UNYAKUO PT 1. JE, UNYAKUO NI KABLA AU BAADA YA DHIKI KUU?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 126

  • @wycliffkasinga8086
    @wycliffkasinga8086 2 ปีที่แล้ว +3

    Habari Nabii, long time bana. Nafuatilia darasa zako nikiwa Kenya. Mwenyezi mungu akubariki. Hakuna mtu hamewahi fundisha kama wewe

  • @MUMBIWAGOVENOR
    @MUMBIWAGOVENOR ปีที่แล้ว

    Hallelujah hallelujah huu Dio ukweri

  • @sabbob574
    @sabbob574 2 ปีที่แล้ว +3

    Alleluia Alleluia Alleluia. Praise the Lord.

    • @stellakaluwa3647
      @stellakaluwa3647 2 ปีที่แล้ว +1

      Hatutalala wote mauti lakini wote tutabadilishwa na kumlaki Bwana mwawinguni hapa ipoje hapo , awinguni

  • @manyamamanyama4491
    @manyamamanyama4491 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakupata Sana na unafunuo ambazo hazina Shaka ndani yake mungu akubariki Sana na wote wanakubaliki kazi yako. Na mungu awasaidie wote wanaokutusi wala . Akiongoka hata mmoja ni furaha mbinguni

  • @MAIKOMODEST-gw3go
    @MAIKOMODEST-gw3go 4 หลายเดือนก่อน

    Amina be blessed mungu azidi kutufunulia

  • @RoseEster-z6j
    @RoseEster-z6j ปีที่แล้ว

    Amina Nabii Eliya umefafanua vizuri sana

  • @christinasulle4984
    @christinasulle4984 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe nabii wa Mungu

  • @paulyaledy6110
    @paulyaledy6110 ปีที่แล้ว

    Kuna mambo makubwa Mungu amekupa kuyafunua Kwa wateule Ubarikiwe sana

  • @richardmakweta8875
    @richardmakweta8875 ปีที่แล้ว

    Asante Mungu azidi kukutia nguvu zaidi

  • @christinahzi8202
    @christinahzi8202 2 ปีที่แล้ว

    Amen Nabii wa Yesu christo

  • @linetkhaemba1029
    @linetkhaemba1029 ปีที่แล้ว

    Amen pastor be blessed too 😢kweli haya mafundisho inaelesea matezo ambayo pastor Ezekiel wa kwetu Kenya. Anasingiziwa muuwaji mwingine anauwa breaking news ni Ezekiel 😢😢😢

  • @ruthclark9166
    @ruthclark9166 2 ปีที่แล้ว +1

    Excellent thanks

  • @lilianeingabire1411
    @lilianeingabire1411 ปีที่แล้ว

    Bwana Yesu asifiwe soma katika 1thesalonike 4: 16-18

  • @DARUBINIYAUNABII538
    @DARUBINIYAUNABII538 2 ปีที่แล้ว +2

    Ndugu zangu some maandiko vzr acheni kusikiliza uyu muongooooo uyu ni nabii wa huongoooooooo

  • @MawazoMwamba-fz5hr
    @MawazoMwamba-fz5hr ปีที่แล้ว

    Amen 🙏🙏💯💯

  • @malengamsombwa3115
    @malengamsombwa3115 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana baba

  • @KijuuBorongo
    @KijuuBorongo ปีที่แล้ว

    Nuru,Nuru kutoka kwa Allah,Yehova.

  • @brightonmkamba4881
    @brightonmkamba4881 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana nabii Eliya Mungu azidi kukuimarisha.

  • @joeljohn5527
    @joeljohn5527 ปีที่แล้ว

    unafundisha vizur sana ase Mungu akubaliki

  • @KelvinMlay-mi7kc
    @KelvinMlay-mi7kc 4 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba uniunge

  • @dezruh
    @dezruh ปีที่แล้ว

    Unafundisha vyema, Mungu aendelee kukupa neema

  • @FabianLaurent-x9f
    @FabianLaurent-x9f หลายเดือนก่อน

    Mi nimekuelewa sana lakini sio wapentekoste wote wanadanganywa ni wale wasio soma biblia na kuielewa upo vizuri mungu akubarik sana

  • @CharlesMangumba
    @CharlesMangumba 10 หลายเดือนก่อน

    Unajitaindi sana, kunahina mbali za kuonekana kwa yesu wakati wa unykuo , mara ya kwanza hataoneka katika unykuo wakanis, ila ya pili ndo ataonekana na ndunia yote, kama ya semavyo maandiko, kila cho litamuona na kila ngoti litapigwa, nk

  • @bonifaceshayo4747
    @bonifaceshayo4747 ปีที่แล้ว

    Chapa neno nabii wa mungu

  • @abordecapester9086
    @abordecapester9086 2 ปีที่แล้ว

    Imani Yaki Cristo

  • @heliudjulias7748
    @heliudjulias7748 2 ปีที่แล้ว

    Shalom shalom

  • @simonlukiko2850
    @simonlukiko2850 2 ปีที่แล้ว

    Safi nabiii

  • @MichaelAbel-v3m
    @MichaelAbel-v3m ปีที่แล้ว

    Haujui,Dhiki kuu na Dhiki ni vitu viwili,soma Mt 24: 15-21,Uf 16:15-17, lThes 4:14-17, Uf 3:3 ,Uf 11:3-14 siyo wewe soma,ni mpinga Kristo mafundisho hayo! Amen

  • @mariamfaicalhassan2890
    @mariamfaicalhassan2890 2 ปีที่แล้ว

    Hapo nimekuelewa kabisaa

  • @barakapetro2174
    @barakapetro2174 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana nabii

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 11 หลายเดือนก่อน +1

    YESU ATAKUJA KAMA MWIZI KULICHUA KANISA YAANI WEWE ELIA MIMI SIJAKUELEWA SOMA AGANO JIPYA VIZURI ACHA KUPOTOSHA UMATI

    • @histonmwasonzwe1868
      @histonmwasonzwe1868 6 หลายเดือนก่อน

      Elia ni mwalimu anayejaribu kuchanganya maji na mafuta kwa kutumia ukristo na uislamu kitu ambacho hakiwezekani, mtiririko mzuri wa matukio yote kuelekea unyakuo upo kwenye Danieli 9 kuanzia mstari wa 21 na kufafanuliwa na Yesu mwenyewe kwenye mat 24

  • @edwardsamwel5084
    @edwardsamwel5084 2 ปีที่แล้ว +1

    Waislam wanasema Yesu atakuja kuua ngurue,kuondoa kodi ect

  • @raphaelcharles6237
    @raphaelcharles6237 ปีที่แล้ว

    Umenifungua pakubwa sana, maana na mimi ni mmoja wa walio potoshwa, ubarikiwe sana mtumishi

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 ปีที่แล้ว

      Na utaendelea kupotoshwa kama akili aliyekupa MwenyeziMungu hukuitumia.
      Pole sana.

    • @moureenkyusa423
      @moureenkyusa423 ปีที่แล้ว

      ​@@mussammanga7791mbona umekoment kwa hasira sana😅😅😅😅

    • @histonmwasonzwe1868
      @histonmwasonzwe1868 6 หลายเดือนก่อน

      Sasa huko ndiko unapotoshwa unatolewa kwenye kweli unaingizwa upotevuni

  • @kevoalwodo5655
    @kevoalwodo5655 ปีที่แล้ว

    Mtumishi part two ya unyakuo sijaona

  • @munaisack4288
    @munaisack4288 2 ปีที่แล้ว

    HABARI,Nafuatilia mafundisho yako ya unyakuo

  • @MichaelAbel-v3m
    @MichaelAbel-v3m ปีที่แล้ว +1

    Unyakuo wa kanisa kama mwivi kabla ya dhiki kuu miaka(7) mizeituni miwili Uf 11:2 -3 -12, hao ni Eliya na Henoko hawajafa siyo wewe,aliyezaliwa na mwanamke lazima aonje mauti; baada yake utawla wa miaka (1000) unaanza lsrael na Yesu Zek 14:1-4-21. Nabii Eliya uongo wako kutokufahamu Neno na ufunuo wa Roho wa kweli, Uf 16:15 sawa 1Thes4:14-17,Baada ya miaka (1000) ,ufufuo wa wazi kwa hukumu ya wote Uf 20:7-10,11-15. Uf 21:1-4. Ukisoma haya utapona,sababu unajitahidi; Wazungu ni kama wewe,tatizo Joka Uf 12:17.Amen

    • @wesakawesaka4549
      @wesakawesaka4549 11 หลายเดือนก่อน

      Ata mafarisayo walimpinga yesu

    • @wesakawesaka4549
      @wesakawesaka4549 11 หลายเดือนก่อน +1

      Yesu akisema atakuja kama mwiv maana yake atakuja siku usioijua boss

  • @neemamaganga9774
    @neemamaganga9774 ปีที่แล้ว

    Wanaposema kwamba atakuja kama mwivi inamaanisha kwamba Yesu atakuja bila taarifa au hakuna ajuaye ratiba ya Mungu.

    • @histonmwasonzwe1868
      @histonmwasonzwe1868 6 หลายเดือนก่อน

      Nabii Eliya ni mpotoshaji mtume Paulo anaposema waliolala mauti hatutawatangulia ni katika suala la unyakuo yaani hakuna kaburi la mtakatifu litabaki na mwili isipokuwa waliolala mauti katika dhambi kama ikitokea siku Yesu anakufa msalabani na hapo ndipo Yesu mwenyewe anasisitiza watu wawili watakuwa wamelala mmoja anatwaliwa huku kutwaliwa tafsiri yake ni kwamba aliye mtakatifu ndiye anaondoka kwenye kusaga na shambani vivyo hivyo hao wanakwenda paradiso si kwenye safina na watakatifu watakao kumbana na mpinga kristo niwale walio baki kwa mapungufu ya kiimani juu ya Kristo na wamekubali kwa dhati kwa kuthibitisha unyakuo pia kwa kuimarishwa kiimani kupitia injili kutoka kwa manabii wawili watakao hubili kwa miaka mitatu na nusu ya mwanzo ya dhiki kuu hao ndio Mungu atawaponya wasipigwe chapa ya mnyama lkn ni kwa mateso ikiwemo kutengwa na huduma za kijamii, ahsante

  • @mossesjovenari9457
    @mossesjovenari9457 2 ปีที่แล้ว +2

    Unachokosea ni kumtafutia muhamad wadhifa ktk bibilia
    MUNGU hana kauli mbili
    Hawezi kusema ktk bibilia YESU NIMWANAE
    alafu arudi kwa waislam aseme YESU SI MWANAE
    YESU NIWAMWANZO NA MWISHO WAKWANZA NA WAMWISHO ALFA NA OMEGA.

  • @godwinmbwambo3316
    @godwinmbwambo3316 2 ปีที่แล้ว

    Nabii unafundisha vzr na utulivu haijalishi wewe ni dini gani. Mungu akubariki sana.

  • @TigrerougeOmari
    @TigrerougeOmari หลายเดือนก่อน

    Tusi mpinge maana yote tuna yakubali kwa imani, maana ahukuna shahidi aliye kuwa wakati biblia inaandikwa, yote sawa , soma waebrania 11:1.
    Na bii sema unalo lijuwa.mimi ni mkristo nakufata nikiwa congo Lubumbashi.

  • @ziporanangolo9397
    @ziporanangolo9397 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa asubuhi ya leo ,huwa nafuatilia sana

  • @mpokimwakaje8178
    @mpokimwakaje8178 ปีที่แล้ว

    Mnachanganya na mnachanganikiwa mno Kuna thiki ya mataifa na thiki ya yakobo , yakobo ndie atakae pambana na thiki kuu ambao niwateule wa agano wateule kutaka mataifa Yani waliozaliwa Mara ya pili watakuwa wameondolewa na mzee wa siku anapokuja Tena kuhumu Dunia hapo atakuja na jeshi lake ,ninamana wale walioshinda Vita vya kiroho waliokuwa wamenunuliwa kutoka mataifa yato hapo ndipo kila jicho litamuona waliomchoma waliokataa kuokolewa, na Bwana,

    • @mpokimwakaje8178
      @mpokimwakaje8178 ปีที่แล้ว

      Picha ya unyakuo sio wakati wa thiki kuu niwakati wa amani watu wakila na kunywa wakioa na kuolewa Kama ilivyokuwa siku za nuhu au siku za lutu ndio itakavyokuwa kuja kwake mwana wa Adamu mzee wa siku ,ukitaka kuelewa kuondolewa watakatifu Duniani soma kitabu Cha mwanzo abali za henoko na nuhu na lutu hapo utapata picha kamali kuhusu unyakuo ,nyakati za unyakuo ndio siku hizi tulizo nazo , mpendwa Kama ndo anaanza kujiamdaa utakuwa umechelewa mno mpendwa wangu,

  • @zoharimohammed2942
    @zoharimohammed2942 2 ปีที่แล้ว

    Naaaaaam

  • @festomishita3303
    @festomishita3303 2 ปีที่แล้ว +1

    Nmekuelewa sana kaka Isaya ...lakin kwenye eneo la kukufuliwa tumeona watafufuliwa wale waliokufa wakiwa wakirsto je wale wenye hawakufa wakiwa wakirsto itakuaje?

    • @mariamfaicalhassan2890
      @mariamfaicalhassan2890 2 ปีที่แล้ว

      Tutafufuliwa wote ndipo Bwana wetu Yesu kristo atahukumu wazima na wafu

    • @HildaPaul-hm4jk
      @HildaPaul-hm4jk ปีที่แล้ว

      Kuna kuokolewa kwa neema

    • @histonmwasonzwe1868
      @histonmwasonzwe1868 6 หลายเดือนก่อน

      Maandiko yanasema watakatifu si wakristo kwa maana si wote wjulikanao kama wakristo wana neema ya utakatifu maana yamkini hata wateule wakabaki, wafu walio lala katika dhambi wao watasubiri matukio yote mawili kupita yaani dhiki kuu na Utawala wa Yesu wa miaka elfu moja ili kusimama kwenye hukumu ya Mungu

  • @rafitoruffin1175
    @rafitoruffin1175 ปีที่แล้ว

    Hausadiki maandiko yote njo shida Yako.

  • @bonifaceshayo4747
    @bonifaceshayo4747 ปีที่แล้ว

    ASANTE SANA UBARUKIWE SOMO LA UNYAKUO NI KONKI SANA

  • @simonmisri7824
    @simonmisri7824 2 ปีที่แล้ว

    Panahitaji muda sana kuketi chini kuelewa maana lile kundi la Hellen G White watakubishia mpaka basi

  • @zugaonlinetv3902
    @zugaonlinetv3902 2 ปีที่แล้ว

    🤔🤔🤔

  • @AnnaJeremia-s1q
    @AnnaJeremia-s1q ปีที่แล้ว

    Yaaan weee ni kiboko du!!!!!!

  • @rafitoruffin1175
    @rafitoruffin1175 ปีที่แล้ว

    Maanake weye nabii haukubali maandiko yote ya bibliya. Ni kusema kuna uongo mu bibliya. Hapo unaporomoka.

  • @JudithJoshua-t2d
    @JudithJoshua-t2d ปีที่แล้ว +1

    Muhimu ni kuhubiri INJILI watu waokolewe, habari ya unyakuo tumwachie YESU MWENYEWE sisi tubaki ktk utakatifu ili tunyakuliwe.
    Hizi habari zingine tuziache tudumu ktk utakatifu.

    • @evalinekitomary4307
      @evalinekitomary4307 6 หลายเดือนก่อน

      hizi nazo ni muhimu sana ndo maana kwenye bibilia imeandikwa katika ufunuoa

  • @abordecapester9086
    @abordecapester9086 2 ปีที่แล้ว

    Kweli natamani ninge kua kishika mkoba wako niwe Kam mwanafunzi wako

  • @YusuphMagembe
    @YusuphMagembe 4 หลายเดือนก่อน

    Mbona hatawewe unatucchaganya

  • @joshuamatagane1318
    @joshuamatagane1318 2 ปีที่แล้ว

    Nabii Eliya, umepata tatizo gani kwenye mdomo??

  • @fredrickgitonga1972
    @fredrickgitonga1972 2 ปีที่แล้ว +1

    Wacha uongo ww nabii, KRISTO YESU atakuja bila watu kujua yuaja siku hipi, alafu kanisa ni lazima litaingia katika majaribu

    • @DARUBINIYAUNABII538
      @DARUBINIYAUNABII538 2 ปีที่แล้ว

      Vzr sana ndugu yangu umemjibu sahihi kabisa.

    • @mariamfaicalhassan2890
      @mariamfaicalhassan2890 2 ปีที่แล้ว +1

      Yesu atakaporudi tutamuona kila jicho litamuona wafu watafufuliwa ndipo atakapotoa hukumu

    • @alexmauki6935
      @alexmauki6935 2 ปีที่แล้ว

      @@mariamfaicalhassan2890 kila jicho litamuona hata hao waliompiga

  • @jamesmutwiri8213
    @jamesmutwiri8213 ปีที่แล้ว

    Je kanisa litaingia dhiki kuu au la?

    • @histonmwasonzwe1868
      @histonmwasonzwe1868 6 หลายเดือนก่อน

      Halitaingia ni lazima linyakuliwe huyu nabii Eliya ni mpotoshaji, kanisa haliwezi kushiriki mapigo ya manabii wawili watakao wahubiria watu kuwataadhalisha na mpinga kristo na nabii wa uongo kabla shetani hajampa uwezo wake mpinga Kristo katika nusu ya pili ya miaka saba ya dhiki kuu

  • @ahmedmakame1687
    @ahmedmakame1687 2 ปีที่แล้ว

    Nabii naomba nikuulize kuhusu Ndama mwekundu (red heifer ) kuwasili Israel tarehe 15/09/2022 inamaanisha nn ?

    • @Anna-ch6if
      @Anna-ch6if ปีที่แล้ว

      Wanajiandaa kujenga hekalu la tatu

  • @bernardmkuffya5171
    @bernardmkuffya5171 2 ปีที่แล้ว

    Somo zuri ila unatumia muda mwingi sana kuongelea swala la kuja kwa siri au bila siri.Endelea kutoa point muhimu.

  • @raphaelcharles6237
    @raphaelcharles6237 ปีที่แล้ว

    Mwalim, mimi nakufuatilia sana neno tamu la Mungu, je kuhusu kufufuka kwa walio kufa hii imekaaje?

    • @histonmwasonzwe1868
      @histonmwasonzwe1868 6 หลายเดือนก่อน

      Anakuingiza shimoni huyo, watakatifu walio lala mauti katika utakatifu watanyakuliwa pamoja na watakatifu walio hai ndipo mtume Paulo anaposema waliolala mauti hatutawatangulia wafu wengine watafufuliwa baada ya utawala wa miaka elfu moja Yesu na watakatifu baada ya dhiki kuu ili kusimama kwenye hukumu ya Mungu ya milele

  • @kefajoseph158
    @kefajoseph158 2 ปีที่แล้ว +1

    Mi sikupingi ila manabii huwa wanatabili Basi tutabilie 2025 nani raisi nakama huwezi tabili kwà chochote Basi jiite mwalimu Eliya na Sio nabii elia

    • @wycliffkasinga8086
      @wycliffkasinga8086 2 ปีที่แล้ว

      Nabii teachings are basically on issues of escatology and the church. Mambo ya politics za kidunia husilete hapa

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 2 ปีที่แล้ว +1

    Kuhabudu katika Roho na Kweli maana yake ni nini

    • @fredrickgitonga1972
      @fredrickgitonga1972 2 ปีที่แล้ว

      Ni kuwa n Imani ya YESU KRISTO na kumtegemea MUNGU pekee,

    • @shalomchaula4420
      @shalomchaula4420 ปีที่แล้ว

      Yohana 4:24
      Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
      Maana yake hapo hakuna unafiki ndugu yangu katika miili yetu unaweza muona mtu ni kama mcha Mungu sana na mtakatifu Kwa mwili ila rohoni mi mtu wa ajabu ukipewa uwezo wa kuona unaweza husiamini
      Ila Mtu akianza rohoni akiwa mtakatifu kweli na mwaminifu mwilini inakuja automatic bila mtu kusema Wala yeye kulazimisha kujionesha Sana Kwa watu.

  • @DARUBINIYAUNABII538
    @DARUBINIYAUNABII538 2 ปีที่แล้ว +1

    Aiseee udanganya duuuu wewe ni muongooooooo kweli. Acha kudanganya watu auna unabii wowote

  • @CharlesMangumba
    @CharlesMangumba 10 หลายเดือนก่อน

    Hapo hamna umechnganya maandiko kuhusu dhiki , pia kuhusiana na sauti sauti itasikika kwa wale tu waliyo mwamini na wale waliyo lala katika mauti, hy 4:24-25, umejitahindi ila umekosea kidogo

  • @edwardsamwel5084
    @edwardsamwel5084 2 ปีที่แล้ว +2

    Sasa nabi kama unajua Yesu atakuja kuchukua kanisa je waislam watachukuliwa na nani tuweke wazi hapo kwasababu hakika umetambua ukweli halisi

    • @jonathankessy9615
      @jonathankessy9615 ปีที่แล้ว

      Ipo hivi
      Usidhani watu wa Mungu wapo Kanisani tu!!
      Kanisa sio jengo mzee
      Hata kwa wapagani Mungu anawatu wake, hata kwa Waislamu Mungu anawatu wake
      Anayekuja atachukua 50%

    • @elibarikimollel7149
      @elibarikimollel7149 ปีที่แล้ว

      Edwardsamuel msikilize kwa makini umuelewe vizuri Ilyaasa kwamba wakati huo, wale waislamu na wakristo watakubaliana na kua wamoja wa Kristo baada ya mashauriano ya Russia na Afghanistan pale Uturuki...

  • @fredrickgitonga1972
    @fredrickgitonga1972 2 ปีที่แล้ว +1

    Dio maana ww ni mwongo sababu mafundisho yako yanapingana yenyewe

  • @wilsonlugutu5747
    @wilsonlugutu5747 2 ปีที่แล้ว +8

    Warokole wanatumia andiko linalo sema atakuja kama mwivi ndo wana tengeneza hitimisho kwamba anakuja kwa siri kwa maana ya kwamba mwizi huwa anakuja bira kujuwa anaye ibiwa, wanasahau kwamba andiko hilo lilikuwa na maana kwamba hakuna aijuwae siku wala saa, halafu wanarudi kwenye point nyingine kwamba kila jicho litamuona. Wakiwa na maana kwamba baada ya dhiki kuu ndo kila jicho litamuona. Bila shaka mm naungana wewe kwamba hii dhana imetengenezwa na jesuit kujaribu kuuficha ukweli watu wakae gizani ili atakapo funuliwa mpinga kristo wasielewe wajione wako salama sababu waliisha fundishwa hawezi kutokea wakiwepo Duniani dhana hii imetengenezwa na mawakala wa shetani!

    • @wycliffkasinga8086
      @wycliffkasinga8086 2 ปีที่แล้ว

      Usilete matusi wewe! Exit from the teachings if you're not interested.

    • @wilsonlugutu5747
      @wilsonlugutu5747 2 ปีที่แล้ว +1

      @@wycliffkasinga8086 Matusi gani uliyo yaona hapo?

    • @fredrickgitonga1972
      @fredrickgitonga1972 2 ปีที่แล้ว

      Mpinga KRISTO tayari kasaa funuliwa naona hamjui bado

    • @mariamfaicalhassan2890
      @mariamfaicalhassan2890 2 ปีที่แล้ว

      Hapo umeongea ukweli Kuja kama mwizi ni kama surprise

    • @focusmsimbe3573
      @focusmsimbe3573 ปีที่แล้ว

      Hapana Kuna Kuna shida hapa

  • @petermutuku1289
    @petermutuku1289 2 ปีที่แล้ว +1

    Akili unayoitumia kupotosha watu,ukiyangeuza maandiko upside down, kama hutaasha na kutupu utalipia Siku ya mwisho.lakini nakuobea uokolewe.

  • @davidmihambo3051
    @davidmihambo3051 ปีที่แล้ว

    mi nina swali hapo, je kama hiyo sauti ya malaika mkuu na parapanda watakao weza kusikia ni wale tu watakao nyakuliwa je hiyo haitoshi kumaanisha atakuja kwa siri. maana maandiko hayasemi kama kila mtu atasikia hiyo sauti ya malaika mkuu na parapanda. Hata hivyo tunatakiwa tuishi maisha matakatifu ili vyovyote itakavyo kuwa huo unyakuo tusiachwe.

  • @luckymsomba4818
    @luckymsomba4818 ปีที่แล้ว

    m naona kila mtu ataonja mauti. mbona biblia imesema kila mtu ataonja mauti. je mtu akinyakuliwa atakufaje

    • @histonmwasonzwe1868
      @histonmwasonzwe1868 6 หลายเดือนก่อน

      Maandiko yanahitaji utulivu ili usichanganye mambo ili urudi kwenye maandiko matakatifu ni lazima sentensi yako iwe kama ilivyoandikwa

  • @robertlyimo8092
    @robertlyimo8092 2 ปีที่แล้ว

    Ndivyo ilivyo hata Mimi nafahamu hivyo.

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 11 หลายเดือนก่อน

    Yaani wewe ni Nabii wa Uongo japo unajitahidi kusema ukweli kwa asilimia 35% lakini uongo ni asilimia 65% sasa wewe potosha tu utajuta siku ya mwisho

  • @moseskasereka6834
    @moseskasereka6834 2 ปีที่แล้ว +2

    Muongo wewe,mpinga kristo atapingana na nani kama kanisa litakuwa limenyakuliwa?

  • @ziporanangolo9397
    @ziporanangolo9397 ปีที่แล้ว

    Nauliza swali ,basi mbona Biblia imesema mmoja atwaliwa mmoja aachwa , halafu Biblia imesema itakuwa kama siku za Nuh yaani maisha ya kawaida , wengine waingia kwenye safina wengine wapata adhabu.
    SASA INAMAANA TUTAIONA DHIKI KUUU ?

  • @paulophissoo5091
    @paulophissoo5091 ปีที่แล้ว

    Yaani unatuchsnganya jamaa wewe nawe una lengo fulani kuelekeza yaani unatafuta wafuasi maama mrengo wako ni kiuislam 100% kutoka mwanzo wa Biblia hadi ufufnuo baada ya Yesu hakuna nabii mwingine aliyetabiri Yesu aliulizwa habari hiyo akawajibu eliya ni Yohana mbatizaji Au kwenu waislam Nabii Yahaya

  • @igihozouruatidrissa691
    @igihozouruatidrissa691 2 ปีที่แล้ว

    Maskini unaonekana kama mwizi mwizi fulani hivi " ile nuru ulikuwa nayo katka CD za zama za mwisho haipo kabisa kabisa

  • @fredrickgitonga1972
    @fredrickgitonga1972 2 ปีที่แล้ว

    C wewe tena umesema kwa fundisho lako eti dunia uko katika dhiki kuu, mbona unachanganya watu

  • @igihozouruatidrissa691
    @igihozouruatidrissa691 2 ปีที่แล้ว

    Sasa hivi umepoteza hata Nuru ya uutu unaonekana kama tapeli tapeli tu maskini " wee mwenyewe uso wako umejaa aibu ya unachokiongea