Mambo haya yapo katika jamii hasa pale wazazi wanapokuja juu maneno yao badala ya kuwa faraja na tumaini ya kukutia moyo yanageuka yanakuwa sumu ya kuujelui moyo wako...... usilie futa machozi yako kwakuwa MUNGU amejua shida yako anatengeneza njia.....
mama mkwe yupo sahihi maana kama sio mama mkwe WATU wasingekumbuka kufanyiwa maombi maana shetani Luna sehemu ameshikilia barikiwa sana mtumishi kazi nzuri sana
@ray dayson Pengine hujajua hili kwamba huyu mama anakosea kitu k1 maana angetambua kwamba hata wagumba wapo kwa ajili ya utukufu wa Mungu usingekubali kumsaport mama hyu, n kweli Mungu hashindw lakn mpaka mapenzi yake yatimizwe mpendwa.Ubarikiwa
Mambo haya yapo katika jamii hasa pale wazazi wanapokuja juu maneno yao badala ya kuwa faraja na tumaini ya kukutia moyo yanageuka yanakuwa sumu ya kuujelui moyo wako...... usilie futa machozi yako kwakuwa MUNGU amejua shida yako anatengeneza njia.....
axante mungu kwa kunitumia mtumishi wako kuja kunifariji siku ya Leo ooh hallelujah hakika kwako kuna pumziko amina Yahweh
Mungu akubaliki sana kaka huu wimbo sichoki kuusikiliza umenibaliki sana
mwalemi sitso kyengula unguluve akhutange
This song! 2016 -2017 truly made sense to my Life!
Barkiwa mtumishi wa Mungu
MAMA MKWE UMETISHA , Sikuzaa mgumba
Asante kwa wimbo
Bwana azidi kukutia nguvu umwimbie ktk roho nakweli
mama mkwe yupo sahihi maana kama sio mama mkwe WATU wasingekumbuka kufanyiwa maombi maana shetani Luna sehemu ameshikilia barikiwa sana mtumishi kazi nzuri sana
@ray dayson
Pengine hujajua hili kwamba huyu mama anakosea kitu k1 maana angetambua kwamba hata wagumba wapo kwa ajili ya utukufu wa Mungu usingekubali kumsaport mama hyu, n kweli Mungu hashindw lakn mpaka mapenzi yake yatimizwe mpendwa.Ubarikiwa
Dah Mungu anatoa kwa wakat wake
Mbarikiwe watumishi
Waoooo jmn i like ths nzur san
Wimbo mzuri hivi but viewers wachache!!!mm nimebarikiwa na kutiwa nguvu sana!!!
Ubarikiwe Sana Daniel
Wimbo mzuri, ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Nice song
Good song
wimbo mzuri sana Glory to God
MAMA ANGU MAMA MCHOVU KATENDEA HAKI KIPENGLE CHAKE MAMA MKWE HATARI UBARIKIWE SANA MAMA ANGUVS CHENGULA NA TEAM YAKO
celina kipangula iko safi hii nyimbo
Amen God bless you all. Unasema upande umoja tu alisema mwende ukajaze ulimwengu... Mungu ajuwa aja ya kila mtu
Mbarikiwe watumishi
Mungu kwanza 🙏
Mbarikiwe sana
mungu asimame mwenyeweee
Ameni ubalikiwe sana
Nimeipenda sana Introduction...God bless you so much
nikumuomba MUNGU
Iblahim lengonya
mbarikiwe
kaka zangu mbarikiwe
nime shtuka jamani kabla wimbo kuanza
Ok mungu yuko na we we vizuri sana
Wimbo mzuri ubarikiwe ndugu
jamani hawa wamama wabalikiwe
Mama mkwe kiboko
amen
So nice
Good
Waa amen
Kazamwe antokia
jaman huu wmbo n mkal
Kwann
Princess Almoney ubalikiee mtumishi
Ubarikiwe mess kwa huduma
Mama mchovyu pongezi sana unaweza sana
🤗🤗👏👏👏👏👎🙏🙏🙏
nimpango Wa MUNGU lakn shetan nae yuk kazni
Sasa Mess unachezaje tofauti na beat?
ubarikiwe