MATUSI KWA YESU NA MUHAMMAD, NA MANBII WENGINE, HAYAFAI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 19

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mwalimu upo vizuuri mashallah

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu kisha waita makafrii wamekwisha laaniwa wala hawajui wanyalo tokalini mtu mwenye akili timamu anaenda chooni na kujitpangusa na makaratasi kwa kweli hawa wenzetu wananuka mavi wanapovua tu nguo zao

  • @ustawiwetu
    @ustawiwetu 6 หลายเดือนก่อน

    Usifananishe Bwana Yesu Kristo na manabii wengine, Bwana Yesu ni Mungu

    • @makenaOG
      @makenaOG 4 หลายเดือนก่อน

      Pale msalabani biblia inasema yesu alisema "mungu wangu mungu wangu mbona unaniacha" sasa swali ni kama yesu ni mungu kama unavyodai je alikuwa anamwambia mungu yupi aliyemuacha?

    • @ustawiwetu
      @ustawiwetu 4 หลายเดือนก่อน

      @@makenaOG na anaposema Baba yetu uliye mbinguni.... Je, Mungu ni baba yetu au?

    • @makenaOG
      @makenaOG 4 หลายเดือนก่อน

      @@ustawiwetu kwa hiyo yesu ana mungu wake mbinguni kisha wewe unadai yesu ni mungu

    • @ustawiwetu
      @ustawiwetu 4 หลายเดือนก่อน

      @@makenaOG msikilize shaban amesoma mwenyewe kuwa Yesu alisema "baba yetu uliye mbinguni", hapo maana yake nini, usijitoe ufahamu

    • @makenaOG
      @makenaOG 4 หลายเดือนก่อน

      @@ustawiwetu nikitu gani ambacho huelewi ndugu , sote tunaamini kwamba mungu yuko mbinguni lakini swali ilikuwa yesu ambaye wewe umesema ni mungu alipokuwa anasema "mungu wangu mungu wangu mbona umeniacha " alikuwa anamlilia mungu yupi ilhali yeye ndio mungu kama ulivyodai

  • @universitylink
    @universitylink 6 หลายเดือนก่อน

    Vipi mungu aibariki kizazi cha hajira kwa hiyo unataka kusema kuwa mungu anabariki zinaa

    • @makenaOG
      @makenaOG 4 หลายเดือนก่อน

      Kwa hiyo unatwambia ibrahimu naye alizini sio ?

  • @mumewakigogo7788
    @mumewakigogo7788 10 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe ustadh naomba uni jibu je, Allah anayetajwa katika Quran ni Mungu ambaye ameandikwa katika Bi lia Takatifu au ni Shetani?

    • @suleim505
      @suleim505 9 หลายเดือนก่อน +6

      ALLAH ANAYETAJWA KATIKA QUR'ANI NDIYE MUNGU WA KWELI. NA KAMA WAMEMTAJA KATIKA BIBLIA KAMA HAWAKUMPA SIFA ZAKE YEYE MUNGU WAKAMUITA KWA JINA HILO (SHETANI)😡 BASI WAANDISHI WAMEFANYA MAKOSA,, PIA SIKU ZOTE ELEWA KWAMBA BIBLIA SIYO KITABU CHA MUNGU, KWA SABABU KITABU CHA MUNGU ILI KITHIBITIKE KUWA NI CHA MUNGU SHARTI AWEPO NABII ALIYEPEWA KITABU HICHO,,,,
      🤔SWALI 👉KITABU CHA BIBLIA KAPEWA NABII GANI ?

    • @user-ij9te1ck9p
      @user-ij9te1ck9p 2 หลายเดือนก่อน

      Ni papa aliyeupokea ushoga kwa mikono miwili baba mkuu kwenye Imani yenu

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 3 หลายเดือนก่อน

    Tatizo hawa watu wa roho mtakatifu wamejaa chuki na hawasomii kitabu chao

  • @user-pg6kv2nd3n
    @user-pg6kv2nd3n 3 หลายเดือนก่อน

    Washenzi ni wengi.aya ona tayari asha coment eti yesu ni mungu.c ushenzi huo ni nini?

  • @aidankamugisha5107
    @aidankamugisha5107 3 หลายเดือนก่อน

    Hakuna Mwanzo 32:38 Mwalimu sijajua wewe ulisoma bublia gani?

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 7 หลายเดือนก่อน

    Anachuki asioielewa mwwnyewe

    • @ustawiwetu
      @ustawiwetu 4 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/iLbxr2d2ZLg/w-d-xo.htmlsi=7NS4bk5AzTp1URr- bonyeza hii link utajua kuwa Ukristo dini au la