FANYA HAYA KWA MZAZI WAKO 2024 KABLA HAUJAISHA MUDA WAKO - SHEIKH OTHMAN MAALIM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • Ukitaka Radhi za Mola wako basi kwanza tafuta Radhi za wazazi wako.
    Wazazi wawili wanayo haki kubwa kutoka kwa watoto wao, kama walivyo na haki watoto kutoka kwa wazazi wao. Mwenyezi Mungu ﷻ Ameweka wazi kabisa haki za Pande zote mbili. Mwenyezi Mungu hakuwaachia wanadamu wajipangie wenyewe haki zao, bali Yeye Mwenyewe Amechukua jukumu la kuwapangia kila moja haki yake ili asipatikane na upungufu au dhulma katika kugawa hizo haki. Wazazi wana nafasi kubwa katika Dini ya Kiislamu. Wao ndio sababu ya kupatikana mtoto, baada ya kuvumilia na kusubiri juu ya shida nyingi kisha kuzaliwa mtoto. Kwa kuvumilia kwao na kusubiri juu ya shida zote, wamepata cheo kikubwa mbele ya Mwenyezi Mungu ﷻ.
    Mwenyezi Mungu ﷻ ameambatanisha haki yake pamoja na haki ya wazazi wa wili. katika aya kadha katika kitabu chake kitukufu, nayo ni haki ya wazazi wawili. Jueni kwamba mafungamano makubwa baina ya mja na Mola wake ni kuumcha Mwenyezi Mungu ﷻ na kusimamia haki za wazazi na kusimamia haki za waja wake.
    Amesema Mwenyezi Mungu ﷻ
    وَاعْبُدُوا اللَّهَ وَلَا تُشْرِكُوا بِهِ شَيْئًا ۖ وَبِالْوَالِدَيْنِ إِحْسَانًا} النساء :36}
    [Mwabuduni Mwenyezi Mungu wala msimshirikishe na chochote. Na wafanyieni wema wazazi wawili] [Al Nnissa:36]
    Jueni waja wa Mwenyezi Mungu kwamba kuwafanyia wema wazazi wawili ni wajibu hata kama ni makafiri, imepokewa na Asema:
    قدمتْ عليّ أمي وهي مشركة في عهد رسول الله -صلى الله عليه وسلم-، فاستفتيت رسول الله -صلى الله عليه وسلم-، قلت: وهي راغبة، أفأصل أمي؟ قال: نعم، صلي أمك رواه البخاري ومسلم
    [Amenijia mamangu na yeye ni mshirikina wakati wa Ahadi ya mtume (yani kipindi mtume amefanya itafaki a mushrikina ) nikamuliza Mtume ﷺ ni kasema (amenija) na yeye ataka ni muunge je ni muunge mamangu? Akasema Mtume ﷺ : [Ndio muunge mamako]. [Imepokewa na Bukhari na Muslim].
    Wema kwa wazazi haukatiki hata kama watakuamrisha kumkufuru Mwenyezi Mungu na kumshirikisha.Isipokuwa itakuwa haifai kuwatii kwa hilo.
    ==================================
    Tazama Video nyingine kwenye channel yetu
    1. Video Title: USIKU WA NUSU YA MWEZI WA SHABANI WATU HUSAMEHEWA DHAMBI ZAO
    ▶ • USIKU WA NUSU YA MWEZI...
    2. Video Title: KUSHUKURU NEEMA YA ALLAH NAYO NI NEEMA || WAFUNDISHENI WATOTO WENU
    ▶ • KUSHUKURU NEEMA YA ALL...
    3. Video Title: UKITAKA KUMJUA MTU BASI TAZAMA VITU HIVI VIWILI || MWENYE HEKIMA YUPOJE?
    ▶ • UKITAKA KUMJUA MTU BAS...
    *******************************************
    Our Social Media:
    🟥 Instagram 👇
    / almaarifmedia
    🟦 Facebook 👇
    / almaarifonlinetv
    ⬛ Tiktok 👇
    / almaarifmedia
    *******************************************
    Channel yetu nyengine 👇
    / @thefikra
    _________________________________________
    Produced by: 𝗔𝗹 𝗠𝗮'𝗮𝗿𝗶𝗳 𝗠𝗲𝗱𝗶𝗮 𝗣𝗿𝗼𝗱𝘂𝗰𝘁𝗶𝗼𝗻 𝗶𝗻 𝟮𝟬𝟮𝟰
    *******************************************
    #bofyahapa🔴 #mawaidha #sheikh #maarif #ma'arif #darsa #kishki #othmanmaalim #sheikhkishki #mufti #bakwata #tanzania #hijja #ramadhanimawaidha #ramadhani #sabahalupdates #shamsualmaarif #muhadhara #mazinge #taqwa #samiasuluhu #joti #mkojanigang #mkojani #bunge #wasafi #milardayo #ihsan #zanzibar #mombasamawaidha #kenya #uislamu #listenable #trends #viral #islamic #muslims #kiswahili #arabic #ulimwengu #makka #ijumaa #swala #sunnah #islam #sheikhothmanmaalim #mawaidhamapya #mawaiza #mawaidha2024 #mawaidha2025 #mawaidha2026 #mawaidha2027 #ramadhani2025
    *******************************************
    ⚠ 𝑨𝒏𝒚 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 𝒄𝒐𝒏𝒄𝒆𝒓𝒏𝒔, 𝒑𝒍𝒆𝒂𝒔𝒆 𝒄𝒐𝒏𝒕𝒂𝒄𝒕 𝒖𝒔 𝒔𝒐 𝒕𝒉𝒂𝒕 𝒘𝒆 𝒄𝒂𝒏 𝒈𝒊𝒗𝒆 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒇𝒖𝒍 𝒄𝒓𝒆𝒅𝒊𝒕 𝒕𝒐 𝒕𝒉𝒆 𝒔𝒐𝒖𝒓𝒄𝒆. ⚠
    🟥 𝗣𝗿𝗶𝘃𝗮𝗰𝘆 𝗣𝗼𝗹𝗶𝗰𝘆
    Dear viewers, This Privacy Policy outlines how Al Ma'arif Media ("we", "us", or "our") collects, uses, and protects any personal information you provide when you use our TH-cam channel and engage with our Islamic-based content. We are committed to ensuring that your privacy is protected. If you have any concerns about your privacy, please contact us.
    🟪 𝗛𝗼𝘄 𝘄𝗲 𝘂𝘀𝗲 𝘆𝗼𝘂𝗿 𝗶𝗻𝗳𝗼𝗿𝗺𝗮𝘁𝗶𝗼𝗻
    ✔ Provide content:
    Your interactions with our videos, comments, and other interactions help us improve our content and provide you with more relevant information.
    ⬛ 𝗟𝗶𝗻𝗸𝘀 𝗮𝗻𝗱 𝗧𝗵𝗶𝗿𝗱 𝗣𝗮𝗿𝘁𝘆 𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲𝘀
    Our videos may contain links to other websites or resources. However, once you have used these links to leave our channel, please note that we have no control over these external websites. Therefore, we cannot be responsible for the protection and privacy of any information you provide when visiting such websites.
    🟥 𝗬𝗼𝘂𝗿 𝗥𝗶𝗴𝗵𝘁𝘀
    You can control the visibility of your interactions on our videos by adjusting your TH-cam privacy settings. You can also unsubscribe from our channel at any time. If you would like us to delete any personal information we have collected, please contact us at maarifmedia@gmail.com.
    𝗧𝗵𝗮𝗻𝗸𝘀 👌💕

ความคิดเห็น • 1

  • @almaarifonlinetv
    @almaarifonlinetv  6 หลายเดือนก่อน

    Usisahau kuLike na kuSubscribe ❤