Ezekiel Makililo ft Emmanuel Mgogo - NENO LAKO NI KWELI (+255745458802)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
- Ukiliamini Neno la KRISTO YESU unalimaliza tatizo,kwa sababu NENO LAKE NI KWELI hajawahi kudang'anya,Anaponya NI KWELI,Baraka zinapatikana kwake NI KWELI,Wala hatuna mashaka na Neno lake kwa sababuTUMELIDHIBITISHA.Ukilia hauwezi kuliondoa tatizo ila Ukiliamini Neno la Mungu katika KRISTO YESU unalimaliza tatizo.
Nalipenda neno hili #ACHA #KULIA
ANZA KU #AMINI
Naamini Umebarikiwa sana na wimbo huu.Naomba ubonyeze Neno SUBSCRIBE unapoangalia ili uendelee kubarikiwa na Nyimbo nitakazoweka mapema mwaka huu,SUBSCRIBE pia kwa channel ya Emmanuel Mgogo.
Kwa mawasiliano kwa ajili ya huduma na mengineyo nitafute kwa namba hizi;-
+255745458802,+255679682206
facebook;Ezekiel Makililo / ezekielmak
Instagram;Ezekiel Makililo www.instagram....
MUNGU AKUBARIKI
Wala sina mashaka! Wimbo mzuri ajabu. God bless you Ezekiel
Hakika, NENO lake YESU KRISTO ni kweli ___
ubarikiwe mtumishi
💪
Amen
Barikiwa mtumishi
Ubarikiwe kwa wimbo Wenye ujumbe aswaa,!
Amina
Halelluyah hatimae mekuwa wa kwanza kupata baraka hii ya kucomment ooooh yees
Hakika wewe ni mungu
Papaaaa njooo tuchat huku aiseeee
Nikweri wimbo huu unanibariki Sana sichoki kuu sikiliza
Good job blood bwana akupeleke pale juu
Kaka eze mtu ya baba ubarikiwe zaidi na alie juu
Hakika Neno la Mungu ni kweli
Its been 2yrs and this song keeps ministering to me..the power and anointing in this song😭😭😭I just cant get enough of it🙏🙏il be back here to testify🙏 Bado nangoja Mungu atimize neno lake ju ya maisha yangu.AMEEN.
Amen,BWANA akujibu sawa na NENO lake.Ubarikiwe sana
@@ezekielmakililo AMEEN mtumishi🙏
Amen I barikiwa Sana mwalimu wangu NENO LAKO NI KWELI
Hongera ndugu
Kazi nzuri sanaaaa. Ubalikiwe sana
Mtumish Ezekiel nabarikiwa na huduma yako kutoka moyon mwangu nakuombea tena Mungu akutumie kwa viwango vya juuuuuuh sana tembea na Mungu tembea na nguvu ya roho mtakatifu ameen
Amen
Wimbo mzuri sana 🎉🎉🎉 utukufu kwa Bwana 🙏
Powerful song
Nakubali nduguu yangu
Aisee wimbo ni wa baraka sana huu
Nimethibitisha WAla sina mashaka kabisaaaa
Neno lako nikweli be blessed
Neno lako moja latosha 🙏🙏🙏
Kazi nzuri sana rafiki yangu Nimebarikiwa nayo
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu nyimbo nzr sana
Neno lake mungu nikweri kabisa
Amen
Wewe mtumishi wa Mungu yaani wewe ni rafiki wa Mungu, hii sauti siyo ya kawaida, au wewe ni malaika? Huu wimbo ninausikiliza siuchoki,Aiseee Uishi milele,
Barikiwa sana
Wimbo mzur Sana aiseee
Wala sina mashaka
Papaaaaa nakuitaaaa mara tatu papaaaaa papaaaa papaaaa
Amina nimebarikiwa na wimbo wako,Mungu akubariki kwa huduma yako na uzidi kumtumikia yeye
Ezekiel, unaimba vizuri sana, utafika mbali sana... Damu ya Yesu na iendelee kunena mema kwa ajili yako....More grace n anointing Sir...
Amen
Ni kweli nimethibitisha
Neno lako ni kweli
Ameeen ameeeen barkiwa Sana mtu wa Mungu
The Music is too hot 💪💪
Really brother....audio production imetulia Hadi video...now let's go next level even you all are possible...
Amen
Hakika neno lake ni kweli halijawahi kwenda kinyume kama linavyosema.mbarikiwe sana,
Umeugusa moyo wang be blessed!
Ni kweli neno lako ni kweli
Wimbohuu naupenda sana
Nimethibitisha wala sina mashaka....Neno lako ni kwel!!
Kazi nzuri Sana Mungu aendelee kukutumia 👌🏾
Amen
mmefanya vizuri sana watumishi wa Mungu wetu mbarikiwe kabisa nabwana
Kweli
Mmeubariki moyo wangu kazi yenu ni njema mbarikiwe
Hakika neno la mungu nikwel
Ni kweli
😲😲😲 WOW!!! Kazi safi sana kaka...hapa Kenya nimeuskia huu wimbo kwenye milele fm ...uinuliwe kwa kiwango Cha juu zaidi..🙏🙏
Amina,mbarikiwe Kenya
Yesu nimwaminifu
Ubarikiwe Saana Kwa Wimbo Mzuri
Amen
Mungu azidi kukuinuwa
Oooooh halelluyah
Unanibariki Sana na nyimbo zako
Hakika Neno la Mungu ni kweli,barikiwa sana mtumishi
Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU kwa nyimbo yako nzuri 🙏🙏
Wimbo mtamu sana
Keep it up brother
Tunabarikiwaa
Nimebarikiwa sanaaaa,Mungu azidi kukuinua
Amen
Nimethibitisha hakika neno lako ni kweli 🙏🙏🙏
NIMETHIBITISHA NENO LAKO NI KWELI.
Good work
Barikiwa
ni kweli ..neno la MUNGU ni kweli
💪
Ubarikiwe mwalmu wangu
Ubarikiwe sanaa servant ov God🙏🙏
Be blessed
Hii sasa my favorite song🙌
Wooooow,such a beautiful song 🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️🌺🌺🌺#acha #kulia #amini #haleluyaaaaaaaa
Amen
Keep on moving kaKa Mungu azidi kukuinua katika viwango vya juu zaidi
🙏
AMEN
Indeed, your word is YES and AMEN. Words in this song are so great and anointing, nimebarikiwa mno. Barikiwa kaka🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Amen
Amen
Ni
Nimekuja huku kusubsribe 🙂🙂
Hakika baba neno lako ni kweli
Ni kweli
Amen