Kweli kila mtu ataondoka na amali yake allah atujalie mwisho mwema insha allah amtie nguvu nakumponya hawa dada alie kufa allah amtie nguvu mama yake kufiwa kungumu sana mungu atujalie subra insha allah
Wew nifa kumbe kuna MDA huna Akili kweli yani kuna watoto hawana baba wala mama wanalala mabarabaran hawana msaidizi na mmenyamaza ila watu wakijinga wasaidiwe kila mtu atakufa ila Si Kwa ujinga uo iyo ndo ndo adhabu malipo duniani wanamchezea mungu Kwa miguu sio na wew kama sio muislam du
Yaani x2 kuna wa2 wagonjwa wanahitaji msaada,u mxima wa afya unaenda kumsahihisha Mungu,kwani alikuwa aje amwonyeshe nano shape? Kwani alikuwa arudije baada ya kufanya surgery?.Ukishakuwa na muonekano ambao hukupewa na Mungu kuna maana gani?
Acha Mungu aitwe Mungu hii nifunzo kwawengune ,hakuna kuchangia mtu hapa ungesema kuna mchango kanisani ama msikitini au yatima ,halingumu yamaisha watu tungechangia ,ila sialienda kumkosoa Mungu so alivyo enda sialikua na nauli na alipanga kuludi kwaiyo iyoela yakuludia sialikuwa nayo kwaiyo ndiyo hiyo imludishe akuna kusumbua watu hapa
Kila anekwenda uturuki kumkosowa mungu basi naomba limkute jambo ili wenzake wajifunze Luna nayatima hawana ata pakula wala pakulala niache kuwachangia nijemchangia mbuzi huyu anaemkosowa mungu
Ni kweli , tusimuhesabie au kumuhukumu, hakuna mkamilifu chini ya jua, binti amejieleza vizuri sana, tutoe kama sadaka. Poleni sana familia, wazazi wanaumia sana jamaniii
Hakika tunapaswa kumwombea Leo tunaona kwa huyo Dada lakini na sisi tunauzao dunia yenyewe imeharibika tusiseme maneno mabaya yatatugeukia kwa vizazi vyetu tuombe mungu sana atuepushe na janga hili
Jamani kuna watu wanashida kubwa. Juzi tu tumeoneshwa yule baba mwenye kansa ya shingo na ana vitoto 2 visivojua future yao, je nani wa kusaidiwa hapo??
Let us stop using right logic to justify wrong things, there are alot of people in serious needs na wapo alive... tuwchangie hao, wagonjwa, yatima, wafungwa, etc
Point iko waap et Don't gurge nyoo si umtolee wew izo pesa tena komaa kabisa izo elf 5 tunashinda tunazitafta nyie mnaopata zakwenda uturuki kuchonga shape kazi nikwenu
😂😂😂😂😂😂😂 Tanzania walisema ni warembo tena uturuki wanaenda 😂😂😂😂😂😂 kufanya nini i gess God is punishing them by speaking evils against his ,,,,choosen nation Kenya girls,,,,,, I'm glad...God is awake.....wapi likes zangu
Ila nyie ni mastar kweli iyo hela amna kweli jamani warembo wa bongo njie mna umoja wenu msizingue mtoe pesa walete mwili bhana mambo ya kishetani mnayaleta hapa badilikeni kuna watu kibao wanaitaji iyo misaada ili waokoe maisha yao kwa magonjwa nakushauli dada tembelea mausipitali kwanza uyo kisha kufa acha wazike huko mungu ni mmoja akita badilisha kitu ok
Afadhali Mungu kaleta majibu mapema. Miezi michache iliopita niliona mada kama hii, na kunambunge mmoja alipinga sana lakini kuna wabunge wengine walikuwa wakitetea sana Tanzania kitengo cha kubadilisha maumbile kianzishwe. Sasa wamchangie marehemu ili aje kuzikwa Tanzania.
Nyie mnao changisha mwili biashara inaonekana sura zenu ni za uturuki na mako msishirikishe watu upuzi mana hakua anaumwa ni yeye kwa raha zake mwenyewe na kiranga chake
N ww mwenyewe kama unatetea w2 wanaofanya uovu halafu unaomba achangiwe ushapigwa lana yaani umalaya munafanya hamuridhiki munaingia mpk kwenye kazi y mungu
Hakuna kitu kama icho peleka usenge uko yan tuache watu umwa huku wanahotaji msaada tumchangie mtu ambae kaenda kumrekebisha mungu yan nifa we kaa acha ufara utapoeza mateja kwa ishu hii nakwambia
Hapa kujaji niwajibu Huo mchango Bora tukawape Watoto yatima maana mmezidi kumkosoa mungu sasa mpambane hari zenu Bora Kufa na teta kuliko Kufa Kwenye kumkosoa mungu uumbaji wake apumzike kwa amani
Nyie mnatimiza ndoto zenu ss ndo wakuwalipia matibabu na magojwa yenu ...jmni mtafute magroup ya wasanii ambyo mtakuwa mnchangishana kwa dharura kama hzi
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 imeonaee angetoka salam angekuja kutubinulia shape mtandaon alale yoyo bhna tunashida zetu nyingi bora angekuwa mgonjwa kuliko uyo umalaya ndio umempeleka kule
Nifer, wewe peke yako una weza kutoa toa una weza, ila kama. Ulivyo sema sijaji ila bora wagonjwa wako muhimbili hawana hata chakula au watu wa kuwangalia! Hata maiti zao hawana watu wakuwatolea pesa za mochwari! Acha nifer acha wewe! Bwana alitoa bwana ametwaa
Yaan kaendaje?ashindwe kurud hem tulizane akiwa mait wakat pesa ya kufanya hiyo surgery kapata wapi? Km wazee wake maskin hizo pesa si angetulia maisha acha azikwe huko huko ndo mungu ashapanga azikwe huko wa dada tunakufa tunajiona jaman polen wafiwa
Muache wasichana wengi wabongo mmejibadilisha maumbo kuvutia wanaume na ww unahamasisha huo ujinga wa kumsahihisha mungu pumbavu zenu mliambiwa bila matako hamtaolewa au umalaya tu umewazidi shetani atawamaliza mpo wengi mliofanya hivyo mtakwenda kujibu siku ya kiama maana ss kazi yetu ni kuangalia tu. Nawasihi Dada zangu jikubalini mlivyoumbwa apate za kujibadilisha zakumsafirisha zikosekane? Familia wajipange ss mtuache
Next time nawashauri hao wafanya surgery waweke na akiba incase litatokea lolote huko ni nchi za nje na hatujui kama doctor ndio mwenye nakosa au vipi.tusipeane lawama jamani.
Mnaokimbilia comments taratibu msikanyage wenzenu 😇🙌
Mnakitafuta kifo namna hiyo,Wakat mm naomba MUNGU aniongezee siku za kuishi ,EE MUNGU naomba unipe mwisho mwema Amen.
Kweli kila mtu ataondoka na amali yake allah atujalie mwisho mwema insha allah amtie nguvu nakumponya hawa dada alie kufa allah amtie nguvu mama yake kufiwa kungumu sana mungu atujalie subra insha allah
Wew nifa kumbe kuna MDA huna Akili kweli yani kuna watoto hawana baba wala mama wanalala mabarabaran hawana msaidizi na mmenyamaza ila watu wakijinga wasaidiwe kila mtu atakufa ila Si Kwa ujinga uo iyo ndo ndo adhabu malipo duniani wanamchezea mungu Kwa miguu sio na wew kama sio muislam du
Yaani x2 kuna wa2 wagonjwa wanahitaji msaada,u mxima wa afya unaenda kumsahihisha Mungu,kwani alikuwa aje amwonyeshe nano shape? Kwani alikuwa arudije baada ya kufanya surgery?.Ukishakuwa na muonekano ambao hukupewa na Mungu kuna maana gani?
Kapata wapi pesa za surgery huyo dada marehemu
Awo ni wadangaji ndo biashara zao wanaish kwa udangaji kwa iyo lzm wazid kuimarisha biashara yao ionekane na mvuto ili wapate wateja zaid
Alijua vzr mana ni upareshen yy kataka kumkosoa mungu
Pesa yangu bora nikamnulie samaki paka wa mtaani kuliko kumchangia uyo dada kayatafuta mwenyewe
That's true
Uko sahihi naungana na wewe😂😂😂
Acha Mungu aitwe Mungu hii nifunzo kwawengune ,hakuna kuchangia mtu hapa ungesema kuna mchango kanisani ama msikitini au yatima ,halingumu yamaisha watu tungechangia ,ila sialienda kumkosoa Mungu so alivyo enda sialikua na nauli na alipanga kuludi kwaiyo iyoela yakuludia sialikuwa nayo kwaiyo ndiyo hiyo imludishe akuna kusumbua watu hapa
😂😂Astafirullah kiranga koma
Jamani msimuhukumu marehemu, tumuachie Mungu
Kila anekwenda uturuki kumkosowa mungu basi naomba limkute jambo ili wenzake wajifunze Luna nayatima hawana ata pakula wala pakulala niache kuwachangia nijemchangia mbuzi huyu anaemkosowa mungu
Kabisaaa
Kaka naungana na wewe ata Mimi nikienda linikute
Woote walio wahi kwenda uturuki ndio wachangishane maana walishapataga faida za uturuki...
Ila wewe 🤣🤣🤣
Kweli ndugu
Ni kweli , tusimuhesabie au kumuhukumu, hakuna mkamilifu chini ya jua, binti amejieleza vizuri sana, tutoe kama sadaka.
Poleni sana familia, wazazi wanaumia sana jamaniii
Hakika tunapaswa kumwombea Leo tunaona kwa huyo Dada lakini na sisi tunauzao dunia yenyewe imeharibika tusiseme maneno mabaya yatatugeukia kwa vizazi vyetu tuombe mungu sana atuepushe na janga hili
Mungu atusaidie jamani tuweze kuona uumbaji wake ni wa muhimu kuliko haya tunayoyaendea
Ndio liwe funzo kwa mwengine
Jitahidi wasanii wote mjioganise muwe na account au sehemu Moja ya kuchangia.
Jamani kuna watu wanashida kubwa. Juzi tu tumeoneshwa yule baba mwenye kansa ya shingo na ana vitoto 2 visivojua future yao, je nani wa kusaidiwa hapo??
Let us stop using right logic to justify wrong things, there are alot of people in serious needs na wapo alive... tuwchangie hao, wagonjwa, yatima, wafungwa, etc
Mwenye kiranga halil endeleen kumkosoa mungu hatuchangi tutachanga kwa wenye uhitaji maalum
Kabisaa kabisaa hatuezi tupa pesa
Ushasema
Kweli Hawa ni washezi tu
Hatuchangi unatufokea,kwani mnavyoendaga kuuza mikundu muwe mnaweka na Akiba
😂😂😂😂Annamussa kunywa Soda 🥤 nitalipa🙏Wanahutaji wawe wanajiwekea na pesa za kusafirisha mwili,Allah ampe kaul thabit
We ana wew utanivunja mbavu kwa kicheko
❤❤❤❤ vizuri sn mungu anaweza
Niffer ameongea point hayo mengine tuyaache kifo hakina mwenyew jamani
Ss alipata pesa za kwenda huko c ajitoleee mwenywe tu ww acha uboya weeee hatuchangiiii komwe shepu tyr alishalipata
Point iko waap et Don't gurge nyoo si umtolee wew izo pesa tena komaa kabisa izo elf 5 tunashinda tunazitafta nyie mnaopata zakwenda uturuki kuchonga shape kazi nikwenu
Hatari Safi kaenda na ushahidi mmezidi kumukosoa Mungu ndo mjue hapa tunapita fanya ufanyavyo lazima utakufa
Yaaani unaenda kununua kifo kwa hela yako mwenyewe jamani?duuuh!!
Eee mungu utupe mwisho mwema
Changia. We nafamilia. Yako
Hakika hata mie nitasem hiv ni bora nimchangie anae umwa kuliko yy no time
Mungu utusamehe.
She is cute.Why tupo hivi.
Mungu utusamehe.
Hela ya kwenda uturuki alitoa wapi Hadi tuchangie
Kudanga
Siwezi kumchangia mtu mwenye kumkosowa mungu muacheni azikwe uko uko
Nyie si mpo karibu na Mama zungumzeni amalize hili ..
Eti ajali kazini basi na sisi tukokazini saizi kumuomba mungu hatuepushe na kipunga
Hapew pole mwenye klanga japo ha2ruhusiw kuombeana mabaya alhc MUNGU mjomba ake 😢
Wanamchezea mungu Sana dah🙄🙄🙄🙄
😂😂😂ila we nifa mjinga kweli
Ya Allah tupe mwisho mwema.huu ni mtihani mkubwa walah.
Ww niffer acha unafk MUNGU alpe kwa kumkosoa upuuz 2.
Wana penda sana kumkosoa mungu
😢tujifunze kupitia hili
Mm binafis siwez kutoa mia yangu make mungu alikuumba vizuri ukaona haitosh wee siwez
Pole sana mdogo wangu shuu duh kumbe uliacha dini yako ukaritadi hata mm sina msaada kwako nisamehe bure
Kumbe alijua muislam duh mthn wallah laadhim Allah amuweke panapostahiki
Shuu mi muislam Wala hajawai badirsha dn
Tumemzik kiislam Kama mlivyoona hapo. Katika makaburi ya mwinyimkuu magomeni mapipa
😂😂😂😂😂😂😂 Tanzania walisema ni warembo tena uturuki wanaenda 😂😂😂😂😂😂 kufanya nini i gess God is punishing them by speaking evils against his ,,,,choosen nation Kenya girls,,,,,, I'm glad...God is awake.....wapi likes zangu
Well said
Dada umeongea point san wote hatujui kesho yetu
KwAkeri musimukufulu mungu akumbe na umbo lako ww acha zako alituaga kwenda uko uoni upuuzi san
Dada umeongea hakika huo ndio ubinadamu, barikiwa mno Kwa roho hiyo
Mmmh sijui itakuaje maana kwa sasa tunashughulika na hidaya pamoja na mafuriko mimi naona azikwe tu huko hlf matanga tutafanya huku
ndo vzr fundisho kumkejili mungu
Akiwepo hai kapona na hiyo surgery unafikiri angekufahamu ! Bahati mbaya imetokea ya mungu makubwa !
Hiyo siku aliyoenda uturuki angebaki tyu azidi kumuomba mungu azidi kumlinda "tamaa mbaya jamani wadada lizikeni na mlivyo jamani
Mungu ndio anawatuma kumkosoa nakwenda kubadili mwili alieumba yy.Mnachezea pesa kwamambo yakijinga alafu mnatupa mipaka yakusema
Mkienda kuvimbisha matako yenu huwa mnaturingia sana sasa Mungu anawaonyesha kuwa yeye huwa hakosei kwenye uumbaji wake
Kufeni Sana mnamsaisha Sana mungu
Hata wakristo wanazika huko sio lazima kuzikwa huku kuaga ni desturi tu tumeweka Ila sio lazima
kwan wew huwez saidia mpka nifa? mwenzako anasaidia sasa kazi kwako uache kulaum
Thubutu sichangi hata Mia azikiwe huko huko Alienda kumrekebisha muumba wake khaaa akome😅😅😅
😂😂😂😂😂😂😂😂😂uwiiiiiiiiiii warembo wa mjin hao vichwa vyao vimejaa povu hawan akil wanawaza kujibadili maumbile tu
Waache wamzike uko uko na wew una mpango wa kwenda nin? Wacha kutupija porojo, kwan alipelekwa na nan uko?
Hilo ndo fundisho jikubali na ulivyoumbwa mungu ana maksudi
Hii mmejitakia wenyewe kumurekebisha mungu
Wapumbavu ninyi. Mtajimaliza sana na ujinga wenu
Haya nyie wasanii mchangieni mwenzenu mm bora zangu nikatoe sehemu ambayo na mm mungu atanilipa kwawema wangu
Wachaaa afeee kwa n nn wanapendaa kumkosoa munyezi mungu
Na mtanzania yoyote atakae toa mchango wa kumrejesha basi mungu amlaani.
Tena lane zote zimkute
Pole sana hata mm dada ako sina msaada pesa ninayo ila kwa kuritadi ukaacha dini yako sina msaada kwako
Ila nyie ni mastar kweli iyo hela amna kweli jamani warembo wa bongo njie mna umoja wenu msizingue mtoe pesa walete mwili bhana mambo ya kishetani mnayaleta hapa badilikeni kuna watu kibao wanaitaji iyo misaada ili waokoe maisha yao kwa magonjwa nakushauli dada tembelea mausipitali kwanza uyo kisha kufa acha wazike huko mungu ni mmoja akita badilisha kitu ok
Sina mda wa kumutawaza mbwa,
Rudi kwenye maandiko unachokiabudi Kama unampinga mungu nisamehe kwa jibu la hovyo
duuuuh aseeeh MUNGU atusaidie
Hakubakiza chenji kweny sajari??
😂😂😂
Sasa pesa ya kwenda kufanya upasuaji ilikuepo ila pesa ya kurudi haipo 😂😂😂
Afadhali Mungu kaleta majibu mapema. Miezi michache iliopita niliona mada kama hii, na kunambunge mmoja alipinga sana lakini kuna wabunge wengine walikuwa wakitetea sana Tanzania kitengo cha kubadilisha maumbile kianzishwe. Sasa wamchangie marehemu ili aje kuzikwa Tanzania.
Tuchangie nn kwanza ao wanao changisha niwapigaji tu
Familiar aina uwezo kwann ..??usiinue familiar kuisaidia .unapata 2wap ela yakufanyia ilo
Ata uko ardhii sizipo Bora tumchangie Caren Yuko hoi
Ukalukwega ukalumlija we peke aende akakutane na mungu wake sasa akizikwa nafamilia atarudi makaburi yako pote
Hela ya sager alikua nayo ela ya kurudishwa hana mi nitachangia mtu mgonjwaa sio aliejitakia haridhiki na alivoumbwa
Nyie mnao changisha mwili biashara inaonekana sura zenu ni za uturuki na mako msishirikishe watu upuzi mana hakua anaumwa ni yeye kwa raha zake mwenyewe na kiranga chake
Kwani ukiblock kuna faida au hasara tunapata kuna wattu wana shida mno hii haituhusu
N ww mwenyewe kama unatetea w2 wanaofanya uovu halafu unaomba achangiwe ushapigwa lana yaani umalaya munafanya hamuridhiki munaingia mpk kwenye kazi y mungu
Wasanii wakibongo wakiwa wazima wanasema wanatembea na milioni kwenye gari hakifa wanatuona shida sisi mkila vitu vyenu hamtuoni hatutaki
Wanafanya umalaya bila kutunza hela muuze mkudu wake iri arud kuzikwa huku
Hakuna kitu kama icho peleka usenge uko yan tuache watu umwa huku wanahotaji msaada tumchangie mtu ambae kaenda kumrekebisha mungu yan nifa we kaa acha ufara utapoeza mateja kwa ishu hii nakwambia
Yani dem ni mrembo lkn wazimu tu jmn Pole lkn mareemu asemwi vibaya
Nyash iz disturbing people 😄
Hapa kujaji niwajibu Huo mchango Bora tukawape Watoto yatima maana mmezidi kumkosoa mungu sasa mpambane hari zenu Bora Kufa na teta kuliko Kufa Kwenye kumkosoa mungu uumbaji wake apumzike kwa amani
Wazke huko htuna michongo maan Kuna wtu wanaxhda
azikwe huko huko kwani akija kuzikiwa huko ndio nini azikwe popote udongo ndio huo huo
Wafe tu na watanzania wa har yetu tusiwachangie mbwa hao we Nifa uyo azikwe tu hukohuko wote wafanya sagyal yamkumkosoa muumba atuchangi ngooooooooo
Jaman hicho ndicho kifo chake kilipangwa hivyo tuache kutoa hukumu, rip
Nyie mnatimiza ndoto zenu ss ndo wakuwalipia matibabu na magojwa yenu ...jmni mtafute magroup ya wasanii ambyo mtakuwa mnchangishana kwa dharura kama hzi
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 imeonaee angetoka salam angekuja kutubinulia shape mtandaon alale yoyo bhna tunashida zetu nyingi bora angekuwa mgonjwa kuliko uyo umalaya ndio umempeleka kule
@@gracejulius6913 kbsaa yaani
kwan kunaubaya kuzikwa uturuki jaman
Bora nikamnunulie mbwa nyama nimpe ale nitapta thawabu iyo surgery bei gni kwn ilivyokuwa kafa arejeshewe hela zke
Iyo pesa ya mchezo ya sajar alipataje akose ya kusafirishiwa wafe tuu tamaa wamezid
Wambadilishe tu dini ili wamzike ukouko uku kwetu tunawachangai wenyemafuliko
Nichangieni mim nende nkahij mwaka huu
Nifer, wewe peke yako una weza kutoa toa una weza, ila kama. Ulivyo sema sijaji ila bora wagonjwa wako muhimbili hawana hata chakula au watu wa kuwangalia! Hata maiti zao hawana watu wakuwatolea pesa za mochwari! Acha nifer acha wewe! Bwana alitoa bwana ametwaa
Yaan kaendaje?ashindwe kurud hem tulizane akiwa mait wakat pesa ya kufanya hiyo surgery kapata wapi? Km wazee wake maskin hizo pesa si angetulia maisha acha azikwe huko huko ndo mungu ashapanga azikwe huko wa dada tunakufa tunajiona jaman polen wafiwa
Kwan alienda bila pesa ya kurudia
Alibeba ya kurudia mwenyewe mzima, ila pesa ya marehemu inazidi mara tatu kama siti tatu hivi unavunja.
Kweli Mungu hachezewi sijui atamjibun nn akimuuliza
Muache wasichana wengi wabongo mmejibadilisha maumbo kuvutia wanaume na ww unahamasisha huo ujinga wa kumsahihisha mungu pumbavu zenu mliambiwa bila matako hamtaolewa au umalaya tu umewazidi shetani atawamaliza mpo wengi mliofanya hivyo mtakwenda kujibu siku ya kiama maana ss kazi yetu ni kuangalia tu. Nawasihi Dada zangu jikubalini mlivyoumbwa apate za kujibadilisha zakumsafirisha zikosekane? Familia wajipange ss mtuache
Najua wanawake wenzake makahaba ndo wataguswa sana. Ila kwa wanaume sizani
Kwenye hela ajitahidi kuwachangia wagonjwa wenye Hali mbaya muhimbili na hospitali nyingine sio Hawa wakosoaji wa muumba wetu acha azikwe hukohuko
yani ni funzo kwa wengine ila tutachanga kwa ajili ya mama yake. tu
Hee kumchangia mtu aloenda kumkosoa mungu inawexa kunisaidia kupunguza azabu ya mungu
Next time nawashauri hao wafanya surgery waweke na akiba incase litatokea lolote huko ni nchi za nje na hatujui kama doctor ndio mwenye nakosa au vipi.tusipeane lawama jamani.
Wnaasenda hospital za vichochoron matokeo yke hyo kumkosoa allah
Umeambiwa ukiwa hvy hvy hupati bwana
Nani alimwambia akamsahihishe Mungu kazi yake,