Nakuinua Ee Baba yangu wewe ndiwe uliyeniumba Wewe ndiwe Mungu mkuu 🙏🙏 Mungu akubariki sana Mtumishi katika utume wako kila sekunde na kila dakika Ameni🙏❤️
Emanuel am not getting enough with your songs ever fresh it's really clitching my heart may God bless you abandenly.watching all the way from Europe.merci beacoup.
Tunza mafuta mtumishi ,Mungu amekupa kipawa cha KU konga mioyo ya wengi kupitia uimbaji mioyo ya wengi unaielekeza kwa kristo .ni ombi langu usije ukatoka kwa barabara ya kristo mtumishi......usibadilishwe na chochote mtumishi..........nakuombea sana dhahabu uliyopewa isipotee na MUNGU aifiche muovu asione..... na MUNGU achochee mafuta hayo.AMEN.
When I wake up in the I must listen to this song may the Almighty father continue anointing you brother mgogo
Nakuinua Ee Baba yangu wewe ndiwe uliyeniumba Wewe ndiwe Mungu mkuu 🙏🙏 Mungu akubariki sana Mtumishi katika utume wako kila sekunde na kila dakika Ameni🙏❤️
Yesu wastahili sifa za moyo wangu 🧎♀️🧎♀️🧎♀️🧎♀️
Barikiwa mtumishi naupenda sana huu wimbo❤
thanks for good peace of music bro listening from zambia
Amen nabarikiwa Sana na nyimbo zako Mungu azidi kukuinua viwango vya juu
Mungu apewe sifa , umenifikisha kabisa .
Siwez elezea sn vile ninakuw ninapousikiliza huu wimbo, Mungu akubarik sn Mgogo....
Ameni ubarikiwe mtumishi
Natamani sana kufanya mziki nawe .Naamini siku itafika .More grace 🙏🙏🙏🙏
Powerful song anointing flow here aaaaaaaaaame. Hallelujah 🙌🙌🙌🙌🙌
Kaka Mgogo ubarikiwe sana sana na Bwana. Hakika wimbo unagusa na kunipeleka hatua nyingine juu. Upakoooo.. May God bless you exceedingly
Ameeen mungu azidi kukufungua kwa viwango vya juu zaidi mtumishi
Mungu aendelee kukutumia mtumishi binafsi nimebarikiwa saana saana saaana amen
Ameen jaman nabarikiwa na nyimbo za Emmanuel
Yesu unatosa peke yako 🤲
Mungu akuinue zaidi
Mungu akutunze mtumishi wa mungu...nabarikiwa sana na nyimbo zako
Nimeswa kaka mgogo ubarikiwe na mungu akuongoze katika maisha yako yote
Its a blessing to me. I listen tothe song several time
Emanuel am not getting enough with your songs ever fresh it's really clitching my heart may God bless you abandenly.watching all the way from Europe.merci beacoup.
y gf ghp
Ubarikiwe sana , na Mungu azidi kukuongezea kipaji
Upako wa Mungu uzidi kua juu yako mtumishi.
Much love from 🇰🇪
Mungu anajua kiasi gani nyimbo zako zinanibariki , Ubarikiwe sana
Amen
This song took me where my feet could ever stand...stay blessed 🤝
amen, ni Maombi yangu usonge mbele kihuduma
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
Wimbo umenibarki sana na kuwa nguvu kwang niusikiapo... Mungu akuinue zaidi viwango vpakwe mafuta penda sana nyimbo zako
merci
Unaweezaa bwanaaa unaweezaa wewe tuuu
Wewe ndiwee uliyeniumbaa wewe ndiwe mungu mkuu
Very powerful song bro God bless you
Amen abia mke wako anapendeza na nywele zake achine na wings zita aribu nywele zake
Ubarikiwe sana kwa nyimbo nzuri ila ushauri wangu badilisha muonekano wa video uhamie kwenye HD
Niseme tu nakupenda mno Bro Emanuel
Ameen. powerful worship..taking me deeper into prayer.
Utumishi wako utukuke ktk viwango vya juu
Kakangu Mgogo, ubarikiwe mno. Nimeguzwa na Jim aki wako.
Glory to God
Amen,Amen,ubarikiwe mtumishi
Ame ame.aaaame hareluya 👏👏
ubarikiwe
Mungu akuongeze viwango na usonge mbele
Aaamen haleluyaa
Amen, wastahili Bwana. Barikiwa mtumishi
may God bless you in all aspect of your life and let it be in the name of Jesus Christ
wabudio halisi nikama uyu jamaa
Amen Yesuuu Mfalmee Wastahili wewe Bwana
God bless you, wimbo mzuri
ubarikiwe mtumishi wa MUNGU
mungu ni mkuu Siku zote
uishi mwana wa mungu
Amen ubarikiwe MTUMISHI wamungu
Be blessed bro and have everlasting
Barikiwa ndug.
Amen mtumishi
ubarikiwe Wimbo mzuri
Barikiwa mutu wa Mungu
Ae
...heavenly
nimeipenda sana
Yesu nakupenda
nakupenda sana
Broo be blessed with Living God
Mr bow
Amina
Amen 🙏
Good blessed you
Good blessed you
God bless you
Be blessed
Amen🙏
Barikiwa sana Mtumishi!Napenda sana nyimbo zako zinanibariki
Dani caia
Dany caya
Dani kaya
Danny kaya
good song
petronila Lazaro Mungu azidi kukunua napenda sana nyimbo zako
balikiwa sana. mtumishi nyimbo nzuli sana
Mungu akubariki mtumishi Emmanuel
Be blessed my brother this is good song
Jmg
Tunza mafuta mtumishi ,Mungu amekupa kipawa cha KU konga mioyo ya wengi kupitia uimbaji mioyo ya wengi unaielekeza kwa kristo .ni ombi langu usije ukatoka kwa barabara ya kristo mtumishi......usibadilishwe na chochote mtumishi..........nakuombea sana dhahabu uliyopewa isipotee na MUNGU aifiche muovu asione..... na MUNGU achochee mafuta hayo.AMEN.
Be blessed