MLINZI ALIYELALA AKIMLINDA RAIS SAMIA "NILICHUKUA KOFIA YAKE" - RAIS SAMIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ต.ค. 2024
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 12 Desemba 2021 ameshiriki katika mahafali ya kufunga mafunzo ya Uofisa kozi No. 1/2021 katika Chuo cha Taaluma ya Polisi, Kurasini, Jijini Dar es Salaam ambapo akihutubia mbele ya Maafisa hao na Viongozi mbalimbali amesimulia baadhi ya mapungufu ya Askari Polisi aliyokutana nayo.

ความคิดเห็น • 80

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 2 ปีที่แล้ว +14

    Mungu ndio mlinzi wako nasio mwanadamu mlinzi nae ni binadamu anachoka

  • @mashaeliazer7433
    @mashaeliazer7433 2 ปีที่แล้ว +9

    Lakini mama kumbuka Askari pia ni binadamu Huwa anachoka.
    Ulippchukua hiyo kofia Inawezekana ulimwaga unga wake,kumbuka huyo askari ana watoto wanamtegemea,siungemwambia tu na kumuonya ingekua vizuri na busara.

  • @bilalwaziri3422
    @bilalwaziri3422 2 ปีที่แล้ว +8

    Nayeye binadamu anachoka kua askari sio kama unabadirika kua roboti wanachoka eeeh 😠😠

  • @shabanikamsawa181
    @shabanikamsawa181 2 ปีที่แล้ว +7

    Ucngizi hauna baunsa alie umba ucku hajakosea sema shida zetu zinatufanya kugeuza muda wa kulala kuwa muda wa kutafuta liziki hata ulale mchana kutwa ucku lazima ucnzie2 tunaishi kwa kuvumiliana tu kwa ajili ya shida kazi za ucku hazina tofauti na azabu tu hata kama unalipwa mamilioni ni azabu tu poleni sana mnao Fanya kazi za ucku

  • @aminamkumba3549
    @aminamkumba3549 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki mama yetu samia

  • @darposttv2647
    @darposttv2647 2 ปีที่แล้ว +7

    Wewe unalindwa na mungu asikari nae ni binadam anapitiwa na usingizi

  • @mustaphareua2370
    @mustaphareua2370 2 ปีที่แล้ว +1

    Oyooo

  • @salimalrumhy7575
    @salimalrumhy7575 2 ปีที่แล้ว +1

    Yani hadi wamefika tamati wambile mama👌

  • @williammsungu5945
    @williammsungu5945 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu asipoulinda mji walindao wakesha bure

  • @mwanaishakhamis8069
    @mwanaishakhamis8069 2 ปีที่แล้ว +1

    Usingizi hauna mwana mwerevu .👍🇰🇪

  • @evancymassawekenya7521
    @evancymassawekenya7521 2 ปีที่แล้ว +2

    Ni Mungu ukulinda Mama binafamu atujakamilika Kwa Nini usitegemee Zaidi Mungu binafamu msaidizi tu jamani,imeniuma lakini kufanya mlinzi wako hivyo,sii Bora ungemwamvia kosa lake jamani,,,tunakosea sisi Ni wanadamu atujakamilika Haya Maisha umwange unga Wa mtu jamani Mimi Bora unisemee ukweli nitakuomba msamahaa Na Mungu usamehee sembuse siye binadamu,!!Sisi site tu binadamu ukiona mwenzio kakukosea mwambia wazi kuliko kufanya afutwe kazi jamani ajapenda kuwa mtumwa,huyu Mungu akutuumba tuteseke ni maisha tuu Moyo unaniuma Sana pale ninapo Ona mtu yeyote anamwaribi mwenzake aijalishi cheo jamani Sisi site tu Wa kupita tuu Dunia Siyo mbinguni

  • @ramadhanadam7062
    @ramadhanadam7062 2 ปีที่แล้ว

    Wanalewa Sana double kick

  • @joycekalembo2225
    @joycekalembo2225 2 ปีที่แล้ว

    We av long way to go mama..!!? Be blessed ...tuko nyuma yko

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 2 ปีที่แล้ว

    Waambie wanachopenda kusikia

  • @deusdeditswebe8930
    @deusdeditswebe8930 2 ปีที่แล้ว

    Maadili...

  • @mansabmbaraka7046
    @mansabmbaraka7046 2 ปีที่แล้ว

    Rushwa ndo maisha yetu Zanzibar millardayo njoo umuoneshe Rais me ili atusaidie

  • @GespaCharo-gs3yh
    @GespaCharo-gs3yh ปีที่แล้ว

    Samia nipe namba

  • @tysongodfrey4044
    @tysongodfrey4044 2 ปีที่แล้ว

    Hatari

  • @bethaelnsumyirambobpraise7794
    @bethaelnsumyirambobpraise7794 2 ปีที่แล้ว

    Nawasiwasi na Siro hapa maana naona zishatafutwa sana sababu za kumuondoa ila tusubiri kanatafutwa ka gepu Mungu Ibariki Tanzania...

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 2 ปีที่แล้ว +3

    Tena nyingi mama askali wetu ni tatizo unakuta unaweza pewa kesi huijuwi mama

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 2 ปีที่แล้ว +2

    Mama elewa ipo siku
    Utasimamishwa ktk mahakama ya aliyekuumba na kukuuliza huo uongozi wako uliongoza vipi maana kuna watu wana maradhi wanasaidiwa na wasamalia wema serikali kwa nn hawasaidii watu kama hao. Wanadhalilika
    Hesabu mna hesabu nzito ktk mahakama ya aliyekuumba

  • @jailossteven2846
    @jailossteven2846 2 ปีที่แล้ว +5

    Millard,Hapo Chini mmeshaandika Tittle ya hicho ambacho mama samia anaongea,sasa kwann mnaanza kuhadithia wakati inakiwa video ndio iongee

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 2 ปีที่แล้ว +2

    Mimi siyo askari wala siyo mlinzi lakini nasinzia hata nikisoma bibilia ndivyo shetani anavyojua kuharibu

  • @allymwandoro312
    @allymwandoro312 2 ปีที่แล้ว

    Acha mama kazi ya ulinzi ni ngumu ila basi hizi shida

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 2 ปีที่แล้ว +2

    Kun@ kaz ukizifanya unaweza kuf@ kw@ masmango ,bor@ kujiajiri vijana😁😁😁😁😁😁😁😁😁 kwan hao wajub maslah yao yakoj maana wanachekesha

  • @msafirimsauge8611
    @msafirimsauge8611 2 ปีที่แล้ว

    Hatamimi kunamkubwa alishaga niweka ndani siku 14

  • @mwinyigangombe8860
    @mwinyigangombe8860 2 ปีที่แล้ว

    Hiyo sio sababu, kama Kalala ye ni mwanadamu sio malaika

  • @mahamudabiibmohamed6494
    @mahamudabiibmohamed6494 2 ปีที่แล้ว

    Sasa mbona umesha tuhadisia Kwanzaa unaharibu Utamu wa picha

  • @homemohammed3244
    @homemohammed3244 2 ปีที่แล้ว

    Hata Kama Mimi nalala mama sasa kama na ucngizi jamn nifanye nn nachoka mama khaaa

  • @sia8418
    @sia8418 2 ปีที่แล้ว

    Acheni kusimulia kabla ya kurelease speech..... mnafanya audience ikose hamu ya kusikiliza the rest of the clip

  • @m-tatu1050
    @m-tatu1050 2 ปีที่แล้ว +1

    umeongea ukweli mtupu.

  • @imanimwashambwa6432
    @imanimwashambwa6432 2 ปีที่แล้ว

    Yaani Mambo mengine bana watu wanamambo mengi Sana Ila wangeweka kitengo maalum kuangalia physic ya mtu kabla hajaingia kaz

  • @aishakhamisi3799
    @aishakhamisi3799 2 ปีที่แล้ว

    Hahaha ina wezekana ali kata moto huyo ana mjaribu mama atachapwa yaani anaondoka bila ya kuomba msamaha

  • @AfricabeyondLimits
    @AfricabeyondLimits 2 ปีที่แล้ว

    sasa raisi anaongea ivo kwann usilale😊

  • @babalao910
    @babalao910 2 ปีที่แล้ว

    Una roho mbaya Mama, Familia ya huyo Askari inaishije? WW unakula Bata

  • @upgo6112
    @upgo6112 2 ปีที่แล้ว

    Nao wanachoka ,mbwa mwenyew analala, binadamu je!

  • @andrewkatte2656
    @andrewkatte2656 2 ปีที่แล้ว +1

    Mh Rais askari ni wachache ukilinganisha na majukumu yao wanafanya kazi throughout the day throughout the night kwa hivyo ajiri askari angalau wapate offduty ya angalau 24 hrs baada ya kufanya kazi masaa sabini na mbili then sasa chukua au mwambie Waziri wako afanye survey miji km dar au arusha

  • @sorwasoudy6256
    @sorwasoudy6256 2 ปีที่แล้ว +1

    Hivi ni mt gan asiwe na ucngz ?? Ulndwe vp tena ?? Km ww utaweza? Sasa kwkuwa askar ndo halali?

  • @victorkilua7460
    @victorkilua7460 2 ปีที่แล้ว

    Jamani heshima iwepo kwa mtu anae tuongoza sio vzuri kumsema kwani huyu ni kama mama yako tu piga picha angekua mama ako unakuta comment kama hizi tuwe na heshima jamani huyu ni raisi wetu ndio anatuongoza

  • @Wabriged
    @Wabriged 2 ปีที่แล้ว

    Alizingua Kamanda alilemewa huyo si inshu ya kuadisia

  • @hassansaidy1503
    @hassansaidy1503 2 ปีที่แล้ว +1

    Bibi tozo kuna mambo mengi ya kuyashuhulikia sio una shulika na chinga

  • @nappekiliakiliasalimu346
    @nappekiliakiliasalimu346 2 ปีที่แล้ว

    Wee kwann ulificha kofia yake ulikuwa na maana gan..nayy

  • @ciciray5676
    @ciciray5676 2 ปีที่แล้ว

    Mungu ndo anatulinda , we unataka ulindwe na binadamu kama wewe , we kwanini asilale

  • @jamesmwita2995
    @jamesmwita2995 2 ปีที่แล้ว

    Askari police kiukweli hawasingiziwi Kwanza mkopeshe pesa uone kama atakulipa hee ehee ukimdai anakuzungusha mpaka unakata tamaa ,, kiukweli hicho cheo cjui kina raana

  • @mansabmbaraka7046
    @mansabmbaraka7046 2 ปีที่แล้ว

    Namuombea mama yetu awe salama na pia atusaidi askari kutii na pia kutupa usalama na kutusaidia kama chombo kwangu kulinda amani na kutusaidia kuilinda amani ya nchi yetu

  • @nyamwekomatoke9951
    @nyamwekomatoke9951 2 ปีที่แล้ว

    Wanawatisha na wanapigwa sana watuhumiwa

  • @tumainielfasi9044
    @tumainielfasi9044 2 ปีที่แล้ว

    Mnazingua kichwa cha habari kinajieleza video umeweka kinachokufanya kabla ya video unaanza tena kusimulia mnaboa sana

  • @musamatengwa2393
    @musamatengwa2393 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana ulichofanya ingekua siraha ingeenda kufanya matukio kwa hyo ilo ni funzo Askari hata ukilala inatakiwa ulale kiaskari sio kama raia

  • @jerusalemsuccess4562
    @jerusalemsuccess4562 2 ปีที่แล้ว

    Kweli. Mimi nawapenda sana polisi ila nilishawahi kupigwa kofi na polisi pale sayansi kwenye mataa iti sikukimbiza gari faster sana. Bahati mbaya kioo changu kilikuwa wazi akanichapa kibao mimi mwanamke na yeye ni askari wa kiume. Nilktaka kumrudia nimuambie hajanifanyia jambo la kiungwana au nikariport kwa bosi wake. Nikaamua kumpuuzia

  • @khamisbeka2114
    @khamisbeka2114 2 ปีที่แล้ว

    Sasa kisa mtu yupo lindo ndio asilale yule binaadamu nae anachoka tumtegemee Mungu kutulinda. Sio binaadamu

  • @juniormgema2524
    @juniormgema2524 2 ปีที่แล้ว

    ad vijiti wanakuchoma ubavuni mwa mbavu maaskari wetu siyo watu kabisa

  • @nassorseif7907
    @nassorseif7907 2 ปีที่แล้ว

    Kuna asopitiwa na usingizi jamani?hukua muungwana

  • @shufaamwambashi1547
    @shufaamwambashi1547 2 ปีที่แล้ว

    Si una ndugu polisi wewe muulize ugumu wa lindo

  • @franaelisumari5108
    @franaelisumari5108 2 ปีที่แล้ว

    SIKU INGINE AKIKURUPUKA USINGIZINI AWEZA UA AU KUDHURU.HIVYO NI HATARI PIA.

  • @franciscaaugustino4305
    @franciscaaugustino4305 2 ปีที่แล้ว

    Acha Mungu aulinde mjj wako, maana yeyote aulindaye mji wake afanya kazi bure.

  • @petrojohn8250
    @petrojohn8250 2 ปีที่แล้ว

    Acha kutusimulia wewe mtangazaji

  • @Qrd591
    @Qrd591 2 ปีที่แล้ว

    You talk too much. Let her talk for herself

  • @allyfaki8773
    @allyfaki8773 2 ปีที่แล้ว

    Huyo askari sio malaika ni binadam mama hukutumia ungwana.

    • @EbondoSounds
      @EbondoSounds 2 ปีที่แล้ว +4

      Binadamu asiye fahamu jukumu lake?
      Je kama alivyo sema ingelikuwa ni silaa
      alafu ni mtu mbaya, just imagine ingekuwaje.

    • @vampire9464
      @vampire9464 2 ปีที่แล้ว

      Wacha ubwege wewe pumbaaaaffff kazi yake hakuna kulala pumbaaaaffff

    • @ramabwagizo3974
      @ramabwagizo3974 2 ปีที่แล้ว +1

      Sasa alikuja kazini au kulala,huyo hajui wajibu wake askar mzembe,kulala fofofo naunajua upo kazini

  • @marymfugwa847
    @marymfugwa847 2 ปีที่แล้ว +1

    Usingizi hauna asikali, vipi kuhusu mbowe?

  • @maxcharles5436
    @maxcharles5436 2 ปีที่แล้ว

    taarifa tunatoa wap lzm tunyanyaswe

  • @ummimustafa5330
    @ummimustafa5330 2 ปีที่แล้ว

    Huyu Mama uarabu kaotoa wapi jamani. Mbonah alivyokuwa Makamu wa Magufuli alikuwa mweusi tu. Jamani kasumba hizi?

    • @hussenibrahim5113
      @hussenibrahim5113 2 ปีที่แล้ว

      Ni jinsi analivoo vaa ndio maana askar wakatumia jina la muarabu mavaz na uzanzibar

    • @ummimustafa5330
      @ummimustafa5330 2 ปีที่แล้ว

      Waendekezeni hasa wanajiita watu wazito bila kumuonea haya nwenyezi mungu. Ogopeni sana binadamu anaye taka HESHIMA hasiiyo stahili. MKIWA WAZITO NYIE? MANABII wa mwenyezi mungu wataitwaje. Sijui mtanwanmbia nini nyie ALLAH, Israel akiwajia? mnajiita wazito kwenye dunia isiyo yenu! THINK VIVIDLY DEAR WAZITO!!!!! .

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 2 ปีที่แล้ว +2

    Ma ma aliyekuumba ndiyo mlinzi wako.
    Siyo binaadamu
    Binaadamu ana mapungufu naye a nachoka ndiyo maana kapitiwa na usingizi
    Ungemwamsha ndiyo ustaarabu kuliko hivyo ulivyofanya

    • @halfanabdalla8949
      @halfanabdalla8949 2 ปีที่แล้ว

      Mungu analinda watu wote lakini mlango wako we nyumbani usiku unauwacha wazi au uaufunga !?

  • @ausonjustinian2080
    @ausonjustinian2080 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani mnaokomenti ugoro wenu muache. Kiongozi yeyote lzm uwe mkali. Mfano utoe kwenye familia yako. Huspokua mkali utazalisha vibaka maana wataanzoa kwako wakiwa wadogo.

  • @faridmohamed203
    @faridmohamed203 2 ปีที่แล้ว

    kwa tz askari waliojengeka kimaadili ni wale tu wakubwa wanaolipwa mshahara mrefu lkn hawa tuliokuwanao mtaani wanaolipa laki mbili tatu lazima aawe na mipango ya pembeni yakujiongezea kipato

  • @josephgama7810
    @josephgama7810 2 ปีที่แล้ว

    Kusinzia kwa kiumbe hai ni jambo ambalo binadamu yeyote hana control nalo sasa mtu amefanya kazi masaa mengi hajapata muda wa kupumzika unategemea atashindwa kusinzia kweli? au hawa wenzetu sio binadamu halisi bali marobot yasiyo choka.

    • @habibaramadhani4902
      @habibaramadhani4902 2 ปีที่แล้ว

      Kila kazi Ina Msingi wake, Ni vizuri kuwa imara unapo aminiwa, Rais nimkweli na Muwazi.Ameshauri tufanye kazi kwa kuzingatia,Sheria.Inshallah.

    • @habibaramadhani4902
      @habibaramadhani4902 2 ปีที่แล้ว

      Ikiwa kisayansi mwili una fuata Q Ina mahitaji gani lazima itimie. Mlinzi anaye Kesha apate muda wa kupumzika mchana.Inshallah.