidanganya😢😢

  • @jakobosilla5947
    @jakobosilla5947 11 วันที่ผ่านมา

    Tunaomba atupatie namba tumsalimu aliniumiza sana Mungu awe naye siku zote.

  • @jakobosilla5947
    @jakobosilla5947 11 วันที่ผ่านมา

    MUNGU AKUJALIE RAHMA ULINIUMIZA SANA.

  • @merymahu4500
    @merymahu4500 26 วันที่ผ่านมา

    Asante Mungu

  • @GredisKomba-t9i
    @GredisKomba-t9i 23 วันที่ผ่านมา

    Anhsate mungu🙏

  • @rahmaismaily3358
    @rahmaismaily3358 26 วันที่ผ่านมา

    Alhamdulillah ndugu yangu

  • @AdiaAhmad-s5o
    @AdiaAhmad-s5o 26 วันที่ผ่านมา

    Mungu awapiganie. Na waliobaki

  • @ModestaMduda-n9s
    @ModestaMduda-n9s 26 วันที่ผ่านมา

    Pole sana mungu akuponye

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 26 วันที่ผ่านมา +1

    Wekeni video akiwa anahojiwa ndy tuthibitishe msikubali tu kuambiwa wakati hakuna sehem aliyo thibitisha watu wote wanafatwa na kuhojiwa yy kwann asihojiwe ni uongo inasemekana huyo kawaida yake kuleta kejeli kwenye matukio Subhannallah km ni kweli Mungu ampe stahiki yake

  • @shakilaAqram
    @shakilaAqram 26 วันที่ผ่านมา

    Oooooh Mungu nimwema jmn

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 26 วันที่ผ่านมา

    Mungu ni mwema jaman nimelia sn

  • @khadijashabani5509
    @khadijashabani5509 26 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu mwema

  • @hawajohn749
    @hawajohn749 26 วันที่ผ่านมา

    Mungu mwaminifu sana

  • @surehamlela8538
    @surehamlela8538 23 วันที่ผ่านมา

    Mumngu mwema asante mungu

  • @azizihassan4647
    @azizihassan4647 26 วันที่ผ่านมา

    Tunaomba tumuone ametuliza sana mwanamke huyu kama ni kwel anadanganya Mungu sio wa maigizo

  • @Rosemary-x4p
    @Rosemary-x4p 27 วันที่ผ่านมา +3

    Mbona hamkwenda kumhoji. Tunaamini vipi. Tunaomba ahojiwe

    • @Habibtyjojo
      @Habibtyjojo 27 วันที่ผ่านมา +1

      Me nimepata tarifa kama uyo ni muogo kwann nayeye hatukumuona kama wengine walivo hojiwa kama yupo hai am amekufa am hajapatikana maana nilisikia kama uyo dada anaigiza

  • @Devota-mr6ng
    @Devota-mr6ng 26 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu dada kaniliza jamani tumuone tu jamani

  • @SuzyFidels
    @SuzyFidels 25 วันที่ผ่านมา

    Daaah! Jaman mbona sielew baadhi ya watangazaji wamesema alidanganya akufukiwa na kifusi aliekti ili apate followers tiktok uku wanasema alitolewa kwenye kifusi sasa tuamini lipi jaman

  • @DevotaIjumba
    @DevotaIjumba 25 วันที่ผ่านมา

    Maisha marefu sana. Rahma

  • @NajmaBarry04
    @NajmaBarry04 23 วันที่ผ่านมา

    MUNGU awape nguvu 😢😢😢