Nyimbo nzuri za Kwaresma 2024.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 124

  • @roselinemoshi5008
    @roselinemoshi5008 5 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Yesu Kristo, thank you so much Jesus Christ, aika sana Yashua ha Masha, Ruwa oko ❤❤❤

  • @rizikijames5053
    @rizikijames5053 7 หลายเดือนก่อน +14

    Mwenyezi mungu tujalie kuiamini injili na kuyatenda yaliyo mema katika kipindi hiki cha kwalezima

  • @KristinaPatrick-x8g
    @KristinaPatrick-x8g 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba tusamehe Zambi zetu zote🙏

  • @giftedgrace1037
    @giftedgrace1037 6 หลายเดือนก่อน +5

    Eeh Mungu Naomba Utusamehe Dhambi zetu zote kwa kuwaza,kwa kunena na kwa kusikia.🙏🙏

  • @vijiliamwakyelu1295
    @vijiliamwakyelu1295 7 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu usituache tunaokimbilia ulinzi wako pekee

  • @user-dr2ne7ue8m
    @user-dr2ne7ue8m 7 หลายเดือนก่อน +7

    Ee Mungu Baba mwenyezi wa milele nijalie Toba ya kweli moyoni mwangu ,pamoja na familia yangu tuweze kuiona thamani yako kwa wenzetu wahitaji. Amina.

  • @philesongori7022
    @philesongori7022 7 หลายเดือนก่อน +8

    Mungu naomba unisamehe makosa yangu

  • @user-bd9fq3xx5k
    @user-bd9fq3xx5k 7 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu wangu unijalie katika kipind hiki katika kutafakali makuuyako niichukie dhambi

  • @FrancisAbel-xj3cq
    @FrancisAbel-xj3cq 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu yupo upande Wang the ROLD is on my side I will not fear

  • @DenzelWilliam-bb8tu
    @DenzelWilliam-bb8tu 5 หลายเดือนก่อน

    God help us to avoid temptations❤❤❤ to all Christians

  • @rahabgatwiri6178
    @rahabgatwiri6178 7 หลายเดือนก่อน +13

    Nawatakia kwaresma njema iliyojaa upendo

  • @pinaMercy
    @pinaMercy 7 หลายเดือนก่อน +9

    Asante Mungu

  • @maishayangu9216
    @maishayangu9216 5 หลายเดือนก่อน

    Nami mkaniombeeni wenzangu kwa uvivu wa imani yangu na kupotea njia mara nyingi tu. Nitawakumbuka pia nikijaribu kuimarika.

  • @jeniferlyimo8260
    @jeniferlyimo8260 7 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu mimini wako na mali yako sijatokana na chochote zaidi yako. Nivute zaidi kwako kwa toba yakweli haswa kufanya mapenzi yako nijalie msamaha wako na neema ya kusamehe wengine ili ktk huduma zetu kwa watu wako zipate kibali machoni pako. Sote tuje kwako kwa furaha milele. AMENI

  • @RodahOndiek
    @RodahOndiek 27 วันที่ผ่านมา

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 please forgive me the son of God and have mercy on me

  • @user-dk5jb9yn1x
    @user-dk5jb9yn1x 6 หลายเดือนก่อน

    Kwaresma. njema

  • @monicajohn5578
    @monicajohn5578 7 หลายเดือนก่อน +6

    EE mwenyezi mungu nakuomba unipatie NEEMA na moyo wa kujitolea kwa wahitaji nawashukuru Sana kwa tafakari nzur 🙏🤝

    • @user-hi2og2rg3y
      @user-hi2og2rg3y 6 หลายเดือนก่อน

      Ee mungu baba nakuomba uwape wito matajiri wenye pesa kuwasaidia watoto wajane na wakina mama wajane

  • @VesitinaDanielilunde-bk2vz
    @VesitinaDanielilunde-bk2vz 7 หลายเดือนก่อน +5

    Ee mwenyez mungu naomba toba yangu iweze kuwapunguzia marehem wote walio tangulia mbele ya haki adhabu ya ma mateso

  • @agnesmvulla2801
    @agnesmvulla2801 6 หลายเดือนก่อน +3

    Ee mungu wangu unipe nguvu yakufunga kwarezima hii mpaka mwisho na unisamehe makosa yangu 🙏🙏

  • @kristaboniphace6873
    @kristaboniphace6873 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mwenyezi Mungu awaongoze katika mfungo huu ,tukumbuke kutenda matendo ya huruma,tufanye toba,

  • @phylismomanyi5185
    @phylismomanyi5185 5 หลายเดือนก่อน

    Eee mungu nijalie toba ya kweli

  • @Aakriti-it8iy
    @Aakriti-it8iy 7 หลายเดือนก่อน +7

    Kwalesma njema wacathoric wenzangu❤😊

  • @blandinamollo699
    @blandinamollo699 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu tujalie kipindi hiki cha kwaresma, tuwasaidie watu Wenye mahitaji. Tunaomba toba, utusamehe Dhambi zetu.

  • @OliviaWtiness
    @OliviaWtiness 7 หลายเดือนก่อน +3

    Ee mungu tuangalie ss wanadamu udhaifu wetu ktk maisha tuopoe ktk dhambi daima amina

  • @user-su5xw1wd6k
    @user-su5xw1wd6k 7 หลายเดือนก่อน +3

    Eeee mungu nijalie toba ya kweli na ibariki familia yang na watu wote katik kwaresm hiii ikawe mwangaza katika changamoto ninazopitia amin

  • @shirohfrancis1931
    @shirohfrancis1931 6 หลายเดือนก่อน

    EE mungu nihurumie

  • @NancyKem-qn1rl
    @NancyKem-qn1rl 7 หลายเดือนก่อน +3

    Tunashukuru MUNGU na utujalie toba ya kweli na bariki familia yangu.na pia unijalie subra kati ya changamoto ninazopitia

  • @WilliumShayo
    @WilliumShayo 5 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @Amosigerard
    @Amosigerard 6 หลายเดือนก่อน

    Asante mungu🙏🙏🙏

  • @ZuwenaBaruti
    @ZuwenaBaruti 5 หลายเดือนก่อน

    Amena ❤❤❤❤

  • @MeneMhepela-hq4of
    @MeneMhepela-hq4of 6 หลายเดือนก่อน

    Ee mungu utuhurumie

  • @beatricebarasa4000
    @beatricebarasa4000 7 หลายเดือนก่อน +8

    We Mungu wangu tunaomba Toba ya kweli ndani mwetu!Natuweze pia kuwasaidia wenzutu kwa wakati huu wa kwaresma🙏🙏🙏🙏

  • @PendoMagitha
    @PendoMagitha 6 หลายเดือนก่อน

    Nihurumie eee bwana na familia yangu

  • @EmanuelAntony-vz7fv
    @EmanuelAntony-vz7fv 5 หลายเดือนก่อน

    Micc sana catholic kwarezma njema

  • @RICHARDPAULMASELE
    @RICHARDPAULMASELE 6 หลายเดือนก่อน

    Eemungu nijalie moyo WA toba

  • @SalmaLimo-e3x
    @SalmaLimo-e3x 7 หลายเดือนก่อน +4

    Eeh MUNGU wangu naomba nijalie toba ya kweli mimi pamoja na familia yangu

    • @SyandaPenelopeImsouthafrica
      @SyandaPenelopeImsouthafrica 5 หลายเดือนก่อน

      Baba yetu wa mbinguni nijalie toba ya heri na baraka zako mimi mwanao mkosefu pamoja na family yangu Jamaa zangu, marafiki na jamii yote duniani Amen.

  • @irenemamido6998
    @irenemamido6998 5 หลายเดือนก่อน

    Eee mungu tujalie mema

  • @ThomasPaschal-mt5oi
    @ThomasPaschal-mt5oi 7 หลายเดือนก่อน +12

    🙏🙏🙏🙏 Lord be with you wapendwa katika kipindi hiki

    • @Nellyney-rf4zc
      @Nellyney-rf4zc 7 หลายเดือนก่อน +1

      tumshukuru mngu kwa Nia yote tubaliki tufungulie milango yote kwenye huu mfungo wa kwasima

    • @tabiasaidi2931
      @tabiasaidi2931 6 หลายเดือนก่อน

      Naomba nisaidie mungu wangu

  • @richardarchardrumaya9234
    @richardarchardrumaya9234 6 หลายเดือนก่อน +2

    Eeh mungu naomba utusamehe dhambi zetu zote🙏

  • @bernadettarngina3442
    @bernadettarngina3442 6 หลายเดือนก่อน +1

    Eee Mwezi Mungu nakuomba unitakase Kila wakati nipate kusamehewa na pia familia Aminaaa nakulilia Mungu

  • @StivinMtaki
    @StivinMtaki 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu wangu nisamehe zamgu mimi mkosoji naomba unijalie maisha marefu na yenye baraka, hekima na busara vitawale katika maisha yangu jalia familia yangu afya njema pia mke wangu kipenzi watoto wangu mama zangu wote ,Asnte bwna yesi

  • @SAIDMSAFIRI-y7q
    @SAIDMSAFIRI-y7q 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu nisamehee makosa yangu mimi nimkosefu sana nakukimbilia wewe usiniache

  • @user-hi2og2rg3y
    @user-hi2og2rg3y 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ee mungu baba nakupenda na kushujudia na kuabudu na kuomba Toba unisamee dhambi zangu

  • @SadaMwambe
    @SadaMwambe 7 หลายเดือนก่อน +2

    We mungu. niongezee. Ima.ni iliniweze. Kukuamini Mimi pamoja na watoto wa ngu

  • @oliviamasao8394
    @oliviamasao8394 7 หลายเดือนก่อน +25

    Ee Mungu nijalie toba ya kweli ili uweze kunisamehe mimi na Familia yangu

    • @esthermugweru5015
      @esthermugweru5015 7 หลายเดือนก่อน +3

      0 God help mi to repent,forgive and to walk with you during this season

    • @seraphinemuyembe2840
      @seraphinemuyembe2840 6 หลายเดือนก่อน

      Àaà à 2:38

    • @marthadeogratius7913
      @marthadeogratius7913 6 หลายเดือนก่อน

    • @sefrozasibuti9194
      @sefrozasibuti9194 6 หลายเดือนก่อน

      😊​@@esthermugweru5015

    • @sharochepkoech4384
      @sharochepkoech4384 6 หลายเดือนก่อน

      May God continue showering his blessings to us🙏🙏❤️

  • @Mrsprissy2024
    @Mrsprissy2024 7 หลายเดือนก่อน +6

    May our good mercifully Lord forgive us our sins, especially this lenten season we badly need Him. To you brothers and sisters in Christ World over, may His light forever shine in your hearts and souls.

  • @gabrielmchau8764
    @gabrielmchau8764 11 วันที่ผ่านมา

    Ila dhambi ni chungu sana

  • @user-tp6no1xc9j
    @user-tp6no1xc9j 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kwaresma njema kwa wakatoliki wote

  • @LeticiaMaster
    @LeticiaMaster 7 หลายเดือนก่อน +3

    ❤ee bwan unijlie Toba ya kweli ili nisamehewe zamb zangu

  • @BarakaThomas-x4t
    @BarakaThomas-x4t 7 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu kristu❤❤❤❤❤❤

  • @EvancyEvodiucy
    @EvancyEvodiucy 7 หลายเดือนก่อน +2

    Nawatakia kumbukizi njema ya mateso ya mkombozi wetu yesu kristu

  • @BeatriceAroni-lg5vm
    @BeatriceAroni-lg5vm 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu wangu nakuomba unisamehe 🙏🙏🙏😴

  • @FaustaDaniel-fo2ur
    @FaustaDaniel-fo2ur 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ee mungu naomba unisaidie tomba yagu usikie na family yagu unisaidie nahitaji yagu ❤

    • @AncillaMayo
      @AncillaMayo 6 หลายเดือนก่อน

      Siyo tomba ni toba

  • @SweetberthLenga
    @SweetberthLenga 6 หลายเดือนก่อน

    Eee mwenyez MUNGU utuskilize sala na maombi yetu

  • @EstherPeter-rw4wz
    @EstherPeter-rw4wz 5 หลายเดือนก่อน

    Ee mungu nisamehe Pale nilipo kosea nikijua km makosa na pale abapo sikujua km nateda kosa

  • @KalingaJanne
    @KalingaJanne 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu turehem tujitambue tukuludie we muumba wet amna

  • @تتغتا-س6ش
    @تتغتا-س6ش 7 หลายเดือนก่อน +4

    ❤❤❤❤❤

  • @PientiaMkahumbya
    @PientiaMkahumbya 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ni jalie kutubu na kuiamini injil

  • @ahmedmuyingu7740
    @ahmedmuyingu7740 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu naomba ukatuondolee vikwazo vyote vinavyoendelea katika kapun letu🤲

  • @Lizmbula
    @Lizmbula 5 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏

  • @djfireclassctz1155
    @djfireclassctz1155 6 หลายเดือนก่อน +1

    We mwenyez mungu nijalie afya njema

  • @BarakaThomas-x4t
    @BarakaThomas-x4t 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kwarezima❤❤❤❤

  • @jaquelinekyai5994
    @jaquelinekyai5994 5 หลายเดือนก่อน

    🙏

  • @jeffmwangi6384
    @jeffmwangi6384 6 หลายเดือนก่อน +2

    Lord forgive us n have mercy on us especially this Lenten season.

  • @maureenwetola3862
    @maureenwetola3862 7 หลายเดือนก่อน +4

    God have mercy on us sinners

  • @AgnetarPatricia
    @AgnetarPatricia 6 หลายเดือนก่อน +1

    Baba naomba hunihurumir na uniodolee magonjwa kwa familia yangu..kwa yote nisamehe makosa yangu ee baba nakuomba

  • @tabiasaidi2931
    @tabiasaidi2931 6 หลายเดือนก่อน

    Ee mungu baba nijalie toba yakweli mm na familia na dunia nzima tuurumie muumba wetu

  • @VioletJackson-wu5sm
    @VioletJackson-wu5sm 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu tusaidie tuziache dhambi

  • @wairimuwaihwa2475
    @wairimuwaihwa2475 7 หลายเดือนก่อน +3

    Lovely collection ❤❤❤🙏

  • @GodifreyWilisoni
    @GodifreyWilisoni 6 หลายเดือนก่อน

    Eee mwenyezimungu tujalietuwe natobayakweli kwakipihiki chamwezi mtukufu

  • @catherinekhaemba6115
    @catherinekhaemba6115 6 หลายเดือนก่อน

    Good lord::::I praise you when I flash back..and count all the blessings...thanks lord for everything.

  • @RomanaSimon
    @RomanaSimon 5 หลายเดือนก่อน

    Amina barikiwa kwa nyimbo za kwaresma

  • @yustermathias3856
    @yustermathias3856 6 หลายเดือนก่อน

    Ee Mungu nijalie Toba yakweli, nisamehe Mimi nafamilia yangu,mimi na uzao wa tumbo langu, nijalie afya njema pamoka na familia yangu yote Amina

  • @AnnahSirili
    @AnnahSirili 7 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤amin

  • @GodMwangupili-rg3ke
    @GodMwangupili-rg3ke 6 หลายเดือนก่อน

    Ewe mwenyezi mungu unilinde Mimi na family yangu adi siku utakapo nichukua amina

  • @ClemenceSilimto-dg8vq
    @ClemenceSilimto-dg8vq 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kwaresima hii ,naomba pale nilipo jikwaa nisiweze kurudia njia ile nisije nikajikwaa Tena Mungu nisaidie

  • @user-sp3pn6ob8w
    @user-sp3pn6ob8w 6 หลายเดือนก่อน

    Eh Mungu nijalie Toba na familia yangu nzima

  • @user-eu5xv8om2y
    @user-eu5xv8om2y 6 หลายเดือนก่อน

    Ewe mungu nipe moyo wa uvumilivu baba

  • @afrodymayani4302
    @afrodymayani4302 7 หลายเดือนก่อน

    Heeeee Mungu wangu,naomba toba ta kweli na ufungulifu ta vifungo mbalimbali vya upeke na yafamiliya yangu

  • @lillianwairimu9691
    @lillianwairimu9691 7 หลายเดือนก่อน +10

    Lord have mercy on us and on the whole world.✝️
    Let's all have a blessed Lenten season 😇

  • @VeronicaMrope-jy8jx
    @VeronicaMrope-jy8jx 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu utulinde na maovu yote ya duniani🙏

  • @BeatriceWabukundi
    @BeatriceWabukundi 6 หลายเดือนก่อน

    Eeh Mungu naomba nijalie toba ya kweli na niweze kuichukia dhambi niweze kukutendea matendo mema kwako na kwa jirani zangu nikumbushe wkt wa Sala niweze kukujua wewe na kufata njia zako

  • @user-pv2kp4wo4v
    @user-pv2kp4wo4v 7 หลายเดือนก่อน

    Ee mungu wangu utujalie tuuvue utu wakale na kutuvisha utu upya Amina

  • @ProsistaTarimo
    @ProsistaTarimo 6 หลายเดือนก่อน

    Ee mungu naiombea Dunia yote msamaha kwani kila kukucha tunakuudhi na kuenda kinyume na katiba yako . Mungu shush huruma yako kipindi hiki kwani tumekusahau. Tumia uwezo wako mungu kuturudisha kwenye matari

  • @NancyAmoo-ji4zk
    @NancyAmoo-ji4zk 6 หลายเดือนก่อน

    Kwa ajili ya mateso ya makali ya bwana wetu yesu kristo utuhurumie sisi na Dunia nzima

  • @mariamukadiri8976
    @mariamukadiri8976 7 หลายเดือนก่อน

    Ee Mungu naomba nijalie toba ya kwel

  • @VesitinaDanielilunde-bk2vz
    @VesitinaDanielilunde-bk2vz 7 หลายเดือนก่อน

    Ee mwenyez mungu nisaidie kwaresma mwanaume nilie nae awe daraja la kuvuka na kuwa na aman

  • @FaustaDaniel-fo2ur
    @FaustaDaniel-fo2ur 6 หลายเดือนก่อน

    Ee mungu unisamehe maovu yagu❤❤❤

  • @neemakitamkanga7901
    @neemakitamkanga7901 7 หลายเดือนก่อน

    Ee mungu wangu naomba kwaresma hii unijali lehema zako niepuke kutenda dhambi bwana nakuomba toba yangu ikawapunguzie adhabu ya kabuli wazazi wangu na malehemu wote kwa ujumla uwape pumzi kuu

  • @ClemenceThobias
    @ClemenceThobias 6 หลายเดือนก่อน +1

    I am a siner may God forgive me and the other siners

  • @go-3getter
    @go-3getter 7 หลายเดือนก่อน

    nyimbo nzuri Hizi,asanti.

  • @vincentkithinji8903
    @vincentkithinji8903 6 หลายเดือนก่อน +1

    The beautiful liturgy defines my faith.

  • @eliminathalucian9015
    @eliminathalucian9015 6 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏ee mungu tujali toba yakweli

  • @AnethJustin
    @AnethJustin 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ee baba wa mbinguni tusamehe makosa yetu sisi wanao utujalie mwisho mwema

  • @ExcitedCakeSlice-en2be
    @ExcitedCakeSlice-en2be 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu utulinde wakati wa kwalezima hii

  • @user-dg9zf9be9e
    @user-dg9zf9be9e 7 หลายเดือนก่อน

    Ahsante🙏🙏❤️❤️❤️ wangu kwa uzm

  • @user-vd8is5ex2f
    @user-vd8is5ex2f 7 หลายเดือนก่อน

    kwaresma njema

  • @valerieallexynah7351
    @valerieallexynah7351 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ee
    Tusamehe
    Baba
    Naoma
    Toba
    Yesu
    Mimi
    Mthabi 27:32

  • @shirohfrancis1931
    @shirohfrancis1931 6 หลายเดือนก่อน

    Kwamaso yako nihurumie

  • @PaskaliaMwamba
    @PaskaliaMwamba 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu nisamehe dhambi zangu na family yangu