FINAL:LULU MWANAMKE BIKLA ALIYEOLEWA NA MWANAUME ASIYEKUA NA UUME ALIPIGWA NILIVYOSEMA NYUMBANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • #foxetv #HardMovements #truestory #mikasa Bonyeza alama ya Subscribe kisha weka notification on ili kupata matukio yote kwa wepesi zaidi Asante.#FoxeTv Ni Bora Zaidi
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    ©Instagram @FoxeTvTanzania tufollow sasa kwenye mtandao wetu wa kijamii
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    Tag;
    #video #bongomovie #truestory #majanga #mikasa #msaada #update #trendingvideo #trending #trendingnews #oman #omannews #omanchannel #omannewstoday #kenya #kenyanews #kenyadigitalnews #kenyanewsmedia #usa #usanews #america #american #amerika #tanzania #tanzaniasafari #tanzaniayetu #uganda #ugandanewsupdates #rwanda #rwandanmovies #burundi #burundinews #uchawi #mikasa #udakutz #udaku254 #ngono #VideoChafu #VideoXxx #Xxx #xxl #uchib #tikitv #tikitvkiakilizaidi #zanzibarbeach #maximumtvonline #maximumtv #DavistarMatal #mtoto #watoto #Ubakaji #diamondplatnumz #harmonize #comedy #comedyvideo #film #movie #movie #ayo #millardayo #millardayoupdates #GroblaUpdates #global #AingiliwaKinyume #bongofasta #bongostar #bongo

ความคิดเห็น • 146

  • @FoxeTv
    @FoxeTv  ปีที่แล้ว +6

    ILI KUJIUNGA NA GROUP LA WHATSAPP LA FOXE Tv UNAWEZA KUJOIN KUPITIA LINK HII HAPA👇 chat.whatsapp.com/CptUDTRfRSo5OimbjoLZ0a

    • @aminasaidi3887
      @aminasaidi3887 ปีที่แล้ว +1

      6:04 6:06

    • @zainalewanga5381
      @zainalewanga5381 ปีที่แล้ว

      Subiri kifo umewekwa Kwa kusudi maalum ...mjinga hunA maamuzi

    • @zainalewanga5381
      @zainalewanga5381 ปีที่แล้ว

      Alivyokuacha bafuni ungekufa ungerudi

  • @zainabumohamed8541
    @zainabumohamed8541 ปีที่แล้ว +1

    Dada nenda KIMARA TEMBONI Kwenye kanisa la Kuhani na Mwl MUSA RICHARD MWACHA hio mi kazi ndogo sana dada siku hiohio mambo yatakua poa nenda

  • @PendoWillfred
    @PendoWillfred ปีที่แล้ว +1

    Pole sana dada, we badoni binti mdogo sana nakushauri uingie kwenye maombi umlilie mungu kunga nakuomba kwasiku kadhaa mungu mweyew atakupa majibu ndo utamua kuendelea nahuyo bwan au kuanza maisha mapya yenye furah wanaume so ndugu zetu kabisa fungukaka

  • @azizahmustafa8330
    @azizahmustafa8330 ปีที่แล้ว +3

    Yalishamkuta rafiki yangu hayo 😢😢aliolewa na mwaña ume ambaye hata kwao hapajulikan halaf huyo kaka àlikua anautajir wakufa mtu ila kuna chumba ambacho alikua haruhusiwi kuingia kumbe kulikua na mtoto wa kiume ndañi ambaye yule kaka ndie alikua anamtumia kimapenz 😢

  • @AuchielMakebu
    @AuchielMakebu ปีที่แล้ว +1

    Dada chakukushauri rudinyumani wakikwambia wazazi wambie wakaorewe wenyewe make hapo amna ndoa unajua ndoa nini we acha ujinga ukirudi kifokiko shingoni naizopesa unazo fukuzia utafanikiwa we unakifata kifo kufikiahapo mungu yupo pamoja nawe sema amina mnguakutangurie maishanimwako

  • @AngelMbezi
    @AngelMbezi ปีที่แล้ว +1

    Mungu atafanya njia juu yako usikate tamaa sana

  • @CharlesOkumu-xv8uu
    @CharlesOkumu-xv8uu ปีที่แล้ว +3

    Wewe dada yangu nikushauri kwamba Rudi kaongee na wazazi lakini zaidi ya yote muombe Mungu lakini usimpende mtu kwenye hakuna

  • @upako4598
    @upako4598 ปีที่แล้ว +4

    Mungu ukutie nguvu muombe sana mungu

  • @sadockfanuel5875
    @sadockfanuel5875 ปีที่แล้ว +1

    mmmh. nahs maskio yananiwasha kwa uongo tuu umeenda secondika..😅😊😊

  • @DamasjoachimPetro
    @DamasjoachimPetro 10 หลายเดือนก่อน

    Nenda kwenye maombezi

  • @TomElkana
    @TomElkana 8 หลายเดือนก่อน

    Naona kifo chako ukirudi hapo....tafadhali usithubutu

  • @Officialney
    @Officialney ปีที่แล้ว

    Watu kama. Nyie amuerewi mpaka mtorewe roho

  • @LatifaMadulu-cg9hi
    @LatifaMadulu-cg9hi ปีที่แล้ว +1

    Hz stori ni uongo 😂

  • @MarryKimaro-m9k
    @MarryKimaro-m9k หลายเดือนก่อน

    Huyu mwanaume Ni jini binti nenda kwenye maombi

  • @TifaWinne
    @TifaWinne ปีที่แล้ว +1

    Na vidole pia havifanyi kazi kwa iyo

  • @halimaali3719
    @halimaali3719 ปีที่แล้ว +2

    M pole sana dadaau lakini labuda mamaako uwasubiri ufie alafu ata jua 😢

  • @deomajiji1789
    @deomajiji1789 ปีที่แล้ว

    Awaekeze wazazi wake ..huyo Binti ataishia Kifo. Licha ya Fedha kwa huyo mume, ila Uhai wajje uko rehani. Aachane naye, asifante ajizi, atauawa.

  • @JeupeMc
    @JeupeMc ปีที่แล้ว +1

    Aiseee dada pole sana lakini usitoetoe siri ovyo mngeenda mkapate tiba so kuonekana kwenye video

    • @joycshayo1274
      @joycshayo1274 ปีที่แล้ว

      Ana jinsia anaishi je

    • @HusseinGabu-wr3xh
      @HusseinGabu-wr3xh ปีที่แล้ว

      Waende wapi wapate tuna na wakti huu ni mwaka wa polis kila mwanaume akiambiwa wakahangakie hilo swala mwanaume anakua mkali na mwanamke anaambulia kipigo

  • @chichahamis635
    @chichahamis635 ปีที่แล้ว +2

    Unafuta pesa au mtu Hana jimsia unampenda was nn sasa

  • @AminaWaziri-h8m
    @AminaWaziri-h8m ปีที่แล้ว +1

    Pole Sana ndugu yangu kwanini usiende kwa familia yake na kuelezea uwenda wakakuunga mkono nakukuangaikia ilo swala

    • @elizajackson7979
      @elizajackson7979 ปีที่แล้ว +1

      Suluhisho lipo kwa yesu mdogo wangu wanadamu hawana suluhu

    • @fatumajeneby5449
      @fatumajeneby5449 ปีที่แล้ว

      IKIWA WAZAZI HAWAJA KUSAIDIYA, USITARAJIYE WAZAZI WA WENZAKO! NASHAURI, UKADAI TALAKA UWEPUKE BALAA🏃‍♂️🙏🏃‍♂️🙏

  • @fatemasalem9677
    @fatemasalem9677 ปีที่แล้ว +1

    Tuna subiri

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 ปีที่แล้ว +1

    Sasa daa wasema Hana jinsi ya in Amana uume Hana au vp inqekuwa uume anao lkn hakuna nquvu ninqesema aende oc Sasa yeye ni Hana ataibiwa vp nahiyo ndo sabbu yakuwa yuwalala na nquo mthihani Kwakweli

  • @mwatangachaurembo3405
    @mwatangachaurembo3405 ปีที่แล้ว +2

    Sasa kama bado unamtaka mumeo umekosea kuja kwenye media walau basi ungeficha uso wako My dear huyo sio mtu wakawaida upo kwenye mtihani sana na kutokuwa na sehemu za siri huwenda kuna sababu za msingi

  • @emilyondari4796
    @emilyondari4796 ปีที่แล้ว +1

    Anasusu aje??? Jini hilo.

  • @idrissamohamed1100
    @idrissamohamed1100 ปีที่แล้ว +2

    Mbona mambo ya kutatuliwa na familia mnaleta mtandaoni?

  • @mwapwanihassaninduma8073
    @mwapwanihassaninduma8073 ปีที่แล้ว +1

    Shake well before use

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 ปีที่แล้ว +1

    Hii ni kweli au ungo unataka coment nyingi weww au vip bado mndongo wewe kuolewa sisi tupo wakumbwa wewe nni mjukuu wangu😮

  • @florencekaura8487
    @florencekaura8487 ปีที่แล้ว

    Sasa utaishi na mtu ambaye hawezi kukupa mtoto???

  • @khadijaabdulaziz8297
    @khadijaabdulaziz8297 ปีที่แล้ว +1

    Hii kesi yataka wazee ashiriki sisi wailamu unaenda kwa kadhi unaeleza halafu unaachishwa unapewa talaka lazima uachwe kesi kama hii hata kama mume unampenda unadhulumika wewe ni mdogo usitafute mwanameme mwengine wa kuzini ila uolewe
    Baada ya kuachwa huyu mume hana wazee unasema hana jinsia
    Ulijuaje itakuwa anyo lakini hana nguvu za kiume haezi kufanya kitu
    Itabidi ufunguke 2 ili upate haki yako ya ndoa

  • @ALLYNDUNDA-w9g
    @ALLYNDUNDA-w9g ปีที่แล้ว

    Maneno kama haya mwanamke bikra anayatolea wapi😂😂😂😂

  • @emanuel28asukile
    @emanuel28asukile ปีที่แล้ว +1

    Tuwwkee mwendelezo@foxe tv#foxe tv

    • @sadockfanuel5875
      @sadockfanuel5875 ปีที่แล้ว

      mmmh... makubwa cjawah kusikia maskio yananiwasha huu ni uongo

  • @DamasjoachimPetro
    @DamasjoachimPetro 10 หลายเดือนก่อน

    Nenda kwa Ncholausi Suguye, Kwa Kakobe, Mwamposa, Arusha kwa Ngurumo ya upako, Vuka Yordsni, suluhisho tayari

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 7 หลายเดือนก่อน

    Yani Kidada Kinajua Kutunga Misitali Ya Usanii Kweli Kweli Ivi Ingekua Ndio Uhalisia Unazani Angebaki Na Kauli Ya Kumtaka Mme Angekimbilia Kwa Mungu Nyumba Za Ibada Kadada Kanajua Kutunga Misitali Jamani

  • @charleslugemalila1168
    @charleslugemalila1168 ปีที่แล้ว +6

    Hapo hakuna ndoa kwani ndoa inakamilika baada tu ya tendo la ndoa vinginevyo ni batili hivyo huyo dada hana mume.

  • @HusseinGabu-wr3xh
    @HusseinGabu-wr3xh ปีที่แล้ว +5

    Utaliwa nyama acha ujinga kaa mbali kabisa na huyo mtu sio mtu mzuri kabisa tunaona kabisa hata mali alizonazo lazima zitakua ni za kichawi usije ukorogwa tena ukalud kwa huyo mwanaume. Jinga kabisa wewee

    • @rukiamasayanyika2284
      @rukiamasayanyika2284 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa kwanini hana ndugu?
      Pesa sisiwe kigezo cha kuisha maisha yasiyo ya kweli maana hapo anajilazomisha kwa sababu alifanyiwa wema

    • @TomElkana
      @TomElkana 8 หลายเดือนก่อน

      Huyo ni kama alibadilisha uume wake na Mali

  • @ashamagogo-i9z
    @ashamagogo-i9z 13 วันที่ผ่านมา

    hyo mwanaume aje kwangu mm sio mpnz wa ngono ....anitafute akiona komet hii

  • @SandraNyakanga
    @SandraNyakanga 8 หลายเดือนก่อน

    Sasa utapendaje mtu hana jinsia naomba tu ukafunguke macho kiroho upate kujielewa

  • @NeemaAmos-e9l
    @NeemaAmos-e9l 7 หลายเดือนก่อน

    Wewe tu munngu amekwepusha na kifo achana naye kabis yaan kimbia kabisa mtafute munugu atkupa njia nyingine

  • @ndacariho
    @ndacariho ปีที่แล้ว +2

    Kuritatuwa nikutafuta mme mwingine maana huyo sio mme mzuri
    kwanza hana upendo angekuwa naa upendo angashurika apaswa kushauriwa na mkewake

  • @florencekaura8487
    @florencekaura8487 ปีที่แล้ว +2

    Ushamwanika na kujulisha the public don't you think he will hurt you more if at all you told your mum and you were beaten na sasa itakua je????

  • @JoyceWendy-z9i
    @JoyceWendy-z9i ปีที่แล้ว

    Usha anika huyo ukirudi dada unatafuta kifo

  • @BushurJoel-t4f
    @BushurJoel-t4f 9 หลายเดือนก่อน

    Pia aseme wazazi wamwanaume wapo au hawapo nakama wapo vp wanasemaje

  • @DanielKombi-eg9vo
    @DanielKombi-eg9vo 4 หลายเดือนก่อน

    Mapenzi gani ile.unapoteza muda wako bule.

  • @khadijaabdulaziz8297
    @khadijaabdulaziz8297 ปีที่แล้ว +4

    Huyu mume wazee wake wako wapi lazima uende kuwaeleza pia wao ndo walomzaa wanjuwa kama alivo umeolewa vipi bila ya wazee na ndugu wa mume kuwajuwa
    Likitokea tatizo mutatatua vipi kama hilo

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 ปีที่แล้ว

    Sa kama hana jinsia ana nini uko down? Au ni tomboy??

  • @allychongowe2025
    @allychongowe2025 ปีที่แล้ว +4

    Dawa ni kuondoka kutafuta mume Acha tamaa ya pesa dhakari hana hamna mume hapo.

  • @MunirahRamadhanOmary
    @MunirahRamadhanOmary หลายเดือนก่อน

    Polesana ndungu yangu inauma sana

  • @TatoAme
    @TatoAme ปีที่แล้ว

    Nahis sio mkweli ata chozi moj hana😅

  • @ElizabethBeth-z1e
    @ElizabethBeth-z1e ปีที่แล้ว +1

    Ww unataka kufa mjinga weee,,ujui utamu wa mboo bado unamtaka,,(itakuwa mnanjaa unataka hela za iyo jamaa sio mapenz uongo,,,

  • @asyardhanahmada9980
    @asyardhanahmada9980 ปีที่แล้ว +1

    Hapo hapana ndoa tena dada yng kiufupi t rudi kw m/mungu t upate suluhisho lililo bora zaid kwk

  • @NaomiSamwel-ps6ok
    @NaomiSamwel-ps6ok ปีที่แล้ว +2

    AMESHATOBOA SIRI CHA KUFANYA ANZA KUFIKIRIA MAISHA MENGINE UTAPATA MTU SAHIHI HAPO KUNA UWEZEKANO MKUBWA WA KISHIRIKINA KWA MME WAKO,ANGALIA UHAI WAKO USIANGALIE PESA DADA,

  • @DesangeKanyere-f9d
    @DesangeKanyere-f9d ปีที่แล้ว

    Pole sana dada uyu bwana siyo mutu Ila ni shetani ambaye amevaa mwili tafuta batumishi ya mungu bakuombeye ,.

  • @agnessmalyeek9387
    @agnessmalyeek9387 ปีที่แล้ว +2

    Binti yangu unasema ulipigwa akakufungia chooni?Halafu mungu amekuokoa unasema unatafuta suluhu?unaakili?

  • @estherakabwai2350
    @estherakabwai2350 ปีที่แล้ว +15

    Huyo siyo mtu wa kawaida, Rudi kwenu, na omba Mungu akupe mum Bora, ila Kama mnataka pesa zake Basi maisha yako yatakuwa ni kitendawili. Pole

  • @Saadiya-t9r
    @Saadiya-t9r ปีที่แล้ว +3

    Kumbe kweli pole ndugu angu ila mm nakushauri kwa vile hujajua nn ndoa basi rudi nyumbani cozy huyo c mwanamme sahihi kwako utapata mwanamme bora na uta enjoy zaid mdogo angu

    • @awaahassan936
      @awaahassan936 ปีที่แล้ว +1

      kabisa mpenzy ndoa ni tendo ndoa sio kula kuvaa wala pesa

    • @ibrahimhamisi7672
      @ibrahimhamisi7672 ปีที่แล้ว +1

      Hii nikali sana

  • @KaijageEvodius
    @KaijageEvodius 2 หลายเดือนก่อน

    iyonikweri

  • @vellabella3289
    @vellabella3289 ปีที่แล้ว +1

    Aki pesa wewe😂
    Love kill you there
    Rudi kwenu 😏
    Adi ufie apo

  • @BushurJoel-t4f
    @BushurJoel-t4f 9 หลายเดือนก่อน

    Pole sana dada ushauri wangu usirudi kwahuyo mwanaume hakufai

  • @petercostakisoka
    @petercostakisoka ปีที่แล้ว +2

    Ingekuwa ni kweli ungekimbia mpk kwenu iyo movie 2

  • @KaijageEvodius
    @KaijageEvodius 2 หลายเดือนก่อน

    utakaeje na. mutuasiyekuwa nasiya

  • @alheeramobile3793
    @alheeramobile3793 ปีที่แล้ว +2

    Mwanamke bikra hua haongeii maneno mengi kiivyooo😂😂😂😂😂😂😂😂 wewe ni mnala yan apo dishi limeyumba ivo chaner zaubongo hazisomi.

    • @TifaWinne
      @TifaWinne ปีที่แล้ว

      Kabisa Tena mwanamke bikra hawazi ngono mpaka awe ameshatumika' uyu Dada Hana ata bikra moja zote zilishatumika akaendelee kudanga ampishe kaka yetu atafute fedhaaa kwanza

  • @salminabuhudhaifa4273
    @salminabuhudhaifa4273 ปีที่แล้ว +3

    ila anajitahidi kutengeneza story

  • @SomanjeMbewe-rq7dk
    @SomanjeMbewe-rq7dk 6 หลายเดือนก่อน

    Wawongo

  • @VivianVivian-hn4ue
    @VivianVivian-hn4ue ปีที่แล้ว

    Pole sana mpenz wangu muombee mungu akuongezee macho ya rohoni uone njian sahihi

  • @gidongowi-o7u
    @gidongowi-o7u ปีที่แล้ว +1

    Story gan hizi za uongo maneno ya kutunga ili kutula bando tu

  • @rukiamasayanyika2284
    @rukiamasayanyika2284 ปีที่แล้ว +1

    Hapo kwa kweli suluhisho ni kumhusisha Mwenyezi mungu, omba kila wakati mwenyezi mungu wa ajabu utapata suluhisho tu

  • @alheeramobile3793
    @alheeramobile3793 ปีที่แล้ว +1

    Mmmhhhh pole teenaa apo na wazazi naoo wanahusika maana wakiona hera wazazi wanachanganyikiwa

  • @SPORTS-HUB.2
    @SPORTS-HUB.2 ปีที่แล้ว +2

    Wazazi wengi wanapenda pesa , mpaka wanasahau kutatua tatizo..sasa leta mzazi mmoja ambao ni mama aongee hapo.

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 ปีที่แล้ว +1

    Huyo mmko hajui wanqekupeleka oc km ni mimi ninqeondoka ni kaenda kwa famili yanqu wakanipeleka oc inqejulikana tu

  • @christinakubanda3955
    @christinakubanda3955 ปีที่แล้ว +1

    Wewe tafuta pesa Yako tu hizo pesa zitakuponza

  • @BintiBakari-kr6dh
    @BintiBakari-kr6dh ปีที่แล้ว +1

    Yeye akupendi ww wampenda nini? Yani uogopi kifo wapenda mapenzi

  • @mwanakombopopo5117
    @mwanakombopopo5117 ปีที่แล้ว +1

    Kwa upande wngu sijaelewa hanajinsia kabsa au nidogo nakama hana kabisa haendi aja ndogo AMA ni shetani tuelewesheni

  • @billyisadia5651
    @billyisadia5651 ปีที่แล้ว +1

    Hepa kifo wewe. Wacha kichaa...

  • @MiagieNgangati-cb5cr
    @MiagieNgangati-cb5cr ปีที่แล้ว +2

    Pole sana dada,muombe mungu,Ataleta suluhisho.

  • @awaahassan936
    @awaahassan936 ปีที่แล้ว +3

    Mimi chakukushauri ondoka hapo utapata mume mwengine ndoa ni kuingiliana baina ya mume na mke kisha mpate watoto ...

  • @mwananyamalaz4427
    @mwananyamalaz4427 ปีที่แล้ว +2

    Foxe TV naweza kupata nambari yake mtoto mashallah pisi kari

    • @mwatangachaurembo3405
      @mwatangachaurembo3405 ปีที่แล้ว

      We umenifanya nicheke aisee, sasa huoni kama mwenzio amefariki alie chepuka nae bro

  • @beatricemdoe2850
    @beatricemdoe2850 ปีที่แล้ว

    Sasa umeishatoa siri dunia nzima imeona na kusikia alafu unataka urudi!!
    Wewe unataka kifo

  • @sadockfanuel5875
    @sadockfanuel5875 ปีที่แล้ว +1

    mmmh.😢

  • @halimahassan1930
    @halimahassan1930 ปีที่แล้ว

    Undoka dada acha tamaa ww utakufa sku sizako mume ata jinsia maitaji sio kitu bora mapenzi undoka naukirudi yatakukuta makubwa😊😊

  • @penieltshipaz8474
    @penieltshipaz8474 ปีที่แล้ว +1

    Dada polelakini kamayukotayari kuwanafamiliya basiakubali kuhachana namaliya huyojama ambaye sihomwanaume walamwanamke . Aendeleye kutunza bikirayake . Ajuwe yeyenawazazi wahondowe uhogawamahisha .
    Pasipo huyowatahishitu.

    • @jeniphermlay2946
      @jeniphermlay2946 ปีที่แล้ว

      HIV WEE DADA HUJAELEWA TU KIMBILIA KWA YESU HARAKA UOKOE MAISHA YAKO ,HAKUNA MUME HAPO UCHAWI TU UKO HAPO JIULIZE YULE FRENK KANYAKULIWA NA NINI?HIYO TAMAA YA PESA MWISHO WAKE UTAISHIA PABAYA,NA NYIE WAZAZI OKOENI MWANENU ,MTAMPOTEZA,,

  • @erickbilali
    @erickbilali ปีที่แล้ว +1

    Pole saaana dd

  • @FatmaHarry-co7kp
    @FatmaHarry-co7kp ปีที่แล้ว +1

    Pole sanah dada watu Wana tukanah sikiza uelewe Kisha tukanah

  • @Mommy4147
    @Mommy4147 ปีที่แล้ว

    Pole dada mungu atakusaidia ak inauma mno na uyu mamako pia cjui anaroho gn jmb 😪😪😪

  • @shamsakiobia6421
    @shamsakiobia6421 ปีที่แล้ว

    Sasa umeongea hivyo umetoa siri zake alafu akusamehe wewe kichaa sana , yaani umemuacha uchi alafu akusamehe

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 ปีที่แล้ว +5

    USHAURI RUDI KWENU ILA USIENDELEE KUTOA SIRI ZAKE ATAKUDHURU.

  • @Mamiseti7
    @Mamiseti7 ปีที่แล้ว +1

    Dah

  • @lydiaalbert8952
    @lydiaalbert8952 ปีที่แล้ว +2

    HUYU DADA ANAPENDA ALIVYO NAVYO HUYO MWÀNAUME HUYO SIYO MUME WAKO .Mume mñaishi kama kaka na dada

  • @princenelsonsinko5237
    @princenelsonsinko5237 ปีที่แล้ว +1

    Kwahiyo huyo mchepuko alikufa

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 ปีที่แล้ว +1

    WEWE DADA UMEKOSEA SANA KWENDA FOXE TV UMETOA SIRI YA MMEO. UNGEMWAMBIA MAMA YAKE NA BABA YAKE HUENDA ATAKUWA ANAJUA CHANZO CHAKE. UMEMKOSEA SANA MME WAKO.

    • @AshaJuma-kr3rb
      @AshaJuma-kr3rb ปีที่แล้ว

      Ila unaisi wazazi wake awajui inawezekana wanafahamu mh jamni ndoa zinamambo mengi sana acheni tuu mungu aitwe mungu

  • @joannaphtal942
    @joannaphtal942 ปีที่แล้ว +1

    Rudi kwenu

  • @ATUPELEMWAKATOLE-vp8ej
    @ATUPELEMWAKATOLE-vp8ej ปีที่แล้ว +1

    Watafute wachungaji watakusaidia usifanye mzaha huyo sio mtu wakawaida

    • @nancymuhindi4511
      @nancymuhindi4511 ปีที่แล้ว

      Hakuna ndoa hapo enda makubwa makubwa ukirudi ni kifo dadaangu

  • @abdallahhassansaitoti8325
    @abdallahhassansaitoti8325 ปีที่แล้ว +1

    No comment

  • @yunus-bh4om
    @yunus-bh4om ปีที่แล้ว +1

    Omba mungu atakusaidia

  • @estershekika8865
    @estershekika8865 ปีที่แล้ว +1

    Sioni mantiki ya wewe kwenda kwenye midia story yenyewe ni yakijinga sana

  • @yohanamlewa3544
    @yohanamlewa3544 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU keshamuumba hivyo sasa hiyo jinsia ww unaitoa wapi

  • @khadijaabdulaziz8297
    @khadijaabdulaziz8297 ปีที่แล้ว +2

    Nenda kwa mama mwambie akuangalie huko kwenye sehemu zako za siri atajuwa tu kama hujaguswa uongo utaisha na ukweli utajuulikana 2

  • @marynamachanja1836
    @marynamachanja1836 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana

  • @niremadesire6879
    @niremadesire6879 ปีที่แล้ว +2

    Sometimes ni vizuri kuolewa baada ya kufanya Mapenzi na mpenzi ako,ili imjuwe kiundani.

  • @mshanakiondo8431
    @mshanakiondo8431 ปีที่แล้ว

    Mpelekeni katika madawati ya jinsia

  • @HadijaShilingi
    @HadijaShilingi ปีที่แล้ว +1

    Pole dada yataisha tyu