Ustazi juma huko amegeuka chizi anacheka kama malaya mgeni eti kulikua hakuna watu hata wngekua 2 mungu aliandika hao wa 2 ns wewe mwenye wengi shukuru. Ngoja hamo afanye ajaze dunia lakini yeye ndio ameshafanya na uwezo wake umeuona alipofikia je wewe una nini yani wewe mondi na zuchu wanakutia wazimu
@@kiehbhzh7044 mi nashangaa zenji nilizani waislamu ngimbe ndo walewale, Ibirisi anapambwa ,ila wa zenji wakikaa kuwatukana wa bara,wao wazaa nje ndoa,wazinifu ,mziki umepamba moto,ebu tuisubiri siku yetu,ata Bibi yetu atumsikii akimtaja taja mungu juu ya corona,afazali yule mjomba mungu alikuwa atoki mdomoni...
@@julihanjosephyjs6361 wewee hapo nusu na robo wabongo kama wazanzibari watupu angedunda awashukuru wabongo kuzaa si sana sisi kuzaa nje iwe bahati mbaya huku hakuna kulingana tabia ni ndoa tu
Mtihani wallah! Allah akuongoze in the ryt path.
Like your courage zuch
إناالله وانا اليه راجعون
Zuchu umenifurahisha sanaaaa ulivyosema unawajali wazazi wako wote usiwe Kama boss wako Diamond
Nice interview. I like it
Love this energy lady.💞💞💞
Zuchu achana na abar ya kiduniy fanyama ya allhela
Hongera sana zuchu mungu aendele kukujalia
Zuchu you motivate me
Safi sana
Zuchu umependeza sana Mashaa Alla
Congrats
Ustazi juma huko amegeuka chizi anacheka kama malaya mgeni eti kulikua hakuna watu hata wngekua 2 mungu aliandika hao wa 2 ns wewe mwenye wengi shukuru. Ngoja hamo afanye ajaze dunia lakini yeye ndio ameshafanya na uwezo wake umeuona alipofikia je wewe una nini yani wewe mondi na zuchu wanakutia wazimu
namimi nakipenda sana
Kazi nzuru sana zuchu unafanya vizuri kaza buti dadaangu nakupenda sana
💖
Penda ww saana zuchu 💞I wish one day ukivisit Kenya I will be luckily to see you
Ndeza ❤😍🔥
Kaz nzuri zuchu dada twakupenda xn
Hongeraaa mwana hongera mondi hongeraa wcb wanga walie juma utazi anajinyea mana yeye la mkosaji
Mansha Allah zuchu umewongeya vizuri kuhusikana na wazazi
💞💞💞💞
Cute mummy
Unatisha sana sana wigi ulilova lime kufanya unatisha
Bosi wako limbukeni
Nikajuw mi pek yangu nimeon hilo
Nimrkupenda mwanangu umependeza nakuombea
Ya Allah muoneshe khaki huyu .mjawako.akukumbuke ww nasio ibilisi .
Allahumma ameen Inshaallah
Amiiiin yarabiy
Amiiin yarabiy
Amin.....
Amiin yarabbi kwni watu wapotea
Zuchu wang❤
Nakupenda San baby zuchu😘❤❤❤
Zuchu penda ila bora ungesuka minyooosho wallah
Mtangazaji unasinzia ayo macho haaaaaa
💋💋💋💋
Allah atakujalia sana
Sura yako haielekei na hilo wigi unaticha hahaha
Mpesurayako basi
@@aminatatu5692 Safi sana dadaakeee👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍
Makeup good
Ulimbukeni. Kutaka kutaka uwenavyo usivyonavyo
Asalam alaykum dada angu unaish wap? Kam hautojal
Uyo jamaa añakuliza maswali vzuri saña
kishavu kileeeee
Mweee Hilo wigi Kama paka flani hiviii
❤❤❤❤❤❤❤❤❤💪💪💪💪👌👌👌👌🔥🔥🔥🔥
Marangazaji uko poa xna
Achana na muziki wewe
Kwann tena
Nyooooo utafanya wewe muziki?
All the best 😂
Zuchuuuuuu💟💟💟💟💟💟
Mr blue zama zako zimepita. Zuchu simba mpango nzima
Shetani nani akutaka wewe bure ghali. Kuna na kufa dada maskini roho yako
Hiyo makep na wigi walah hujapendez Uongo zambi
moongo yeye
Luga yetu ya taiga ni kiswahili...RIP. ...JPM
Jama nampenda anavyo hoji
Mnafel
LKN HILO WIGI NO HALIJA KUPENDEZA KM NI TANGAZO OKAY BUT HAUJAPENDEZAAAA
Upuuzi
mwaka huu tutaona mengi na lbilisi alivyopamba moto
watu wanakusapoti kwenye.kumuasi.mungu