Kwaya Ya Vijana KKKT Mabibo Mimi Mzabibu
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 24 มิ.ย. 2013
- Subscribe to Wyld Pytch / 51 Lex: bit.ly/WyldSubs
Wyld Pytch / 51 Lex Records
Web - wyldpytch.com/
Instagram- wyldpytch51lex
Facebook - / 51lexrecords. .
Tiktok: / wyldpytch51lexrecords
Twitter - / wyldpytch - เพลง
We have just started 2024 with such powerful Prayer songs.
Who is here with me,listening to this melodious voice?
Daah watu walikuwa wanaumiza sana vichwa kuimba nyimbo,,sauti iko high quality,, maneno yanayotoka kwenye vinywa vyenu hakika mungu hataacha yapite hivihivi atawabariki ninyi na vizazi vyenu
The song my father loved those days, we could listen it from Nandi to Nairobi, it nourished my spiritual life, may my father RIP, i miss you.
Still jive to this great song.. Namibia 🇳🇦
Gospel song's sina nikumbusha so far kule nilitoka sifa qwa mbwana yesu🙏
one of the songs that was like anthem in mid 1990s, this choir was the best
Albert Njau kwakwelii mmeñikumbusha mbali
So.powerful 😊
Kwaya ya KKKT Mabibo mbarikiwe kwa nyimbo nzuri. Mungu kawazidishie neno lake la ufunuo katika utunzi na uimbaji.
Nice song .god bless this choir
Still on my top 2023 and forever God bless
2021 bado naangalia na kusikiliza
Kkkt mabibo choir nawapenda sana na songs zenu ndio napenda kw gospel sana. Mungu awazidishie baraka zake
Mungu 🙏🙏 bariki kwaya hii ya kkkt mabibo mungu uliye mbinguni twakuabudu ww
Is this choir still there? They are the best
Eu sou uva,e vós sois ramos,e o meu pai é o camponês,advinha quem:?🇲🇿2024
2022 I'm here... Childhood favourite
I feel to appreciate this choir😂 may Almighty God strength you guy's
This is the time when gospel music was the real thing.
Sure.
Nyimbo nzuri sana. Bado nasikiliza nasikia kama kupaa. 2019 September
Wonderful,,,,congrant'z.
I don't understand the meaning but I love this worship or praise song I believe it holds a powerful worship meaning
Amen🙏
This song is good
Am here 2023 December Bado hii song inahit cwec choka nayo naiskizanga continues ❤❤❤❤
Now listening ,best chair
zinanikumbusha mbali Xana yan have a excellent
Mbarikiwe na mzidishiwe ktk KAZI yenu
Jamani wanà kwaya awa nawapenda sana wananikumbusha mbali sana na sauti zao nzuli, mimi nawaombea kwa Mungu awape maisha malefu yenye mafanikio, amina
Amina! Kweli sisi ni matawi. Asante sana.
Ongela,xana
Were is the original one played with Yamaha PSR 32?
Safiii kabisa Mungu awabariki sana, ninawapenda siku zote
Noma sana from tiktok
These songs make me miss my dad 😭 💔😭😢 MHSRIP
Wow nice song,much love ♥️🙏from uganda
Nice song
Tuwe kitu kimoja 2024
God bless you
Anyone who knows the chorus to write for us please
Nyimbo za Injili kweli. Tuzae matundo ndugu zangu na tuwe katika umoja. Nafurahi kabisa kwa wimbo huu!
Mungu wabariki nawapenda sana
Napenda nyimbo zenu saana
Napenda sana hii song thank you kkkt mabibo
Tufanyie Mungu kazi
Mungu awabariki watumishi
I love this song may God bless you
Wapi vol 2?
2022 July sweet childhood memories
Amen
sasa hawa walienda wapi jamani wakaacha Dunia ya nyimbo ikichafuka hivi?
A strong song of my hat
Nice song🙏🙏❤
Huu wimbo hunigusa saaana wakati ninapousikiliza. Mungu na awabariki na kuwazidishia siku zote
2023
Living in Christ.
Saf sana
Tumegemee mungu kwa kila jambo
Fabulous songs
2020
enzi zire
I.nyimbo.imegewuza.mayisa.yangu.asate.watsungaji
❤
safi sana
Nakumbuka kipindi baba akiringa na Redio kaseti yake
Ahhaah acha tu. Sijuwi kama nyinyi mlikuwa na dancing competition kwenyu.
Amen ✅🙏
Anyone can explain.the meaning of song.
This is the time before the devil became a tailor
Hakika sauti na utamu ulipangiliwa asante kwa kumbuku
Ujana ni moshi. Unanikumbusha enzi zangu za ujana. Mwanadamu mche Mungu tu na hii ndiyo Siri ya mambo yote.
ABC mlolongo choir
Kinanda inapigwa ipasavyo
Rahma Shaban ww ndio upewe pole
congrats vijana was mabibo album zingine ziko wapi ?
Geoffrey Mumbo kwan mlipotea
Hizi nyimbo mlipo zifanyia remix ndo mmeziaribu kabisaaa...... mngetuachia zile original.
Cassian Altho I support you
mlachake anania me too i support him
ni kweli kabisa hakuna uzuli wwte kushinda zile za mwanzo
Kulikuwabna haja gani kuondoa mahudhui ya ule upigaji wa zamani tempo siyo hii bana analogy ilikuwa imefanya vizuri sana tena msingefanya remix mngeendelea na nyimbo nyingine za uwezo wenu hii minimekuwa naisikia inatamba
Mbn hizo mnazotaka pia zipo
mmmmh maskin poleni sana .ila sina uhakika kama yesu aliyafanya haya mambo. msiba mkubwa sana.
imani zingine hatar huko tuendako..!!
Mungu baba msamehe uyo
Barikiweni sana
Ukibaki na iman yako inatosha
Msiba wewe na yako familia.
Mungu awape maisha malefu hinyimbo huwa Ina nibariki
Nice song
Keep up mabibo Choir God loves you
2023