JIFUNZE KUONGEA KIINGEREZA KAMA WANAVYOONGEA WENYEWE, Mwalimu Shaaban B. Omar

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 47

  • @MonicaIvan-oz1xv
    @MonicaIvan-oz1xv หลายเดือนก่อน

    Naomba nifundishe me Ni mwanafunze wak mpiya

  • @habibarnabas
    @habibarnabas ปีที่แล้ว +2

    Asante sana Tena Sana mwalimu wangu umenifanya niwe na ujasiri wa kuongea kiukweli wewe ni mwalimu Bora Sana kwangu ...🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Ubarikiwe zaidi

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 21 วันที่ผ่านมา

    Asante sana teacher ❤❤

  • @MohamediAli-x7t
    @MohamediAli-x7t 4 หลายเดือนก่อน

    Nahitaji unifunishe kingereza mwalimu maake mimi sinanachokijua katika kingereza kwaiyo naomba unifundishe mwalimu

  • @MudodoAbineri
    @MudodoAbineri 6 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu shukrani sana kwa mafunzo yako vizuri sana.

  • @raysaid4559
    @raysaid4559 2 หลายเดือนก่อน

    Mwalim habar tufundi past tens simple tens na zngnezo tujue mtenda mtendwa mtendewaa mtendea

  • @MbeleLukingama-eo2dl
    @MbeleLukingama-eo2dl 7 หลายเดือนก่อน

    Aksante kwa somo nzuri.

  • @alvenmunroe9980
    @alvenmunroe9980 9 หลายเดือนก่อน +1

    Thank you teacher, well done mashallah, nakuelewa sana

  • @RahmatuBamkuu
    @RahmatuBamkuu 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe maisha marefu mwalimu

  • @SadikiMohamed-sm5ks
    @SadikiMohamed-sm5ks 8 หลายเดือนก่อน

    Habari nimevutiwa sana mwalimu

  • @yohanamnkande2416
    @yohanamnkande2416 5 หลายเดือนก่อน

    NAKUPAta vizur mwalimu

  • @zacharymussa9602
    @zacharymussa9602 7 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu naomba nifundishe kigeleza

  • @AgripaPantaleo
    @AgripaPantaleo 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba nifundishe kingeleza

  • @ZakirothmanYT
    @ZakirothmanYT 11 หลายเดือนก่อน

    I like this you teach

  • @halimamagoma
    @halimamagoma 7 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu naomba unisaidie nijue mana kingereza kinanisumbua kweli

  • @janjakhalfan7283
    @janjakhalfan7283 ปีที่แล้ว

    Wee ni mwalimu wa ukweli

  • @faridaechemutai6302
    @faridaechemutai6302 11 หลายเดือนก่อน

    Thank you teacher I love the way you are teaching🎉🎉🎉❤❤❤

  • @virginia-r6w
    @virginia-r6w 3 หลายเดือนก่อน

    Niko serious

  • @MonicaIvan-oz1xv
    @MonicaIvan-oz1xv หลายเดือนก่อน

    Natamani name nijue

  • @BaiyeBiaba
    @BaiyeBiaba 4 หลายเดือนก่อน

    Asantesanamwarimu

  • @SeboGustavo
    @SeboGustavo 2 หลายเดือนก่อน

    Nataman kuongea kingereza kama waingereza wenyewe

  • @julessungura
    @julessungura 6 หลายเดือนก่อน

    Mwalimi nahonba huwehuna nifunza nitakuwa natowa kidongoo

  • @JamilaShaban-ne9vs
    @JamilaShaban-ne9vs 9 หลายเดือนก่อน

    Nataman sana kujua kingereza

  • @salmatanza8133
    @salmatanza8133 ปีที่แล้ว

    Mwalim kama hujafunga usajili niko tayari

  • @virginia-r6w
    @virginia-r6w 3 หลายเดือนก่อน

    You are fine

  • @KaimuUlongo-xj2xw
    @KaimuUlongo-xj2xw ปีที่แล้ว

    Super

  • @mussafanto7088
    @mussafanto7088 ปีที่แล้ว

    Dah hongera sana mwalimu uko vizuri

  • @KaimuUlongo-xj2xw
    @KaimuUlongo-xj2xw ปีที่แล้ว

    Nice

  • @justerclement6437
    @justerclement6437 ปีที่แล้ว

    Mwalimu unapatikana wapi

  • @Jibril-h8s
    @Jibril-h8s 11 หลายเดือนก่อน

    Mwalim samahani nataka kujuwa kingereza

  • @Hemedibelanwa
    @Hemedibelanwa ปีที่แล้ว

    Namimi nahitaji kusoma kingereza

  • @MilembeShimbi
    @MilembeShimbi 8 หลายเดือนก่อน

    Natamani nijue kingereza nitumie njia ngn

  • @ladywinnieoulanyah8641
    @ladywinnieoulanyah8641 6 หลายเดือนก่อน

    Thanks

  • @virginia-r6w
    @virginia-r6w 3 หลายเดือนก่อน

    Namber ya lulipa

  • @priscangimba6194
    @priscangimba6194 ปีที่แล้ว

    Na mm nahitaji kuongea kiingereza

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 10 หลายเดือนก่อน

    Mbona kutwanga wangetengeneza hata vidonge jamn lugha hizi mie kusoma naweza ila kuongea jamn nahisi kudondoka na mtu akionge nasikia ila jibu sasa naliwekaje kazi kweli ni mwendo w kutwanga tz

  • @homebujastudio4136
    @homebujastudio4136 ปีที่แล้ว

    Teacher, how to get this cours if you are outside of Tanzania?
    Example me, I'm Burundi

  • @abdihussein6803
    @abdihussein6803 ปีที่แล้ว

    Number yako aipo whtsp sir

  • @MaryamSaid-l3d
    @MaryamSaid-l3d ปีที่แล้ว

    Teacher sorry tunaweza kukutafuta wasap?

  • @MahadSatar
    @MahadSatar 10 หลายเดือนก่อน

    Kiongoz wewe ni mfano wa kuigwa

  • @virginia-r6w
    @virginia-r6w 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba unifundishe kingereza