ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Hongera Pendo Njau,wanawake tunaweza unatuheshimisha sana,Mungu akubariki
Mbona hamuobi toshee choo pamoja mnaweza au mnafundishwa tabia za umalaya
Yani ngumi sukunyo 😂😂😂kasukunyuliwa.mwenyewe mandonga mtu kazi
🤓🤓🤓🤓🤓
Sema waaamuzi wetu wazidishe umakini sana hapo ukiangalia vizuri utaona kapigwa ngumi ya kisogo
Ngumi mbaya sana wanakumbatiana ivyo2 akuna mchezo mzr
uyo madonga anakera sana yani akipigana kidogo tu anakumbatia mwenzie
Pendo njau dada ang ana huruma sana ilitakiwa utuachie mandonga wetu mpk afie uwanjani
Yewah jarorya erokamano kwakweli imezidi kutuheshimisha Wana Rorya na Mara kwa ujumla❤❤🎉🎉
Wakenya tunamshabikia Mandonga.Akiachilia Sungunyo.Akishinda kashinda,Akishindwa kashinda.
Wadau wa ngumi naomba tujuane kwa like hapa..... Nawapenda
Ndonga ameacha kupiga miti now anashinda gym naona body imekata
2po kaka
😂
Yupo vizuri mandonga asaivi
Poch Nene a'k'a kama babaima
Mchezo mtamu sana huu, natamani ungeruhusiwa kufundishwa na kuchezwa shuleni kuanzia chini ili kukuza vipaji kwa vijana wengi kuanzia chini.
Milembe wanaweza wakapelekwa weng
Hongera mandonga 😅
🤢🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓
Maugo ni Boxer, angalia ile punch ya K.O, very technic. Mandonga zaid ya kukumbatia sijaona boxer 😊
One love bro, mandonga wewe ni Sisi na Sisi ni wewe ukiona ngumi nzito kimbia, uzima wako nibora Sana kwetu kaka.
NDONGA ANA IMPROVE
Huyu refa boya tu. Kazi zingine ni za kiume aisee.
Mandonga mtu kazi baba nakukukubali😂😂😂😂
Mandonga ndugu yangu ACHA ngumi utakuja kufa😂😂😂
Namkubali saana mandonga ,hizo ni ngumi bana
Mandoga akipata kocha mzuri anaweza kuwa bondia mzuri. Naona ana style nzuri sana....lakini technically bado kidogo.
Hawezi kuwa bondia mzr anabahatisha tu ukosefu wa ajira
Kwa umri huo
Mandonga achana na ngumi kuna siku utafia ulingoni😂😂😂
Mandonga nipo na ww Hadi wakuuwe😅😅
😂😂😂😂😅
😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂 hapo sawa
mandonga anafurahisha sana ila watamua
Tim mandonga mpooo❤❤❤
Kumbe maugo ameisha hivi mandonga tunajua sio boxer
Kwa kweli nikiatazama kwa kina Mandonga huenda akawa na matatizo ya kichwa baadae,ni bora aache huu mchezo
Mandonga tupo na wew adi wakuuwe
😂😂😂😂
Hahahaha😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Uhakikaaaaa
Mandogo akipigwa kapiga akipiga kapigaaa🔥🔥😂😂
Nandonga ww ni Professional Boxer 😃😃😃
Mpenisifa afe
Champion mandonga yupo kisport zaidi.
Asante.Je,ndani tundu moja,wastani mbegu ngapi?
Sign the contract big boy 👊👊🏋♀️🤛
😂😂😂nyie mpeni kichwa huyo mandonga aje afie huko ulingoni
Ni Hatariii kwelikweli😂😂😂😂
Mandonga aendelee comedy 🤣, kwenye ngumi watamwua
Hakuna boxing Tanzania bila Mandonga. Pemda usipende
Wote walevi tu😂😂😂
Hii ni professional boxing kweli 😂😂
Tatzo azam tv na azamu media wana camera magumash maana camera zao mbovu
Dada utangazaji wako hauna muelekeo😂
Huyu ndio Mandonga tunayemjua sisi..😂
MANDONGA TUKO PAMOJA MPAKA WAKUUE😂😂
😂😂😂jamani
🎉🎉🎉🎉
Pamoja sana nduguzetu
Mwkinyo
Namukubari mwandonga
NJAA MBAYA SANA.....
Mandonga ni mcheshi, mtu wa fair
Hawezi hata kufika round ya nane alafu hii round ya Sita ndio final Dah kweli kichwa cha mwendawazimu😊
Mandonga yupo ktk maokoto akipigwa sawa ana juwa nimi anataka ktk maisha yake,Hila jitahidi usshinde maneno mengi kila siku
Mandonga nikama Steve 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😊
Tatizo wachambuzi mnaongea sana mpaka mnakela aiseeeee
Sasa kama mandonga kapigwa na bondia mzee namna hii atamuweza nani 😅😅😅😅😅
Liandaliwe pambano Maugo vs kaoneka .
Mada maugo kaja akiwa amepaniki hataki fea lakini mandonga mtu kazi kaja kwa furaha halafu muda wote anataka fea
Ahhh kampiga kisogoni ngumi ya mwisjo.mnampaje ushindi ina maana hamuoni
Yaani ngumi Moja tu Kisha wanakumbatiana mandonga ni shida
Yaani hii ndio shida ya Mandonga akipigana. Nimeangalia michezo yake mingi kiukweli ndio tabia yake ya kukumbatia kwenye mapambano yake.
Asa huyu mandonga du naona anakimbatia tuu😊😊
Usijichanganye kwa tembo harmonize kaka tutakupoteza
Harmonize hajapigana hata pambano moja , au alivyomkaba baba levo au vile Ana mwili unafikir anajua kupigana
Mandonga ni mdomo tu...ata mi naeza mtoa na round ya kwanza
Mdomo huwa unamponza mandonga na mm nakuja dar nataka pambano na mandonga nimkande
Yaani kama ni hivi Tanzania bado tuko nyuma kwenye mchezo wa ngumi😅
Mandonga tupo pamoja na wewe mpaka siku wakuue ulingoni😅
Mandonga akubali tu achane na ngumi miaka himenda
Hili pigano halina mvuto kabisa,ila mm nko kenya nalitazama
The referee was poor. You only stop the fight if the boxer is out completely.
Countless head blows...... akipigwa a chizi nani ataleta 😅singinyo Nairobi ...n by the way,miss Njau is one of the top female referee in East n Central Africa
Mnataka mtu afe 😀😀
HUYU NDO ALIKUWA MBABE PALE MSAMVU? WALIMWOGOPA HUYU?
Mandonga Kila siku anajifanya uko juu lakin raundi hii
Mandonga bora awe mwigizaji tu
Alafu mnamtaka mtanga, mtakufa ulingoni 😂😂😂😂😂 shauli yenu😊
Tanzania Bado mupo nyuma mchezo wa ngumi ,hapo mm naona sioni mpiganaji yaani ni mfano wa boxing tu😂
Hawa ni comedy- boxers😂
Pesa ni ki2 kingine kbsaa wkt mandonga anapigan na kaoneka alikuw mwembamba km mm lkn cheki xaxa hivi nyuma ana Busta km treiler ya super doll
Metish
😂😂😂😂😂😂😂😂
Ila mandonga Leo katulia sana…
Ukimpiga kama kakupiga na akikupiga kakupiga tu 😂😂😂
Tupo pa1 mandonga mpaka wakuuwe😂😂😂
Bora MB amalize makonda ,siku moja tu makonda atashika usukani alafu kitaeleweka
Hakika mim naenjoy saan ninapo tizama ngumi za mtu kazi
timu mandonga tukipigwa tumeshinda na tukishinda tumeshinda.. mtu kazi
great achievement Mandonga
mandonga Mzee wa kuyumba
Mimi Furaha yangu ni Kumuona Mandonga akipigwa.😂
Hapo umesema
Mandonga tupo na wew mpaka wakuuwe
dada yetu mtangazaji naona nae nisha biki wa damu wa mandonga mtu kaz
mandonga akipigwa Hadi raha bn apigwe ivo ivo chizi wetu
madaktari bingwa wa vichwa wapo wangapi TAnzania 😮😅
Ngumu hazina laza mandonga ana kumbatia sana
Hatutaki komedi mandonga
This is comedy not boxing,,be serious lol!!!
Huyu refa boya tu. Si angeacha tu mchezo ukaisha badala ya kukatiza.Kazi zingine ni za kiume aisee.
Akili yako imeishia hapo kuwaza sio...
😂😂😂mandonga bana
Pendo ni Refa bora zaidi nchini
Mtangazaji wa kike sasa😂
Yani maugo na mandonga 😂 wanacheza malede ngumi mbovuu
Mandongoh tupo na wewe mbaka ufie ulingon
Maugo katulia sana
Pendo ungemuacha maugo amuue kabixa
MANDONGA TUKO PAMOJA NA WEWE MPAKA WAKUUWE
Comedy box mandonga mavi tutakupenda mpaka ufe ulingoni mzee ila chunga tamaa m mbaya watakuuwa ao tumia mdomo upate kula ngumi wAachie wenyeww
Pambano lina round sita mtangazaji anasema mandonga anaweza asifike round ya 8😂
😅😅😅😅😅😅hapo sasa
Watangazaji mko biased kwa maugo
Mandonga kawa mavi pumbaaaff
Mandonga aombe mech ya marudiano na maugo
Anakumbatia sana uyo mandong

Asante.
Je,ndani tundu moja,wastani mbegu ngapi?
Sign the contract big boy 👊👊🏋♀️🤛
😂😂😂nyie mpeni kichwa huyo mandonga aje afie huko ulingoni
Ni Hatariii kwelikweli😂😂😂😂
Mandonga aendelee comedy 🤣, kwenye ngumi watamwua
Hakuna boxing Tanzania bila Mandonga. Pemda usipende
Wote walevi tu😂😂😂
Hii ni professional boxing kweli 😂😂
Tatzo azam tv na azamu media wana camera magumash maana camera zao mbovu
Dada utangazaji wako hauna muelekeo😂
Huyu ndio Mandonga tunayemjua sisi..😂
MANDONGA TUKO PAMOJA MPAKA WAKUUE😂😂
😂😂😂jamani
🎉🎉🎉🎉
Pamoja sana nduguzetu
Mwkinyo
Namukubari mwandonga
NJAA MBAYA SANA.....
Mandonga ni mcheshi, mtu wa fair
Hawezi hata kufika round ya nane alafu hii round ya Sita ndio final
Dah kweli kichwa cha mwendawazimu😊