The Buzz na Joel Alfredy

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ค. 2022
  • Connect with Bethel Radio
    Facebook: / bethelradiotz
    Instagram: / bethelradiotz
    Contacts (Mawasiliano): +255 717 364 482
    Give | Donate : +255 753 217 078

ความคิดเห็น • 21

  • @fridadenis
    @fridadenis 8 หลายเดือนก่อน +3

    Nimengalia hii video zaidi ya mara 30 and every day lazima niiweke as play list I must say tatizo kubwa tulilonalo Sasa hivi ni watu kutotaka kusoma neno ..ndio maana kweli kama mtumishi anavyosema tumejikuta na wafanyabiashara wengi katika gospel each day goes by people don't want relationship with God wanataka vile vitu Mungu anatoa Mungu atusaidie sana mbarikiwe sana watumishi wa Mungu kweli this interview is super perfect ❤

  • @jacklineadus4514
    @jacklineadus4514 หลายเดือนก่อน +1

    Am so blessed with this interview, Nimeona mtu amepost status sehemu ya hii interview nikatamani kuiona full interview, Yes niko hapa na Nimekutana na Mungu kwa jinsi ya ajabu. Asante Roho Mtakatifu. Utukufu kwako Ee Bwana Muumba mbingu na nchi 🙏

  • @ministermalili342
    @ministermalili342 ปีที่แล้ว +5

    Nakupenda sana mdogo wangu @Jooh .. Hey this guy is so wise, Mungu amewekeza hazina ya pekee sana.. Very Wright minded Mungu akupe neema kuendelea mbele

  • @jofreyrutta1616
    @jofreyrutta1616 ปีที่แล้ว +4

    One of the powerful interviews i have watched

  • @justinalbert9100
    @justinalbert9100 ปีที่แล้ว +3

    Big up sana broo , Roho mtakatifu azidi kukuongoza , maana magigi ni balaaa , SEMA church boy wengi wanachukulia easy!

  • @gospelteachingministry195
    @gospelteachingministry195 ปีที่แล้ว +2

    For the first time namuona huyu Mtumishi ni Arena of the Holy Spirit kwa pastor Ado, ibada iliyokuwa ikiendeshwa na Apostle Arome Osayi, na nakumbuka alimuuliza huyu mtumishi unataka nini? Na akamuwekea mikono na kumisihi awe anakuwepo endapo Apostle Arome atakapokuwa akija Tz...
    But all in all I never knew this man is so good guy and wise to this extent and annointed ...love you brou ❤

  • @alexnyaganilwa4410
    @alexnyaganilwa4410 4 หลายเดือนก่อน +1

    This man of God ..RIP

  • @paulmyinga8545
    @paulmyinga8545 5 วันที่ผ่านมา

    Hili somo inabidi liandikiwe kitabu

  • @rumishameta4692
    @rumishameta4692 6 หลายเดือนก่อน +2

    i love this interview.

  • @daudlyandala1944
    @daudlyandala1944 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nimejifunza kitu kikubwa sana kutoka bro Joel

  • @osidaimathew1286
    @osidaimathew1286 ปีที่แล้ว +2

    Bro you are a genius🖐🖐🖐🔥🔥🔥🔥

  • @benjaminkambona7783
    @benjaminkambona7783 ปีที่แล้ว +5

    hii interview imeongeza kitu ndani yangu

    • @neemamartin481
      @neemamartin481 ปีที่แล้ว +1

      Mungu akukukuze vyema Joel🙏

  • @danielmbangwa5224
    @danielmbangwa5224 ปีที่แล้ว +1

    Bro nmejifunza ,kweli

  • @wilsonkimaro3442
    @wilsonkimaro3442 ปีที่แล้ว +1

    Nimejifunza.

  • @tallmnyama9275
    @tallmnyama9275 9 หลายเดือนก่อน +1

    Good luck bro

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 ปีที่แล้ว

    Blessing

  • @lennoxfred7498
    @lennoxfred7498 ปีที่แล้ว

    Wow wow

  • @NeproMedia
    @NeproMedia 11 หลายเดือนก่อน

    Emen sana

  • @theblessedmusic5411
    @theblessedmusic5411 ปีที่แล้ว

    Aseee

  • @musakapela7897
    @musakapela7897 10 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂