Nakupenda Yesu - Moses Zamangwa ft Jonathan

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Kila Mtu anazo sababu zake binafsi ambazo zilimfanya achangue kumpenda Yesu,
    Lakini Sababu kubwa ni Moja tu :-
    ALITUPENDA KWANZA hii inabeba story nyingi zilizo hai za watu wengi ikiwemo mimi, maana kuna maajabu mengi alinifanyia kabla hata sijui YESU ni nini.
    Baada ya kutafakari sasa najua kwanini alikuwa ananipambania mara nyingi kiasi kile.
    **Tunaposikiliza wimbo huu Tutafakari upendo wake kwetu** AMEN
    Special thanks
    Mitchell on Bass
    Steve DC on Lead Guitar
    Andrew Chitete on Drum
    Vocal Jaelar + Mlawa
    _iamjonah - MD + Keys
    Jeddy - Audio, Live mixing and Capturing
    Mopao - Mixing and Mastering
    Amigo Johnson - Video Directing, Capturing and Editing
    Alan on Light
    SONG Writer Moses Zamangwa

ความคิดเห็น • 34

  • @wesongapaul7492
    @wesongapaul7492 10 หลายเดือนก่อน +1

    Jonathan Shemsanga God bless you

  • @berrortz9038
    @berrortz9038 10 หลายเดือนก่อน +2

    Jonathan Mungu akubariki sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @strongqueen_tz9787
    @strongqueen_tz9787 หลายเดือนก่อน

    Glory 🙌🏾

  • @Hey.Its.LowKey
    @Hey.Its.LowKey 4 หลายเดือนก่อน

    Beautiful ministration

  • @napendaellykileo9300
    @napendaellykileo9300 10 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa sn Moses binafsi unanibariki sn

  • @daniel_mlima_56
    @daniel_mlima_56 10 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe sana 🙌🙌🙌 nilikua naomba mkiweza muutume kwenye other platform kama boom play, Deezer, ili wimbo uwahudumie wengi zaidi, na Mungu wa mbinguni awabariki 🙏

  • @missionarydavidtz
    @missionarydavidtz 10 หลายเดือนก่อน

    🙌🔥🙌

  • @Noah_A_Misholi
    @Noah_A_Misholi 10 หลายเดือนก่อน +2

    When music meets musicians ❤🔥🔥🔥

  • @cathbertjohnson408
    @cathbertjohnson408 10 หลายเดือนก่อน

    the_melody✔✔

  • @JohnyMabez
    @JohnyMabez 10 หลายเดือนก่อน

    ♥️♥️

  • @goodluckmartin4101
    @goodluckmartin4101 10 หลายเดือนก่อน

    Usirudi nyuma usikate tamaa Huduma yako ni njema

  • @BarakaWaya
    @BarakaWaya 10 หลายเดือนก่อน

    Woooow woooooow 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼

  • @producerflorizy2365
    @producerflorizy2365 10 หลายเดือนก่อน

    powerful 🔥🔥❤️❤️❤️

  • @meshackntoga1566
    @meshackntoga1566 10 หลายเดือนก่อน

    Saadi sanaaa,Mwalimu wangu, nipoDodoma.

  • @lizzybethmayengoh9624
    @lizzybethmayengoh9624 10 หลายเดือนก่อน

    Nice song, be boessed

  • @DominicEmanuel-p2i
    @DominicEmanuel-p2i 10 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mtumishi

  • @kellyroselwinga7999
    @kellyroselwinga7999 10 หลายเดือนก่อน

    Nomebarikiwa sana na wimbo huu Mtumishi wa Mungu,Mungu azidi lukuangazia nuru yake yake

  • @SilasElisha-c4x
    @SilasElisha-c4x 10 หลายเดือนก่อน

    hongera kwa kazi mzuri brother

  • @judithikate2243
    @judithikate2243 10 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏🙏🙏

  • @elevankasembe4513
    @elevankasembe4513 10 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Mungu azidi kukuheshimu.🎉

  • @mkomacaroline245
    @mkomacaroline245 10 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana slow but sure, Glory Be to God 🙏

  • @GregoryMlay
    @GregoryMlay 10 หลายเดือนก่อน

    May God bless you Moses. Much love from Fay Fashion Tanzania. 🎉

  • @johnsimba-dj3ti
    @johnsimba-dj3ti 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuinue zaidi na zaidi mtumishi

  • @happinessmonji4222
    @happinessmonji4222 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu awakumbuke kwenye ufalme wake

  • @noelaabbas
    @noelaabbas 10 หลายเดือนก่อน

    God bless you brother

  • @jamesshammah1454
    @jamesshammah1454 10 หลายเดือนก่อน

    Baraka Mtumishi 🙏🙏, this is Powerful 🔥🔥🇰🇪🇰🇪

  • @swatmtotowaangel1001
    @swatmtotowaangel1001 10 หลายเดือนก่อน

    NEXT LEVEL,BARIKIWA🔥🎶

  • @fredrickmsomba4123
    @fredrickmsomba4123 10 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥

  • @esteriakizinga357
    @esteriakizinga357 10 หลายเดือนก่อน

    🙌🙌🙌

  • @giftngogo5984
    @giftngogo5984 10 หลายเดือนก่อน

    Nimebarikiwa na huu wimbo. You are blessed.

  • @elishamwamlima7702
    @elishamwamlima7702 10 หลายเดือนก่อน

    Amazing 🙏
    May God bless you all.

  • @gwakisamwakilema
    @gwakisamwakilema 10 หลายเดือนก่อน

    Blessings to the nation

  • @amJonah-uc1fr
    @amJonah-uc1fr 10 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥 Glory to the Almighty God

  • @samuelmwangi7434
    @samuelmwangi7434 10 หลายเดือนก่อน

    🤏🤏🤏🤏🤏🤏🤏🤏🤏🤏🤏