ความคิดเห็น •

  • @scolastikapeter5892
    @scolastikapeter5892 ปีที่แล้ว

    Ee Baba wa Mbinguni uturehemu. Asante mtumishi kwa neno

  • @JosephatyDanford
    @JosephatyDanford ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu mahubiri yako yananigusa sana

  • @EstherMoraa-bp3jt
    @EstherMoraa-bp3jt 16 วันที่ผ่านมา

    Nabarikiwa sana pst kwa mafundisho yako Mungu akubariki

  • @ameokichaka9456
    @ameokichaka9456 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwa Mbaga mchungaji wangu,

  • @elienew3788
    @elienew3788 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa sana na haya mahubiri

  • @tabbymoraa8455
    @tabbymoraa8455 ปีที่แล้ว

    Hata hapa saudia 😅kulinyeshewa nyumba ya Mungu wao and I really prayed to give as life 😢

  • @ZilpaNyahucho
    @ZilpaNyahucho 6 หลายเดือนก่อน

    barikiwa sana pastor

  • @MariamuChinoza-hc8ow
    @MariamuChinoza-hc8ow ปีที่แล้ว

    Amen mtumishi

  • @murdhikenea5164
    @murdhikenea5164 2 ปีที่แล้ว +9

    Nakufuatilia Nikiwa Saudi Arabia, nakuombea mungu aendelee kukutia nguvu isiyo ya kawaida ili ulishe watoto wake neno....

  • @leawamukota9217
    @leawamukota9217 2 ปีที่แล้ว +3

    Barikiwa sana pastor nawafatilia sana kwa haya mafundishwo manzuri

  • @isacksamuel5503
    @isacksamuel5503 ปีที่แล้ว

    Hallelujah mchungaj, nabarikiwa sana na masomo yako kila siku na yananisogeza karibu na wokovu. Mungu wetu aliye mkuu azidi kukubariki sana

  • @finiaseliya9392
    @finiaseliya9392 ปีที่แล้ว

    Amina pastor

  • @neemasaidisaid1791
    @neemasaidisaid1791 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen amen amen amen amen amen. Nabarikiwa na kujifunza neno lako kupitia mtumishi wako. Yesu utukuzwe kupitia yeye. Maaana tunapokea hatuondokii watupu

  • @BekawilliamBulemo-ew8ge
    @BekawilliamBulemo-ew8ge ปีที่แล้ว

    Pr Bwana, akutie nguvu

  • @patriciasanga9848
    @patriciasanga9848 2 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji kwakweli nilikuwa sijui kuhusu Nike,tunapenda vitu tusivyovijua,Mungu baba wa mbinguni atusaidie.

  • @filorammbaga5710
    @filorammbaga5710 ปีที่แล้ว

    Asante Mtumishi wa Mungu.

  • @moisekingombe5603
    @moisekingombe5603 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubari.kupitia mahubiri hii, najifunza vitu vingi, mungu awalinde.

  • @elizabethyaadzomboelizabeth
    @elizabethyaadzomboelizabeth ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @beatricemageka0708
    @beatricemageka0708 2 ปีที่แล้ว +12

    Natamka mibaraka kwa wote wanaosikiza haya mafundisho nikiwa uarabuni Kuwait, Mungu na atuneemeshee uelewa na utii,amina

    • @nnkyulibrown5012
      @nnkyulibrown5012 2 ปีที่แล้ว +1

      Salimia uarabuni bite from Arusha Tanzania.

  • @victoroginozachary4394
    @victoroginozachary4394 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimebarikiwa, Asante mmbaga

  • @beatricempiga-ex9wz
    @beatricempiga-ex9wz ปีที่แล้ว

    AMINA

  • @amozmwaz1494
    @amozmwaz1494 2 ปีที่แล้ว

    Aminaaaaa Mungu azidi kukutia nguvu

  • @jendielkimathi7782
    @jendielkimathi7782 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakushukuru sana

  • @joycesaimo9309
    @joycesaimo9309 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sn mtu wa Mungu

  • @DeborahMakwere
    @DeborahMakwere 6 หลายเดือนก่อน

    Nakufuata nikiwa Congo jibo la nord kivu Mungu akupe akufanye kua mushindi sikusote katika kazi ya utumichi Mungu akubariki asanta kwa neno

  • @eliasjoseph8204
    @eliasjoseph8204 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana mchungaji

  • @eustina0
    @eustina0 ปีที่แล้ว

    Kweli shetan hana off Mungu atuhurumie kwa kila jambo

  • @finiaseliya9392
    @finiaseliya9392 ปีที่แล้ว

    Amana pastor

    • @Silviarajabu
      @Silviarajabu ปีที่แล้ว

      Mungu atusaidie tuweze kuwa wanyenyekevu

  • @kennedymachora1350
    @kennedymachora1350 2 ปีที่แล้ว

    Kennedy from Mombasa God bless you

  • @roselineombati670
    @roselineombati670 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni mwema

  • @upendoeliudi5196
    @upendoeliudi5196 2 ปีที่แล้ว +1

    Dam ya Yesu Kristo wa Nazareth ikakufunike na kuleta ushindo juu ya utumishi wako na malaika walinzi wakakulinde wewe na familia yako kila unapo patembelea, pastor David Mmbaga

  • @moisekingombe5603
    @moisekingombe5603 2 ปีที่แล้ว +1

    Na fatiiliya ni kiwa RDcongo mungu atukuzwe

    • @briytondickson5310
      @briytondickson5310 2 ปีที่แล้ว

      Mungu na sio mungu.
      Ukiandika mungu unakuwa una maanisha miungu sio Yahweh
      Unapo mtaja Yahweh - Mungu (anza kwa herufi kubwa)
      Barikiwa sana

  • @deborashagama3540
    @deborashagama3540 2 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa sn kwamahubili yako

  • @phinawatwego5279
    @phinawatwego5279 2 ปีที่แล้ว +1

    Aminaaaaaaa

  • @ephuraziabweye4194
    @ephuraziabweye4194 2 ปีที่แล้ว

    Amina aminaaa naomba namba Yako pls

  • @duluxbahrain6429
    @duluxbahrain6429 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen

  • @issamakota5237
    @issamakota5237 ปีที่แล้ว

    Kazi ifanywe kwa moyo tusiogope maana final say anakuja

  • @ayubudaniel3936
    @ayubudaniel3936 ปีที่แล้ว

    🙏

  • @MaryBiyaki-t4y
    @MaryBiyaki-t4y ปีที่แล้ว

    Masomo ya kutisha shana

  • @rossarutasha9391
    @rossarutasha9391 2 ปีที่แล้ว +1

    Tunakusibiri Kwa makini mchungaji Ili tuendelee na mafundisho mazuri karibu

  • @bensonmarangatv3728
    @bensonmarangatv3728 2 ปีที่แล้ว

    Hello in need of pastor David mmbaga details

  • @patriciasanga9848
    @patriciasanga9848 2 ปีที่แล้ว

    Aminaaa aaaaaaaaaaaaa!

  • @ellymbwambo4827
    @ellymbwambo4827 2 ปีที่แล้ว +1

    Kiukweli muda umeisha nabinadam tupogizani tunaona kilakitu kinacho tokeanikawaida Mungu atusaidie

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️

  • @emmanuelharuni6058
    @emmanuelharuni6058 2 ปีที่แล้ว

    Mtumishi Nina swalj hapo kwenye hilo fungu la Mathayo 24:36
    Kuna mahala imeandikwa hakuna ajuaye wala Mwana ila Baba peke yake, Swali; Hata Yesu Mwenyewe ambaye ndiye Ajae nae hajui siku ya kuja??
    Naomba kuelewa Mtumishi.

  • @masimangoswedi1376
    @masimangoswedi1376 2 ปีที่แล้ว

    Kwa nini bendera za inchi mbili kwenye mazabau katika kanisa la mchungaji Mmbanga?

    • @perepetuarwabona4178
      @perepetuarwabona4178 2 ปีที่แล้ว

      Syo kanisa lake yupo kwenye kanisa la Baptist Church arusha

    • @perepetuarwabona4178
      @perepetuarwabona4178 2 ปีที่แล้ว

      Syo kanisa lake yupo kwenye kanisa la Baptist Church arusha

  • @isakamsemo
    @isakamsemo 2 ปีที่แล้ว

    Mtumisi unamsimamo gani kuhusu israel hii ya kina netanyau ya wazungu japo inasemekana waisrael wa kweli ni weusi hata yesu alikua mweusi

  • @estheremmanuel4593
    @estheremmanuel4593 2 ปีที่แล้ว +1

    Naombeni mnisaidie wapendwa biblia ya kiswahili inaitwa je? Maana kuna biblia nyingi siku hizi, naweza kukosea, asante.