(JUMKE) - Brother Nassir, Bin Yamiin, Yusuf Abdo, Yaaqub Abdallah. Connect With Brother Nassir On Instagram instagram.com/brothernassirofficial?igshid=14g5e0ozq963x
President Samia was received in Kenya like a President and treated like a Queen. This performance, Nasheed, as I have learnt it is, was to me, the most beautiful way of honouring this gracious lady from Zanzibar.
Beautiful! Both songs would make amazing videos. Every Tanzanian I've shared this video with thought the singing was outstanding, and the audience response was certainly commensurate to the skill of the quartet. The presidents of Tanzania and Kenya giving money to the singers was a sign of great respect and genuine appreciation . This is Swahili verse at its finest....and it demonstrates that "Bongo Flava" is not the only great music from East Africa.
Mashallah mashallah 😢😢😢😢😢❤️❤️❤️❤️❤️👌👌👌💯💯💯 makaribisho mazuri sana raha ya duniya ni mapendo usikuwe na chuki sisi wa afrika tu ungane mikono tuwe pamoja ndiye tutasonga mbele love from somali ❤️❤️🇸🇴🇰🇪🇹🇿❤️❤️💥
Nakukubali kijana wangu brother Nasser heshima kikaoni MashaAllah happy to see this beautiful event MashaAllah barakaAllah ♥️♥️💕🙏👊💪🇹🇿🇹🇿👊💪💪 we love our beautiful beautiful heart our mweheshimiwa rais Samiha
Haki nampenda sana huru yuko mshangamfu sana yaani alfu hajapangua watanzania na wakenya yaani twaishi kama ndugu tu mashaAllah mungu akuweke rais wetu hulu na pamoja na rais samia inshaAllah nawapenda sanaa
Mashallah mashallah mashallah 🇰🇪❤🇨🇦Alhamdulliah everything whent good mama yuko nyumbane kwao hapa kenya thank you uhuru kenyatta and your family nice job mashallah 🇰🇪🦓❤🇨🇦
Watanzania sisi hatuna vita na nyinyi ila kuna watu ndii bado.akili zao ziko nyuma hawamtaki mama afanye ziara na kuboresha uhusiano wa Tz na nchi zengine,Mama Samia Mungu amuongoze awafanyie kazi nzuri zaidi
Asanteni sana wakenya kwa ukaribisho mzuri wa mama yetu muendelee na moyo huo huo.Asante nyingi kwa rais Uhuru kenyatta amekuwa msitari wa mbele,hata tulipopatwa na msiba mkubwa alikuwa na sisi watanzania na aliubeba msiba kama wa kakwe.Wakenya mmebarikiwa rais mwenye rohoo ya kipekee.Tunamuombea azidi kuwa na afya na baraka tele.
@@waeniwaeni2216 Its just symbolic during elections.I know better I am a Kenyan who follows politics closely. He respect Islam and muslims but his war on terror is the law of the jungle
@@mohamedasaid7910 Ata mimi.. Na nastay coast. Akikam coast na pia Raila na Sonko wote are involved in Muslim gatherings, celebrations but it more political like you said
President Uhuru shukran Sana kwa ukarimu wako kwa rais wetu Samia suluhu. Naomba tushikane Kenya na Tanzania ili kuleta maisha Bora kwa raia wote tuache kufata watu wenye malengo ovu juu ya urafiki na undugu wetu Kenya and Tanzania
Sista hapo ni state house sio diamond jubilee hall,na ulinzi hapo ni wahali ya juu,isitoshe kuna sheria na masharti,kawaida mambo ya uswahilini ukianza kutuzwa wanakuja kwa wingi,hata huku ni hivo tu .
One thing is for sure..Kenyans love Tanzanians..we love what is Tanzanian..Tanzania is full of very many beautiful things..we actually envy you...name it, its beautiful..I love the Kiswahili meself..ndo maana nakomea hapo.
Kwani Kenyan coast hatuna Kiswahili? Wanaoimba si ni wakenya? Ni wewe na wenzako wa Nairobi ndio mnajimaliza na mother tongues n sheng (gangsters language)
Nashiid safi sana ongera kwa kumpenda rais wetu @SAMIA akika wenyewe tunampenda saizi y 100% tunamwombea kwa ALLAH S.W utuongoz vzr akik anawez tunamatezemeo nae kwass wakulim n wafany biashar
(JUMKE) - Brother Nassir, Bin Yamiin, Yusuf Abdo, Yaaqub Abdallah.
Connect With Brother Nassir On Instagram
instagram.com/brothernassirofficial?igshid=14g5e0ozq963x
Mashaallah
Mashaallah
MashAllah
Mashallah ❣️ nisalimie shehe yusuf Abd nawapenda sana iposiku nitakuja muona inshallah
President Samia was received in Kenya like a President and treated like a Queen. This performance, Nasheed, as I have learnt it is, was to me, the most beautiful way of honouring this gracious lady from Zanzibar.
Wow amaizng
you have said it so wel..Kenya is endowed with such a beautiful heart and her hospitality says it al. asanteni sana Kenya
Like president yet she is a president
@@swalahuomar8617 yes like all other president how they are alwys welcomed
This how we Kenyans are, we welcome everyone wholeheartedly proud to be Muslim Alhamdulillah 😍😍😍😍 and proud to be Kenyan 🇰🇪 😘😘😘
I like that type of Islamic music. Inatuliza roho.
@@fredrickayunga9564 it's called Nasheed...You can search Maher Zain for more Nasheeds.
@@reginaakumba9509 Thank you for letting me know. I love the Nasheeds.
Maa Shaa ALLAH
Thank you Mr. President Uhuru for your warmly welcome to our President!! Thank you Kenyans for your kindness!!
Thanks bro
Thanks bro
hey its not mr.president this is a women
@@elcontawa8023 hahahaa,,,, thats why I mentioned Mr. President Uhuru,,,,,, didn't you notice?
@@elcontawa8023 read well
Beautiful! Both songs would make amazing videos. Every Tanzanian I've shared this video with thought the singing was outstanding, and the audience response was certainly commensurate to the skill of the quartet. The presidents of Tanzania and Kenya giving money to the singers was a sign of great respect and genuine appreciation . This is Swahili verse at its finest....and it demonstrates that "Bongo Flava" is not the only great music from East Africa.
Alhamdulillah nimefurahi Hadi nimelia kwa furaha alhamdulillah karibuni watanzani
Nipeni number zenu plz niko na Arubaini ya mwanangu next month plz nataka mukuje plz
Waislam tuwakalimu mashaAllah Allah atuhifadhie dini yetu
Ameen ya Rabbi
Amiin amiin yaraabi
Ameen yarab
Amiin yarab
Mashallah mashallah 😢😢😢😢😢❤️❤️❤️❤️❤️👌👌👌💯💯💯 makaribisho mazuri sana raha ya duniya ni mapendo usikuwe na chuki sisi wa afrika tu ungane mikono tuwe pamoja ndiye tutasonga mbele love from somali ❤️❤️🇸🇴🇰🇪🇹🇿❤️❤️💥
Really, Africans we have to be love each other ,in order for our development. I'm from Zanzibar.🇹🇿
Watching live from London UK,thats how we should treat each other as we are one family. Asanteni sana Wakenya karibuni sana 🇹🇿
Mashaallah Asante wakenya kwa mapokezi mazuri kwa Rais wetu
MashAllah that's really awesome and Mrs samia suluhu felt really happy both with our prezo Mabruk❤❤❤
🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Watching frm doha🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦 love you my people 😍😍😍😍 Rais Samia we love you too ❤️❤️❤️
Am fine victor thnks
Shukran ustath abdi and nasir we love you all.
Allah awajaalie afya na ilmu yenye manufaa muzidi kutuelemisha.
Amin soteni shukran bro
Mashallah 🙏🏾🙏🏾
Nassir never disappoints 💗💗❤️❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰.🇪
Mashallah what a grand welcome by our fellow Muslim brothers
Nakukubali kijana wangu brother Nasser heshima kikaoni MashaAllah happy to see this beautiful event MashaAllah barakaAllah ♥️♥️💕🙏👊💪🇹🇿🇹🇿👊💪💪 we love our beautiful beautiful heart our mweheshimiwa rais Samiha
Mashallah sweet voice and nice nasheeds Allah bless you brotherNassir 🇰🇪@🇸🇦
Mashaallah mashaallah bro Nasir with ur team
That squad killed the show... mabrouk bro
Fact
Proud of them ... amazing lyrics and sung beautifully .. MAshlallah..hats off to the singers ❤️
This proves that we are brother countries. Thanks so much for that love towards our Mama president
Wow, am a christian bt nampenda brother Nassir
Penda gani🤣🤣🤣
Sawa sawa haina shida
Me too
Mashaallah mashaallah Allah awape mwisho mwema Raisi wetu na ndugu zetu wakenya ❤🙏I love Tanzania👌👌❤💪🙏 karibuni sana bongo
Bro Nasir nakuheshimi sana mola akubariki na hiyo sauti tamu kama nyoka kutoka pangoni Naamini siku moja tutaonana
Mashaallah brother nasser Yusuf abdi n.k wallah mumesoma vzur sana nasheed
Haki nampenda sana huru yuko mshangamfu sana yaani alfu hajapangua watanzania na wakenya yaani twaishi kama ndugu tu mashaAllah mungu akuweke rais wetu hulu na pamoja na rais samia inshaAllah nawapenda sanaa
Mashallah nakupenda raisi wangu mama samia kila nkikuona napata furaha moyoni mwangu. Allah akujaalie afya njema.🇹🇿❤🇺🇬👌
Watu wajifunze qaswida nzuri mashaalah haina ala au midundo ya shetani kenya mko juu
Mie nyimbo au qaswida imenipendeza bro nassir na group lote hongerani
Mashallah mashallah mashallah 🇰🇪❤🇨🇦Alhamdulliah everything whent good mama yuko nyumbane kwao hapa kenya thank you uhuru kenyatta and your family nice job mashallah 🇰🇪🦓❤🇨🇦
Watanzania sisi hatuna vita na nyinyi ila kuna watu ndii bado.akili zao ziko nyuma hawamtaki mama afanye ziara na kuboresha uhusiano wa Tz na nchi zengine,Mama Samia Mungu amuongoze awafanyie kazi nzuri zaidi
Ni akina vivuruge ndo walituvuruga
Ameen
Asanteni sana wakenya kwa ukaribisho mzuri wa mama yetu muendelee na moyo huo huo.Asante nyingi kwa rais Uhuru kenyatta amekuwa msitari wa mbele,hata tulipopatwa na msiba mkubwa alikuwa na sisi watanzania na aliubeba msiba kama wa kakwe.Wakenya mmebarikiwa rais mwenye rohoo ya kipekee.Tunamuombea azidi kuwa na afya na baraka tele.
Asante
kwa kweli Rais wao ana moyo wa aina flani huelezeki..alipewa na Mungu kwa kweli.nikmfikiriaga nabadi nikisema dah...
Alhamdullillah bro Nasser is back to nasheed
🇰🇪🇰🇪🇰🇪. Twapenda amani na wageni daima,,, kazi shwari ka hii kwa ajili ya mama Samia kwa upendo wa wakenya wadhati kwa madungu zetu watanzania🙏🙏🙏
Mashallah brother umeweza
Manshaalah this was warm welcoming Brother Nasir much love from 🇸🇴🇸🇴🇸🇴
Rais Uhuru is experiencing muslim nasheeds for the first time.
Sheikh Yusuf very popular in Tanzania.
Not really.. He shows up in Mosques fully clothed in Muslim attire especially in Mombasa.
@@waeniwaeni2216 Its just symbolic during elections.I know better I am a Kenyan who follows politics closely.
He respect Islam and muslims but his war on terror is the law of the jungle
@@mohamedasaid7910 Ata mimi.. Na nastay coast. Akikam coast na pia Raila na Sonko wote are involved in Muslim gatherings, celebrations but it more political like you said
Maa Shaa Allah my country pple 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇧🇭🇧🇭🇧🇭
Maa Shaa ALLAH
Magwiji wa nasheed East Africa. From Tanzania we love you so much.
MashaAlah MashaAllah MashaAllah
Viongozi wangu Allah awahifadhi InshaAllah
Mashallah mashallah mumemkaribisha uzuri President Samiha Suluhu, Wakenya Hoyeeee. Allah Awabarik Nyote na Awahifadhi Amiin
Am more than impressed by these young singers! 🥀
Mashallah mashallah this is very heartworming wallah
Outstanding Nasheeds MashaAllah ❤
President Uhuru shukran Sana kwa ukarimu wako kwa rais wetu Samia suluhu. Naomba tushikane Kenya na Tanzania ili kuleta maisha Bora kwa raia wote tuache kufata watu wenye malengo ovu juu ya urafiki na undugu wetu Kenya and Tanzania
Mashallah bro mnaweza
Being Tanzanian is a real blessing i swear🥺🙏🏻♥️
Proudly one
✋
Mashaallah kaka nakuona
My brother from another mother
Mashallah waalimu wangu kazi tamu sana mabingwa wa nasheed afrika 💯💯💯
Ameen Watching from Gulf Allah Bless Tz Allah Bless Kenya Ameen❤👍👍👍
Dah! Hapo ingekua kwetu tz hivyo wanavyoinuka viongozi basi wote wangeinuka kutunza, nyimbo nzuri mno God bless you.
Sista hapo ni state house sio diamond jubilee hall,na ulinzi hapo ni wahali ya juu,isitoshe kuna sheria na masharti,kawaida mambo ya uswahilini ukianza kutuzwa wanakuja kwa wingi,hata huku ni hivo tu .
Mashaa Allah" pepo ya duniya ni Mama" heshima kwa wa MAMA"
Mashaallah good nasheed for Mrs president samia
Mashallah most talented sheikh's in kenya may God bless u more
masha ALLAH, heart melting nasheeds ❤️
Nafurahi sana kuwaona shekh yusf abdo na brother nassir kwa mara nyengine tena
Tena sanna
@@mahmoodalghefeili5370 ni mapenzi yake so u cant interfere
Mashallah
J'adore, je suis comorienne. Qu'Allah vous protège tous 🤲🏻🤲🏻🤲🏻
Mashaallah mashaallah👏👏👏 twashukr sana kukaribisha mama yetu
MA.SHAA ALLAH.
🇰🇪🇹🇿 TUZIDI KUWA WAMOJA.NA NASHEED NI NZURI SANA.
Masha Allah asanten wakenya amefurahi mama yetu
Mr honourable president uhuru thanks for wonderful reception to our hon mama samia karibu Tanzania
Masha Allah,Awape kheri Mawlana
So touching,... it drew tears in my eyes 🥺🥺🥺🥺🥺
Mashallah, imependeza sana kuona nchi mbili zikishirikiana kwa furaha amani na upendo...Allah adumishe umoja wetu.
Wallai happy to be Muslim and to be Kenyan 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Masha’a Allah.Mwenyezi Mungu awape ya kheri.
Allah atuhifadhi na atudhihirishie wale wote maneno yao yapo tofauti na matendo yao. Aamiin
Proud of you brothers blessings from Allah
Mashallaah mambo pambe hongereni kwakumpokea rais wetu yusuf abd shukran mambo pambeee
Mashallah, Allah awahifadhi ma sheikh wetu.
Mungu akubariki brother Nassir. Ramadhan Maqbuul
Mashaallah Allah Akupe Nguvu ndugu yangu. Nawapenda sanaa
From Comoros 🇰🇲
Masha'Allah,Maimamu wengi Mombasa watoka kisiwa cha Comoros
@@tahiraabdul1701 okay man !
@@tahiraabdul1701 comorros asili Yao ni Lamu, Kenya na Ras Kamboni. Walitoka huko takriban miaka 800 hivi
I love Tanzania and Kenya from 🇸🇴
Mashallah mkali wao shekh yussuf bingwa
Masha'Allah i watched this video more than 10 times 👌
Mambo yalikuea pambe sanaaa❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿 🇹🇿
Kumbe na ww una comment TH-cam
@@saleemmuhammed292 we naniiiiiiiii?🙄
Hhahhahahah...unanijua
@@saleemmuhammed292 ckujuiii, we naniiiii?☹️
Nimefurahi hiyo taarabu.ni Masha allah.kimila wa coast.east afrikan cost.l like it.
From Somalia 🇸🇴 ♥️ I like this nashida🎉
MashaAllah
How nice MashaAllah
Maa shaa Allah Maa shaa Allah
Brother Nasser m.a tembelea islii Mara ngine inshaa Allah
Mashallah brother Nassir ukiwa kwenye nasheed unapendeza saannnna
MashaaAllAH tabaraka AllAH nimeipenda hiyo Nasheed
Maàa shaaa Allah maaa shaaa Allah maaa shaaa Allah maaa shaaa Allah
This is all unity 🙏hapo ni kuwa we are all together Kenyans huyu mama amefurahia
Alifmabroook brother nassor na wenzio one love
Maashallah, I love you Brother Naseer Bi-Idhni-Llah.
Mashaallah nicely work.
One thing is for sure..Kenyans love Tanzanians..we love what is Tanzanian..Tanzania is full of very many beautiful things..we actually envy you...name it, its beautiful..I love the Kiswahili meself..ndo maana nakomea hapo.
Kwani Kenyan coast hatuna Kiswahili? Wanaoimba si ni wakenya? Ni wewe na wenzako wa Nairobi ndio mnajimaliza na mother tongues n sheng (gangsters language)
@@amyskitchen_jikoni you seem envious of Tz..but am not surprised.
@@michaelmuriithi6808 not envious but kiswahili kipo coast n hao wanaoimba ni wa mombasa
Mashallah🥰🥰 wish to see you one day I.A☺
MashaAllah beautiful so soothing
Nashiid safi sana ongera kwa kumpenda rais wetu @SAMIA akika wenyewe tunampenda saizi y 100% tunamwombea kwa ALLAH S.W utuongoz vzr akik anawez tunamatezemeo nae kwass wakulim n wafany biashar
Ameen
Asahte asahteni wakenya kwa kumqirim mama,hakika ninyi ni ndugu zetu wa damu na kenyata ni rais wetu pia watanzania mungu azid kumpa afya njema
@@yasinshekh5271 Shukran kaka. Pamoja 🇰🇪❤️🇹🇿
Mashaallah so.moving
Maa shaa Allah nimefurahi kuwaona tena pamoja
Masha Allah was amazing 🇰🇪🇹🇿🤝🤝
MashaAllah nice voice
Ma shaa Allah 😢😢very beautiful and emotionall
Karibuni ikulu chamwino dodoma sikumoja tuweze sikia sauti hizi za nasheed zikisikia pale ikulu maashaa allah bro
Amazing mashaAllah 💓
Asante sana our president uhuru kenyatta ndio maana mm huwa nasema uko number moja...asante kwa kukaribisha mama wetu
Ma shaa Allah this was amazing Allah amjaalie kheir mama samia
Mwenyezi Mungu amjaalie afya njema busara na hekima kutuongoza watanzania