CHANGAMOTO YA MALEZI NA NAMNA YA KUIKABILI (VIJANA NA MALEZI)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 39

  • @ndeshukurwakaaya4385
    @ndeshukurwakaaya4385 2 ปีที่แล้ว +4

    Amen . Hakika kumcha mungu kwa dhati ni fursa ya kupata funguo za kufungua milango yote katika maisha na mazingira yanayozunguka. . 🙏 malezi mema yanaanzia nyumbani. Familia ikimjua mungu , kutakuwa na taifa teule popote utakapoishi. Kazi ni ya bwana .

  • @nm1617
    @nm1617 2 ปีที่แล้ว +3

    Somo zuri Sana Kwa jamii yetu hasa kipindi tunachoishi. Ubarikiwe Sana Mama na timu nzima walioandaa program hizi.

  • @uangazetv
    @uangazetv 2 ปีที่แล้ว +2

    Mbarikiwe sana kwa somo tumebarikiwa sana kazini kwa somo hili

  • @elizabethsamwel8280
    @elizabethsamwel8280 2 ปีที่แล้ว +2

    Nabarikiwa Sana na masomo yako ubarikiwe sana

  • @scolasimiyu171
    @scolasimiyu171 2 ปีที่แล้ว +2

    Somo nzuri sana mama mtumishi ubarikiwe sana

  • @neemamarwa1783
    @neemamarwa1783 2 ปีที่แล้ว +3

    Nimebarikiwa Sana na hili Somo mama, Kuna Mambo mengi nimevuna kutoka kwako, barikiwa sana

  • @maureenkemei9254
    @maureenkemei9254 2 ปีที่แล้ว +2

    Mafundisho mazuri sana nashukuru kuyajua hayo kabla sijafunga bingu la maisha.

  • @rhinakiza
    @rhinakiza 2 ปีที่แล้ว +3

    Asante mommy kwa mafundisho mazuri sana niko lucky sija olewa Asante Yesu kwa kusikia mafundisho mbele ya kuolewa

  • @eutropiangido9684
    @eutropiangido9684 2 ปีที่แล้ว

    Dada ubarikiwe sana. Wana bahati sana wanaopata mafundisho haya wakuwa bado hawajachelewa

  • @marifaadolphine3571
    @marifaadolphine3571 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sanaaaa kwa mafunzo hiyiii ina tujenga mnoo.

  • @brightyona9815
    @brightyona9815 2 ปีที่แล้ว

    barikiwa sana mama yangu mungu akubariki saaana mafundisho yako sio ya vijembe ila n mafundsho ambayo ukiskiliza unaona wapi unakosea na kujirekebsha mwenyewe bila kumuwekea mwenzako status

  • @victoriajames6190
    @victoriajames6190 2 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda mamaangu kipenz ss ambao atujaingia kweny ndoa tukidumu kweny mafundisho yako nakuyafanyia kaz aki ndoa zetu zitakua na Afya nzur

  • @yasintamagavilo1996
    @yasintamagavilo1996 2 ปีที่แล้ว +2

    Yaan mama uko na masomo mazuri Hadi raha 😊😊 naomba tu mafunzo yako yanijenge

    • @mrsdeborahurio
      @mrsdeborahurio 2 ปีที่แล้ว

      Mrs Deborah Urio ; andika hivyo TH-cam utapata MASOMO mengi

  • @asnathmasegenya9890
    @asnathmasegenya9890 2 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa mno mama

  • @erickmogere6558
    @erickmogere6558 2 ปีที่แล้ว +2

    Amina kwa kweli nimepata funzo la mwaka

  • @victoriajames6190
    @victoriajames6190 2 ปีที่แล้ว +2

    Nampenda uyu mama anamafundisho mazuri mno MUNGU Ambariki sana

  • @albertinemacimu1247
    @albertinemacimu1247 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii nitaisubiri tu maana kuna la kwangu humu ndani Mungu awabariki watumishi wa Mungu kwa kutukumbuka wazazi 🙏🙏🙏

    • @davidsaka617
      @davidsaka617 2 ปีที่แล้ว

      Mwenyezi Mungu akubariki mama Debora kwa mafundisho mazuri ,hakika yamenibariki sana

  • @tabithamkazeni7385
    @tabithamkazeni7385 ปีที่แล้ว

    Somo zuri sana. Bwana tuwezeshe ili familia zetu zikuwakilishe wewe

  • @elizabethgabrie9942
    @elizabethgabrie9942 2 ปีที่แล้ว

    Mama mmi nakupend sanaa na mafundisho yako mazuri mnoo natamani kuongea na wewe naomba mawasiliano yako

  • @jonaskabonda741
    @jonaskabonda741 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @MN-hi8ll
    @MN-hi8ll 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @danielndusilo4723
    @danielndusilo4723 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli mama tusiwachukulie poa

  • @fazilabahati1562
    @fazilabahati1562 2 ปีที่แล้ว

    🙏🏿😇😍

  • @teddyjohn9773
    @teddyjohn9773 2 ปีที่แล้ว

    Ahsant mama

  • @mrsdeborahurio
    @mrsdeborahurio 2 ปีที่แล้ว +1

    "Mrs Deborah Urio" ingia TH-cam kwa MASOMO zaidi ya familia!

    • @rusilumona3903
      @rusilumona3903 2 ปีที่แล้ว

      Umesema tuingie you Tube tuandikeje ili tupate mafundisho Zaidi tafadhali tuambie Asante

  • @danielndusilo4723
    @danielndusilo4723 2 ปีที่แล้ว +1

    Haina shida liwalo na liwe unajaribu kujipendekeza lakini mtu hakuelewi.

  • @prophetnabiizelia
    @prophetnabiizelia 2 ปีที่แล้ว +1

    Mahubiri makali th-cam.com/video/rVEAiEbgjHg/w-d-xo.html

  • @GODisable7573
    @GODisable7573 2 ปีที่แล้ว

    😍😍🙏🏾