HUTAAMINI MBUNGE OLESENDEKA ASIMULIA MACHUNGU YA KIFO ALIVYOFWATULIWA RISASI "WANGENIUA MIMI JAMANI"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 เม.ย. 2024
- Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
TH-cam : www.youtube.com/@kusagatv6320...
Tiktok. www.tiktok.com/@kusaganews?la...
Pole sana Mh. Ole Sendeka. Bwana bado mpango nawe. Jitoe mia kwa mia kwake upate ulinzi wake kamili.
Barabara zote za simanjiro hasipitiki ,ero kama imeshambuliwa kweli pole sana,
Pole sana Mheshimiwa Ole Sendeka katika kushambuliwa na Wananchi walitaka kuchukuwa maisha yako sababu ya Siasa Dunia ya Leo ina maadui wengi
Tuliwaambia wakimaliza kuwadhuru wapinzani watawarudia nyie
Wewe ni boys kweli.ungeuwawa ndo ungejua cha kuongea. Unaongea kichawachawa.isilielie.mkuki kwa nguruwe
Mzee pole sana japo kuweni makini sana katika kutetea wamasai kushinda vita hivo vya ardhi yenu
Pole tunashukuru kumtambua Mungu.
HUWA NASEMA IPO SIKU MTAGEUKANA WENYEWE
Tabaraki papaai aamu lolomeek libuitare lekiarita .
Mungu akulinde bungee emaa
VIP KUHUSU UCHUNGUZI WA LISU MBONA KIMYA? UPENDELEO
Pole sana baba yetu olesendeka Maana Mungu bado anakupenda na hakuna hatakoyo kutowa isipo kuwa Mungu tu
Pole mbunge wetu😢
Pole sana mheshimiwa ole sendeka, don't worry anything in this earth God nows everything
Pole sana baba watu ccm atakitoa roho kwa sababu ya utetezi ya ufugaji ufugaji imekua changamoto
Yajayo ...........
❤jipe moyo lisu mpaka leo hii hakuna aliye kamwata
Usisahau kiapo kinasema hutatoa siri
Pole Ole Sendeka
ccm ....siku chadema ikichukua hii nchi mengi tutayajua
Najiuliza bunduki za kijeshi humilikiwa mitaani na kuwashambulia wakuu jamani inatisha sana sijui tumevamiwa na jeshi la kigeni au mmmmmm jamani
Yuko wapi mpina ccm
uyu anacheza na ccm kamuulize polepole au tundu lissu
Bado hujasema yote umesema nusu sema yote ...akaing'asya nanuu...taja majina kama unawajua.kwa sura
Pole sana mkuu
Bunduki za kijeshi maana yake ni fumbo la asili,saa itakuja damu ya lissu italipwa,
Mpaka sasa haijuikani hata maganda ya risasi zile za lissu ni ya silaha gani.
Itoshe kusema uchaguzi ujao ccm pazito
Pole sana mbunge wetu,pambania ardhi ya maaa
Mtu akiwa chawa ccm ni hatari kushinda kipindupindu kweli
Pole baba
Yaani bwana yesu asifiwe na hizo siasa na huo uchawa na hayo mambo hayachangamani ni kama mafuta na maji hao wahuni mbona unaongea kama vile unawajua basi tunaomba kawakamate uwaweke ndani mala moja maana kwa maelezo yako inaonekana unawajua vizuli na unawaaminisha watu kwamba watu walioko selekalini ni watakatifu sana hawawezi kuuwa kwa bunduki za kijeshi
Hapo hakuna haja ya uchunguzi kazi yote umemaliza
mwenyewe
Tuko pamoja mpaka tone la mwisho
Mbona walivyojeruhiwa na hata kuuwawa wengine ulikaa kimya?leo ndo unamjua Mungu?jitafakari mzee
Hao ni wasiojulikana mhe: Cha msingi inatosha kumshukuru mungu, na kama ikikupendeza achana na siasa iangalie familia yako
Wasiojulikana bado wapo
Pumbafu sanam
ANGALIA KIKULACHO KINGUONI MWAKO
TLS anacheeeeeeeeeeeeeka!.....
Leo .. hii wanataka kukuondoa ..hutaamini ..bdio ujue duniani hakuna jipya ... utapita tu na wewe...
anae miliki bunduki za kijeshi ni nani
Eti mtufafanulie
Mwanajeshi au?
You for get tundu lissu wewe ulifu rahi Sana Sasa ni ww
Kweli wewe nijasiri
😂😂😂
Mbona lisu haku pata bahati hii yako
Ana dhambi 😂😂😂😂
Konga nyoyo wajisahau wasizidi kukuandama!Kumbuka unatetea ardhi za wamasai na maafa yao kama mtanzania huru!
Na waarabu nasikia walishapewa hayo maeneo. Yajayo yanafurahisha
Kweli kichwa ya Olesendeka kwa tukio hili imepata moto
Haiko sawa
MIMI NASEMA , MUNGU YUPO JUU NA WANADAMU HAWAKAI MILELE SIKU ZAO ZINAHESABIKA . TUSUBIRI YAJAYO.