New Song-Pastor Abiud Misholi (Official Music Video).

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 296

  • @aminatatounkara2143
    @aminatatounkara2143 ปีที่แล้ว

    Soki na moni bolamu na yo kati na bomoyi na ngai ... na kobanga Nzambe.
    Natukuza Yesu❤
    Alléluia Hozanna

  • @naomimunanga6363
    @naomimunanga6363 2 ปีที่แล้ว +9

    Amen Pastor Abiud, yani nawapenda sana, kwa mafudisho yako,mwenyezi mungu amenitoa mbali sana, kaa ukijua uko na mwanao wa kiroho uku Nairobi Kenya, nimejifunza mengi sana, saizi mimi niwatofauti kabisa, sio vile nilikuwa mwanzo mungu azidi kukupa uhai, hadi uitimize kazi yake.

    • @kelvinmlay9750
      @kelvinmlay9750 ปีที่แล้ว

      Mungu akutunze.kila nisikilizapo nyimbo zako nafarjika sana🙏

  • @msabenda
    @msabenda 2 ปีที่แล้ว +26

    😭Amina sana mchungaji nabarikiwa sana na hii nyimbo Mungu azidi kukutumia katika uchungaji na uimbaji hakika umekua baraka mno kwetu. Mungu wa Mbinguni akubariki

    • @alexisntahomvukiye5753
      @alexisntahomvukiye5753 2 ปีที่แล้ว

      Hezagirwa

    • @emmamrosso5260
      @emmamrosso5260 2 ปีที่แล้ว

      Kiukwel nmebarikiwa mnoo Mwenyez Mungu aendelee kukuweka kwa ajili yetu 🙏

    • @magrethmtega4458
      @magrethmtega4458 2 ปีที่แล้ว

      Aminaa mtumishi wamungu

    • @leonardmachumu6081
      @leonardmachumu6081 2 ปีที่แล้ว +2

      Mungu akubariki mtumwa wa bwana,uzdi kunyenyekea ili atafanya

    • @leonardmachumu6081
      @leonardmachumu6081 2 ปีที่แล้ว

      Amina mtumwa bwana akika nyimbo zako zinanibariki mno bwana yes akubariki mtumwa

  • @BahatiMgaza
    @BahatiMgaza ปีที่แล้ว

    Nimekumbuka mbali Sana Kwa wimbo huu nimekumbuka rafiki yangu mpendwa ambae alikuwa dada wa mchungaj aliefariki zaman Sana huko mkoan singida mungu akubarik Sana wewe ni mdogo wangu ameen

  • @kisiimilka2063
    @kisiimilka2063 ปีที่แล้ว +1

    Asanti yesu Kwa nyimbo hizi za baraka mungu azidi kuwaweka viwango vya juu zaidi wanibatiki sana

  • @alexnyagawa4217
    @alexnyagawa4217 2 ปีที่แล้ว +3

    Barikiwa sana mchungaji kazi njema sana. Mungu azidi kuku tumia kwa viwango vya juu kabisa
    .

  • @daudimhoha894
    @daudimhoha894 2 ปีที่แล้ว +1

    Haleluyaaa.anastahili.sifa.zote.milele.na.milele

  • @ESTHERNAKHUMICHA-os8hw
    @ESTHERNAKHUMICHA-os8hw 4 หลายเดือนก่อน

    Nikiiimba nyimbo zako upako huw unashuka juu yangu be blessed

  • @LuckyVosevwa
    @LuckyVosevwa 2 หลายเดือนก่อน

    May the name of the Lord be highly lifted up Amen Hallelujah Amen 🙏🙏🙏

  • @MarteenAuresmas
    @MarteenAuresmas 4 หลายเดือนก่อน

    Nikitafakari uliyofanya,nakutuxa yesu

  • @NdakiNginila
    @NdakiNginila หลายเดือนก่อน

    Nimebarikiwa sana na wimbo huh. Amen

  • @manirakizainnocent1991
    @manirakizainnocent1991 19 วันที่ผ่านมา

    Nataka namba kabisa

  • @afatambukana8846
    @afatambukana8846 ปีที่แล้ว

    Toka Congo pasta afata nikisikie nyimbozako Nina barikiwasana mungu akubarikisana mchungaji amen

  • @juddiewandera
    @juddiewandera 2 ปีที่แล้ว

    Huyu mchungaji alianza na mkewe na bado wanaimba pamoja, jamani Mungu awabariki zaidi

  • @almonsimon2277
    @almonsimon2277 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante Sana Postar Abiud nyimbo ni nzuri Sana mungu akupe maisha marefu,Atukuzwe mbinguni na dunian.By Gershom & Eliya dodoma city center karibu Sana dodoma siku moja....

  • @isayajerad
    @isayajerad ปีที่แล้ว

    amen amen MUNGU ametenda baba askofu MUNGU akuzidishie mafuta

  • @makeredavid9351
    @makeredavid9351 ปีที่แล้ว

    Nazipenda nyimbo zako Sana Mungu wa Mbinguni akubariki Sana.

  • @ahmadiathumani6086
    @ahmadiathumani6086 2 ปีที่แล้ว

    Hajawahi kukosea mchungaji abiudi barikiwa sana nyimbo zako znatufariji

  • @pstdanielmuindi4127
    @pstdanielmuindi4127 2 ปีที่แล้ว +3

    Asifiwe Mungu kwa yote aliyo tenda am blessed Dad. Mungu akuinue zaidi na zaidi Baba.

    • @traffedrdc3585
      @traffedrdc3585 2 ปีที่แล้ว

      Que la gloire soit rendu à Dieu !

  • @info.chengo8188
    @info.chengo8188 2 ปีที่แล้ว

    Atukuzwe Mfalme aishie milele. Barikiwa sana pastor nabarikiwa nikiwa 🇰🇪 Kenya.

  • @guylainekayumba1734
    @guylainekayumba1734 ปีที่แล้ว

    Mungu asifiwe milele n'a milele

  • @gestinabunganiekuya6300
    @gestinabunganiekuya6300 2 ปีที่แล้ว

    Amina mnasifu katika roho na kweli ila ninaushauri kwa mama mchungaji kutokana na Yeremia 4:30, na 1Timotheo 2:9_12 achana na mapambo utamuona Bwana amina

  • @mauricekanyegeri1521
    @mauricekanyegeri1521 ปีที่แล้ว

    Mucungaji micholi nakupenda sana tena nanyimbo Zao zinani umiza sana 🙏🇹🇿🇧🇮🇧🇮 Mwenyezi mungu akujarie bola nafamilia Yako mimi Niko murund rakina nakusikia miya kwamiy nakubali sana❤❤

  • @johnkithuka-dj6kc
    @johnkithuka-dj6kc ปีที่แล้ว +1

    Asifiwe bwana

  • @fredrickryoba2452
    @fredrickryoba2452 ปีที่แล้ว

    Asifiwe Mungu baba

  • @UrassaMirisho-be2qk
    @UrassaMirisho-be2qk ปีที่แล้ว

    Asante sana mchungaji kwa nyimbo hii Mungu akutie nguvu zaidi inanipa faraja mnoo nyimbo hii

  • @JacksoncorneryAbdon
    @JacksoncorneryAbdon 7 หลายเดือนก่อน

    Amina saana mchungaji wimbo huu birashaka ni manukato mbele yakiti Cha enzi Cha Bwana mungu wetu.

  • @TerryannKinyanjui2021
    @TerryannKinyanjui2021 ปีที่แล้ว +1

    From Kenya254 my best pastor

  • @babyconstable1686
    @babyconstable1686 2 ปีที่แล้ว +4

    Halleluyah Hosana...Mungu wa mbinguni awatunze na kuwahifadhi watumwa wake.

  • @dplfestivedplfestive6439
    @dplfestivedplfestive6439 ปีที่แล้ว +1

    😭😭 amen mchungaji nyimbo zako zinanipeaga moyo sana. Naomba siku moja utembelee Nairobi kisha ujenge kanisa uku

  • @gracemlelwa4383
    @gracemlelwa4383 ปีที่แล้ว

    Mchungaji nabarikiwa sana na huduma yako .Namwomba Mungu akulinde pamoja na familia yako.Barikiwa sana baba

  • @monicamafenyi8358
    @monicamafenyi8358 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏🙏 lakini wanadada waache mapambo

  • @joycerwechungura3182
    @joycerwechungura3182 ปีที่แล้ว

    Mungu mwema aendeee kukuinua zaidi na zaidi km apendavyo,Ameen

  • @christinelesiriam4397
    @christinelesiriam4397 ปีที่แล้ว

    real voice yaani saut ya mama abiud ni ya kipekeee sna hongeren

  • @HerryLazaro
    @HerryLazaro 5 หลายเดือนก่อน

    Sifa na zivume kwa Bwana yesu kristo aliye hahi. Haleluya.

  • @dianajohn8520
    @dianajohn8520 2 ปีที่แล้ว

    Amina nyimbo IPO rohon sana nahisi bubujiko, be blessed utukufu Kwa yesu kristo

  • @monicamtenga
    @monicamtenga ปีที่แล้ว

    Nyimbo ni nzuri Sana hongera mchungaji Mungu akubariki Sana.

  • @catengina3922
    @catengina3922 5 หลายเดือนก่อน

    I love your songs man of God since 2010 i was listening.then CDS were no more, recently i searched in Utube am back again listtening getting blessed a. In Kenya.God bless you and your family and Ministry.

  • @vicentvictor7509
    @vicentvictor7509 ปีที่แล้ว

    Pastor hujawahi kuniangusha nabarikiwa Sana na huduma yako kwa ujumla

  • @vasccomasoko-xm6ld
    @vasccomasoko-xm6ld หลายเดือนก่อน

    Aminaa mtumishi from kijiji cha inyama

  • @zedrickchisongela51
    @zedrickchisongela51 2 ปีที่แล้ว +1

    Watumishi was Mungu Past Abiud na Past Pierre Bwana YESU awabariki sana yaan combination yenu huongozwa na Roho Mtakatifu Be Blessed

  • @martinenanjala957
    @martinenanjala957 ปีที่แล้ว

    Wachungaji mungu awabariki sana

  • @charitylydia
    @charitylydia ปีที่แล้ว

    Amen inshallah

  • @happnesskitumbo5713
    @happnesskitumbo5713 2 ปีที่แล้ว +11

    Wimbo mzuri sana, kwa unyenyekevu mkubwa baba mchungaji mshauri mama mchungaji aache mapambo yote ya kidunia ili tufike wote mbinguni, tumekia shuhuda nyingi na kwa watu tofauti wa nchi tofauti kuwa wanawake wengi wako jehana kwa sababu ya mapambo kusuka nywele na vitu bandia kwenye miili yao. Ni ushauri wangu.

    • @noelamilambo9595
      @noelamilambo9595 ปีที่แล้ว

      ukienda wewe binguni inatosha yaani mtu kupendeza nako Ni dhambi msipende kupangia watu maisha kikubwa anamtumikia Mungu

    • @smartmwakipesile3842
      @smartmwakipesile3842 7 หลายเดือนก่อน

      Mungu akubariki sana

    • @joyceallan2758
      @joyceallan2758 7 หลายเดือนก่อน

      MKE wa HUYU baba Yuko very natural mi nimeona ana Kwa ana 2 times no nyakati tofauti

    • @evakessy3282
      @evakessy3282 7 หลายเดือนก่อน +2

      Mlizaliwa uchi hizo nguo mnazovaa ni anasa tembeeni uchi😏

    • @marymwabi7870
      @marymwabi7870 7 หลายเดือนก่อน

      Kuna mapambo mengine ambayo hayamfurahishi mwenyezi Mungu ,why shetani amelata vitu zake kunaza watu na ss tunadhani n urembo bt kuna vile tunamwabudu ukiangalia mavazi pia

  • @furahakawamala-tz7jl
    @furahakawamala-tz7jl 7 หลายเดือนก่อน

    Asifiwe MUNGU baba kwa yale yote anayofanya,Ameeee

  • @christianmoyi1516
    @christianmoyi1516 2 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa saana apa congo, nzambe ya makasi azali mobikisi amen.

  • @DeboraNeno-s5o
    @DeboraNeno-s5o 7 หลายเดือนก่อน

    AMINAAA Watumishi Mbarikiweee

  • @tatyanamwangi679
    @tatyanamwangi679 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana pastor from Nairobi Kenya

  • @devotajulius7572
    @devotajulius7572 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏 wimbo zako ni zuri

  • @AshaSulle
    @AshaSulle ปีที่แล้ว

    Wimbo wa baraka

  • @bernadethakimoga5776
    @bernadethakimoga5776 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimebarikiwa sana na wimbo wenu wa kumsifu Mungu

  • @aliceonkoba
    @aliceonkoba ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa sana na nyimbo zako mchungaji zimeweza kunitoa mbali sana.

  • @maajabumwakasege3933
    @maajabumwakasege3933 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @georgemnana8429
    @georgemnana8429 ปีที่แล้ว

    Ameen mtumishi nyimbo zaka zina mshawishi mtu kuingia kiroho

  • @FadhiliMzopola
    @FadhiliMzopola 5 หลายเดือนก่อน

    Ameni our father..chumvi ya dunia..na Tanzania...najifunza mengi kwako Role model 🙏

    • @FadhiliMzopola
      @FadhiliMzopola 5 หลายเดือนก่อน

      Ninanyimbo tatu TH-cam jina Fadhili Mzopola
      Nimejifunza kwako jinsi yakumwimbia Bwana🙏

  • @OmegaMwinuka-dj4zw
    @OmegaMwinuka-dj4zw ปีที่แล้ว

    Utukufu kwa
    Bwana

  • @bakarymgunda1419
    @bakarymgunda1419 ปีที่แล้ว

    Kipande cha mkongo kimenigusa zaidi ingawa sio mkongo

  • @aloyceJiles
    @aloyceJiles ปีที่แล้ว

    Baba Mungu azidi kukutunza umebeba neema ya ajaabu

  • @andrewomondi9544
    @andrewomondi9544 ปีที่แล้ว

    Utukufu Kwa Mungu.Mtumishi Mungu akutie nguvu Kwa ajili ya kazi yake

  • @irenerimoyrimoy2024
    @irenerimoyrimoy2024 ปีที่แล้ว

    Nibarikiwe kupitia nyimbo zako 🙏🙏😢

  • @dorrismichael5420
    @dorrismichael5420 ปีที่แล้ว

    Amina pastor nabarikiwa Sana. Kweli atukuzwe asiyeshindwa na chochote.

  • @edgarpius9111
    @edgarpius9111 2 ปีที่แล้ว

    Pastor naeshim utumishi wako wimbo mzuri sema Vidio mwanzon haikukaa vizuri

  • @LydieB-r3u
    @LydieB-r3u ปีที่แล้ว

    Amena Amena.nabarikiwa sana

  • @FrolaJoseph-w4s
    @FrolaJoseph-w4s 2 หลายเดือนก่อน

    Kwakwe li nyimbo zako znabalk 7:24 7:26

  • @masterkey536
    @masterkey536 ปีที่แล้ว

    Barikiwa

  • @erickmutambala3420
    @erickmutambala3420 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kuongezeya kipawa baba kweli unani bariki sana

  • @musakisebengo2939
    @musakisebengo2939 ปีที่แล้ว +1

    Baba Mungu akubariki Sana....huu wimbo naupenda Sana...

  • @carolinawenje4334
    @carolinawenje4334 ปีที่แล้ว

    Amina past hubarikiwe sana

  • @EdinaMbilinyi-ss4zd
    @EdinaMbilinyi-ss4zd 8 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe iranaomba uwambie each e mapambo mama mchungaji anapotosha watu yeyenikio chakanisa

  • @MarcelineRehema-w5d
    @MarcelineRehema-w5d 6 หลายเดือนก่อน

    Asifiwe bwana.Ameeeeen

  • @enalanyagawa
    @enalanyagawa ปีที่แล้ว

    Mungu akutie nguvu

  • @elizabethpetrojoseph3340
    @elizabethpetrojoseph3340 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameni🙏🙏

  • @revelationonlinetv379
    @revelationonlinetv379 2 ปีที่แล้ว +3

    Asifiwe ameeeeeeeeeen ,
    Hallelujah ameeeeeeeeeen

  • @purinenafula5784
    @purinenafula5784 ปีที่แล้ว

    Nice one pastor

  • @osmanomai6717
    @osmanomai6717 ปีที่แล้ว

    mungu akubariki sana pastar kwa nyombo zako natoka Kenya.

  • @stellahkatunge7399
    @stellahkatunge7399 2 ปีที่แล้ว

    Amina nyimbo zako nzuri sana barikiwa sana mchungaji

  • @anneokaka8213
    @anneokaka8213 ปีที่แล้ว

    Shallom shallom

  • @James-hz6kk
    @James-hz6kk ปีที่แล้ว

    Amina bana nasipemda mchungaji mungu akutie ngufu baba

  • @pendaeliimma
    @pendaeliimma ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mtumishi wa mungu nyimbo zako hua zinanipa faraja kubwa sana mungu awe nanyi watumishi wa mungu

  • @jonaicemalle948
    @jonaicemalle948 ปีที่แล้ว

    Amen nabarikiwa sn

  • @alexdunda8887
    @alexdunda8887 ปีที่แล้ว

    Amen, Amen

  • @brotherbenardmutinda4459
    @brotherbenardmutinda4459 2 ปีที่แล้ว +2

    Congratulations 👏 mtumishi ujumbe umefika.

  • @florianminja1127
    @florianminja1127 2 ปีที่แล้ว

    Kwa mara ya kwanza mimi kuona wema wa bwana ni wakati nyimbo za uyu mtumishi kunirudisha katika njia za mungu...Amen baba

  • @lucyziri4960
    @lucyziri4960 ปีที่แล้ว

    Halleluya halleluya hosannah

  • @CarolyneMmboga-xp4yx
    @CarolyneMmboga-xp4yx ปีที่แล้ว

    Umenibariki saana na huu wimbo muchungaji abiud

  • @johnmshan4017
    @johnmshan4017 ปีที่แล้ว

    Yesu akubaliki mchungaji ❤❤❤

  • @OmegaMwinuka-dj4zw
    @OmegaMwinuka-dj4zw ปีที่แล้ว

    Baba baba

  • @elizabethmalekela7188
    @elizabethmalekela7188 ปีที่แล้ว

    Ameni sana

  • @ange500mukombo3
    @ange500mukombo3 10 หลายเดือนก่อน

    Amen waw

  • @Mariamseify
    @Mariamseify ปีที่แล้ว

    Amen amen 🙏🇰🇪

  • @salmasalometitus2139
    @salmasalometitus2139 ปีที่แล้ว

    Ameni barikiwa
    Mch huduma yako ninjema.

  • @lucykerubo1663
    @lucykerubo1663 ปีที่แล้ว

    Nyimbo zako zinatubariki sana mchngaji🙏🙏

  • @janemacha9027
    @janemacha9027 ปีที่แล้ว

    Amina mchungaji mungu azid kupandisha kiwango kingne

  • @mathayomaziku529
    @mathayomaziku529 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana Mtumishi
    Wa Mungu

  • @jeanettegloria6244
    @jeanettegloria6244 ปีที่แล้ว

    Amen amen!!

  • @athanasmwabena5899
    @athanasmwabena5899 11 หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa Sana na nyimbo zako baba

  • @karolicalist7799
    @karolicalist7799 ปีที่แล้ว

    Ameen, Mungu akubariki Mchungaji kwa nyimbo..

  • @Tituskhaoya
    @Tituskhaoya 6 หลายเดือนก่อน

    We love you pastor, Make a Walk to Kenya,I really appreciate and enjoy your songs

  • @dorinahmakunga9288
    @dorinahmakunga9288 ปีที่แล้ว

    Nyimbo zako huwa zinanibariki sana mchungaji abuid

  • @janengaga2928
    @janengaga2928 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa baba mchungaji😍.Mungu akutunze hadi mwisho.🙏

    • @tumpengusa86
      @tumpengusa86 2 ปีที่แล้ว

      Jina BWANA litukuzwe Amina