Moses Zamangwa
Moses Zamangwa
  • 21
  • 161 438
HOLY Official live Recorded Moses Zamangwa ft Eliya Mwantondo
Hakuna aliye mtakatifu kama Bwana 1Samweli 2:2
Mtakatifu Mtakatifu Bwana wa majeshi Dunia yote imejaa utukufu wako Isaya 6:3
Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu ni Bwana mwenye nguvu kutoka 3:5
Mtukuzeni Bwana Mungu wetu Sujuduni penye kiti cha miguuni yake ndiye Mtakatifu Zab 99:5
Special thanks
Mitchell on Bass
Steve DC on Lead Guitar
Andrew Chitete on Drum
Vocal Jaelar + Mlawa
_iamjonah - MD + Keys
Jeddy - Audio, Live mixing and Capturing
Mopao - Mixing and Mastering
Amigo Johnson - Video Directing, Capturing and Editing
Alan on Light
SONG Writer Moses Zamangwa
มุมมอง: 1 656

วีดีโอ

Nakupenda Yesu - Moses Zamangwa ft Jonathan
มุมมอง 10K7 หลายเดือนก่อน
Kila Mtu anazo sababu zake binafsi ambazo zilimfanya achangue kumpenda Yesu, Lakini Sababu kubwa ni Moja tu :- ALITUPENDA KWANZA hii inabeba story nyingi zilizo hai za watu wengi ikiwemo mimi, maana kuna maajabu mengi alinifanyia kabla hata sijui YESU ni nini. Baada ya kutafakari sasa najua kwanini alikuwa ananipambania mara nyingi kiasi kile. Tunaposikiliza wimbo huu Tutafakari upendo wake kwe...
Moses Zamangwa Ft Bomby Johnson - Najua Unaishi - (Official Live Recorded) - Pumzi Project
มุมมอง 3.4K9 หลายเดือนก่อน
Hii ni kwa wale waaminio:- kuna wakati unaweza kuhisi kama Mungu hasikilizi maombi yako, Napenda kukutia Moyo kwamba kitu kikubwa na cha Muhimu ni kutambua kuwa Mungu anaishi, ukishatambua hili basi, maana ni lazima atajibu tu tena kwa wakati ambao wewe haukutarajia. ENDELEA KUMU-AMINI MUNGU MAANA ANAISHI Special thanks Mitchell on Bass Steve DC on Lead Guitar Andrew Chitete on Drum _iamjonah -...
Moses Zamangwa - Sifa Zako Zivume__ (Official Live Recorded) Pumzi project
มุมมอง 2.5K10 หลายเดือนก่อน
ZABURI 113:3 Toka mawio ya Jua hata machweo yake Jina la BWANA husifiwa ISAYA 45:6 Ili kutoka mawio hata machweo yake watu wapate kujua kuwa hakuna Mungu mwingine ila ni mimi. mimi ndimi BWANA wala hakuna mwingine Songwriter Moses Zamangwa Special_thanks mitchell_mike_jr on Bass stevectz on Guitar andrew_chitete on drums _iamjonah MD Keys mlawa_jr on tenor jeddyaudio on live mixing and capturin...
Moses Zamangwa Ft Zoravo - Kwako Yesu Nasimama (Official Live Recorded Video)
มุมมอง 36Kปีที่แล้ว
Mazingira yanayokuzunguka yasikufanye upoteze focus yako ya maisha na alichokusudia Mungu. . . . Special thanks Mitchell on Bass Steve DC on Lead Guitar Andrew Chitete on Drum _iamjonah - MD Keys Mlawa on tenor Jeddy - Audio, Live mixing and Capturing Samuel Mboya - Mixing and Masterling Amigo Johnson - Video Directing, Capturing and Editing Alan on Light Edson Billa/Reuben Billa/SimonAnta Horn...
MOSES ZAMANGWA FT PAUL CLEMENT - ANIPENDA (Official Live recorded video)
มุมมอง 26K2 ปีที่แล้ว
Huu wimbo ni wimbo wa Tenzi NO29 Ambao niliubadirisha Nikiwa mtoto mdogo sana, na hizi melody za Saxophone nilizipata kipindi hicho, na vyote hivyo viliambatana na Tukio kubwa ambalo YESU alinitendea. Special thanks Mitchell on Bass Steve DC on Lead Guitar Andrew Chitete on Drum _iamjonah - MD Keys Mlawa on tenor Jeddy - Audio, Live mixing and Capturing Samuel Mboya - Mixing and Masterling Amig...
Moses Zamangwa - THANK YOU MY LORD (Official Video). PUMZI 1 Live Recorded
มุมมอง 10K2 ปีที่แล้ว
Nyimbo hii imekuwa ikiimba sana Moyoni mwangu toka siku ya kwanza nilipoisikia kutoka kwa mtumishi wa Mungu PAUL MWANGOSY. Na toka nimeisikia haikuwahi kutoka moyoni mwangu na hadi ikatengeneza melody mpya ambayo haipo kwenye wimbo husika. Ni wimbo wa shukrani kwa Mungu kwa mengi ambayo ametutendea nikiamini kila mtu analo lakwake. Special thanks Mitchell on Bass Steve DC on Lead Guitar Andrew ...
SIFA ZAKO ZIVUME by Moses Zamangwa
มุมมอง 1.9K4 ปีที่แล้ว
New year 2020 written and composed by Moses Zamangwa, How greater is my GOD
NOKIA RINGTONE JAZZ VERSION by Moses Zamangwa
มุมมอง 2.9K4 ปีที่แล้ว
Wednesday Jazz night
Msalaba ndiye asili ya mema tutatua mizigo hapo
มุมมอง 1.4K5 ปีที่แล้ว
Tenzi za Rohoni Makumbusho Ya Taifa Gwamaka DVF Recording
Joel Lwaga Ft Moses Zamangwa - Amenifanyia Amani (Official Live Performance
มุมมอง 1.9K5 ปีที่แล้ว
✍Paul clement Covered by Joel lwaga Saxophonist Moses Zamangwa
Moses Zamangwa - Despacito | Tanzania Tour Guide
มุมมอง 1.7K5 ปีที่แล้ว
Despasito & Salama
Moses Zamangwa | Yesu Ali-niita Njoo (Official Live Performance)
มุมมอง 4.6K5 ปีที่แล้ว
Moses Zamangwa and Aflewo TZ 2018.
AFRICA LET US CELEBRATE
มุมมอง 1.9K6 ปีที่แล้ว
I just mentioned few otherwise the song would be 20 minutes or more😂. Thanks. Moses Zamangwa
ROHO YANGU NA IKUIMBIE. by Moses Zamangwa
มุมมอง 41K6 ปีที่แล้ว
ROHO YANGU NA IKUIMBIE. by Moses Zamangwa
UTUKUFU by Moses Zamangwa
มุมมอง 1.4K6 ปีที่แล้ว
UTUKUFU by Moses Zamangwa
Moses zamangwa
มุมมอง 1.7K7 ปีที่แล้ว
Moses zamangwa
Moses zamangwa
มุมมอง 1.8K7 ปีที่แล้ว
Moses zamangwa
Moses Zamangwa
มุมมอง 2.7K7 ปีที่แล้ว
Moses Zamangwa
Moses Zamangwa
มุมมอง 1.7K7 ปีที่แล้ว
Moses Zamangwa
Moses Zamangwa | Viti havifai tena....
มุมมอง 5K8 ปีที่แล้ว
Moses Zamangwa | Viti havifai tena....

ความคิดเห็น

  • @onikajulius9335
    @onikajulius9335 18 วันที่ผ่านมา

    Mungu aibariki huduma yako akuinuie kwa viwango vya juu zaidi 🙏

  • @onikajulius9335
    @onikajulius9335 20 วันที่ผ่านมา

    🙏

  • @onikajulius9335
    @onikajulius9335 20 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki mtumishi hakika kazi yako ni njema Mungu akuinue kwa viwango vingine

  • @onikajulius9335
    @onikajulius9335 20 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki mtumishi hakika kazi yako ni njema Mungu akuinue kwa viwango vingine 🙏

  • @nickdr_tv
    @nickdr_tv หลายเดือนก่อน

    😇😇😇😇😇

  • @ebenezerchristopher9605
    @ebenezerchristopher9605 หลายเดือนก่อน

    What a song; Glory to the Holy one🙌🙌🙌

  • @joelnuhu_official
    @joelnuhu_official หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉 wewe ndiwe mtakatifu YESU

  • @user-rs2ij6xp2x
    @user-rs2ij6xp2x หลายเดือนก่อน

    Waooo nimekubali

  • @elevankasembe4513
    @elevankasembe4513 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzr utukufu kwa Mungu

  • @fredelihuruma
    @fredelihuruma หลายเดือนก่อน

    Blessings

  • @robertmagrethsautiyakuhani
    @robertmagrethsautiyakuhani หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri mtumishi..wimbo umejaa mafuta...alafu ukaamua ukuuficha!..Mungu anakuona

  • @DastanAdriano-mz1tc
    @DastanAdriano-mz1tc หลายเดือนก่อน

    ubarikiwe Mtumshi

  • @ItsokG
    @ItsokG หลายเดือนก่อน

    This is a blessing..🎉

  • @goodluckmartin4101
    @goodluckmartin4101 หลายเดือนก่อน

    Wish to be there and give God my heart of worship...Bravo

  • @belindatambwe
    @belindatambwe หลายเดือนก่อน

    Blessings🙌. May the Lord continue to bless your ministry

  • @goodluckmbwambo935
    @goodluckmbwambo935 หลายเดือนก่อน

    Amen. nimebarikiwa sana na wimbo🙌

  • @noelatarimo9032
    @noelatarimo9032 หลายเดือนก่อน

    Glory to God

  • @user-nv5sy4yt8d
    @user-nv5sy4yt8d หลายเดือนก่อน

    Broo Moses na Elia mwantondo mbarikiwe nimebarikiwa mno

  • @CJMusic
    @CJMusic หลายเดือนก่อน

    ❤🔥🔥

  • @chiefjimmykimutuo6149
    @chiefjimmykimutuo6149 หลายเดือนก่อน

    He is a Holy one of Israel.

  • @Hey.Its.LowKey
    @Hey.Its.LowKey หลายเดือนก่อน

    Beautiful ministration

  • @charitymartha3765
    @charitymartha3765 6 หลายเดือนก่อน

    Powerful ministration wooow ... beautiful

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 7 หลายเดือนก่อน

    Wimbo mzuri, hongera Moses

  • @user-jk5vl7wb9q
    @user-jk5vl7wb9q 7 หลายเดือนก่อน

    Safi

  • @erastuscheruiyot738
    @erastuscheruiyot738 7 หลายเดือนก่อน

    saxo huku kenya twasema ameua. Mziki bomba wa kuabudu.

  • @user-ow6id2tb6t
    @user-ow6id2tb6t 7 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mtumishi

  • @kellyroselwinga7999
    @kellyroselwinga7999 7 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥

  • @kellyroselwinga7999
    @kellyroselwinga7999 7 หลายเดือนก่อน

    Nimebarikiwa sana na nyimbo hii ,najua wewe Unaishi

  • @missionarydavidtz
    @missionarydavidtz 7 หลายเดือนก่อน

    🙌🔥🙌

  • @wesongapaul7492
    @wesongapaul7492 7 หลายเดือนก่อน

    Jonathan Shemsanga God bless you

  • @berrortz9038
    @berrortz9038 7 หลายเดือนก่อน

    Jonathan Mungu akubariki sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @JohnyMabez
    @JohnyMabez 7 หลายเดือนก่อน

    ♥️♥️

  • @producerflorizy2365
    @producerflorizy2365 7 หลายเดือนก่อน

    powerful 🔥🔥❤️❤️❤️

  • @kellyroselwinga7999
    @kellyroselwinga7999 7 หลายเดือนก่อน

    Nomebarikiwa sana na wimbo huu Mtumishi wa Mungu,Mungu azidi lukuangazia nuru yake yake

  • @Noah_A_Misholi
    @Noah_A_Misholi 7 หลายเดือนก่อน

    When music meets musicians ❤🔥🔥🔥

  • @jamesshammah1454
    @jamesshammah1454 7 หลายเดือนก่อน

    Baraka Mtumishi 🙏🙏, this is Powerful 🔥🔥🇰🇪🇰🇪

  • @cathbertjohnson408
    @cathbertjohnson408 7 หลายเดือนก่อน

    the_melody✔✔

  • @fredrickmsomba4123
    @fredrickmsomba4123 7 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥

  • @user-dw9bq4ff7o
    @user-dw9bq4ff7o 7 หลายเดือนก่อน

    hongera kwa kazi mzuri brother

  • @esteriakizinga357
    @esteriakizinga357 7 หลายเดือนก่อน

    🙌🙌🙌

  • @user-om9sk5ef6c
    @user-om9sk5ef6c 8 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe sana 🙌🙌🙌 nilikua naomba mkiweza muutume kwenye other platform kama boom play, Deezer, ili wimbo uwahudumie wengi zaidi, na Mungu wa mbinguni awabariki 🙏

  • @samuelmwangi7434
    @samuelmwangi7434 8 หลายเดือนก่อน

    🤏🤏🤏🤏🤏🤏🤏🤏🤏🤏🤏

  • @GregoryMlay
    @GregoryMlay 8 หลายเดือนก่อน

    May God bless you Moses. Much love from Fay Fashion Tanzania. 🎉

  • @noelaabbas
    @noelaabbas 8 หลายเดือนก่อน

    God bless you brother

  • @napendaellykileo9300
    @napendaellykileo9300 8 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sn Moses binafsi unanibariki sn

  • @johnsimba-dj3ti
    @johnsimba-dj3ti 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuinue zaidi na zaidi mtumishi

  • @lizzybethmayengoh9624
    @lizzybethmayengoh9624 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @lizzybethmayengoh9624
    @lizzybethmayengoh9624 8 หลายเดือนก่อน

    Nice song, be boessed

  • @amJonah-uc1fr
    @amJonah-uc1fr 8 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥 Glory to the Almighty God

  • @goodluckmartin4101
    @goodluckmartin4101 8 หลายเดือนก่อน

    Usirudi nyuma usikate tamaa Huduma yako ni njema