Nandy Amchana Mwijaku bifu na Zuchu Malipo ni hapa Duniani nitapafomu na Mimba songea Nandy Festival

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @manasseninteretse8510
    @manasseninteretse8510 2 ปีที่แล้ว +3

    Tunampenda Nandy kutokea nchini B🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @RayyanRayyan-rt9cg
    @RayyanRayyan-rt9cg 2 ปีที่แล้ว +10

    Mbea uyu😂😂😂tumekusikiliza unamkandia mwenzio

  • @edsonjeremiah5905
    @edsonjeremiah5905 2 ปีที่แล้ว +9

    Wanawake hawapendanagi Aiseeeee sauti imesikika yani kumsingizia mwijaku

  • @elizabethkeng7036
    @elizabethkeng7036 2 ปีที่แล้ว +5

    Keep going my favorite 😍

  • @olivekalala3115
    @olivekalala3115 2 ปีที่แล้ว +11

    everyone's love language is different some people don't show love by being physical but from there actions what they do for the one they love . As far as we knew he could be showing his love to here by doing things for her off camera.

  • @agogomgagagigigogo2672
    @agogomgagagigigogo2672 2 ปีที่แล้ว +10

    🤣🤣🤣Hili penz mbona kama la upande mmoja tu,huyu demu kama kafosi flani hivi,nikiwaangaliaga picha zao na Crips nyingi huyo Billnass ni kama hamkubali Nandy, anyway ngoja tuendeleee kuwafuatilia

    • @jaheedahahmadi4703
      @jaheedahahmadi4703 2 ปีที่แล้ว +2

      Sasa Hadi wanafunga ndoa anamfosi wapi jamani....hajui kukataa Kama hamkubali???

    • @agogomgagagigigogo2672
      @agogomgagagigigogo2672 2 ปีที่แล้ว +1

      @@jaheedahahmadi4703 naona huujui upendo,ndo maana nimesema tuendeleee kuwafuatilia maisha yao,ndoa c kigezo cha love tu wengine huingia ndoani kwa maslahi kisha wakifikia lengo utawaona wakianza vitimbi. Nandy ameonesha upendo wa dhati kwa jamaa tokea kitambo sana kini kijamaa ukikifuatilia ni kama hakijali anachooneshwa na Nandy hasa ukifuatilia life style yao,labda ka awazayo moyoni ni tofauti na matendo tuyaonayo kini kiukweli penzi la kweli huwa halijifichi ,Nandy kalipigania sana penzi hili sana tena sana yaan,na gharama juu.

    • @jaheedahahmadi4703
      @jaheedahahmadi4703 2 ปีที่แล้ว +2

      @@agogomgagagigigogo2672 huwezi jua Kama naujua upendo au siujui kwa You Tube,,, najibu ulichoandika...

    • @agogomgagagigigogo2672
      @agogomgagagigigogo2672 2 ปีที่แล้ว

      @@jaheedahahmadi4703 umejibu kwa nilichoandika ndio ndo maana najaribu kukurekebisha hiyo point uliyotumia ya neno ndoa, ndoani huingia hata wasio na upendo ilimradi tu atimize malengo yake bac,na mifano tunayo mitaani na Nina rafiki yangu aliingiaga ndoani kwa lengo la kupata njia rahisi ya kufanikiwa kimaisha na amefanikiwa kweli na mpaka hivi nnavyoandika yupo ulaya anafanya yake na aliyemfanya afike hapo alipo walishaachana kitambo tu,kini nikiwasilianaga naye kumkumbushia huwa anamshukuru sana yule binti wa kihungary .

    • @faudhiamfinanga400
      @faudhiamfinanga400 2 ปีที่แล้ว

      Wanaume ndo walivyo

  • @mwanyulatz
    @mwanyulatz 2 ปีที่แล้ว +2

    @offical nandi una undugu na mama nyonzo wa cheka 2?

  • @Tohamunisi
    @Tohamunisi 2 ปีที่แล้ว +4

    Nakuombea mungu akufanikishie majambo yako kutokana na situation uliyokuwa nao

  • @hellenpaul2149
    @hellenpaul2149 2 ปีที่แล้ว +2

    ❤❤❤ keep fighting dear Nandy your super 💪❤💙

  • @christianfelex5078
    @christianfelex5078 2 ปีที่แล้ว +6

    Huyo mwijaku ana tafuta sababu ya kwenda kupanda ndege ita kapo fika mnafki huyo Hana lolote chawa

  • @rashmaally7728
    @rashmaally7728 2 ปีที่แล้ว +6

    Mmmh jaman hata mapunziko jaman au mlikopa hii harusi ndo mnaenda kwenye mashoo mnataka kurudisha pesa maana jaman sio kawaida harusi kubwa ikose honeymoon na hali ya bibie

  • @mshangaemmanuel8964
    @mshangaemmanuel8964 2 ปีที่แล้ว

    Nandi star,zuchu falaa tu

  • @kilunjupolinah343
    @kilunjupolinah343 2 ปีที่แล้ว +6

    Mwijaku anashida kubwa. Mnakumbuka alivyosema mtoto wa Tanasha ni wake sio wa Diamond. Hapa napo kazua mengine na vile alisifia harusi. Au labda alitaka agaiwe hela iliobaki baada ya harusi. Mwanamme mnafiki sana saazingine.

  • @nerymshana3333
    @nerymshana3333 2 ปีที่แล้ว

    Mimba saf sn nandy kawa kibonge xahiv had raha

  • @azizamvungi6409
    @azizamvungi6409 2 ปีที่แล้ว +2

    Nandy katumwa pesa..kilimanjaro moja!!!!!!

  • @halimakwekwe7581
    @halimakwekwe7581 2 ปีที่แล้ว +5

    Tunawapenda sana

  • @tiffahdangote7548
    @tiffahdangote7548 2 ปีที่แล้ว +5

    Nandy ua smart Sana Sanaa na Sana tennah!

  • @broizzieofficially
    @broizzieofficially 2 ปีที่แล้ว

    Sema nini nandy ninoma sana anajipambania kama dume kajizaa wakati uyo zuchu bado analelewa na simba ko sioni ushindani kati ya nandy na zuchu make zuchu sio level ya nandy,,,,zuchu ashindanishwe na anjela2😂😂😂

  • @zainabsaidi5961
    @zainabsaidi5961 2 ปีที่แล้ว +1

    Jiachie my wasikionee choyo

  • @georgebundala4609
    @georgebundala4609 2 ปีที่แล้ว +4

    Duu!! kumbe kweli.

  • @alfredowuor830
    @alfredowuor830 2 ปีที่แล้ว +8

    Am not a relationship expert but the body language hapa ish ish

    • @blandinamyinga9489
      @blandinamyinga9489 2 ปีที่แล้ว +1

      mchaga/mpare don't worry that is how those people commucate in ♥️♥️

  • @fridamnyambii7175
    @fridamnyambii7175 2 ปีที่แล้ว +8

    Nandy ana force kuonekana anaweza kufanya kazi na mimba

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 2 ปีที่แล้ว +1

      Ndio ila si poa Kwa alipofikia mimba ilivo

    • @zuhuramhando3600
      @zuhuramhando3600 2 ปีที่แล้ว +1

      Anaforce Kwan hajulikani mwache apambane na Hali yake angekuwa na tatzo asingefanya kazi na siyo yy tuu jaman mbona kina Beyonce waliweza wakina rihana so tusifanye mazoe

    • @rashmaally7728
      @rashmaally7728 2 ปีที่แล้ว +1

      Na hisi kuna kamkopo kwenye harusi

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 2 ปีที่แล้ว +1

      @@rashmaally7728 hee tena mwingii si mdogo na mikataba ya watu

    • @jaheedahahmadi4703
      @jaheedahahmadi4703 2 ปีที่แล้ว +2

      ana force au anajiweza??? mbona wengine hatuwaoni na mimba za majukwaani,,, mimba sio ugonjwa!!!

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 2 ปีที่แล้ว +1

    Niko kwa hapa kushoto nachukua selfie🧐

  • @johnsonsabibi240
    @johnsonsabibi240 2 ปีที่แล้ว

    Jonhson sabibi apa mkoxawa.

  • @VvVv-kf8ho
    @VvVv-kf8ho 2 ปีที่แล้ว +6

    Walai Bilnas hapendi huyu dam vilivyo i think Nandy alijiforce kwake coz body language ya bilnas inaonekanatu yani bb yako ako NA bol NA huwezi kumshikilia ata mkono Najua Nandy akijifunguwa ndio cheating itaanza vizuri..... Mybe bilnas ako NA yy juu ya fam

  • @sashamotana3490
    @sashamotana3490 2 ปีที่แล้ว

    Nice dada

  • @adamsengo1869
    @adamsengo1869 2 ปีที่แล้ว +6

    Huna true love yoyote

  • @2pactizoh527
    @2pactizoh527 2 ปีที่แล้ว +3

    Salute✌

  • @uuuuiiii3917
    @uuuuiiii3917 2 ปีที่แล้ว +2

    Binanadamu muwe waelewa ambu msikilize I nandy mwenyew Alivyo sema. Na kimambi Alivyo sema YY kuongea vile sio kaongea kumchafua zuchu Ila Yule salama ndio kaongea vibaya na huyu mwijaku Mie nasema nandy anamakosa uko siku mwijaku ataenda kumuomba msamaa nandy siokweli alichosema mwijaku nimmbea wakutupwa yy anqtafuta pesa yqkula kinguvu

  • @elizabethmasaa2188
    @elizabethmasaa2188 2 ปีที่แล้ว +4

    Nawapenda sana guys 😊😊

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 2 ปีที่แล้ว +3

    Mwijaku ananini sijaona

  • @zenahyusuf46
    @zenahyusuf46 2 ปีที่แล้ว

    Hiyo sauti iko wapi sijaiskia mbona

  • @masungakamihanda4357
    @masungakamihanda4357 2 ปีที่แล้ว +6

    Wanasema sio watu wa kuongea kwenye Media, but behind the scene, they snitch too much.

  • @rehemahigilo943
    @rehemahigilo943 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @fridamnyambii7175
    @fridamnyambii7175 2 ปีที่แล้ว +4

    Acha ujinga anaroho mbaya tuu

  • @aminataamina9438
    @aminataamina9438 2 ปีที่แล้ว +1

    Mmmh...unazuga nand

  • @jackmsuya6842
    @jackmsuya6842 2 ปีที่แล้ว

    Kipumzishe kirikuu hicho😭🤰

  • @gerfasiamwingira4827
    @gerfasiamwingira4827 2 ปีที่แล้ว +2

    Tunawapenda pia

  • @fatmaali4921
    @fatmaali4921 2 ปีที่แล้ว +7

    ivi nyie uyu bilinas mmemuelewa kwa kweli huyu mwanaume ana gubu kimuonekano tu wanjee yaan hta kushoo care mbele ya camera hawez

    • @vickychialo5054
      @vickychialo5054 2 ปีที่แล้ว

      Yan hayuko romantic kiukweli yuko bze bze tu hahahahahahah

  • @ashurakodd1589
    @ashurakodd1589 2 ปีที่แล้ว +4

    Wewe mtoto mzuri

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 2 ปีที่แล้ว +2

    Mr. PIMBI naanza kumuelewa alisema kuwa huyu Bro kafuata pesa sio penzi ila NANDY kampenda jamaa hivyo lazima Nandy amsome Sana jamaa na ajue jinsi ya kuushi nae. Ukimuangalia Bilnas mikama mshijaji na jio Make.

    • @Hassan-ot1mc
      @Hassan-ot1mc 2 ปีที่แล้ว

      Unamjua bil vizuri

    • @rehemashikeli961
      @rehemashikeli961 2 ปีที่แล้ว

      @@Hassan-ot1mc Yani hadi nashindwa kwani mashabiki tulimsaidiaga kulipa mahari au vp mana naona watu wana mapovu sana,penzi sio kipato hata tajiri anaweza kumpenda masikini ninalo fahamu sote tuko sawa mbele ya Mungu.

  • @YasintaSanga-lb7wk
    @YasintaSanga-lb7wk ปีที่แล้ว

    nandy

  • @rashidngwawile9062
    @rashidngwawile9062 2 ปีที่แล้ว

    Kwani saba zimeisha?

  • @seifsaidysamata2267
    @seifsaidysamata2267 2 ปีที่แล้ว +1

    Nengaaa

  • @johnnytravo
    @johnnytravo 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakika wanawake wote wanastahili pongezi na shukrani za dhati 🙏 th-cam.com/video/iYjijfV-YRw/w-d-xo.html

  • @whitelove_og369
    @whitelove_og369 2 ปีที่แล้ว +2

    #CHANZO KIKUBWA CHA NADI KUTOWA KAULI MBOVU TAZAMA HAPA th-cam.com/video/DSkPX3IxQDg/w-d-xo.html

  • @benrhymes_1229
    @benrhymes_1229 2 ปีที่แล้ว

    ni hatari ikiwa haturudishi shukrani za dhati kwa wanawake🙏th-cam.com/video/iYjijfV-YRw/w-d-xo.html