Sure nimemuona Mungu wa thamani sana kwangu... uzima na afya ni yeye tu kanipa... im speechless.... ni kweli nimemuona akinitetea.... akitimiza ahadi zake na zaidi.... mambo ambayo macho hayajawahi kuona ... wala masikio kusikia .... I love Jesus. Barikiwa mtumishi wa Mungu. Watching from south Korea.
Ooo hallelujah ..yes nimemuona

Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu
Hongera sana school mate nyimbo zako zinaupako
Ubarikiwe.mtumishi.wamungu
barikiwa sana na Mungu nyimbo zako zina nivuta uweponi mwa Mungu
Barkiwa sana kilawimbo wako unaponya na kukonga mioyo yetu kwa nyakat zote
Nawakubali ktk kazi zenu Emanuel na Ambwene mbarikiwe sana
Fundi wamekutana inapendeza zaidi
Hakika wathamani Bwana Yesu
Amina.Kwa kweli Mungu ni wa thamani.
Amen first comment
Rhina R
Amen in the first comment
Barikiwa mtumishi
I like it
God bless you
Barikiwa xana
amini.mungu.ni.wa.dhamani.🦓
pamoja sana.Mungu akuzidishiye mibalaka.sijuwi nipate CD zako kivip?s'amuel wa Bdi
ubarikiwe
2