Kweli vijana ni chumvi ya ulimwengu, Hongera vijana wote wa kwaya hii kwa mapinduzi haya mapya ya muziki wa Injili hata vijana wa zama hizi wanaweza kusikiliza na kucheza muziki wa Kwaya.
Kiukweli .Mungu awabariki neema gospel choir matia moyo sana kupitia nyimvo nawaombea muongezewe roho hiyo hiyo yakumtumikia Mungu nawapenda sanaaaaaaaaaaaaa😍😍😘😘
Kiukweli sikutegemea kama ntakongwa nyoyo yangu kiasi hiki nimependa mno hii nyimbo hasa anayeimbisha alivyochangamka kilichonivutia zaidi hajajichubua yuko natural ,Mungu akubariki wewe mdada usiuharibu uzuri ulio nao,wamechangamka jamani Mwaaaaa mm kuanzia sasa nawafuatilia mno Mbarikiwe
And the gentlemen they now how to dance nice songs burudani people and the lady is leading who is wearing blue and pink wow nice voice be blessed🖒🖒🖒🖒🖒🖒🖒👍👍👍👍👍
@@NeemaGospelChoir mnaimba kwa upako na mguso wa Roho sanaaaa, heeeey,wimbo wenu wa watu twahangaika unanibariki sanaaaa, MUNGU azidi kueatumia kwa viwango vya juu
Enough with hizo comments za kucompare audio na hii video ,Mara oooh Mbona aloimba bla bla blah Wabongo bwana ,ujuaji mpaka kwenye mambo ya Mungu This is not a competition Wengine ndo kwanza tumeuona huu wimbo hata hiyo audio hataujawah isikia an TUMEBARIKIWA after all wote ni watenda kazi kwenye shamba la Bwana MMOJA🙏🙏🙏🙌🏼💪 Na mtoa karama ni huyohuyo MMOJA Mungu wa mbinguni AWABARIKI NA SAMAHANINI KWA AMBAO NIMEWAKWAZA Burudani Moyoni , sina wasi wasi Yesu yupo .....grab your earphones , THANK ME LATER 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙏😍
If there is something I love about AIC choirs in East Africa is that they take music SERIOUSLY! But this Tanzanian choir is too exceptional!From the purchase of high-quality instruments, quality of good sound that comes out of recording their music in state of the art studio facilities,the vocal quality is very good, I can hear all the voices and they are well balanced. The stylist also did a great job on their uniforms as they look very smart and colourful and not dull .The choreographer did a great job job... Those moves are really good. ....The video editor did a great job and the end product is ultra high definition screen resolution. This song here above exemplifies all that! How the song starts it just tells me that this is gonna be a marvelous wonderful song! In case I get an opportunity to come to Dar-Es-Salaam again, I will definitely pass by Temeke and come for a church service at AIC Chang'ombe.
Kwaya zetu nyingi zimejaa wazee Hongereni sana nyie mpo tofauti.. Hivi punde Choirs zitaanza kufanya mapinduzi ..kiuimbaji, kuimba live, vocal nzuri, uchezaji lakini na maadili
Wimbo wenyewe ni BURUDANI tosha. Mungu awabariki Neema Gospel Choir. Nilisikia wimbo huu kwa mara ya kwanza kupitia audio Mack nakaona vema kuutafuta TH-cam nione wanavyo cheza. Nimeujua kwa kuchelewa lakini uzuri wake haupungui na itaishi miaka mingi kwenye masikio ya watu.
Nice Song, Beautiful Choir Nehema. My Daughter and I look forward to this song everyday in Trace Gospel top hits. God bless you to keep making more songs of this kind.
2024 Nan yuko hapa bado anauchek wimbo huu mzuri
🔥🔥🔥🔥🔥
Yan neema gospel n noumaaa nawaelew sana Kama na ww n mmojawapo gonga like👇
Napenda sana
Nakumbuka siku nilikua msick my daughter akaniekea io song, ilibidi niamke nipanguze machozi naniburudike very powerful song
Kama una penda kipart kwaanzia.... Burudani moyon gonga 👍👇 tujuane
Barikiwa
Amina
Hata mimi
Nmeizimia kbsaaaa......💙💙
Huuwimbo unanibariki saana.munguawabarikisana
Kenya tunawapenda Watanzania.Wimbo unasisimua kweli.Miondoko iko sawaa sana,hawa vijana wako titi,wako nyonyo kabisa...
Nimeupenda😍😍😍😍
Wana heri waliomjua Kristo..kwa maana waishi katika pendo la neema waliolipokea kupitia imani na wala hawaenendi wala kuongozwa na sheria
Nabarikiwa sana na huu wimbo be blessed alot
Amen 🙏🙏
wangapi wameurudia huuwimbo
kama Mimi apa tujuane
Mimi hapa
Na me pia mzur san
Nipo hapa
Mimi hapa burudaaani sana
Mimi hapa
Mpokee Yesu moyoni, akufanye upya moyo wako ue na AMANI🙏❤
Amen🙏🙏
Jamani sijawahi kuchoka kuuusiiliza huu wimbo. mbarikiwe vijana Mungu awe nanyi. nawapenda burebure
Nampenda huyo mdada anae imbisha mungu amuongezee kipaji ilove
Sauti ya Huyo Dada Ni kiwango Cha barabara ya juu kijazi interchange...
Cna wasi wasi yesu yupo. Wimbo unafarj sn Mungu azid kuwabark na awapandishe viwango vngne ktk uimbaj wenu
Naombea huu wimbo upate views milion 50 haswaaa
Utukufu kwa Mungu
Kweli vijana ni chumvi ya ulimwengu, Hongera vijana wote wa kwaya hii kwa mapinduzi haya mapya ya muziki wa Injili hata vijana wa zama hizi wanaweza kusikiliza na kucheza muziki wa Kwaya.
Amen. Utukufu kwa Mungu
Tunabarikiwa sana na huu wimbo
Hakika ukimpata Yesu utasahau shida zote haleluya
Kiukweli .Mungu awabariki neema gospel choir matia moyo sana kupitia nyimvo nawaombea muongezewe roho hiyo hiyo yakumtumikia Mungu nawapenda sanaaaaaaaaaaaaa😍😍😘😘
Kiukweli sikutegemea kama ntakongwa nyoyo yangu kiasi hiki nimependa mno hii nyimbo hasa anayeimbisha alivyochangamka kilichonivutia zaidi hajajichubua yuko natural ,Mungu akubariki wewe mdada usiuharibu uzuri ulio nao,wamechangamka jamani Mwaaaaa mm kuanzia sasa nawafuatilia mno Mbarikiwe
Cute cute,blessed much
Jaman mnajua xanaaaaaa yaani mbarkwe Sana nksikia huh wmb nakuwa na burudan moyon mwng
Huu wimbo...
Mbarikiwe waimbaj mno
Daaah kweli haka kawimbo katamu,huchoki kukasikiliza
Neema goslpel, natamani kujua producer aliyeshoot kazi yenu jaman
Neema
Gosipo
Mamba 5:03
Ee mungu nikumbuke nami.ushindwi lolotte l'île.
Jamn mbarikiwe nmeipendaa
Mungu azidi kuwainua nakukumbuka da Jose buswelu ss
Love youuu so much my best singers team nawaombea muinuliwe juu ya mataifa mkawe kioo kwa waliopotea
Hakika mbarikiwe ni wimbo mzuri tunit ya kisouth Africa
Mungu awatunze mnanikonga Sana na NYIMBO hiiiii😘😘😘😘😘😘
Duh sauti binti say uni ni nzuri
Mdada huyo sauti yake hatari ,nice voice na nyimbo 100%
Hilda umejuaa kunifurahishaaa kiukwel hongereniii
Aminaa Mungu wa Mbinguni Awabaliki sna
My favourite 'weakness' ni trumpet.... job well done jamani...
and pale bass wanapounguruma UKIMPATA YESUUUU..
Be blessed guys
Am speechless, but Glory to God 🙏
And the gentlemen they now how to dance nice songs burudani people and the lady is leading who is wearing blue and pink wow nice voice be blessed🖒🖒🖒🖒🖒🖒🖒👍👍👍👍👍
Mbarikiwe sana mungu azidi kuwainua zaidi
Mmmm,kazi kubwa Sana hii, nilidhani ni AIC SHINYANGA choir ndo wameimba
Ni Neema Gospel Choir
@@NeemaGospelChoir mnaimba kwa upako na mguso wa Roho sanaaaa, heeeey,wimbo wenu wa watu twahangaika unanibariki sanaaaa, MUNGU azidi kueatumia kwa viwango vya juu
This song lool 🎉🎉🎉 hauchuji yaaani
nimebarikiwa sana na hili songiii daaaah watumishi tukutane mbingunii
Amen. Ubarikiwe sana
Duh huwa na barikiwa sana na nyimbo zenu mbarikiwe kwa huduma nzuri
Naiona team shy imeleta changamoto sana mbarikiwe
Nice song aisee inanibarikiii jamin hii nyimbo
Hakika hii nyimbo nzur snaa
Wimbo mzuri sana,nmeupenda,kwanza ngoja niupakue🇹🇿🇹🇿🇹🇿 be blessed neema choir@
Amen. Ubarikiwe sana
Amen sana nyimbo hii hata nikisiliza mda wowote nabarikiwa sana barikiweni wapendwa hahaaaa burudani kweli kweli💪🙏❤
Amen. Ubarikiwe
I love this song hatari inakosha na kutia moyo can you believe Amen amen blessed song pangusa machozi yako
Burudani tam sana mbarikiwe
Ninabarikiwa mno na wimbo huu!
Mungu awabariki.
Mungu ainue zaidi huduma yenu.
Enough with hizo comments za kucompare audio na hii video ,Mara oooh Mbona aloimba bla bla blah
Wabongo bwana ,ujuaji mpaka kwenye mambo ya Mungu
This is not a competition
Wengine ndo kwanza tumeuona huu wimbo hata hiyo audio hataujawah isikia an TUMEBARIKIWA
after all wote ni watenda kazi kwenye shamba la Bwana MMOJA🙏🙏🙏🙌🏼💪
Na mtoa karama ni huyohuyo MMOJA
Mungu wa mbinguni AWABARIKI NA SAMAHANINI KWA AMBAO NIMEWAKWAZA
Burudani Moyoni , sina wasi wasi Yesu yupo .....grab your earphones , THANK ME LATER 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙏😍
Asante sana kwa comment nzuri
Is nice song dar
Glory to God
Burudani moyoni....hahaha mbarikiwe sana....aiseee kwa Yesu ni raha sana....glory to God
Amen. Ubarikiwe sana
Amen
Burudani kwa yesu MUNGU
Mubarakiwe
Mko vizuri sana Mungu awabariki
Amaizing
now this is what I call contemporary choir music..that's lit..how many of you guys love the soloist....guuuuuud job
God bless you!
@@NeemaGospelChoir Kindly fam, what is the Soloist's name? Instagram handle or sth? Kindly 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Pangusa machozi yako!!wimbo mzuri natamani mda wote nisikilizw😘
Mungu akubariki sana
N wimbo ambao unatia nguvu ktk maisha yet ya kila sk
Mko vizuri 🙏 mbarikiwe mnoo ila sijapenda mlivo ubadrisha mwanzo ulikuwa powa sana
Asante. Hayupo Dar kwa sasa. Ubarikiwe
hata aliyeimba kaimba vizuri, tena vizuri sana, ladha mpya nimeipenda sana, barikiwa sana dada uliyeimba japo sikujui jina
Aliyeongoza wimbo mwanzo ni mwingine nafikiri wakati wa video hakuwepo
Burudani moyoni nakwambia 🙌🥳
Kweli burudani ukiwa na yesu moyoni,asante kwa Wimbo
Amen
Ujumbe mzuri sana#habarinjema❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏. Everything on point👌. Mungu awabariki sana.
Since my childhood , from album ya pengine hukujua na albums zingine always liked Neema Gospel ,God bless you sanaaaaa kwa kazi yenu nzuri😘😘😘😘🎶🎶🎶🎶🎶
Huu wimbo nilikuwa nautft ckujua wameimb kina nan
Neema Gospel Choir
@@NeemaGospelChoir c d c c c cc c x,
Diana Hamis nymb nzr sana
Itoshe tu kusema nawapenda
Baraka za Bwana wetu Yesu kristo ziwe nanyi
Kituliza roho ni burudani, nikisikia Niko down I have to listen to that song
Pangusa machozi yako yesu yupo
Hongereni san Neema Gospel Choir, ni kazi nzuri saaaana... Mungu Aendelee kuipaka mafuta kazi yenu.
Hongera Sana mbarikiwe watumishi wa mungu
Burudan moyoni sina waswas Yesu yupo
Amen
Mmenibarik sanaa,sichoki kuusikiliza huu wimbo.Mungu aendelee kuwainua kwa viwango vya juu ktk kazi yake.
Amen
Kwa kweli sina wasiwasi Yesu yupo burudani
Woo!Kweli burudani moyoni sina wasiwasi Yesu yupo.
Amen
kwel ukiwa na BWANA YESU ni burudani moyoni .... angelic song
Amen
Those men are energetic I like their dancing
still inspiring me till then. alaways in my playlist
If there is something I love about AIC choirs in East Africa is that they take music SERIOUSLY!
But this Tanzanian choir is too exceptional!From the purchase of high-quality instruments, quality of good sound that comes out of recording their music in state of the art studio facilities,the vocal quality is very good, I can hear all the voices and they are well balanced.
The stylist also did a great job on their uniforms as they look very smart and colourful and not dull .The choreographer did a great job job... Those moves are really good. ....The video editor did a great job and the end product is ultra high definition screen resolution.
This song here above exemplifies all that! How the song starts it just tells me that this is gonna be a marvelous wonderful song!
In case I get an opportunity to come to Dar-Es-Salaam again, I will definitely pass by Temeke and come for a church service at AIC Chang'ombe.
Tell me about it…….they are seriously serious with whatever they do
Na ni vijana imagine, Mungu wa mbinguni na awabariki mpaka mshangae 🇹🇿🇹🇿🥰
Video nzuri nawapenda
Aci
Imani
Kwaya
Kahama
Nawapendaaa tuu
My favourite choir all the way in Nairobi....amazing work duh this is beautiful. God uplift you more and more
Amen. God bless you
Sylvia Nzilani Glory to God
Kwel kwa yesu burudani
Kwaya zetu nyingi zimejaa wazee
Hongereni sana nyie mpo tofauti..
Hivi punde Choirs zitaanza kufanya mapinduzi ..kiuimbaji, kuimba live, vocal nzuri, uchezaji lakini na maadili
Amen. Ubarikiwe sana
Kwelii
Kazi Safi Sana director thumbs up waimbaji Pia hongera👏👏👏
Amen
Mage alienda wap tena kwenye burudan moyoni...
Lakin iko sawa sanaa
Mungu awe nanyi
Hayupo Dar kwa sasa! Amen. Mbarikiwe!!
Wako vzr
Wimbo wenyewe ni BURUDANI tosha. Mungu awabariki Neema Gospel Choir. Nilisikia wimbo huu kwa mara ya kwanza kupitia audio Mack nakaona vema kuutafuta TH-cam nione wanavyo cheza. Nimeujua kwa kuchelewa lakini uzuri wake haupungui na itaishi miaka mingi kwenye masikio ya watu.
Nimeupenda sana
Safi sana kwel watu wamebadilikaa kwaya hii tofaut na kwaya yoyote ilee kaz nzur kwakwel
Love this team.Beautiful worship songs 🙌🙏
Napenda sana
Hakika Nimebarikiwa na Wimbo huu wa Burudani Moyoni, Mungu awatangulie
Amen. Ubarikiwe sana
We Dada hyo sauti umejua kunikosha, mungu wa mbingun awabariki kwa ujumbe mzuri
Mbarikiwe sana jaman
Kazi mmeiweza, sina kinyongo na ninyi,, zaidi ya yote utukufu apewe BWANA atendaye yote haya.
Mubarikiwe sana kwa kuifanya kazi ya Mungu naktmia vipawa vyenu kwa kmtmikia yeye aliye hai
Amen
Ameen
Mungu azidi kuwainua amina
I love the creativity you never disappoint! Mbarikiwe
Thank you. Glory to God. God bless you
Utukufu Kwa Mungu
Nice Song, Beautiful Choir Nehema. My Daughter and I look forward to this song everyday in Trace Gospel top hits. God bless you to keep making more songs of this kind.
Nashauri nyimbo za kwenye ulbum yenu Pengine Hukujua mzifanyie remix
Bravo bravo (well done)✅
May God continue inspiring you as you continue preaching the gospel all over the world
Amen. God bless you
This song is so powerful
....."burudani moyoni"....... be blessed @ Neema Gospel Choir
Glory to God
Wimbo unanibariki kila dakika katika maisha yangu🙏🙏 blessings
VERY NICE MY HOME CHOIR..... ..HAMJAWAHI KUNIANGUSHA....
Amen. Ubarikiwe
karibu sana Mwl SAMA
Kazi njema kabisa