RAIS KENYATTA AMVUNJA MBAVU RAIS SAMIA - "HAWATAKI NIONGEE LAKINI NITAONGEA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ธ.ค. 2024
  • RAIS KENYATTA AMVUNJA MBAVU RAIS SAMIA - "HAWATAKI NIONGEE LAKINI NITAONGEA"
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 474

  • @georgemallya4311
    @georgemallya4311 2 ปีที่แล้ว +23

    Maraisi wote wa Jumuiya ya Africa mashariki wapo kasoro Paul kagame.ushirikiano was Rwanda na Jumuiya ya Africa mashariki unalegalega tofauti na nchi nyingine.hata kama ni swala LA majukumu kwamba raisi wa Rwanda ana majukumu INA maana hawa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Africa mashariki hawana majukumu.hii.siyo sawa kabisa

    • @sad_Classic6
      @sad_Classic6 2 ปีที่แล้ว +3

      🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼Am proud of being Rwanda😀😀

    • @mohamedhaji2200
      @mohamedhaji2200 2 ปีที่แล้ว

      @@sad_Classic6 Stupid

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale 2 ปีที่แล้ว +4

      @@sad_Classic6 And not a single FUCK was given!

    • @sad_Classic6
      @sad_Classic6 2 ปีที่แล้ว +3

      What’s wrong with u

    • @augustuss4503
      @augustuss4503 2 ปีที่แล้ว +10

      I'm Tanzanian, but I like Kagame, he's doing something good for his country, he was a good friend with Magufuli, they have the same goals, that was developing and fighting for their country's, Wengine wote waliobaki ni Matapeli na ni wezi tu

  • @12HASIBUAN
    @12HASIBUAN 2 ปีที่แล้ว

    Tidak ada kata lemah bersatu untuk membangun Afrika timur harus bangkit salam dari indonesia🇮🇩🇮🇩🇮🇩

  • @isaacnderitu1984
    @isaacnderitu1984 2 ปีที่แล้ว +12

    Asante Rais wetu Wa Kenya Uhuru Kenyatta

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 2 ปีที่แล้ว +21

    Huyu Rais wa kenya nampendaga kweli mcheshi sana eti ukiona simba kanyeshewa usidhani ni paka ndoniskia leo. Nimecheka kweli. Kenyatta oyeeee!!! Karibu Tanzania

  • @noelnoel4916
    @noelnoel4916 2 ปีที่แล้ว +15

    Asante sana Rais Uhuru kwa hutuba nzuri mbalikiwe sana

  • @kisotatiitye8221
    @kisotatiitye8221 2 ปีที่แล้ว +24

    Huyu jamaa wa Kenya ni nondo kweli kweli
    Hongera sana mhe uhuru Kenyatta

    • @mise8215
      @mise8215 2 ปีที่แล้ว +4

      Nondo ni nini maze

    • @charleschacha6876
      @charleschacha6876 2 ปีที่แล้ว +5

      @@mise8215 iron rod or tough metal.💪💪💪💪

    • @toxxyg8
      @toxxyg8 2 ปีที่แล้ว

      @@mise8215 🤣🤣🤣🤣

    • @dylankanyubi3700
      @dylankanyubi3700 2 ปีที่แล้ว

      @@mise8215 aina ya mdudu anayefanana na kipepeo lakini anakosa ule umaridadi unaopatikana na kipepeo. Sana sana huishi kwenye nguo nzee na kuziharibu kwa kuziweka mashimo.

    • @juliusmaingi7575
      @juliusmaingi7575 2 ปีที่แล้ว

      @@dylankanyubi3700 Ni nondo kweli kwa sababu ameiba mabilioni kutoka Wakenya na kujitajirisha yeye na familia yake

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 2 ปีที่แล้ว +1

    Brother Uhuru hongera maliza salama uiache Kenya 🇰🇪 na Amani Tele. Mungu akubariki

  • @masharianjuguna4990
    @masharianjuguna4990 2 ปีที่แล้ว +12

    Hongera marais wote haswa Rais wangu Mheshimiwa Uhuru Kenyatta. Naomba Mungu atupe Rais mwingine aliye na busara na utu kama yeye uchaguzi ujao.

    • @juliusmaingi7575
      @juliusmaingi7575 2 ปีที่แล้ว

      Kenyatta hana busara, ni mlevi wa kawaida tu

    • @masharianjuguna4990
      @masharianjuguna4990 2 ปีที่แล้ว

      @@juliusmaingi7575 Heli mlevi anayefanya maendeleo than a sober thief. How much does you and your family own, kama wewe hauezi kunywa juu hauna pesa, achana na walio na pesa wakunywe.

    • @masharianjuguna4990
      @masharianjuguna4990 2 ปีที่แล้ว

      @@hanifa9153 Let us pray that God gives us a good leader. But we should stop following politicians like fools. Am sure if we give God a chance to guide, He surely will.

  • @dancanmutonyi3110
    @dancanmutonyi3110 2 ปีที่แล้ว +23

    Nice speech from our President.....May God bless Kenya and the entire East Africa as a whole

  • @emmanuelburchard3153
    @emmanuelburchard3153 2 ปีที่แล้ว +22

    Uhuru you are great. Hotuba zako zimenifanya nikupende. Tunakuonmbea mapumziko mema lakini kuwa karibu na Rais mtarajiwa.

  • @simbamalala
    @simbamalala 2 ปีที่แล้ว +18

    Much respect to HE Uhuru Kenyatta. One of the best Presidents ever happened in this Continent. I really love him from the bottom of my heart.

    • @codeaperture
      @codeaperture 2 ปีที่แล้ว

      Bana joh. He's good at bilateral relations. 😅❤️

    • @PESminds
      @PESminds 2 ปีที่แล้ว

      Are you in kenya?

    • @brotherdekaka
      @brotherdekaka 2 ปีที่แล้ว

      keep him there, amalize aende

  • @justuskirongosi6859
    @justuskirongosi6859 2 ปีที่แล้ว +20

    Our president Kenyatta 💔🔥🔥🔥🔥 wakilisha wakenya vyema, Hongera kwa kazi nzuri, we will miss your government🙏.

  • @daudiakwabi128
    @daudiakwabi128 2 ปีที่แล้ว +28

    We need Somalia , Ethiopia, Sudan and Djibouti to join us ASAP. Unity is strength

    • @bobbiegatimu7124
      @bobbiegatimu7124 2 ปีที่แล้ว +6

      No Somalia for now..

    • @Dr.zaidi4
      @Dr.zaidi4 2 ปีที่แล้ว

      Great idea

    • @haji352
      @haji352 2 ปีที่แล้ว +1

      @@bobbiegatimu7124 why not

    • @glomw9637
      @glomw9637 2 ปีที่แล้ว

      @@bobbiegatimu7124 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @codeaperture
      @codeaperture 2 ปีที่แล้ว +1

      Somalia badae bro

  • @madamboss348
    @madamboss348 2 ปีที่แล้ว +6

    My prezzo always legit🌺🌺

  • @husseinmanick3619
    @husseinmanick3619 2 ปีที่แล้ว +15

    Uhuru Kenyatta never disappoint, love you my dad.

  • @shahadaushindi7745
    @shahadaushindi7745 2 ปีที่แล้ว +9

    Raisi wa maraisi wa Afrika. Uhuru Kenyata.

  • @leahenockmrina5381
    @leahenockmrina5381 2 ปีที่แล้ว +2

    Thank Prezida Uhuru Kenyatta

  • @esthernaini4961
    @esthernaini4961 2 ปีที่แล้ว +1

    Our beloved president the coolest prezo in east and central Africa ❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @saverious.
    @saverious. 2 ปีที่แล้ว +35

    My president is always eloquent. I love u Uhuru Kenyatta

    • @mosesngige3998
      @mosesngige3998 2 ปีที่แล้ว +1

      Haha open lies hajui kiswahili...anajitahidi sana kusema lugha sanifu....ebu mwambie akwambie infrastructure in swahili

    • @mohddon9899
      @mohddon9899 2 ปีที่แล้ว

      Always eloquent

    • @yahyayussuf5718
      @yahyayussuf5718 2 ปีที่แล้ว +3

      @@mosesngige3998 oya bora watu wanamelewa kitu anasema sema ukona uwivu yeye

    • @winfordmwangonda5375
      @winfordmwangonda5375 2 ปีที่แล้ว +2

      We love this President, Greetings from 🇹🇿 Tanzania. Feeling sad ,he is about to leave the highest office in 🇰🇪 Kenya

    • @alexandermutune6131
      @alexandermutune6131 2 ปีที่แล้ว

      @@winfordmwangonda5375 why feel sad?He will not leave the position empty.Somebody else will occupy that seat & do as he has been doing.

  • @mizesuleiman1834
    @mizesuleiman1834 2 ปีที่แล้ว +15

    That's my president 😍

  • @JoJo-xh7ph
    @JoJo-xh7ph 2 ปีที่แล้ว +2

    Sijui kwanini nampenda huyu presdaa. He is so simple
    One of the best present ever governed Kenya

  • @munirashughuli618
    @munirashughuli618 2 ปีที่แล้ว +3

    Nimefurai Rais wetu

  • @AlbertKiruiproty
    @AlbertKiruiproty 2 ปีที่แล้ว +4

    Much respect for my president...always jovial and very focused with his work. Indeed, I support the sentiments from other commentetors that Uhuru Kenyatta is the best president for Kenya. God bless Kenya and East Africa. We pray for unity...

    • @12HASIBUAN
      @12HASIBUAN 2 ปีที่แล้ว

      Semoga Afrika timur bersatu dan sejahtera salam indonesi🇮🇩🇮🇩🇮🇩

  • @officialkassimu7791
    @officialkassimu7791 2 ปีที่แล้ว +22

    East Africa is the strongest in Africa. Somalia welcome to East African region

    • @Dr.zaidi4
      @Dr.zaidi4 2 ปีที่แล้ว +2

      Somalis are already in but operating thru Kenya.
      That's why wemejaa kama wote hapa

    • @toxxyg8
      @toxxyg8 2 ปีที่แล้ว

      Not true.

  • @salusammy6233
    @salusammy6233 2 ปีที่แล้ว +11

    The best president in East and Central Africa and an example of democracy rule in Africa.

  • @njerithiongo7901
    @njerithiongo7901 2 ปีที่แล้ว

    Much love n respect Rais wetu .

  • @bigmandubesamuelndetsa268
    @bigmandubesamuelndetsa268 2 ปีที่แล้ว

    Asante kwa maneno ma Zuri ambayo munaendeleya panga ju ya Est Africa. Maraïs nyinyi ni watu muna mwili na damu. Na sikiya 🇨🇩 Drc congo 🇨🇩 imeingiya ndani ya Est Africa ni vizuri. Basi musaidiye kabisa, kutosha makaidi wanao mwanga damu huko Congo. Ume sema hakuna maendeleo bila Amani. Na hii congo imekuwa ndani ya muungano. Mutu saidiye.

  • @kevingetanda5253
    @kevingetanda5253 2 ปีที่แล้ว +3

    Nice speech from my prezzo hongera sana

  • @tembawakimemeta7898
    @tembawakimemeta7898 2 ปีที่แล้ว +14

    Hiyo ndio tanzania tunayo itaka sio Ile liopita yakuwatenga watanzania ileee ya mwenda hakika mama wetu tuunganishe ili tuchape kazi hakika mama anaweza nando tunaitaka

  • @jacquienschumo8733
    @jacquienschumo8733 2 ปีที่แล้ว +15

    East Africa king 👑 of superpower country 🇰🇪

    • @gosbertrwezahura3645
      @gosbertrwezahura3645 2 ปีที่แล้ว +1

      There is no superpower in East Africa or Africa as a whole. All these countries are still very poor with many poor people and poor social services and dependent on international financial aid. Go to the USA and many European countries you will understand what it means to be a superpowe.

    • @toxxyg8
      @toxxyg8 2 ปีที่แล้ว

      Shame!.... What a patronizing comment.

  • @lucykristensen7145
    @lucykristensen7145 2 ปีที่แล้ว +7

    Safi sana. Mama Samia Oyeee.

  • @abdulbora812
    @abdulbora812 2 ปีที่แล้ว +10

    Kenyatta my presdent love u somuch

  • @sultanaswaleh8892
    @sultanaswaleh8892 2 ปีที่แล้ว +3

    👏🏼👏🏼👏🏼 That's my beloved president 💪❤❤❤❤

  • @paulinekabui649
    @paulinekabui649 2 ปีที่แล้ว +2

    Uhuru ni good leader God blesd u

  • @nelsonthuo5094
    @nelsonthuo5094 2 ปีที่แล้ว +8

    We celebrate #wajackoyahband kenya

  • @silasmuendo
    @silasmuendo 2 ปีที่แล้ว +6

    This was a good speech by president Kenyatta.

  • @Deonfnyoni
    @Deonfnyoni 2 ปีที่แล้ว +14

    Huwa namkubali sana mh uhuru Kenyatta

    • @benimlisa6056
      @benimlisa6056 2 ปีที่แล้ว +1

      Kwa lipi?? Au

    • @salmasaid7058
      @salmasaid7058 2 ปีที่แล้ว

      @@benimlisa6056 haha haha haha haha haha haha hajui vile tumechoka nae

    • @jeremyleakingpen1565
      @jeremyleakingpen1565 2 ปีที่แล้ว +4

      Tunamkubali sana, ila tu wajinga ndo hawamkubali kwa kasoro ya kiakili

    • @1devoch
      @1devoch 2 ปีที่แล้ว +2

      @@salmasaid7058 wewe na nani?

    • @sultanaswaleh8892
      @sultanaswaleh8892 2 ปีที่แล้ว

      He's a good leader !...MAHASIDI WASHINDWEEEEE !

  • @mattyhappy1581
    @mattyhappy1581 2 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe sana viongozi wetu nawapenda sana na nawaheshimu

  • @woulteretapar4303
    @woulteretapar4303 2 ปีที่แล้ว +1

    Najua dunia hii kuna watu waliimbwa kujudge wengine ila wanasahau mema ya mtu alo fanya...i appreciate President Uhuru kenyatta..mpenda Amani maono mema for East Africa

  • @paulabonface9488
    @paulabonface9488 2 ปีที่แล้ว

    Hongera raisi Uhuru Kenyatta.

  • @MikeMarshall17
    @MikeMarshall17 2 ปีที่แล้ว +9

    Tanzania riiah... Tanzania Tibim

  • @kimanmain3356
    @kimanmain3356 2 ปีที่แล้ว

    Thank you mhe president uhuru Kenyetta

  • @georgemayo7383
    @georgemayo7383 2 ปีที่แล้ว

    Nice umoja wa Africa mashariki, nice.

  • @RobertGakumu
    @RobertGakumu 2 ปีที่แล้ว +1

    Jumuiya ya Afrika Mashariki itadumu miaka elfu, na hata baadaye!! U Kenyatta is clearly a dedicated panafrican who believes in the aspirations of an independent and self dependent Afrika. HEKO!!

  • @halifadjabarakambaliabinga2969
    @halifadjabarakambaliabinga2969 2 ปีที่แล้ว

    Merci beaucoup pour votre participation par votre ambassade résident COMORES MORONI à ITSINKOUDI WACHILI boini hier soir et madjilissi de mon cousin HASSANI SAID MDAHOMA djoumaidi

  • @Kawumah
    @Kawumah 2 ปีที่แล้ว +6

    Tanzania 🇹🇿 you're so beautiful

  • @Mellanke
    @Mellanke 2 ปีที่แล้ว +1

    🇰🇪❤️ president

  • @jabe-tv
    @jabe-tv 2 ปีที่แล้ว +8

    Let's have one currency in East Africa, na identity to travel all east Africa without passport or if must passport then with no stay limit, ili tufanye biashara kwa uhuru zaidi

    • @BM-uo3dk
      @BM-uo3dk 2 ปีที่แล้ว +1

      We already have east Africa community passport

  • @juliaschipa320
    @juliaschipa320 2 ปีที่แล้ว +7

    Congrats Tanzania

  • @sabawanrepresenting7377
    @sabawanrepresenting7377 2 ปีที่แล้ว +3

    Next ni Baba anaongea Apo😍😍 Odinga

  • @andrew29468
    @andrew29468 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa sanaaaa

  • @Magerito
    @Magerito 2 ปีที่แล้ว

    Uhuru Kenya oyeeee👍 The president with heart ❤️ of Gold 🥇, may God bless you Mr president

  • @reddingtonblue4931
    @reddingtonblue4931 2 ปีที่แล้ว +2

    5:44
    Save on time

  • @abdulkareemchacha2625
    @abdulkareemchacha2625 2 ปีที่แล้ว +2

    Greatest speech Hon. Uhuru Kenyatta

    • @jim12306
      @jim12306 2 ปีที่แล้ว +1

      Nothing new, I can’t wait when Uhuru goes home and in oblivion., pretender mkubwa

    • @jim12306
      @jim12306 2 ปีที่แล้ว

      Kumbe you know pple don’t want to hear you? Lazimisha to kk yako!!!

  • @johnmurero7787
    @johnmurero7787 2 ปีที่แล้ว +2

    Uhuru is the best leader with the best leadership

  • @veronicagituma8892
    @veronicagituma8892 2 ปีที่แล้ว +5

    Ma6 the unity of. East African countries and beyond continue to be more stronger. We love you our president Uhuru, only peace which is the key , keep on preaching it my president

  • @shayopaterini8678
    @shayopaterini8678 2 ปีที่แล้ว +2

    Good speech

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 2 ปีที่แล้ว +3

    Biashara yetu ya mahindi sisi wa tz tunapata shida sana Mombasa Hilo umeliona rais Kenyatta . Mahindi yanazwa kwa Bei poa utafikiri yanatoka shamba la bibi na huyo bibi aliyekwisha kufa angekuwapo angesema saza utauza baadaye. Tena hapo umekaa siku 21 bila kushusha

  • @swahibasportsacademy
    @swahibasportsacademy 2 ปีที่แล้ว +2

    Public address
    Uhuru is very fluent

    • @Dr.zaidi4
      @Dr.zaidi4 2 ปีที่แล้ว

      Na si rahisi umpate na makosa katika ulimi wake.
      Lakini sisi tunasema-
      Ongea na uyatenda.
      Sio mdomo mtupu

  • @gracewamunya6347
    @gracewamunya6347 2 ปีที่แล้ว +2

    Next n Raila amollo odings

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 2 ปีที่แล้ว +1

    We love you president uhuru karibu Tanzania

  • @florianntulo5731
    @florianntulo5731 2 ปีที่แล้ว +16

    Mwamba wa Kenya

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 2 ปีที่แล้ว +1

    Lkn huu umoja ni unatatizo mahindi yetu yauzwe kwa Bei poa na yakwamishwe ndani ya Kenya kule Mombasa iweje kwa sisi wa tz tuliopeleka mahindi haya 😭😭😭💔

    • @brayo001
      @brayo001 2 ปีที่แล้ว

      Ulipeleka mahindi lini

  • @princemuzison973
    @princemuzison973 2 ปีที่แล้ว +4

    A great state man for a great nation

    • @evanspapa7898
      @evanspapa7898 2 ปีที่แล้ว

      Which great state man are you talking about... Uhuru has no legacy to leave behind

  • @jamesgakunju7118
    @jamesgakunju7118 2 ปีที่แล้ว +1

    Uhuru my presdent

  • @ibba8082
    @ibba8082 2 ปีที่แล้ว +10

    Kagame is KILLING in DR CONGO

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 2 ปีที่แล้ว +4

    Ni mda wakulima hahindi now😀

  • @Kenyan_Duke
    @Kenyan_Duke 2 ปีที่แล้ว

    Huyu ni Rais wetu ambaye amepotea na anaenda home Ichaweri

  • @Okwirisam254
    @Okwirisam254 2 ปีที่แล้ว

    My President never Disappoints when it comes to Foreign affairs with other countries in East Africa, Africa and the World.

  • @_suregraphy
    @_suregraphy 2 ปีที่แล้ว +6

    To all the Kenyan views innit fam.

  • @ahmedysaidy9874
    @ahmedysaidy9874 2 ปีที่แล้ว +11

    Mirungi umesahau Mr president uhuru tunataka ingii free kama kenya.

    • @stanastana3199
      @stanastana3199 2 ปีที่แล้ว +1

      mirungi tamu sana

    • @abdulkadirkassim6430
      @abdulkadirkassim6430 2 ปีที่แล้ว

      Baabde

    • @MrNoNonsenseYes
      @MrNoNonsenseYes 2 ปีที่แล้ว +2

      Hahaha afu arusha kuna baridi kama mtaruhusiwa kulima marungi, basi marungi ya kwenu yatakua number moja ulimwenguni, in terms of quality

    • @stanastana3199
      @stanastana3199 2 ปีที่แล้ว

      @@MrNoNonsenseYes mirungi mpango mzima

    • @Dr.zaidi4
      @Dr.zaidi4 2 ปีที่แล้ว

      Kwani maarufuku hapo?

  • @MrChronic85
    @MrChronic85 2 ปีที่แล้ว +12

    UHURU OYEEEEEEEEEEEEEEE TUNAKUPENDA PRESIDENT UHURU

  • @Malija37
    @Malija37 2 ปีที่แล้ว +2

    Uhuru Kenyatta umeona maraisi wezako vile wako sawa

  • @deogratiussaru3074
    @deogratiussaru3074 2 ปีที่แล้ว +7

    Hawa ccm vp kwani ni mkutano wa kisiasa acheni kiherehere na mavazi yenu ya kishamba

    • @imelidamfikwa7954
      @imelidamfikwa7954 2 ปีที่แล้ว +5

      Iwe sheria kabisa,tukio lisilohusiana na chama hakuna kuvaa uniform za chama fulani

  • @tire2547
    @tire2547 2 ปีที่แล้ว +1

    smart

  • @harunimanula9278
    @harunimanula9278 2 ปีที่แล้ว +4

    Kwani huo ulikuwa mkutano wa CCM ?baada watu kubeba bendera ya taifa wanakazana na masale yao ya hovyo hovyo

  • @mahmuduulimwengu6375
    @mahmuduulimwengu6375 2 ปีที่แล้ว

    Napenda sana mnavyo itendea haki michezo picha sinama maigizo mpira youtube ongezeni sana

  • @mwitamagesa1034
    @mwitamagesa1034 2 ปีที่แล้ว +4

    Baada ya kuvunjwa mbavu, amepelekwa hospitali gani

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 2 ปีที่แล้ว +1

    I wish Kenyata angeendelea
    Kuwa Rais kwa kipindi cha miaka 4 mingine

    • @aisthetic.art1
      @aisthetic.art1 2 ปีที่แล้ว

      Kenya tunafuata constitution, bwana Suleiman

    • @akk7378
      @akk7378 2 ปีที่แล้ว

      Mnaeza mchukua. Katiba yetu haimruhusu kuendelea

    • @ThePatriot67640
      @ThePatriot67640 2 ปีที่แล้ว

      No. Never. Tunafuata sheria iliyomo.

    • @saidsuleiman1753
      @saidsuleiman1753 2 ปีที่แล้ว

      @@aisthetic.art1 kwani Constitution ni kitabu cha Mungu, si viumbe kama mimi na wewe ndio wameandika na pia wanaweza wakabadilisha.

    • @aisthetic.art1
      @aisthetic.art1 2 ปีที่แล้ว

      @@saidsuleiman1753 ungejua tu jinsi familia yake imenyakua mali ya umma, mashamba na viwanda, tangu miaka ya 1963 hadi waleo, naye akizidi kututia katika mtego wa madeni ya China, hungeyasema maneno hayo ndugu...sio mzuri kama unavyodhani...shukuru mungu Uswazi hakuna mafamilia yanayoongoza eti kwa sababu yaliweza kunyakua mali na kuwa na bargaining power katika shughuli muhimu za serikali....yaani, hamna deep state

  • @e.jack.47
    @e.jack.47 2 ปีที่แล้ว +7

    We need to go slow on EA integration. We should do it gradually.

    • @alexandermutune6131
      @alexandermutune6131 2 ปีที่แล้ว +3

      I think the going has always been slow.Or where do you think the process was fast?

    • @Dr.zaidi4
      @Dr.zaidi4 2 ปีที่แล้ว +1

      @@alexandermutune6131 The west don't like the idea

    • @e.jack.47
      @e.jack.47 2 ปีที่แล้ว +2

      @@alexandermutune6131 admitting Congo n Somali a big mistake

    • @alexandermutune6131
      @alexandermutune6131 2 ปีที่แล้ว +1

      @@e.jack.47 Somali not a member so far.Why do think there was a problem admitting DRC?

    • @alexandermutune6131
      @alexandermutune6131 2 ปีที่แล้ว

      @@Dr.zaidi4 But why?

  • @petersilas4234
    @petersilas4234 2 ปีที่แล้ว +4

    Pia tuache vita visivyo na faida (senseless wars) huko DRC, Somalia na South Sudan. Tuangalie vyanzo vyao vya fedha na vifaa na kuviziba.

    • @footballshow3583
      @footballshow3583 2 ปีที่แล้ว

      Bro kwa vita mwenye kufaidika ni westerners wazungu Ndo wana fundi alshabab

    • @nyembomajidi3027
      @nyembomajidi3027 2 ปีที่แล้ว

      ndio kaka niuzuni sana tena sena

  • @Dogokillerog
    @Dogokillerog 2 ปีที่แล้ว

    Congolese 🙌🇹🇿🇨🇩

  • @dennismuchiri6681
    @dennismuchiri6681 2 ปีที่แล้ว

    Ruto the 5th,,

  • @sadockchengula5542
    @sadockchengula5542 2 ปีที่แล้ว

    KG anawaza kuipeleka Rwanda nchi ya ahadi. Tutaongea mengi mabaya hata ya kupandikiziwa juu yake. Ila baadhi ya machache ninayoyafahamu ni kwamba Rwanda kila mtoto wa primary school ana kompyuta ya kujifunzia, sekondari vilevile, watumishi wote wanajengewa makazi ya kudumu serikali inawadhamini, sijui vyuo vya kati na vyuo vikuu kukoje. Wakati sie tunapambania madawati, vyoo visivyotamanisha hata kufanya haja isitoke mashuleni kwetu huyu KG yuko mbali ndio maana hata JPM alisema rafiki akushaulie maendeleo ni mzuri.

  • @maclinsuleiman7803
    @maclinsuleiman7803 2 ปีที่แล้ว +1

    Xasan sheikh 😂😂😂😂😂🤔🤔🤔

  • @gilbertkalanda9354
    @gilbertkalanda9354 2 ปีที่แล้ว

    Uhuru Kenyata ni bingwa wa itifaki.

  • @husseinloyy1912
    @husseinloyy1912 2 ปีที่แล้ว +1

    Umoja wetu udumu

  • @plumbingsystems2606
    @plumbingsystems2606 2 ปีที่แล้ว

    Kaneju

  • @dylankanyubi3700
    @dylankanyubi3700 2 ปีที่แล้ว

    Swali ni:
    1.Je, kuna tarehe ambayo imewekewa kando mustakabali ili kuadhimu muungano huu wa EAC kuwa umri mmoja?
    2. Ikiwa kunayo, tutaanza kuondoa mipaka hii bandia lini? Jua kwamba mipaka hii iliwekwa na wakoloni kwa maridhisho yao na sio kwa kufaidika Wafrika.
    3. Serikali mmoja, fulusi mmoja, haya yote yatafanyika lini?
    4. Mbona mchakato huu wa kuungana nchi zote kuwa umri mmoja umechangamana zaidi? Mimi siwezi kujua mtu fulani ametoka wapi, kama ni Mkenya, Mtanzania, Mganda, Mrwanda, Mkongo, Mburundi, MSudan Kusini ingawa nimuulize ametoka wapi. Sisi ni mmoja.

  • @em551
    @em551 2 ปีที่แล้ว +1

    EAST AFRICAN FEDERATION should be fast tracked

    • @1devoch
      @1devoch 2 ปีที่แล้ว

      Ideally...

  • @kelvinogaro6948
    @kelvinogaro6948 2 ปีที่แล้ว

    Uhuru is good... But politics ni gani

  • @Xamxon254
    @Xamxon254 2 ปีที่แล้ว

    Rich and corrupt leaders can't make jokes. Trolling and nonsensical narratives are what they consider a joke.

  • @fortunatusphilimon8992
    @fortunatusphilimon8992 2 ปีที่แล้ว

    Aya

  • @shukranjazzakhaallahukheir1897
    @shukranjazzakhaallahukheir1897 2 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllahu tabarakaAllahu

  • @mohamedabdirahman3706
    @mohamedabdirahman3706 2 ปีที่แล้ว

    Uhuru mwizi kenyatta!!
    Watanzania chungeni huyu mwizi kenyatta…ametuibia kila kitu hapa kenya na akatumalizia na sasa ankuja kuwaibia nyinyi!

  • @rugendorunene545
    @rugendorunene545 2 ปีที่แล้ว +1

    Samia ndio malikia!

  • @abdulhamis9825
    @abdulhamis9825 2 ปีที่แล้ว

    🤝

  • @sallykalya9023
    @sallykalya9023 2 ปีที่แล้ว

    Kiswahili kitukuzwe afrika.

  • @josephmoseti5143
    @josephmoseti5143 2 ปีที่แล้ว +3

    Natumahi hiyo barabara hailipiwi kama hii yetuh ya kenya Expressway 🇰🇪

    • @brianjg2773
      @brianjg2773 2 ปีที่แล้ว

      Yenu na nani???

    • @patohmwendwa8623
      @patohmwendwa8623 2 ปีที่แล้ว +2

      We already have many bypasses in kenya: eastern,southern bypass…..usikuwe mjinga….kenya is on another level in terms of infrastructure…expressway iko beyond east and central african countries….so tufurahie ndugu zetu pia watanzania wamepata bypass🔥🔥🔥hongera sana suluhu

    • @josephmoseti5143
      @josephmoseti5143 2 ปีที่แล้ว +1

      @@brianjg2773 kwani unataka kulia🤣🤣🤣

    • @brianjg2773
      @brianjg2773 2 ปีที่แล้ว +1

      @@josephmoseti5143 nimeshangaa tu niaje hauna habari Express way sio yenu

    • @jacobmalingu2769
      @jacobmalingu2769 2 ปีที่แล้ว

      Wewe unapilia bypass? Ziko nyingi from Nairobi,Mombasa,Kisumu hadi Eldoret.

  • @aliaden5512
    @aliaden5512 2 ปีที่แล้ว

    Uhuru leo ako kerroro

    • @Dr.zaidi4
      @Dr.zaidi4 2 ปีที่แล้ว

      Leo ama siku zote???